Nimerudia baadhi za interview za mkasi show yaani hii ya bwana Zembwela Beberu mzee wa super mix na sahani yake ya jamaa ni Kali kuliko show za mastaa wote waliowahi kupita ktk kipindi cha Mkasi,,,,Hongera sana Zembwela.
Watu kama Zebwela wamejitolea kusema ukweli . Wanatupa moyo mkubwa kuona kuna wanaweza kusimama jukwaa la mkasi na kuongea ukweli wa maisha TZ bila woga. Na nafikiri Serikali itawasikiliza na kuchukua hatua zifaazo. Nimefurahi daldala kampeleka safari yake ningefanya hivo hivo. Salama na co. Nawaommea mafanikio zaid na zaid. Bravo!!! Kwa kazi nzuri. nOfly
kama kuna mambo ambayo Zembwela umenigusa ni swala zimna la watanzania kutokujitambua tuna taka nini...kwnai ktk hali halisi kabisa na ukweli mtupu...huu mkasi ever...hakuna kama huyu jamaa..big up sana,na mungu akuzidishie..leo nimekufahamu vyema na kupenda yale uliyosema kwa kifupi na kueleweka sana!
Big up Zembwela. We andika tu script na kuhifadhi .mabadiliko ya sanaa ya Tanzania yamewadia.Sanaa ya Tanznaia haipo kwenye ukweli ila mabadiliko ya kisayansi yatawajibisha wote wanaokiuka.
This is the best I have ever watched at Mkasi,this man is the first star seconded by Hashim Thabit,he has all the qualities of stardom,inteligent and all that.
uwiiii zembwela...yani too informative! i wonder kama anatoa rushwa au kupokea. Second, i cant picture him being romantic....eh! ujunzi mwingi and soo realistic! BEST MKASI SHOW FOR ME
zembwela is just a bomb!! hongera sana salama kwa kumlete huyu jamaa kweli huyu ni mtu wa kipekee.ila mimi nawashangaa sana mbona asiojiwe mtu wa kawaida tu lazima awe star
Kwanza kabisa Zembwela nakupa big up. Wengi wamekuja kufanya show hapo mkasi na maongezi yao haya make any sense lakini you made you point and lots of sense as well. Ningekusihi ufuate ngazi za uongozi zaidi -kama member of parliament hivi, you can make a big difference for a better Tanzania and East Africa kwa Jumla. Thanks Daudi Mtuta.
Aaahh this show is amazing weee .congrates kwenu especially kwa Zembwela mwenyewe..He talk wat he feels like Truth is in this show..Wabongo 2naenda na wakati yet hawajui wakati ni nn...Its not all about Mavazi,starehe,changing lovers..Wakati its all about Wat u have n how 2 use it...Knowledge is everything....
fantastic hta hadzabe kakubali.kwa sasa watu watafuta warembo ndo filamu ziuze-cheki nigeria and ghana waigizaji walewale-je wataka kuniambia warembo huko hakuna? kwenye mataifa wanofanya filam acha wahindi,je wanawachukua wa warembo? nakukubali sana zimbwela na namkumbuka sana max
Bro...ur wisdom n understanding of things n situations is what we need the most in video n radio presenters to bring awareness to the society n development in general. U r doing great, we appreciate ur work n support u. Keep it up.
Ukiwa na uwezo wa kuelewa mambo na kutokua na uwoga ktk kufanya mambo kunakufikisha mbali sana,Zembwela uko poa sana!unauwezo mkubwa sana wa kiakili ktk kuelewa mambo!Keep it up
Nimeiangalia na kusikiliza hii show! Dah ebwana Salama big kwa kumleta Zimbwela! Zembwela nakupongeza maana huna mawazo mgando! Salama lete watu wenye mawazo endelevu sio watu wanakuja humo wanajisifu sifu kama majuha!
