Young Killer na Dogo Janja Wachanana Live Kuonyesha nani mkali zaidi?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 763

  • @kaniyahiouise1474
    @kaniyahiouise1474 5 лет назад +66

    *Kama unamkubali young killer msodoki gonga like*

  • @aminijuma9627
    @aminijuma9627 2 года назад +18

    Killer Moto 🔥🔥 janja humuwez Young killer

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 года назад +14

    Young killer unatisha bro aiseeeeee!!!!!

  • @teammovietmdurbacinema8284
    @teammovietmdurbacinema8284 3 года назад +10

    Acheni utani , Dogo Djadja Noma sana.

  • @loycempochele2814
    @loycempochele2814 5 лет назад +36

    Namkubali sana YOUNG KILLER Big Up Sana Young killer

  • @husnasimba728
    @husnasimba728 6 лет назад +15

    Killer noumaaaaaa aisee janjaro kakubalii show ya killer big up mwamba

  • @anthonymwakale5180
    @anthonymwakale5180 2 года назад +22

    Big up,huo ndio mziki sio kuchukiana, love from Kenya

    • @ErnestChilengo
      @ErnestChilengo Год назад +1

      Hakuna mwana hip hop mwenye chuki kwa mwenzie broo wabana pua ndio tabu

  • @lazaromboje7679
    @lazaromboje7679 6 лет назад +48

    Dogo janja we bado sana huwezi fika kwa killer hata kidogo mzee baba killer yupo juu sana

  • @nyirokizo8216
    @nyirokizo8216 Год назад +6

    jamaa wamekomaa sana wameonyesha upendo...one love 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @paulsylvester7877
    @paulsylvester7877 7 лет назад +30

    Nafurah sana wasanii kuwa kweny interview wakifurah pamoja na sio kupondana na young killer kukubal kuwa janjaro amekuwa inspire kwake kutoka katika umr wake japo mdgo ,,,, saf sana dogo janja LA young killer keep it up

  • @franksalvado8443
    @franksalvado8443 2 года назад +10

    Aisee killer big up xanaaa

  • @alphoncealexander6562
    @alphoncealexander6562 7 лет назад +73

    Hii Interview nimeipenda sana iysehhh, ushindani wa furaha ndo huu bana kwanza Unafanya muwe na views nyingi... Mwshabiki wenu ndo tunapenda hivyo
    Dogo janja, young killer, Dah big up mfanikiwe sana nko chuga nmewakubali kinoooooma iysehhh

