SIKU 10 ZA MAANGAMIZI : CADO KITENGO NA YEDEDEE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 530

  • @iconlyx2724
    @iconlyx2724 Год назад +17

    No this duo is something else man, Cado anampa yedede vibe wanaua pamoja wote wanyama, hii kwangu ni mpya na kali

  • @nary_tz1686
    @nary_tz1686 Год назад +37

    Huyu yedede itabidi ajengewe Dunia yake ya pekee akakae na kaka yake ngwea
    ,sio MTU WA kawaida huyu jamaa anaflow Kwa confidence kam vile anaongea na MTU , HII ndo free style sio wale wengine wanakuja wakiwa wamekariri mistari Yao alafu tunadanganywa Ni free style,mbavuuu, YEDEDE 🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @MkambaMcoast
      @MkambaMcoast Месяц назад

      Yedede yedede kichwa na nusu kile

  • @smallstarmuhsindaruwesh3765
    @smallstarmuhsindaruwesh3765 9 месяцев назад +11

    Yani hii kila siku naiangaliaaa kaliiii ,

  • @geraldsimeo1472
    @geraldsimeo1472 Год назад +22

    Huyo cado ndo anafanya bangi ionekani ina madhara 😂😊😮
    Big up dudes @cado and @yededee

  • @Vancemicha
    @Vancemicha Год назад +23

    Yededee - Great Thinker, Umetisha sanaa

  • @kelvinduper
    @kelvinduper Год назад +48

    Uyu Yedede ni Dunia Nyingine 🙌🏽

  • @mazeybestdriver8952
    @mazeybestdriver8952 Год назад +4

    Waaaaaaooooh from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮 much respect kwa Hao vijana kbx especially kW Yedede ...ameua vibayaaa...ana kipaji cha ajabuu

  • @kassimmangapi9944
    @kassimmangapi9944 Год назад +14

    bonge la vibe na lingenoga zaidi ya hapa kama Cado ungetulia najua unaweza sana ila leo Yededee kakukalisha kwa flows na utulivu ....yote kwa yote ni noma sana watakao fata wajipange sana kuifikia hii freestyle

  • @clintonjames7154
    @clintonjames7154 Год назад +14

    Me nataka ule mshimbombo nautoa mwenge naupeleka mbagala matombo😃😃😃🤣🤣🔥🔥🔥

  • @topaztz7601
    @topaztz7601 Год назад +7

    Bila kuficha ficha, Yededee ni Mkali kuliko huyu Cado kitengo, japo wote wanajua kufreestyle

  • @DahHodges777
    @DahHodges777 11 месяцев назад +2

    Big up sana Cado na yedede ila cabo usiwe unakunywa smart na cuca alafu ukavuta na local weed ukiwa unakuja studio!! Mzuka wako umepitiliza mpaka unataka kupaa mamaae!!

  • @kenedyjambo208
    @kenedyjambo208 Год назад +1

    Dah!!!hataree sanaa aisee bongo ina wana wakali sana wa kuchana, #Yededeee namuona kwa mbalii km #Mangwear guys you two 🙌🙌🙌 #cadoKitengo una vibe mpaka rahaaa aisee

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 Год назад +12

    Nimecheka kisenge yaaaan... Daaah kweli hivi ni vichwa🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @idrissaabdallah734
    @idrissaabdallah734 Год назад +7

    Oy yededee katulia kinoma sema cado kitengo miyeyusho kichizi😂😂😂 ila namkubali sana cado kitengo 🙌🏿

  • @yekoniamagezi4417
    @yekoniamagezi4417 6 месяцев назад +6

    Kama umeipenda zaidi hii Michano weka like 2024

  • @Kevworx
    @Kevworx Год назад +5

    Yededeeeee Ngwea mtupu ni balaa ila kado naye kakaza sana maana huyu yedede ni jini🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @bigboyrodo
    @bigboyrodo 9 месяцев назад +1

    From Nairobi Kenya... nimekubali wanangu... Kali Sana Aisee

  • @GabrielStephen-e6z
    @GabrielStephen-e6z Год назад +2

    Kado nihatar Sana alimsindikiz dogo janj tuuh nawala alikuwa hajakuj kibeto..nice flow I appreciate all of them...

