ROBOTI KUBWA LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 авг 2023
  • ROBOTI LILIVYOMPELEKEA RAIS SAMIA KIFURUSHI CHA 5G
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 738

  • @SerenePyramids-um4ku
    @SerenePyramids-um4ku 12 часов назад

    Pole pole maisha yakwenye film yanaanza kutokea binadamu anajifukuza mwenyewe ndio imeanza ss watazidi kuyabolesha mpk yawe na uwezo zaidi ya binadamu

  • @user-fi7tg6ow7r
    @user-fi7tg6ow7r 9 месяцев назад +33

    Hii Dunia yakustajabisha hapo itafikia watuwataondolewa kwenye Imani yakweli Na kuanza kutumikia masanamu Allah atunusulu

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 9 месяцев назад +2

      ndio maviongozi yakiislam ya kiafrica yalivo yamejaa ushetan tu sasa hapo watoto wataanza kuwamin masanam nasio Mungu

    • @laudadeusredemptorysidinda2750
      @laudadeusredemptorysidinda2750 9 месяцев назад +1

      Acheni ushamba aise

    • @laudadeusredemptorysidinda2750
      @laudadeusredemptorysidinda2750 9 месяцев назад

      ​@@aishaalbalushaishabalush8291unaijua vizuri Dubai wewe, huko ndo kuna marobot ya kila aina, acha ushamba

    • @hamedhabsi2752
      @hamedhabsi2752 9 месяцев назад +2

      Unasumbuliwa na ushikirina akili mwako. Tatizo jingine tembea kidogo nje ya nchi uone Dunia. Kuna Mambo zaidi ya hayo.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 9 месяцев назад

      @@hamedhabsi2752 huko unaposema kunamambo zaid ya hayo hakuna raiya anaelala njaa rabda apende mweyewe kutokula sasa tanzania robot la nini wakat wanainchi hawana hata ajira wanao ajiriwa watoto na family za viongozi mnapenda kufananisha mavitu bila kufananisha serkal inawasidia kiasi gani wanainchi woote wasio na ajira ? unadhani hatutatembei hadi tuone nijambo jema kwa tanzania ? kwanza unapopataja wanainchi wao wanalishwa na serkal zao ndio maana hata kazi wavivu kufanya sasa tanzania upeleke robot lakutumia mabillion ya pesa wakat watanzania wananguvu ya kazi zile anazozifanya robot tena wao wanafanya kwa mshahara mdogo tu huo ni ujinga ulipitiliza maji shida umeme mgao hayo mabillion waliolinunua hilo robot si wangeongeza miundo mbinu mnaajiri robot wakat wanainchi wanadhiki na shida ya kazi yoyote iwe ngumu au nyepesi tena kwa mshahara mdogo kwa mwezi nasio mabillion kwa wek tumia akili nasio matako

  • @agneskabalika800
    @agneskabalika800 9 месяцев назад +15

    Siku za mwisho maarifa ya mwanadamu yataongezeka sanaa

  • @magretmilla6663
    @magretmilla6663 9 месяцев назад +7

    Imetisha inchi yetu Tanzania mungu ailinde

  • @rabanphotostudionyakanazi_4115
    @rabanphotostudionyakanazi_4115 9 месяцев назад +3

    Asante Sana Media ya wasafi Tanzania.tuko nyuma yenu.

  • @yasinjumahamis6267
    @yasinjumahamis6267 9 месяцев назад +2

    Mungu atunusulu nahizi laanaa ushetani umeanza kuzidi hizo zote ninembo za shetwani

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 9 дней назад +1

    Allah akulinde

  • @IddyNdudy
    @IddyNdudy 3 дня назад

    Hongereni sana wabunifu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @AsiaMwazembe
    @AsiaMwazembe 11 дней назад +1

    Kweli ni neema au jaman eeeeemwenyez Mungu tunusuru kwa kweli

  • @racheljoseph9402
    @racheljoseph9402 15 дней назад +4

    Khaaaaa😢😢😢😢 ndio tumefikia huku kweli Ee Mungu tuteteee acha mafuriko yaje tu R.I.P MY PRESIDENT JPM nitakukumbuka kila siku ungekuwepo usingekubali hili dude lije

    • @RahimaMct-ik8mr
      @RahimaMct-ik8mr 7 дней назад

      😂😂😂nacheka kama mazur Yan mtihan

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 9 месяцев назад +32

    Nacheka sana! Nchi imekuwa ya vituko kila cku! Rip JPm!