  • @normanmoriasi49
    @normanmoriasi49 3 года назад +7

    Young killer comes top.... 254 behind you

  • @salimshafin3625
    @salimshafin3625 6 лет назад +12

    Young killer anazngua janja unachana vxuri blood... clean verse and swaggy dope

  • @armanysafe2429
    @armanysafe2429 6 лет назад +61

    Janjaro katisha bana gonga like kama tuko pamoja

  • @paulluhahula207
    @paulluhahula207 6 лет назад +16

    Dogo huwez bishana na young killer huyo ni nomaaa sana

  • @doreenmashele8975
    @doreenmashele8975 2 года назад +13

    Dogojanja on fire

  • @ambaranguathuman4446
    @ambaranguathuman4446 6 лет назад +10

    Madogo mko vizur sana nawapenda Kino nomaaaa

  • @sudmdau8441
    @sudmdau8441 3 года назад +3

    Dogo janja kwa Young kille bado dogo sana kama lilivyo jina lako yan dogo janja#

  • @cosmasmbuya1415
    @cosmasmbuya1415 6 лет назад +13

    Young killer umetisha mbayaaaaa

  • @jeshifausixboy2317
    @jeshifausixboy2317 Год назад +9

    Keller ninoma 🔥

  • @emmanueljohn4018
    @emmanueljohn4018 Год назад +9

    YOUNG KILLER BEST ONE

  • @leymwamba8050
    @leymwamba8050 3 года назад +20

    En vérité Young killer c'est un grand rappeur

  • @hassamfariis1754
    @hassamfariis1754 5 лет назад +11

    Killer beat imemshinda janjaro kachana

  • @makambuyashadrack8511
    @makambuyashadrack8511 6 лет назад +23

    Young killer noma mzee

  • @JosephJosephhaule
    @JosephJosephhaule 8 месяцев назад +1

    Killer anamshindani kwakweli tumpe mauwa yake .by dogo j from mozambique

  • @victormitsanze5271
    @victormitsanze5271 Год назад +7

    Young killer always killing it

  • @agnessjohn8404
    @agnessjohn8404 6 лет назад +15

    woyoooooo killer ni shida japo wote wametisha big up sana

  • @reshimaelgerald8392
    @reshimaelgerald8392 6 лет назад +7

    Dooogoooo janjaaroooo BG up cn nakkbaliiiii%1000

  • @elibarikigasper448
    @elibarikigasper448 Год назад

    Mimi ni elibariki gasper from chuga nawa elewa sana awa madogo pigeni kazi wanangu

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 года назад +24

    Punch line!!!!!
    Nimegundua hakuna mpira wala mziki
    Ngono ndio ina mashabiki wengi!!!!!!
    Mwanza Mwanza

  • @SalimNgude
    @SalimNgude Год назад +11

    Wameanza pamoja kwenye game wanajuana mdogo wako vizur Sana ngoma zao ziko poa Sana.

  • @brightonechangawa6986
    @brightonechangawa6986 3 года назад +4

    Congratulations more..watu wangu bgup all

  • @kibiiyeali8574
    @kibiiyeali8574 2 года назад +2

    Kwangu for sure i like the called so dogo janja onelove from Uganda 🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬

  • @daudseleka5008
    @daudseleka5008 6 лет назад +6

    janjaro namukubali nomaaaaaaaaaaaaaaa!

  • @georgemsami1957
    @georgemsami1957 7 лет назад +5

    janjaro anazingua eety ata beat ya mzee yusuph haaha haaa haaa haaa anazingua

  • @GivenesNicholaus
    @GivenesNicholaus Год назад

    Kila anatisha sana uyo dogo hamwezi .by mbozi boy toka iringa city

  • @paulonima6947
    @paulonima6947 6 лет назад +7

    Mwanza Mwanza, Young killa noma.

  • @olewillymwitah6947
    @olewillymwitah6947 4 года назад

    Dogo janja rudi skuli ukasome......killer noma pia +254

  • @gabriellydaud5411
    @gabriellydaud5411 6 лет назад +13

    Bonge la interview aiseeh #madogo_wame_relax kinoma ebwana eeeh huu ndio mziki tunataka mazeeee

  • @faustineimanigaba9391
    @faustineimanigaba9391 6 лет назад +7

    Dogo janja Ni number kbsa kwakucana aca uyo dogo,ndo kwamana uwoya kadata kbsa

  • @yusufuwasafi3974
    @yusufuwasafi3974 6 лет назад

    Young killer noma sana dogo janja. Kajipange huoo moto wa niwambali

  • @assab3167
    @assab3167 2 года назад +4

    Young killer namkumbali sana

  • @KiooNetwork
    @KiooNetwork 6 лет назад +6

    killer ana hatari #genius

  • @mrishosalumu8471
    @mrishosalumu8471 4 года назад

    Young killer unakili sana kijana nahao madogo hawatakueza Abada dogo Janja hakuezi

  • @silwimbasunday5485
    @silwimbasunday5485 6 лет назад +18

    Young killer killed it

  • @franknolelwa7495
    @franknolelwa7495 6 лет назад +12

    killer uko juuu mzeee baba🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @shedrackmwisa1092
    @shedrackmwisa1092 3 года назад +1