  • @KulwaLylian
    @KulwaLylian Год назад +1

    Kado calm down,,kererer nyingi,,,af unaongelea sana mapenzi na uyo dem mtangazaji ,,,,,salute yedede kerere za chura hazijakuzuia tembo kunywa maji

  • @frankbundi7713
    @frankbundi7713 3 месяца назад

    This is super Incredible.
    Kenya 🇰🇪 representing ndani ya nyumba

  • @Goka-Dizzy
    @Goka-Dizzy Год назад +16

    This Combo is too much..... Congrats to Yededee and Cado....!

    • @sanjo255tz7
      @sanjo255tz7 10 месяцев назад +1

      Mwanangu @Goka-Dizzy una uhakika na comment yako kweli?😅

    • @habi78121
      @habi78121 10 месяцев назад

      @@sanjo255tz7 hahaha

    • @Goka-Dizzy
      @Goka-Dizzy 9 месяцев назад

      No doubt bro..!​@@sanjo255tz7

  • @mkenyamc
    @mkenyamc 5 месяцев назад +1

    Yaaani Cado ako na vitisho saana akikupata wee n muoga eeh..ila amekutana na teacher YEDEDEE..a.k.a young Ngweaa❤😂😂😂

  • @shaadon9540
    @shaadon9540 Год назад +15

    Anaye mdiss kado kitengo hajui hip hop,jamaa kanogesha sana

    • @PembeSalehe
      @PembeSalehe 5 месяцев назад

      Ukijua ww inatosha pia

  • @johnjoseph9745
    @johnjoseph9745 Год назад +21

    Best Freestyle yangu 2023🔥🔥🔥

  • @edsonmganyiz9520
    @edsonmganyiz9520 Год назад +3

    Daaah mwanang Cado unajua sana

  • @BLESSINGSMUSICMWANZA
    @BLESSINGSMUSICMWANZA Год назад +8

    Naisikia ladha flani yenye ungwea ngwea ndani yake
    Dah Rest in peace Albert Mangwea
    Vijana wametisha
    Mimi ni Producer stevblessings A.K.A BAD&KILLER
    nawapa salut

    • @CharmingCharlz
      @CharmingCharlz Год назад

      Hujakosea Broo Yededee ametisha Sana big up kwake

  • @johnrichard5482
    @johnrichard5482 Год назад +19

    #Yedede 🎧🎤🎵 A.k.A Cowbama Flooz... Ameua Sana🔥🔥🔥 #Cado_Kitengo 🎧🎤🎵 Leo Mizuka ni Mingi Sana😂😂😂 ila Safi Tuu #M_Mewakilisha CONGRATS TO YOU 🙌🙌🙌🙌

  • @christiancalvin2183
    @christiancalvin2183 11 месяцев назад +2

    Oyaaa..!!! Jamaa wameuaa🙌🙌🙌 the chemistry they have is crazy.. it reminds me of Zillah and nicki mbishi back in the days

  • @salumuseif3324
    @salumuseif3324 Год назад +4

    Ebana wazee salute mmetisha ♥️♥️

  • @Nuhduke-zc2zj
    @Nuhduke-zc2zj 10 месяцев назад +1

    This one is crazy asf🔥🔥🔥 cado anatoa vibe na yedede anapita nalo.. y'all both 2 ni wakali ever #R.I.P_ngwear freestyle hiphop iko mikono salama now🔥💥🔫