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 9 месяцев назад +2

      Ukamufufue

    • @joachimbaldwin8511
      @joachimbaldwin8511 9 месяцев назад

      ​@@maulidipingika4452mpo WENGI sana hata sikushangai wewe ukiwa mmojawàpo wanaofurahia haya màmbo yanayoendéléa na kúibuka kila síku nchiñi

    • @user-pj8ed9kn6g
      @user-pj8ed9kn6g 9 месяцев назад

      SAS magufuli angefanyaj looh

    • @user-nh4mz2ol9h
      @user-nh4mz2ol9h 9 месяцев назад

      Huna maana ww kwahyo huu ni ujinga angefanya magufuli ndo lingekuwa la maana?

    • @user-nh4mz2ol9h
      @user-nh4mz2ol9h 9 месяцев назад

      Mjinga ww muua watu ndo unamkumbuka

  • @AmidoJeni
    @AmidoJeni 7 месяцев назад

    Mungu yupo pamoja nasi wapenzi wa Mungu

  • @MadamOrida
    @MadamOrida 11 дней назад +1

    Eeeee mungu naomba utusaidie😢😢😢

  • @AgnesLinus-vb9uj
    @AgnesLinus-vb9uj 6 дней назад

    Mungu tusaidie tunaangamia ngoja siku awatoe meno mtakaa sawa

  • @DaifridyMaembe
    @DaifridyMaembe 5 дней назад

    mungu tusaidie uyuraisi anatutisha tanzania atunavita lakini tumeletewa roboti sijuilanini jaman

  • @naimakawina4276
    @naimakawina4276 13 дней назад +1

    Astaqafullah, mwenyez mungu atulinde na vizaz vyetu hii ni hatari vinaanza hivi hivi

  • @mesiamatheo2230
    @mesiamatheo2230 11 дней назад

    Mungu ni mungu tu...

  • @lidiasilwimba6759
    @lidiasilwimba6759 9 месяцев назад +1

    Mungu simama mwenyewe.

  • @jarnskorelly464
    @jarnskorelly464 9 месяцев назад +14

    Jamani kweli Dubai imeipania Tanzania

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Месяц назад

    Mungu akulinde una baya mama

  • @pendopendojoshua7624
    @pendopendojoshua7624 5 дней назад +1

    Wateule kuweni macho huyo ni picha ya lusifer mambo ndo yanaanza kama kiongozi anaenenda hivi tumekwisha Mungu atusaidie

  • @user-lx8nl8hh3f
    @user-lx8nl8hh3f 10 дней назад +1

    Dah! Hii sio nzuri jamani tunapotea

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 9 месяцев назад +1

    Hongera Dr Samia Rais wa Jamuhuri ya Muungano pamoja na Dr Jakaya Kikwete Rais Mstaafu.

    • @AlexDitto-qz1hn
      @AlexDitto-qz1hn 9 месяцев назад

      Wazazi wako

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 8 дней назад

      Kwa lipi? Kwa ajili ya robotic. Ingekuwa vizuri kama hali ya maisha ingekuwa nzuri.

  • @Manzabei
    @Manzabei 14 дней назад +3

    Sijapenda maroboti

  • @user-kd6jt5qt9o
    @user-kd6jt5qt9o 9 месяцев назад +2

    Mhe. Rais hongera Sana kwa hatua kubwa na maendeleo ya Hali ya juu, Mungu akulinde .