    Dogo janja huwezi kummud Young killer

  • @frankjohnfrank6490
    @frankjohnfrank6490 2 года назад +5

    Young killer ni hatarii

  • @omegaamir908
    @omegaamir908 7 лет назад +11

    Waandishi wachonganishaji saana mnakuza maneno madogo saana

  • @geofreychaulah1907
    @geofreychaulah1907 6 лет назад +12

    Janja nakukubali xana ila young atabak kuwa killer t, nakwelewa killer

  • @restutakutta5011
    @restutakutta5011 7 лет назад +1

    Wote wako vzr Sam siku moja Waite wote watatu

  • @nicholauskadala2142
    @nicholauskadala2142 5 лет назад

    Wote noma bro gonganisha sana hao naweza kupata mkali

  • @emmanuelmunanka6137
    @emmanuelmunanka6137 5 лет назад +3

    Hii interview huwa nairudia🙌🏽..sema apa killer alikaa dogo alibahatisha lakn😅

  • @mabinanickolaus6801
    @mabinanickolaus6801 5 лет назад +5

    dong janja nimukal lakin wot nawakubal,xan

  • @adamuhamadimuya5195
    @adamuhamadimuya5195 6 месяцев назад

    Naomba jinaa la wimboo ambao young killer alitumiya kumdis Young dee

  • @luqmanmushy9468
    @luqmanmushy9468 2 года назад +7

    Young killer 🔥🔥🔥

  • @naifathassan2607
    @naifathassan2607 7 лет назад +15

    Nimeipenda hii sio yule young dee alishindwaa kuchana akaanza matusi tunaomba uwaite wote watatu sam

  • @timolivier411
    @timolivier411 4 года назад +8

    Young killer Noma 💥💥

  • @mikeshirima754
    @mikeshirima754 3 года назад +1

    Nanjaro mkali huyo mwamba ,,Ila nawakubali wote wanafanya kazi nzuri

  • @bensonfrank643
    @bensonfrank643 7 лет назад +32

    My Favorite Inter-view of all time.. ✊🙌

    • @delekalxon7221
      @delekalxon7221 5 лет назад +1

      Ilo beat aloimba dogo janja ni wimbo gan

  • @rajabmahungu9493
    @rajabmahungu9493 3 года назад

    Young killer juuuu wafundshe bro umedamxh knma noma

  • @georgebt9545
    @georgebt9545 6 лет назад +10

    Who's still watching🎧 right now😎🎶

  • @kelvinmndanga2657
    @kelvinmndanga2657 5 лет назад +12

    Killer ni fireee forever yaaan

  • @ramadhanchilumo885
    @ramadhanchilumo885 7 лет назад +1

    Safi janjaro hakuwezi ...we kiboko y killer

  • @sebathekings3054
    @sebathekings3054 6 лет назад +2

    Wote sawa hao nawakubali 100%

  • @JokinyBChronicles
    @JokinyBChronicles 3 года назад +24

    I like those two musicians.Diamond and Harmonize and other musicians who hate each for nothing, should emulate such positive togetherness and oneness.💯🙏💪

  • @AyubuAlly-hk2fg
    @AyubuAlly-hk2fg Год назад

    Bd naiyangalia hd Leo.. Mnachokosea ni kumfananixha young killer.. Na had watoto

  • @albertpike6208
    @albertpike6208 2 года назад +2

    Punch line!!!
    Kati ya pesa na mzaramo yupi anaongea sana😁😁😁😁😁😁 yani tumejua hapo nani mkali