  • @ramcymosungu4700
    @ramcymosungu4700 Год назад +5

    Bhangiiiiii jamn uwiiiiiiiiiiiiii umeuwaaaa sanaaaa 🔥 yedede easy cado Mr vibe

  • @ferouzfernandes3162
    @ferouzfernandes3162 Год назад +12

    best tanzanian hiphop freestyle ever

  • @crispingerald3000
    @crispingerald3000 Год назад +11

    Yedede kama albart furan iv cado leo😅😅😅 lakin vibe limekua kal sana🔥🔥🔥🔥🔥

  • @OfficialSilomeno
    @OfficialSilomeno 9 месяцев назад +1

    Yedede big love kutoka Kenya official Silomeno 🔥🔥

  • @kadengekitsao3885
    @kadengekitsao3885 Год назад +11

    #YEDEDEE amenikumbusha kalweezy, cowbama aka ngwea yani ameflow kama ngwea, simple na ako kwa mada vizuri hajashtuka, sema tu leo cado kidoogo hajafikia yedede but congrats... mimi ukinikata damu yangu ni hip-hop tu yani napenda sana hizi freestyles

    • @kadengekitsao3885
      @kadengekitsao3885 Год назад +1

      itabidi nikimiss ngwea narudi hapa niskize tu yedede wallahi, ni ngwea mtupu

  • @WAMARADHARecord
    @WAMARADHARecord 6 месяцев назад +1

    Safi nimeipenda Fabby Wamaradha toka mbeya

  • @BLACK-zy6bx
    @BLACK-zy6bx Год назад +9

    My mdogo yedede....up to the unlimited

  • @uwezokinahi7870
    @uwezokinahi7870 Год назад +5

    #Yedede# Ni noma na Nusu... Yaani humo namuona Ngwea, Janjaro kwa mbaliiii Nura

    • @ramseychobaliko1002
      @ramseychobaliko1002 Год назад +1

      Janjaroo hawez kakaaa cawbamaa jamaa yupo Makin Sana big thinker🧠🧠

  • @Bboycp
    @Bboycp 4 месяца назад

    Historia iliandikwa hapa big up yedede big up cado

  • @goodlucknjau77
    @goodlucknjau77 Год назад +1

    Nime mkubali yadede punch katulia sana mwezake kaleta mapepe

  • @SurprisedFerryBoat-hd9xs
    @SurprisedFerryBoat-hd9xs 11 месяцев назад +2

    Mnamikumbusha enzi za ngwea na mchzi mox❤❤❤❤❤

  • @rashid1860
    @rashid1860 Год назад +2

    Jamaa anajua sana sema usela mwingi

  • @MunezeroOnnesime
    @MunezeroOnnesime 3 месяца назад +1

    From brundi nisito choka kualike mana wa tz niviboko kbx nipeni hizo like

  • @RamadhanTembo-hz3ri
    @RamadhanTembo-hz3ri Год назад

    Iyo bangi ya cado sio pw sema yedee ameuwaa kinomaa big up brodah

  • @asseymichael6995
    @asseymichael6995 Год назад +4

    Yededee ni noma think yake iko fasta sanaa

  • @ycmrpondis1537
    @ycmrpondis1537 Год назад +8

    Nimeipenda Rap ya Yedede mkali sana hana papara🔥🔥🔥🔥

  • @stiffmenake4700
    @stiffmenake4700 Год назад +6

    Hawa jamaa ni noma.. this is real freestyle 🔥🔥💯

  • @Mussaadios
    @Mussaadios 11 месяцев назад +2

    Dah wamemush up xna washkaji👊

  • @anthonylister754
    @anthonylister754 Год назад +94

    Kado iyo bange aliyoivuta kabla hajaingia MJENGONI asiirudie tena 😂😂😂

  • @kiduaalute603
    @kiduaalute603 Год назад +2

    Kado ni noma aisee,yededee pia kala heshima yangu aisee

  • @am_tz
    @am_tz 9 месяцев назад +1

    All in all wote wako talented sanaa 😂😂😂 imagine mistari inatokea hapohapoo 🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @mimisisinawao2298
    @mimisisinawao2298 Год назад