  • @user-ky1ni2ly9r
    @user-ky1ni2ly9r 7 дней назад +2

    Wangapi mlio ona moto kwa hio roboti to alama ya freemason??????? Kama umeona nipe like tujuane

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 9 месяцев назад

    Mashaallah mama yetu

  • @FatnaAlly-go7yt
    @FatnaAlly-go7yt 9 дней назад

    Akulinde allah raisi wetu

  • @sammymdemeka7937
    @sammymdemeka7937 9 месяцев назад +1

    Kazi nzuri tupunguze gharama za bando wakulima tuongeze Kasi ya kujifunza kilimo tija ili tuongeze uzalishaji Bado Mabwana shamba na Mabibi shamba ni wachache sana

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 16 дней назад +1

    Yann yote hayo mtakuja kuleta majini na mashetani wa vichwa saba😢😢😢ni huzuni kwa kweli

  • @lellovenance5702
    @lellovenance5702 13 дней назад +8

    2:00 tuanchukulia poa lakin hii si gud, mbona ana mapembe mbona jekundu kuna ibada hapo mnaabudishwa kama nebukadneza 😮😮😮

  • @TabukidebweKidebwe
    @TabukidebweKidebwe 8 месяцев назад +2

    Mmh inauma sana kwa sisi watanzania

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Месяц назад

    Mama upo makini wewe kiongozi ikulu yako miaka 100%nimependa uongozi wako sanaa mama

  • @LightnessJoel
    @LightnessJoel 7 дней назад +1

    Mh jamani hiki ni nini Ina maana sisi watu hatuna maana Hadi tuwe na robot Tena mbele ya rais wetu mungu tunusulu na hili

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv 5 дней назад

    Pia watanzania tutateseka sana kazi tutakosa kweli awafanyi aki

  • @fatmaabdallah7709
    @fatmaabdallah7709 9 месяцев назад +2

    Daaah anatisha ningekutana nae ningekimbia wallah

  • @DIDASFLIM
    @DIDASFLIM 16 дней назад

    Duuu mungu tusaidie wenyew wamefanya kitu Cha maana kabisa ila mungu tusaidie

  • @januaryjohn2014
    @januaryjohn2014 9 месяцев назад +2

    Noma Sana

  • @bagenihuduma1569
    @bagenihuduma1569 8 месяцев назад +1

    Hongera Teknoloji

  • @beatricekassanga8129
    @beatricekassanga8129 9 дней назад

    Hali ya uchumi ni mbaya,pesa zimekwenda kununua robot,MUNGU atusaidie sana kwa kweli Tanzania inakoelekea.MUNGU aingilie kati!!!!!

  • @RehaniKharidi-st4oe
    @RehaniKharidi-st4oe 9 месяцев назад

    Viva raisi Samia SAAAFI Sana kwakweli

  • @donaldmsery7856
    @donaldmsery7856 9 месяцев назад +7

    Mungu wangu tusaidie waja wako.

  • @rogersiddy
    @rogersiddy 9 месяцев назад +3

    Mnaojipanga kusoma kwajili ya kuingia bandalini mmeona hayo tafuteni kazi nyingine kbs

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 9 месяцев назад +4

    nchi inamambo hii,Lugha ya picha Asante sana mweshimiwa Rais

  • @EM2916
    @EM2916 9 месяцев назад

    Safi kabisa

  • @user-mo4ce5sq6z
    @user-mo4ce5sq6z 11 дней назад

    Kodi za waTanzania matumizi yake yamefikia hapa.Mungu tuhurumie

  • @user-ms5ot9jw1o
    @user-ms5ot9jw1o 9 месяцев назад +3

    Da Mungu simama mwenyewe maana tunakwenda ni mbaya sana tunaanza kuyaabudu marobot

    • @stanymccary7136
      @stanymccary7136 9 месяцев назад +1

      That's technology

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 месяцев назад +1

      KWANI UMELIKUTA KANISANI AU MSIKITINI UMEAMBIWA ULISUJUDIE??? WACHA USHAMBA

  • @gilbertrutayuga4676
    @gilbertrutayuga4676 9 месяцев назад +10

    Moja ya lugha zinazonichefua ni neno duniani. Kwamba tumezoea kuyaona huko duniani Sasa yamekuja Tanzania. Kwa hiyo sisi tuko sayari Gani.

