Mkasi - SO4E09 with Mpoto

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 43

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 6 лет назад +1

    Mkasi rudisha show number one in town

  • @marylulufocus2970
    @marylulufocus2970 9 лет назад +1

    Ni moja kati ya mahojiano ambayo natamani kuangalia kila iitwapo leo. Vizur saaana Mkasi, hongera kwa mahojiano na hongera kwa majibu ambayo yanaeleweka.

  • @chiddoog8009
    @chiddoog8009 12 лет назад +1

    peku peku daah apo umetisha mjombaa

  • @emmanuelellymwakyusa2900
    @emmanuelellymwakyusa2900 12 лет назад

    hahahahahahahahahha MPOTOOOOOO kawaaa mgangaa leooooooooo hapaa MKASI nomaaaaaa nawapataa wazee wa MIZIMUU

  • @jumakinenekejo1009
    @jumakinenekejo1009 9 лет назад

    abautwa ]
    MRISHO MPOTO PALA MWINYIGOLOGOMBE,!!!

  • @agnesmange6205
    @agnesmange6205 10 лет назад

    ukigombea ubunge count u have my vote.....

  • @bekatv1009
    @bekatv1009 2 года назад +1

    Salama show iendelee 09/12/2022

  • @shininisoipano4973
    @shininisoipano4973 8 лет назад +1

    hongera mrisho kwa kuelimisha jamii

  • @allymwa2962
    @allymwa2962 9 лет назад

    mrisho nakubali sana kipaji chako

  • @jessicamm3171
    @jessicamm3171 7 лет назад

    nimejifunza mengi kutokana na maneno ya mrisho poto

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 12 лет назад +1

    Swala la Watanzania nje ya nchi linatakiwa litiliwe umakini.
    Ila ni wakati wa nchi za Afrika mashariki kujivunia Undugu pamoja na Lugha yao ya Kiswahili kwa pamoja.
    Sanaa ya Tanzania inatumiwa na kutangazwa kama ya Mataifa mengine kama si ya Ulaya yenyewe basi hata ya nchi nyingine za Afrika.

  • @dorcasgitari8278
    @dorcasgitari8278 8 лет назад

    I say Mjomba bwana eeee...una hekima aki.

  • @josonwakitaa2092
    @josonwakitaa2092 12 лет назад

    MY HERO MPOTO,MZEE WA KUSILIBA

  • @oscarsway9438
    @oscarsway9438 11 лет назад

    I appreciate it

  • @biommy3762
    @biommy3762 8 лет назад

    sichozi...Kuskizaga semi zako mpoto

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 12 лет назад +1

    Swala la uamuzi linatakiwa liwe la pamoja na si kama la mfano wa panya wanaotaka kumfunga kamba Paka na akitokea basi panya hujikuta wapo kila mmoja mahala pake.
    Umoja ni Nguvu,
    tujihadhari na mikataba isiyoeleweka ,
    msanii anaweza kurekebisha mkataba kabla ya kazi,mf kipengele cha Kujitambulisha utaifa wake ni muhimu.

  • @athunaniamiss6119
    @athunaniamiss6119 7 лет назад

    kweli baba ww amna wa kukuiga

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 12 лет назад

    Tunaelewa kuwa wasanii wengi wanaandika mikataba kwa ajili ya kujikimu na mahitaji yao ya maisha kutokana na hali ngumu ya maisha,ila Haipendezi kuona nyimbo za kizaramo zinaimbwa na Wazimbabwe tena kwa kiswahili cha kubabaisha na kutangazwa ni za kizimbabwe.

  • @margaretkhavakali4987
    @margaretkhavakali4987 6 лет назад

    Salama bana 😂😂😂

  • @JohnsonYesaya
    @JohnsonYesaya 8 лет назад

    haahahaaaa jamaa gudi sana

  • @dorcasgitari8278
    @dorcasgitari8278 8 лет назад

    Hata mie imebidi tangia leo nitembee mguu chini I say.

  • @kennedymmbando
    @kennedymmbando 12 лет назад +1

    Kumekuwa na taratibu za kuwaleta baadhi ya wasanii kufundisha tamaduni zetu na pindi wanapoondoka huwa zinarekodiwa na kutumiwa vibaya kwa lengo la kumgandamiza msanii wa Kitanzania.

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 8 лет назад

    mmependeza na black

  • @asumani100
    @asumani100 12 лет назад

    Kabisa mumkaribishe majuto

  • @halimaabdullahmwichande8671
    @halimaabdullahmwichande8671 7 лет назад

    SS na choon anaenda peku hivo

  • @ericmmary9197
    @ericmmary9197 8 лет назад +1

    who z watching 2016..........Mrisho it was so lame nakuogopa salam men we don't show if we ar afraid...

  • @alexmengo7325
    @alexmengo7325 10 лет назад

    MPOTO HONGERA SANA MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU!!!

  • @44izack
    @44izack 12 лет назад

    zito kabwe

  • @jayguygratien
    @jayguygratien 12 лет назад +1

    me like mpoto

  • @joellucas2036
    @joellucas2036 8 лет назад

    Mbona kipind cha mkasi hatukioni

    • @jessicamm3171
      @jessicamm3171 7 лет назад +1

      JOEL LUCAS salama jabir aliacha kazi. cheki show yake na lilommy tv

  • @44izack
    @44izack 12 лет назад

    makyembe

  • @360-t5s
    @360-t5s 11 лет назад

    that is not biology insteade it is spiritual beliefs

  • @josonwakitaa2092
    @josonwakitaa2092 12 лет назад

    WABONGO BANA KWA UMBEA ETI KIDUMU ANAJICHUA,NJOENI HOLLAND MUONE WANAUME KWA WANAUME WANAOWANA,ALFU NYOSHI S ALIKUJA HAPO MBONA UJAMUULIZA KUHUSU MKOLOGO,ACHENI ZUNU

  • @azadiunatishamumyloveungab6614
    @azadiunatishamumyloveungab6614 8 лет назад

    mjomba hahaha

  • @dorcasgitari8278
    @dorcasgitari8278 8 лет назад

    I say Mjomba bwana eeee...una hekima aki.