Judging from the show, Zembwela is one conscious Tanzanian. He knows to dominate the stage, but not in a boring way like T.I.D's. Alichoongea ni ukweli mtupu
Tungekua Na Watu LAKI MOJA Kama Zembwela Dunia Ingekua Poa, SALAMA Mlete Tena Huyu Jamaa....Mimi Mkenya Na Huyu Nimepa Pointi Zote. He's A Realist..Watu Hawaelewi Wanachotaka Siku Hizi...Hakuna Cha "Deal" Maishani.
KWA HAKIKA SALAMA TOKA UANZE KUHOJI KTK KIPINDI HICHI BASI ZEMBWELE ALOZUNGUMZA NI MAMBO YENYE AKILI NA YAMEENDA SHULE YAANI KIUFUPI KAKUFUNIKENI NYOTE HUMO NDANI LOL
naamini watu wanapenda hiki kipindi. Nadhani wengi wamependa show ya Zembwela. natamani akapewa nafasi tena, maana yako yaliyobaki kwake mengi ya kutueleza. Katika umaskini huu tuliozama hatuhitaji umaarufu wa 'uzuri fake'. Tunahitaji mawazo yanayojenga jamii ya Ki tanzania, yenye heshima. Kwako Salama, HONGERA.
Kila kitu kina utaratibu wake kisheria kwa nini zembwela unaongea ukweli eh,ebu chukua halafu tatu...the world is a cycle! Kwa nini mtu mmoja ajisikie yeye ni bora kuliko mwenzie...!
Nimerudia baadhi za interview za mkasi show yaani hii ya bwana Zembwela Beberu mzee wa super mix na sahani yake ya jamaa ni Kali kuliko show za mastaa wote waliowahi kupita ktk kipindi cha Mkasi,,,,Hongera sana Zembwela.
This is the smartest mkasi interview i have seen!! I wish all of our celebrities wud be as bright as this guy!
Have watched this interview over many times,but it sounds new every time I watch it,, zembwela, ni kiboko
2023 Again
Watu kama Zebwela wamejitolea kusema ukweli . Wanatupa moyo mkubwa kuona kuna wanaweza kusimama jukwaa la mkasi na kuongea ukweli wa maisha TZ bila woga. Na nafikiri
Serikali itawasikiliza na kuchukua hatua zifaazo. Nimefurahi daldala kampeleka safari yake ningefanya hivo hivo.
Salama na co. Nawaommea mafanikio zaid na zaid.
Bravo!!! Kwa kazi nzuri. nOfly
Hahaha mwenyew basi zima 😂😂😂🙌
kama kuna mambo ambayo Zembwela umenigusa ni swala zimna la watanzania kutokujitambua tuna taka nini...kwnai ktk hali halisi kabisa na ukweli mtupu...huu mkasi ever...hakuna kama huyu jamaa..big up sana,na mungu akuzidishie..leo nimekufahamu vyema na kupenda yale uliyosema kwa kifupi na kueleweka sana!
Zembwela uko vzr sana kumkichwa hongera.
Tulio angalia 2023
Vipindi vya Mkasi vinaishi
Big up Zembwela. We andika tu script na kuhifadhi .mabadiliko ya sanaa ya Tanzania yamewadia.Sanaa ya Tanznaia haipo kwenye ukweli ila mabadiliko ya kisayansi yatawajibisha wote wanaokiuka.
This is the best interview ever happened .nice words Mr zembwela.
Much love to you Zembwela hongera kwa mafanikio ulioyafikia Mungu akujalie uzidi kukaza kimaendeleo.....and thanks MKASI kwa show zenu...inabamba
This is the best I have ever watched at Mkasi,this man is the first star seconded by Hashim Thabit,he has all the qualities of stardom,inteligent and all that.
uwiiii zembwela...yani too informative!
i wonder kama anatoa rushwa au kupokea.