    • @ymusic1299
      @ymusic1299 9 месяцев назад

      Hata mm aisee

    • @rehemakambona8479
      @rehemakambona8479 9 месяцев назад

      I think we need to thanks thats improvement of technology

    • @ankowaah
      @ankowaah 9 месяцев назад

      ​@@rehemakambona8479hakuna improvement yoyte apo ni ya kununua kwa watu iyo

  • @othumanomari1589
    @othumanomari1589 9 месяцев назад +6

    Mnatuona wa Tanzania nimaboya

  • @mwaamwetahussain9947
    @mwaamwetahussain9947 9 месяцев назад +13

    Kwa hio hizo hela za bandar mmnunua robot kwer hii nchi inaliwa😢

  • @jemamdendemi9636
    @jemamdendemi9636 10 дней назад

    Mungu🤔

  • @annaurassa7082
    @annaurassa7082 11 дней назад

    Jamani hii ndio ndoto za tz mungu tu saidie

  • @user-ws4wo3vi9m
    @user-ws4wo3vi9m 9 месяцев назад

    Hongera mama

  • @joanimali981
    @joanimali981 9 месяцев назад +2

    Hvo ndivyo wagonjwa watauliwa wth that microchip robot😂😂😂😂

  • @fadybeatz
    @fadybeatz 9 месяцев назад +16

    TUMEPIGWA NA KITU KIZITO HATUNA ROBOTI HAPO AYO NI MAVAZI TU😂😂😂

  • @NunuKupela
    @NunuKupela 9 месяцев назад +3

    Jaman mnapigia makofi robot mnarudi nyuma kushirikiana na masanamu zama izi teknolojia isiwapeleke kubaya tukasahau utukufu wa Allah na qudra zake

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 месяцев назад +1

      KULITENGENEZA HILO PIA NI ELIMU KUTOKA KWA ALLAH.

    • @user-gg2jq8mp9d
      @user-gg2jq8mp9d 9 месяцев назад

      Roboti anaweza hata kusetiwa kutega bomu au kutegua lkn pia kufika sehemu hatarishi bila kupeleka binadamu kuepusha majanga pia kutuma taarifa za adui mengineyo jiongeze hiyo ni hatua kubwa saana ndg

  • @RamadhaniAndambike-oq5on
    @RamadhaniAndambike-oq5on 9 месяцев назад

    Mnashukuriana tu ahsant msitafu ahsante mhe: rais duh aya nch ya kwenu hii huu ndio wakatiwenu

  • @Wilky254
    @Wilky254 9 месяцев назад +2

    Nafuatilia kutoka Kenya... Kazi nzuri pale 😅😅😅😅😅🎉

  • @NchengaKafiti
    @NchengaKafiti 11 дней назад

    7:38

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 12 дней назад

    That horrogram is amazing

  • @shadrackyavin9991
    @shadrackyavin9991 13 дней назад +2

    Haya maroboti yanafaa kulima Sana sio kuaa ofsin kuziba riziki za vijana chunguzen Hilo tutalewa na vitu vingene sio litakuja liwageuke mh me simo 🙄🙄

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 9 месяцев назад +2

    Mnatumua robot ili watanzania wakose kazi Kuna very intelligent girls good in mathematics and physics wangefanya hiyo kazi! Mnatumua robot! Tanzania bado kwenye kufikiri

  • @Kengele
    @Kengele 9 месяцев назад

    tunaelekea 7g na tz still launching this +254 #kengele

  • @ashamakwaiya8749
    @ashamakwaiya8749 7 дней назад +1

    Sijaelewa jamani likitu la nini sasa hilo,jamani makubwa sijajuwa lqbda ushqmba au makubwa

  • @emmanuelcharles4600
    @emmanuelcharles4600 9 месяцев назад

    Mmmmh!!!! Kazi tunayo

  • @neychuchu_love966
    @neychuchu_love966 8 месяцев назад +4

    😢hatakama technology inakiwa kwa kuliona hilo zimwi😂akini tukumbuke linaweza tumika hata kwenye kivuruga aman 😢namuombea sana Samia ushinde vikwazo kama binadamu🎉🎉