    I wonder why mizuka ya Cado kitengo munaitolea namba, Kuna Messi Kuna Berbatov, Kila Mtu na ladha yake, That's what make this one special, Cado Vella anakiwasha na YeDDedee anatuliza, Much respect this duo, MIZUKA MINGI KADO VELLA🎉

  • @Kevworx
    @Kevworx Год назад +7

    Hapo angekuwepo Toxic na Yededeeeeee flow zingekuwa za hatari ni mawe mwanzo mwisho

  • @tomsylvanus21
    @tomsylvanus21 Год назад +5

    True definition of hip hop,hawa jamaa wameuwa sanaa aseee,well done wahuni

  • @SaLo_BabChacha
    @SaLo_BabChacha Год назад +11

    🔥🔥🔥🤣 vibe sana Kado🇰🇪

  • @shemamusictz
    @shemamusictz Год назад +2

    amna point ni kelele tu bora wa kot jeusi anaimba kwa utulivu❤

  • @elishaigogopeter9627
    @elishaigogopeter9627 Год назад +5

    Sema kwa free style leo tuna bahati

  • @ErickBanzuBanzu
    @ErickBanzuBanzu 9 месяцев назад

    Hawa watu wananoga wakiwa pamoja wafanye ngoma ita hit sana

  • @dezydix4270
    @dezydix4270 Год назад +2

    oyaah. mizuka tu sa kumbe nin!

  • @dedanmwanyasi2064
    @dedanmwanyasi2064 3 месяца назад +1

    Ayeeee ayeeeeia😂😂😂 kado kitengo katisha kaka

  • @alkaullahmediaTz
    @alkaullahmediaTz Год назад +3

    sema YEDEDE huwa ana freestyle kali sana.,

  • @johnsonmoding2458
    @johnsonmoding2458 Год назад +2

    Maninaaaaa sana😊😊oyaaa wahun wameua sana

  • @stanstano6064
    @stanstano6064 Год назад

    STRAIGHT FROM BELLEVUE JAMAICA, MADDA CHUNE A MIH TELL, MAYUT NUHBODY BADDA DAN DEM. GALAANG TZ

  • @galacha99
    @galacha99 Год назад +5

    🎉kindly Tunataka Yededee arudi Tena tafadhaliii 😢

  • @robertrichard9940
    @robertrichard9940 Год назад +5

    😂😂😂😂😂sema cado hiyo mibangi uliyovuta 😂😂😂😂😂😂 usirudie tena maaana sio kwa huo mzukaaaaaa😂😂😂😂😂😂 noma sana wana mmewakilisha sana nimekubali nanimecheka sana

  • @clarencejohnngunge520
    @clarencejohnngunge520 Год назад +7

    Best Freestyle 🙌🏾

  • @richbanksmshigati3327
    @richbanksmshigati3327 Год назад

    Mzuka nao ukizidi sana unaharibu sema ndo hvyo tena hatuwezi kumkataa mwana kwa siku moja a real freestyle

  • @JafferyMuhammad-k6f
    @JafferyMuhammad-k6f Месяц назад

    Uwakika big up Ila cado punguza ucela

  • @ylace4tune
    @ylace4tune 11 месяцев назад

    Yedede got a nice and a cool flow mahn..aint trying to compare them but Yedede is on another level mahn,,,Cado apunguze kelele tunataka kuskia mistari sio manduru

  • @ImanSimon-z7m
    @ImanSimon-z7m Год назад

    Vp bro mbn mmetisha sana mmekula mjani au

  • @simonykingtz5680
    @simonykingtz5680 Год назад

    Kadoooo bangi nzuri sana

  • @karymmido6932
    @karymmido6932 Год назад +2

    Yededee oya wakae freestyle na Toxic fuvu hii battle naitaka

  • @africancreativestudios2095
    @africancreativestudios2095 Год назад +2

    Ila kadoooo

  • @erickmathew1638
    @erickmathew1638 Год назад

    Hiii ya leo kali sana

  • @eliasmapunda1036
    @eliasmapunda1036 Год назад

    Hii ni noma sana hii si battle tamu. Kama freestyle ni bora sana wamejipanga

  • @TheRealAtomeec55.
    @TheRealAtomeec55. Год назад +4

    Yani hii selection ya Hawa jamaa wawili😂 Ni mliweza sana😅🙌🔥

  • @nomineetz255
    @nomineetz255 Год назад +4

    Cado hiyo mizuka imetoka wapi.?? Daaaah ila Yedede kajibu mapigo vizuri!!!