Second, i cant picture him being romantic....eh!
ujunzi mwingi and soo realistic! BEST MKASI SHOW FOR ME
zembwela is just a bomb!! hongera sana salama kwa kumlete huyu jamaa kweli huyu ni mtu wa kipekee.ila mimi nawashangaa sana mbona asiojiwe mtu wa kawaida tu lazima awe star
he is one consious Tanzanian,good and i like this show,,dude ni mzalendo wa kweli,we need people like these in our country
Zembwe mtetezi wa haki na wanyonge.nimekukubali moja moja.big up man.nihesabu katika fans wako
Anyone in 2019 best interview ever##love
Kwanza kabisa Zembwela nakupa big up. Wengi wamekuja kufanya show hapo mkasi na maongezi yao haya make any sense lakini you made you point and lots of sense as well. Ningekusihi ufuate ngazi za uongozi zaidi -kama member of parliament hivi, you can make a big difference for a better Tanzania and East Africa kwa Jumla. Thanks Daudi Mtuta.
kaka Zembwela nimekuelewa sana ,,,umetoa hoja kuntu sana
zembwela ni kichwaaa
yuko vizuri nimeipenda
sidhani kama itakuja kutokea shoo kali kam hii kwenye mikasi, big up kwa Zembwela
Listening to this man is sooo educational.
WoW hii imenifurahisha sana huyu jamaa anatufaa sana Watanzania.
Hii safi sana ...jamaa kweli msanii straight on point ...very impressive
This is the best mkasi show ever! real talk
yap unajua kujieleza bigup sana
THIS MAN ZEMBWELA, HE IS MORE TAN YOU KNOW, GREAT ONE
Aaahh this show is amazing weee .congrates kwenu especially kwa Zembwela mwenyewe..He talk wat he feels like Truth is in this show..Wabongo 2naenda na wakati yet hawajui wakati ni nn...Its not all about Mavazi,starehe,changing lovers..Wakati its all about Wat u have n how 2 use it...Knowledge is everything....
fantastic hta hadzabe kakubali.kwa sasa watu watafuta warembo ndo filamu ziuze-cheki nigeria and ghana waigizaji walewale-je wataka kuniambia warembo huko hakuna?
kwenye mataifa wanofanya filam acha wahindi,je wanawachukua wa warembo?
nakukubali sana zimbwela na namkumbuka sana max
Bro...ur wisdom n understanding of things n situations is what we need the most in video n radio presenters to bring awareness to the society n development in general. U r doing great, we appreciate ur work n support u. Keep it up.
Here 2024 🙌
The best Mkasi show for all the tym. FULL STOP
2022 tujuane na likes 🙌🇶🇦🇹🇿
This is my favourite show among all the interview
Zembwela alitaka kumuongelea Maxi ukamkatisha, unaonaje umwite tena Zembwela!
Kanikeraa Sana huyo jamaaa
Ukiwa na uwezo wa kuelewa mambo na kutokua na uwoga ktk kufanya mambo kunakufikisha mbali sana,Zembwela uko poa sana!unauwezo mkubwa sana wa kiakili ktk kuelewa mambo!Keep it up
ahidy kisra hekaheka
dah zembwela we noma baba,fanya mpango utuwekee vipindi vyako youtube pls
Nimeiangalia na kusikiliza hii show! Dah ebwana Salama big kwa kumleta Zimbwela! Zembwela nakupongeza maana huna mawazo mgando! Salama lete watu wenye mawazo endelevu sio watu wanakuja humo wanajisifu sifu kama majuha!
Zembwela ameongea kitu cha muhimu sana, eti kwanini tuishi kwa dili huku katiba ipo kwa ajili yetu.
Zembwela a very educative show. Big up salama
Africans are creative
System ya watu wanaotambulika duniani..ndo mana ya dili haha😂😂😂😂
Aisee hater Sana zembwela una maneno matam mpaka hatari nice show big up sana
Braza yuko poa saaana yaan napenda kazi yake asee hsasa hii anayoifanya sa hivi
4 sure zembwela nakukubali thats why sikosagi vipindi vyako,keep it up men...........
Kaka zembwela unatisha sana yaan we noma!!!!!!!!!!!!!!!!!
