EXCLUSIVE: HISTORIA YA MFANYABIASHARA SAID LUGUMI BILLIONAIRE ANAEMILIKI KAMPUNI na VITU vya THAMANI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 ноя 2024

Комментарии • 121

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад +9

    Msikilize mchungaji danieli mgogo atakuamabia vijana wa kuongeza sifuri anawajua na hataki hata kuwapa kazi anawapa vijana wataalam wa kiisilamu

  • @BimHamdi
    @BimHamdi Месяц назад +6

    Mashallah ALLAH amzidishie afya njema afaidi mali zake ampe moyo zaidi kusaidia masikini pia na yatima n wajane ameen

  • @FatmaHalfan-w3l
    @FatmaHalfan-w3l 29 дней назад +3

    Mashaallah Allah amjaalie mali zake azitumie ktk kufanya khairat nyingi ili utajiri wake umpeleke firdau kesho akhera amin

  • @sophiamsangi9763
    @sophiamsangi9763 11 дней назад +1

    Mafanikio makubwa ya mtu mwanadamu hawezi kuyazuia eendelea kubarikiwa mungu ndio kila kitu katika juhudi zako

  • @lovenessvisent9408
    @lovenessvisent9408 29 дней назад +5

    Dr shika 900 itapendeza mwenda zake

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 28 дней назад +2

    Mashaallah

  • @ramadhanichanafi4725
    @ramadhanichanafi4725 Месяц назад +11

    Jamani nipeni Likes zangu kama unamkubali Lugumi

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Месяц назад +3

      Thanks

    • @frankmfuse6990
      @frankmfuse6990 23 дня назад

      @@ramadhanichanafi4725 Sasa hapa unashukuru alafu mnasema mnamkubari kivipi labda, yy anamaisha yake na kama hela ni zake lakini mtandaoni huku tumerpgwa au

  • @naimamohamed2216
    @naimamohamed2216 19 дней назад +1

    Allah atamlinda

  • @daudkindy5807
    @daudkindy5807 Месяц назад +1

    MASHAALLAH

  • @sandemurya3567
    @sandemurya3567 8 дней назад +1

    Ila bongo bhana mtu anaandika historia ya mtu Kwa kutumia stori za kusikia vijiweni

  • @michaelgershon9077
    @michaelgershon9077 2 дня назад +1

    Huyu ndio mwizi ambaye Magu alimshindwa😂😂😂😂

  • @saidhamza5318
    @saidhamza5318 Месяц назад +3

    Hatokaa amsahau magu...alikimbia nchi hy.👀😳

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 23 дня назад +1

    Nimemkumbuka Dr Shika😂😂😂😂

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 Месяц назад +1

    Umemuelezea vizuri

  • @GideonMalyego-p2r
    @GideonMalyego-p2r 28 дней назад +2

    Ametajrika kwa pesa za wananchi.

  • @MasterOil-qm6vw
    @MasterOil-qm6vw Месяц назад +19

    Allaah amuhifadhi aangebaki kwenye ukristo asingekua tajiri angesoma akawa muajiriwa maana waisilamu wamerithi biashara kutoka kwa mtume muhammada s.a.w na ndio maana mpka sasa hapa tanzania vijana wa kiisilamu wanaongoza kwa kujiajiri wenyewe

  • @FadhilMchomvu
    @FadhilMchomvu Месяц назад +5

    Maisha yanasiri sanaa jaman ujasiri na kuamua ndo kitu cha kwaz

  • @yusuphmruma1771
    @yusuphmruma1771 28 дней назад +1

    Ndomaana niliacha shule form2 maana nilihisi mm nitajir mkubw ata nisiposoma

    • @frankmfuse6990
      @frankmfuse6990 23 дня назад

      Uliacha shule ujizani ww ni tajir ila ni kinyume chake mpaka tumekutana hapa kukomet hii ww ni masikini mwenzangu matajili Hawana huo muda

  • @ellsonmkonyi1319
    @ellsonmkonyi1319 12 дней назад +1

    Said mwema +lugumi = magufuli

  • @MaguguStore
    @MaguguStore Месяц назад +3

    Katika watu wezi wakubwa Tanzania mmoja wapo ni huyuu

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 Месяц назад +1

    Kumbe Dr Shika alikua kazini😂

  • @deuscharles151
    @deuscharles151 Месяц назад +2

    Alikuwa fundi viatu stend ya zamani ya magu😮

  • @johnkyara8655
    @johnkyara8655 28 дней назад +1

    Huyu jamaa alibia serikali pesa nyingi sana

  • @ZiyandaMhlana
    @ZiyandaMhlana Месяц назад +1

    Kwa Tanzania huyooo sio ata number 50

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 29 дней назад +1

    Technolojia ni utajiri et

  • @ATD_STARS
    @ATD_STARS 23 дня назад +1

    Samahani kaka tunaweza kupata mawasiliano?