  • @saidsalim498
    @saidsalim498 8 месяцев назад

    Congratulapp

  • @focuschimbutuli101
    @focuschimbutuli101 9 месяцев назад +2

    Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee mungu wangu

  • @PaulNzima-pd8il
    @PaulNzima-pd8il 9 месяцев назад +4

    Hivo ndo mfano wa uongozi wakati pia Diamond Platnumz ameheshimiwa kuepo...👍👏🦁

    • @hamiduramadhani4375
      @hamiduramadhani4375 9 месяцев назад

      Noma

    • @pcpoint1224
      @pcpoint1224 9 месяцев назад +1

      Mbona sijamwona ali kiba au bado anaangaika na simba day?

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 9 месяцев назад

      Daimon anaweza hata kukuoa wew

    • @leahzuu6468
      @leahzuu6468 9 месяцев назад

      ​@@IdarousPossypunguza makasiliko😂😂😂

    • @IdarousPossy
      @IdarousPossy 9 месяцев назад

      @@leahzuu6468 mbona unajichekesha.....naona Akili yako ndio imefikia mwisho wakufikiri....

  • @JosephJeremiah-go1dn
    @JosephJeremiah-go1dn 9 месяцев назад +11

    Mungu ndo anajua rest in peace anko magu

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 9 месяцев назад +1

      NA WEWE KUFA U REST IN PEACE MAGU NCHI SIO YAKE PEKE YAKE.

  • @wangiraongoma6636
    @wangiraongoma6636 8 месяцев назад

    Kenya mko wapi

  • @joramkimario9321
    @joramkimario9321 9 месяцев назад

    Bas sawaaa.mmeshaamua mim ni nan had niwapinge

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 9 месяцев назад +2

    Mama Samia mungu akupe afya njema amini

    • @abdullyjadu7723
      @abdullyjadu7723 10 дней назад

      Kwa jambo gani kwa sababu ya kuleta robot kweli watz Akili finyuuu

  • @ZakruChikota
    @ZakruChikota 9 дней назад

    Nice

  • @kanikiommy5167
    @kanikiommy5167 9 месяцев назад

    My beautiful president

  • @HamadHamad-oy7mp
    @HamadHamad-oy7mp 9 месяцев назад

    Mzee Kikwete na mama Samia Allah awape miaka mingi ya maisha mema kwa hakika nawapenda sana Sina la kuwalipa kwa wema wenu

    • @abdullyjadu7723
      @abdullyjadu7723 10 дней назад

      Kwa lipi apo kwa kumleta robot sio kweli watz Akili zetu ni finyuuu kama puru

  • @janengaga2928
    @janengaga2928 8 дней назад

    MUNGU atusaidie kwa kweli. Dah...

  • @EmmanuelMsangi-kb3vv
    @EmmanuelMsangi-kb3vv 15 дней назад +1

    Natamani kusikia kauli za watumishi wa mungu hili jambo co nzuri

  • @BrightaMush-yd1bh
    @BrightaMush-yd1bh 8 месяцев назад

    Jamani acheni tunashindwa wakati mwingine hata kula tumalala njaa ukigeuka kila Kona unadaiwa Kodi nakazi yake ndo hii jamani tupunguze kidogo kupiga mwingi tuupige kwa kiasi

  • @AmaniLux
    @AmaniLux 9 месяцев назад

    Super

  • @bagaileshabani3179
    @bagaileshabani3179 9 месяцев назад

    Usanii mwingi kuliko kazi haya bwana kazi iendeleeeee

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 9 месяцев назад +10

    Hii ni very risk sio vizuri kumruhusu Rais kuwa jirani na haya mavitu

    • @taturajabukhalfani7953
      @taturajabukhalfani7953 9 месяцев назад

      Hawajui kuwa ni hatariiiii!!!!atalipuliwa!!!ohoooo!!

    • @azruntravel4306
      @azruntravel4306 9 месяцев назад +1

      Tahadhari koz watu wanaweza kutumia humo2 kumdhuru raisi.