Namkubali sanaaa zembwela
Lah! Zembwela the briliant. Unatisha kuliko njaa
H
H
H
Saymon . ufufue talent za uigizaji tupo wengi
Da kaka zembwela unaongea kwa hisia sana ni wazi unanifanya niamini hayo unayoyaongea ni yakweli
Mwiite tena Zembwela Salama Please!!!………
Zembwela , Umenikumbusha Max
Alikuwa Jembe
Watching 2022
uyu jamaa akili nyingi sana
Dda salama nakuomba umlete tena kka Zembwela kwenye kipindi iki cha mkasi kwa mwaka huu wa 2016.
Salama nakuomba umualike tena zebwera
jmn zembwela umetisha.
kwel hil tambala la deki manake linadeki kwelkwel yan,.2cgeuze ukwel kuwa uadui!!
Zembwela Yuko vizuri
😂😂😂 hiki chuma noma
safi sana zembwela, endelea kuwa hivyo.
Shoo kali zaidi ya mkasi
😮😮😮😮😮😮😮2024
hahaha Zembwela hajatulia eti "sabuni imekutana sana na shati" lol
2024😊
Nakumbuka nipo shule Tanga.Zembwela na Maxi walikuwa bonge la combination nilikuwa anaenjoy sana show zao...Respect rest in peace Maxi
unatisha baba
Nimiongon mwa interview kwenye mkas
I like this zembwela nomaaa
09/04/2024 😂😂😂😂
Good talk Zembwela,
ase zembwela ni noma big ap
Judging from the show, Zembwela is one conscious Tanzanian. He knows to dominate the stage, but not in a boring way like T.I.D's. Alichoongea ni ukweli mtupu
great interview
Tungekua Na Watu LAKI MOJA Kama Zembwela Dunia Ingekua Poa,
SALAMA Mlete Tena Huyu Jamaa....Mimi Mkenya Na Huyu Nimepa Pointi Zote.
He's A Realist..Watu Hawaelewi Wanachotaka Siku Hizi...Hakuna Cha "Deal" Maishani.
ZEE ZEEE ZEMBWELAAA
zembwela una iq kubwa sana i like u
PLEASE CAN I HAVE ZEMBWELA'S CONTACT, HE IS MY HERO
Akili iliumbwa kabla ya ELIMU...
KWA HAKIKA SALAMA TOKA UANZE KUHOJI KTK KIPINDI HICHI BASI ZEMBWELE ALOZUNGUMZA NI MAMBO YENYE AKILI NA YAMEENDA SHULE YAANI KIUFUPI KAKUFUNIKENI NYOTE HUMO NDANI LOL
naamini watu wanapenda hiki kipindi. Nadhani wengi wamependa show ya Zembwela. natamani akapewa nafasi tena, maana yako yaliyobaki kwake mengi ya kutueleza. Katika umaskini huu tuliozama hatuhitaji umaarufu wa 'uzuri fake'. Tunahitaji mawazo yanayojenga jamii ya Ki tanzania, yenye heshima. Kwako Salama, HONGERA.
Let me see his smartness which he deserves in comments
Great interview
mshkaji unaongea point. BIG UP
Nimependa hii: Bia zilizopanda ndege.
Zembwela napenda fikra zake kweli
Kila kitu kina utaratibu wake kisheria kwa nini zembwela unaongea ukweli eh,ebu chukua halafu tatu...the world is a cycle! Kwa nini mtu mmoja ajisikie yeye ni bora kuliko mwenzie...!
wewe ni noma zmbwela
Zembwele tisha sana
Nakubali sn
Mtu kiherehere
zembwra noma sana
hao mubah na john wanachovalishwa ni nini mbona hakionekani , hayo nayo ni mavazi ya kudisigne au?? ushamba mtupu
jama anaakili sana
mlete tena huyo zembwela
no sana zembwela na salma.
Huyu zembwela anakipaji!
big up
the bst show ever
Jamaa kichwa!!
Zembwela kichwa alafu anachekesha