  • @abdallahamad4682
    @abdallahamad4682 Год назад +2

    dah hii show ilikuwa hot sana ever

  • @officialmgeleboy3693
    @officialmgeleboy3693 Год назад +2

    Oya mmetisha sana 🔥🔥🔥

  • @tomsylvanus21
    @tomsylvanus21 Год назад

    Hii kali sana,wasanii wakubwa wengi hawawezi hii

  • @hamisigazza2838
    @hamisigazza2838 Год назад

    Oya noma sana hii

  • @TheBsilver
    @TheBsilver Год назад +2

    Yededee ni moto sanaaa.. Anateleza like mangwear

  • @YMwambeya
    @YMwambeya 5 месяцев назад +1

    I see like gwea is back..big up yedede

  • @AbdulAbby-t2c
    @AbdulAbby-t2c 3 месяца назад

    Duuuuuuuuuu noma sanaaaaaaa

  • @RichardMChamp
    @RichardMChamp 11 месяцев назад

    Jamaa wa kikofia cheusi anajua kinoma.... Afanya namkumbuka qwea🔥🔥🔥

  • @shebbybrain9346
    @shebbybrain9346 Год назад +12

    Dakika ya 11:36 mic imepigwa left hook na cado😂😅

  • @thomasulungi4844
    @thomasulungi4844 Год назад +1

    Noma sana🔥❤️❤️. Real definition of freestyle

  • @epos9473
    @epos9473 9 месяцев назад +2

    men in black is mangwair ilive🙌🙌🙌

  • @niyonkuruyusufu546
    @niyonkuruyusufu546 Год назад +3

    Yedede popote ulipo 🤝 zikufkie nakama zimefika send me kopa👊

  • @Wakwetu4rever
    @Wakwetu4rever Год назад +1

    awa ni mafundi 🙌

  • @kwangahudispensary7238
    @kwangahudispensary7238 10 месяцев назад +1

    Ila kadoooo 😅😅😅😅😅😅 bangi mbayaaaaa sanaaaa

  • @JavasonZion
    @JavasonZion 3 месяца назад

    Apana....perfect combo
    Cado ni extrovert na yedede ni Introvert...wanauuuuuwa😂😂😂😂🥰🥰🥰🥰🥰🤝
    Utafkria wakati wa kina Tmk.....Rest in peace Yp

  • @abrahamfelix95
    @abrahamfelix95 Год назад

    mchizi uyo mwingine ana comedown safi sana

  • @HussainMaula-mw8vz
    @HussainMaula-mw8vz Год назад

    Mmetisha wazeee

  • @HurumaJaphety
    @HurumaJaphety Год назад

    Yedee tishaaa sanaaaa mwamba ata khaligaph afatiiiii duh💥💥💥💥💥

  • @dadychaps7527
    @dadychaps7527 Год назад

    Dah... Noma wallah 💯💥🇰🇪✌️💥

  • @alexmasinde2471
    @alexmasinde2471 5 месяцев назад

    Imbeni ngoma kabisa

  • @DjFinestWorldWide
    @DjFinestWorldWide 11 месяцев назад +1

    Mad respect young men

  • @edwardthobias6265
    @edwardthobias6265 Год назад

    Daah wametisha sana

  • @johnsonmoding2458
    @johnsonmoding2458 Год назад

    Ayeeeeeee😊😊😊😊😊
    Badamu bamemwagika