    • @mwashumkigoda
      @mwashumkigoda 9 дней назад +1

      Hii hatariii

    • @mwashumkigoda
      @mwashumkigoda 9 дней назад +1

      Huu ni mwisho wa dunia mbona tuna muasi mungu sio neema kufuruuu

  • @user-yf1cm2ts3p
    @user-yf1cm2ts3p 13 дней назад

    Linalala wapi

  • @officialjclever9879
    @officialjclever9879 9 месяцев назад +4

    R,I,P JPM tumekumic

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 9 месяцев назад +2

    Tutaona vituko zaidi lini utaenda kukagua miradi?? Roboti linatusaidia n8ni

  • @greenngusa872
    @greenngusa872 9 месяцев назад

    Hongera kwa maendeleo makubwa lakini madizaina sijapenda robot lina pembe juu Ishara ya devil worshipers. Tunafurahia maendeleo madizaina wabadilishe kwenye hizo pembe kwenye kofia.

  • @sarabura8933
    @sarabura8933 10 дней назад

    Uyo roboti kaisha jianda kwa vita tayari na linamapembe jamani jamani tengenezeni njia zenu au tungengeneze njia zetu jamani tusichukulie masihara mambo yanako elekea ni magumu na kinachofata ni amri tu tujitakase tusome neno sana tutubu tuache dhambi tujiweke tayari mpango wa mpinga kirsto unaanza

  • @fadhilhimid2776
    @fadhilhimid2776 9 месяцев назад

    Hongera sana Raisn

  • @user-vt3uq3xv3s
    @user-vt3uq3xv3s 9 дней назад

    Kwani hii midude ya nini sasa mama samia 😭

  • @MohamedLanga-dg4tf
    @MohamedLanga-dg4tf 13 дней назад

    Waoo

  • @achouraachoura5763
    @achouraachoura5763 9 месяцев назад +5

    Mungu ampe amani ya moyo uyu mama yetu mana kuiongoza nchi si kitu rahisi lakini yeye kathubutu..📌✍️🙏

    • @abdullyjadu7723
      @abdullyjadu7723 10 дней назад

      Kwa jambo gani la maaan, kweli watz akili finyuu kabx

  • @SophiaMoses-jk4cv
    @SophiaMoses-jk4cv 5 дней назад

    Jitu lenyw linatisha HV af linawaka moto duh! Rip doctor john pombe magufuli ungekuwepo hy mambo yasingetokea

  • @isaacochieng6354
    @isaacochieng6354 9 месяцев назад +5

    BWANA YESU KRISTO hii linaonekana jambo jema lkn nimaandalizi ya ujio wa mpinga kristo jamani YESU ANATUPENDA HEBU TUMPOKEE NAWASIHI NDUGU ZANGU BARIKIWENI

  • @ttboyboyboy
    @ttboyboyboy 5 дней назад

    sasa.ii.pesa mliyonunuwa.uu.uchafu sibora mki jenga shule.visima vijijini.nakupeleka misaada yachakula.kwenye kambiza.wakimbizi.tuna mkumbuka John.pombe maguful.atutakuja jupata laisi.kama yeye mungu amuweke maalipema peponi

  • @veronicamgeni9414
    @veronicamgeni9414 9 месяцев назад

    Mamà samia alitaka kulia ❤❤❤

  • @islongprimary147
    @islongprimary147 8 дней назад

    national anthem

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se 9 месяцев назад +13

    Nimependa walinzi wa Mama walivyokua wanamuangalia Mzee Robotii

    • @hansmsangi9828
      @hansmsangi9828 9 месяцев назад

      Hamna kitu mjomba hapo sio kweli yasingetukuta mkono wa pistoni kuingia kwenye gia box

  • @ChinoMan-jp5im
    @ChinoMan-jp5im 11 дней назад

    Robot lenyewe la hovyo bong bado sana

  • @levygasper7438
    @levygasper7438 9 месяцев назад +2

    Mama samia ni comedie wakutosha😂😂

  • @rosesilio9008
    @rosesilio9008 12 дней назад +1

    Hii nchi inakoekekea itakuwa ni dangerous aiseee tunapoelekea