  • @Suleiman-h8i
    @Suleiman-h8i Год назад +9

    Kila is fckn amazing maan

  • @bonnysure1082
    @bonnysure1082 7 лет назад +24

    Young killer mkaleeee

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 6 лет назад +7

    Neipenda interview bureeeeeeeeeeee. Nawakubali woteeeeee jamaniiiiii. Safii

  • @starstarboy713
    @starstarboy713 6 лет назад +3

    young killer anajua bwan

  • @elishajonas
    @elishajonas 7 лет назад +12

    young killer na janjaaa ni shidaaaaaa

  • @vedastyshayo5862
    @vedastyshayo5862 6 лет назад +4

    Nimewaelewa vizuri madogo pigeni kazi

  • @belindatino8249
    @belindatino8249 2 года назад +12

    The young killer killed the beat

  • @victoriakalindo1521
    @victoriakalindo1521 6 лет назад +1

    Madogo wametisha sana hakuna boya kwenye treni

  • @officialkingrlite1935
    @officialkingrlite1935 7 лет назад +2

    nawakubli wote young killer na dogo janja wakali xio young dee anazingua 2

  • @sulleyalmass9814
    @sulleyalmass9814 7 лет назад +20

    Young killer🙌🔥🔥🔥

  • @wessaboy7305
    @wessaboy7305 2 года назад +12

    Young Killers🔥🔥🔥

  • @PeterMuli-m3k
    @PeterMuli-m3k 11 месяцев назад

    Huyo msukuma noma💯💯💯 and killer🔥🔥🔥 but kwa huyo mchanga story mingi sana 😂😂😂

  • @princemuddy9533
    @princemuddy9533 2 года назад +7

    Dogo janja is 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @evaristensengiyumva6042
    @evaristensengiyumva6042 3 года назад

    Killer noma sna kbali SNA🇧🇮

  • @Amani-vh2nh
    @Amani-vh2nh 5 месяцев назад

    Janjaroo na younger killer nyinyi n wanangu sna nko kenya nawasikiliza sna ndugu zngu pamoja sna

  • @YvesKiza-i4k
    @YvesKiza-i4k 2 месяца назад +1

    Killer ww ni fire 🔥🔥🔥 Big up

  • @jacobomatandiko3004
    @jacobomatandiko3004 3 года назад

    Kama unaicheki hii ngoma
    2021 gonga like twende sawa
    Mazee hip hop for life woooooooooo
    Nimezaliwa kutazama kuona nacho sikia👁️ ل͜

  • @kizakadafiomar2067
    @kizakadafiomar2067 4 года назад +1

    Young killer wew unatisha kwa rap

  • @bouzartbc5641
    @bouzartbc5641 Год назад +1

    young killer ni best level

  • @ramadhanimostoni8273
    @ramadhanimostoni8273 6 лет назад +2

    Hawa machalii hatari sana,nawakubali sana.

  • @petersconsolatha269
    @petersconsolatha269 6 лет назад +3

    Aoo Nyokaaa Nawakubalii Sanaa

  • @ClovisNiyizonkiza
    @ClovisNiyizonkiza Год назад

    Nawakubl san from burundi

  • @blackvirus8740
    @blackvirus8740 4 года назад +5

    Killer ameuaaaaaaaa👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑👑2020

  • @sajubclassic3517
    @sajubclassic3517 6 лет назад +1

    kapotezwa janja ana jamboo

  • @kelvinmollel301
    @kelvinmollel301 3 года назад +3

    Janjaro umetisha brother

  • @ddontz
    @ddontz 2 года назад +1

    Young killer ni noma kulikoo

  • @mussabakari519
    @mussabakari519 6 лет назад +1

    Daaaah jamaaa zimetixha lakin janjarooo ua

  • @Dommykush12
    @Dommykush12 Год назад +2

    Young Killer hatari sana

  • @eliyangoiya6109
    @eliyangoiya6109 7 лет назад +9

    Young killer uko vizuri sana na dogo janja umo umo ila killer

  • @emmanuelmyovela6234
    @emmanuelmyovela6234 7 лет назад +11

    killer ni dogo mmoja mstaarabu sana

  • @wilhadshayo1029
    @wilhadshayo1029 6 лет назад +14

    Wote wakali kinomanom changamoto zao tu