this program is dope! big up P Funk..u the realest dude i have ever seen. i'm Kenyan and i used to watch Planet Bongo back then on EATV channel 5 and Salama used to rep it to the fullest. somehow someway i lost touch n almost a decade later i get to see her now on MkasiTv and im glad she still gat it! she aint lost touch yet and i will subscribe to it n watch this religiously. Big up TZ!! we love u!
Brother should host his own podcast or live/whether recorded episodes of Tanzanian Hip Hop plus Bongo Flava contents as he's aside hustle from creating music since he has a lot of history to this music...
i would vote for this guys as one of the top pioneers katika muziki wa bongo esp in our generation, total transformation and new genre !! big names tanzania without this dude tusingewajua !!! PURE LEGACY
Pfunk kanikumbusha mbali sana.Especially akitaja majina kama Masaki,Mikocheni etc...Kuna sehemu pia Bongo karibu na Drive inn Cinema inaitwa Namanga duh bado ipo au?Kuna maduka ya wapemba pale nakumbuka one time somewhere opposite kuelekea Morroco sasa ilikuwepo Burger Bite...then New Africa hotel .Yote hiyo ni kisua line mpaka Dabaga kwa mchizi wangu P funk tena.
Yo Pfunk your take on Bflava was very fascinating and real. Much appreciated for enlightening us on the role of producers, royalties and the changes in the industry.
Hahaha ebana Purple haze umenichekesha sana Shabadoo kimya maana Ngeli kwishney.Yaah kweli ingekuwa kiswazy ingekuwa poa sana maana watu wengi wangekuwa wanaelewa.
Kwanza Nigeria population yaki ni 160.something million na hawapendani kiivyo (boko haram) wana ukabila sana. Pili walikuwa wanahit toka mda mrefu ingawaji sasa kuna uhamsho zaidi. Alipoongelea rangi ya ngozi alinikumbusha the mixed children of Aboriginals wa movie ya Australia, "Am no white, am no black. I belong nowhere" Interview poa lakini. kudos
jamani watanzania tusiwe malimbukeni. hii ni show ya kiswahili kwa ajili ya waswahili, sasa kingereza cha nini. au ni kujionesha kama unaju kuongea kingereza. ongea kingereza kwa waingereza sio kwetu waswahii. sasa we unaongea kingereza na kina mama farida huku uswahilini hawakufahamu. hichi ni kipindi kizuri lakini sasa kinanikera kwa sababu ya ulimbukeni. ata shabadoo leo kashindwa kuuliza maswali mengi kasababu na yeye pia hajui kingereza. lazima tujivunie lugha yetu bana sio lugha za watu
I admit this guy, due to the fact that he admits that he once got lost back then, seriously do not judge the book by its cover, he seems responsible. Big up Majani, lakini punguza kujisikia...am out.
the best producer ever
this program is dope! big up P Funk..u the realest dude i have ever seen. i'm Kenyan and i used to watch Planet Bongo back then on EATV channel 5 and Salama used to rep it to the fullest. somehow someway i lost touch n almost a decade later i get to see her now on MkasiTv and im glad she still gat it! she aint lost touch yet and i will subscribe to it n watch this religiously. Big up TZ!! we love u!
dah uko real majani, unaongea ukweli sana, hufichfichi mambo. safi sana.
Brother should host his own podcast or live/whether recorded episodes of Tanzanian Hip Hop plus Bongo Flava contents as he's aside hustle from creating music since he has a lot of history to this music...
Wasanii wakubwa wanarekodi bure wasanii wadogo wanalipa hela this is big point
i would vote for this guys as one of the top pioneers katika muziki wa bongo esp in our generation, total transformation and new genre !! big names tanzania without this dude tusingewajua !!! PURE LEGACY
I miss Mkasi
majani mkweli xana! tofauti na wengine wanaojibu kinyume
Pfunk kanikumbusha mbali sana.Especially akitaja majina kama Masaki,Mikocheni etc...Kuna sehemu pia Bongo karibu na Drive inn Cinema inaitwa Namanga duh bado ipo au?Kuna maduka ya wapemba pale nakumbuka one time somewhere opposite kuelekea Morroco sasa ilikuwepo Burger Bite...then New Africa hotel .Yote hiyo ni kisua line mpaka Dabaga kwa mchizi wangu P funk tena.
Nay wa mitogoo sana Baba nimekuelewa Baba piga kazi jemb
Yo Pfunk your take on Bflava was very fascinating and real. Much appreciated for enlightening us on the role of producers, royalties and the changes in the industry.
Nimemsikia huyu nikiwa kenya enzi na enzi...mimi mkenya lakini ninamvulia kofia.
Dats whatuup,bigup bro majani yan kivyovyote we ni lejendary
Heee baba paula.wajua kuongea hongera
Hahaha ebana Purple haze umenichekesha sana Shabadoo kimya maana Ngeli kwishney.Yaah kweli ingekuwa kiswazy ingekuwa poa sana maana watu wengi wangekuwa wanaelewa.
Nyc show mi na enjoy I don't care waonge kiswa ama english
M Pakistan tena mfuko ushapigwa chapa 979 au 999 au 988 sio watu wazur😅
Mama farida arudi shule mki bonga ngoso na enjoy zaid
2023 💯
hahah guɗ english majan salute bro
I never really thought if this guy could be smart upstairs regardless of being TOO UPFRONT!
big up xana majani unaueleo mkubwa xana ktk maisha....
The king.
Kwanza Nigeria population yaki ni 160.something million na hawapendani kiivyo (boko haram) wana ukabila sana. Pili walikuwa wanahit toka mda mrefu ingawaji sasa kuna uhamsho zaidi.
Alipoongelea rangi ya ngozi alinikumbusha the mixed children of Aboriginals wa movie ya Australia, "Am no white, am no black. I belong nowhere"
Interview poa lakini. kudos
P Majani salute saaaana
Majaniiii
jamani watanzania tusiwe malimbukeni. hii ni show ya kiswahili kwa ajili ya waswahili, sasa kingereza cha nini. au ni kujionesha kama unaju kuongea kingereza. ongea kingereza kwa waingereza sio kwetu waswahii. sasa we unaongea kingereza na kina mama farida huku uswahilini hawakufahamu. hichi ni kipindi kizuri lakini sasa kinanikera kwa sababu ya ulimbukeni. ata shabadoo leo kashindwa kuuliza maswali mengi kasababu na yeye pia hajui kingereza. lazima tujivunie lugha yetu bana sio lugha za watu
show zote ila hii imenipunga sana
Miss you guys
daaah majani anajibu maswar kwa akili sana
correct english is....first of all then secondly....not second of all!!!
He`s Real
🇹🇿🇹🇿🇹🇿👍.
thats not fair to him, he is half tanzanian only
I admit this guy, due to the fact that he admits that he once got lost back then, seriously do not judge the book by its cover, he seems responsible. Big up Majani, lakini punguza kujisikia...am out.
I think like you've misunderstood P... keeping boundaries!
Ex