  • @mtulivu-ir1nq
    @mtulivu-ir1nq Месяц назад +1

    Mbona matajiri wengi elimu zao ni za chini Yani utaskia kaishia msingi la 7 au form 2🤔🤔🤔

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Месяц назад +3

      Utajiri sio lazima uwe na Elimu ya Shule mkuu " ni kuongeza juhudi ya kile unachokiamini " Mungu atakubariki na kukusaidia kuinuka kwakila Jambo lako

    • @mtulivu-ir1nq
      @mtulivu-ir1nq Месяц назад

      @Santzmedia Amin inshallah 🙏🙏

    • @nth3512
      @nth3512 Месяц назад +1

      Elimu sio adi ukae darasani au upate vyeti, elimu zipo nyingi sana, ivyo wao wanatembelea elimu fulani ambayo hawakuipata kwa kukaa darasani kama walivyowengi, yoyote mwenye kujituma lazima atoboe tu kwa uwezo wa MWENYEZIMUNGU

    • @marcomabanza6858
      @marcomabanza6858 22 дня назад

      Mafanikio ni ujanja tu sio lazima elimu

  • @SuperstarHiphop
    @SuperstarHiphop 25 дней назад +1

    Wewe umjui vizuli saidi alikwambia kakuongopea

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  25 дней назад +1

      Embu nipe historia Yake kidg

  • @WardaMfinanga
    @WardaMfinanga 25 дней назад +1

    Mm km mtotowatabata nasubili

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 Месяц назад +3

    Sasa mkwewe saidi mwema Kuna nini tena

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Месяц назад +1

      Hiyo ndioinaitwa bahati sasa!

  • @ClassicBoy-lu9cb
    @ClassicBoy-lu9cb Месяц назад +2

    Tajili kutoka magu mwanza

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 Месяц назад +2

    Acheni shobo waandishi

  • @HalimaRashid-z6y
    @HalimaRashid-z6y Месяц назад +3

    Mtotowatabata

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 23 дня назад +2

    Alikutana na mtoto wa saidi mwema ,aka slimu , akapewa jina la mkwe wake saidi , mwema akawa IGP ufisadi mkubwa akapeleka pesa nyingi kwa Binti yake kwa jina la mkwewe . Ila Leo watoto wa watu masikini wasio na elimu kazi Yao ni kushobokea matajili wanamsifia Kila kona

  • @josepheriah5977
    @josepheriah5977 Месяц назад +1

    Katisha

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 27 дней назад

    pumbavu wewe ndo humjui ila sisi tunamjua kitambo saana

  • @tumainilymo86
    @tumainilymo86 Месяц назад +2

    Alikuwa fundi viatu mwanza airport

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Месяц назад +1

      Shukrani Sana Kwakulifahamu hilo

    • @shabaninayopa-nw9cf
      @shabaninayopa-nw9cf Месяц назад +1

      Na wewe kashone viatu sasa tusijidai tunawajua sn watu

    • @ZiyandaMhlana
      @ZiyandaMhlana Месяц назад

      Mwaka gani achenii story hizooo

    • @FatmaHalfan-w3l
      @FatmaHalfan-w3l 29 дней назад

      Daah mbona nachanganyikiwa matajiri wengi waanzia kushona viatu😂😂😂maana ata bakhresa tuna ambiwa alianza kushona viatu kariakoo

    • @bwiremgonya1394
      @bwiremgonya1394 29 дней назад

      ​@@FatmaHalfan-w3lmambo ya kuambiwa changanya na yako.

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Месяц назад +3

    Kama huna information unapost nini

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Месяц назад +1

      Hiyo ndio information

    • @AllyShabani-v5i
      @AllyShabani-v5i Месяц назад

      Hivi ndio Tanzania asiyejua analazimisha kujua

  • @herijaphet
    @herijaphet Месяц назад +4

    Si mtafute taarifa kamili kuliko kukadiria.
    Darasa la saba na mfumo wa finger print wap na wap. Labda km wenye hiyo miradi ni watu wa nje wanamtumia yy au vigogo.
    Kwa hyo miradi yake huyo hawez kuwa std 7

    • @Santzmedia
      @Santzmedia  Месяц назад +1

      Ndiomana wakaajiri wasomi

    • @evelinemlay5572
      @evelinemlay5572 Месяц назад

      Bill gate ni high school drop out lakini anamiliki kampuni kubwa duniani za computer software na viwanda vya madawa ikiwepo chanjo mbalimbali hadi COVID mpango wake muovu wa kupunguza idadi ya watu duniani. Kutokwenda shule hakuondoi maarifa, Hana elimi ya darasani lakini anamiliki engineers na scientists. Waliojenga pyramids za misri hawakusomea engineering

  • @abdullayahya8717
    @abdullayahya8717 Месяц назад

    Kuna mtu nyuma ya pazia , kisha zile nyumba zilizotaka kupigwa mnada zimemalizia wapi tena?