Mkasi | SO9E09 with Dudubaya ( Extended Show )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Follow MkasiTV on
    Facebook : / mkasitv
    Twitter : @MkasiTV
    Instagram @MkasiTV

Комментарии • 124

  • @geraldzablon193
    @geraldzablon193 6 лет назад +9

    nimecheka sana dudu baya ni konki konki konki MASTER

  • @abrahimali3628
    @abrahimali3628 5 лет назад +1

    Apo salama kama umenambia mimi siku ninayo rudi Afrika simwamii mke wangu

  • @88trin
    @88trin 10 лет назад +5

    dudu THE REALEST!! namkubali jamaa ukweli mtupu!!

  • @munakacm722
    @munakacm722 10 лет назад +11

    Dah dudu ongera sana unajua kujb maswali poa.aki salama katka itavuu zote ii noma sana.

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂konki master mpaka leo mr nice hajawai kutembea na ma bouncer tena

  • @sakinandoile4758
    @sakinandoile4758 8 лет назад +10

    nimependa point ya dudu!! LOVE plus RESPECT hujenga UNIT

  • @top_ujazo
    @top_ujazo 6 лет назад

    Mkasi itabidi muendeleze hii kitu mfano hii interview ilitakiwa iwe na muendelezo kaongea vizuri sana kuhusiana na music industry sasa now ambapo kapata nafasi ya kuwa juu tena najua ana mengi ya kushare fanyeni mrudi mazee

  • @DEGESTAR
    @DEGESTAR 6 лет назад +3

    Konki mara 3 Afu tamka neno MASTER... 😀😀😀

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 10 лет назад +2

    yani sio siri mimi huwa nacheka vile Salama anacheka maana ana enjoy mambo ya kichizi.. nice show anyway!!

  • @aysherkabby5937
    @aysherkabby5937 10 лет назад +2

    Dudu Baya ubarikiwe...kweli tupu, go Dudu go

  • @scorbernassoro4043
    @scorbernassoro4043 9 лет назад +2

    Hahahaha dudu mzinguaji sana kumbe hata dsm ni kijijini dah cyo kesi big up kwako show iko pw sana

  • @alliymkobe3949
    @alliymkobe3949 6 лет назад +3

    Mungu anawaona walevi wote na mjiandae na majibu kesho akhela

  • @rajabkamanza4771
    @rajabkamanza4771 6 лет назад +2

    SURE SURE DUDU BAYAAAAA....

  • @collinsngudi4493
    @collinsngudi4493 6 лет назад +4

    Konki Konki Konki Master, Oil chafu heshima sana, big up man I respect you much,

  • @saeedmassoud256
    @saeedmassoud256 4 года назад

    Da apo Salama kwnye mi....u noma na Mr Camera nae cjui alikua amelala ama niaje

  • @mohamedikibasa418
    @mohamedikibasa418 6 лет назад +2

    Haassss Dudu baya unajua kujieleza. Nependa kastoriiii hakaaaa

  • @livingstonebatawe7434
    @livingstonebatawe7434 9 лет назад +14

    kiukwel the show was very #funny, salute #DuduBaya

  • @kitonekantasha1687
    @kitonekantasha1687 8 лет назад +10

    huu mdahalo nimeupenda hutoamin nikilala ndo usingiz wangu nasikiliza mpaka na lala ikiiisha narudia dudu una chekesha

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 6 лет назад +1

    Hili jamaa linajua kuchambua game duu!

  • @goromamussatvonline
    @goromamussatvonline Месяц назад

    Dah. hv hyo saloon mpka leo ipogo

  • @kaloli12masawe69
    @kaloli12masawe69 6 лет назад +2

    Salama kakutana leo na kiboko yake hahaaa

  • @Naziluna-en7lj
    @Naziluna-en7lj 6 лет назад +5

    kweli tunakupenda brodher dudu kwa sbb unapenda kusema ukweli

  • @ericasava9060
    @ericasava9060 6 лет назад +3

    The legends

  • @kelvinjohn3905
    @kelvinjohn3905 6 лет назад +3

    Kaka nakuelewa sana aiseee ww noma

    • @paschalboniface8319
      @paschalboniface8319 6 лет назад

      Misifa ya kijinga iyo eti umetembea kuliko kikwete unamjuwa kikwete ww

  • @castobenjamin4074
    @castobenjamin4074 2 года назад +1

    Nime enjoy story 😂😂😂😂👍

  • @BabakeNazBeel
    @BabakeNazBeel 10 лет назад +1

    best interview so far!! #Dudubaya is so funny! he had #Salama laughing throughout!

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 Год назад +3

    KUBUSU MIKUNDU!!?😂😂

    • @BwaxyWaMicha
      @BwaxyWaMicha 9 месяцев назад +1

      Na wewe mba au muba😂😂😂😂

  • @PatsonIkula
    @PatsonIkula 6 лет назад +12

    Konki Konki Konki master

  • @dosidamas4140
    @dosidamas4140 6 лет назад

    Wewe unajua sana konki

  • @mr.dopects
    @mr.dopects 9 лет назад +8

    Love+respect=unity✔ 💯

  • @christianluvanga8148
    @christianluvanga8148 2 года назад +1

    Kubusu mikundu tena????uyu manzi 🙌🙌🙌

  • @eshalikalala3357
    @eshalikalala3357 3 года назад

    Salama: Eti Dudu nipoooohhh au hunioniiiiiii........

  • @elidadnyalema3799
    @elidadnyalema3799 6 лет назад +3

    Daa konk konk konk master

  • @markog6206
    @markog6206 6 лет назад +1

    Usimtaje Yesu mpuuzi wewe mvuta bangi.

  • @martindeogratius6547
    @martindeogratius6547 6 лет назад +1

    2019 oil chafu kaichafua bongo

  • @dikodikson559
    @dikodikson559 3 года назад +1

    Salama you are so beautiful

  • @allyshabani8680
    @allyshabani8680 6 лет назад +3

    Ichi kipindi kilikuaga moto sana salama fanya kitu

  • @emanueltheophilymallya7223
    @emanueltheophilymallya7223 6 лет назад +3

    Siku zote mkweli apendwi

  • @madollarmadollar7097
    @madollarmadollar7097 7 месяцев назад

    Dudu baya ameanza kulewa katikati ya interview bado kubonga shit sasa😂😂😂

  • @edwardkasubi1495
    @edwardkasubi1495 6 лет назад +2

    Yeeaap
    Dudu hatuna uzalendo

  • @kachawakikazi1217
    @kachawakikazi1217 6 лет назад

    eti na wewe m'ba aah muba😂😂😂😂2018 👏👏👏👏

  • @siza1615
    @siza1615 6 лет назад +1

    Jamaa kasema eti ana mtoto mmoja ambae ni Wille , afu leo tunamuona yule mdada

  • @rajabunyambi541
    @rajabunyambi541 2 года назад

    uwo mguu unavyokwachuliwa niatali

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 6 лет назад +5

    Konki Masta 😁😁

  • @modesteryohana3336
    @modesteryohana3336 6 лет назад +8

    2018??

  • @ROBERTMAXIMILIAN
    @ROBERTMAXIMILIAN 10 месяцев назад

    Smart 🧠

  • @TeamKRX
    @TeamKRX 6 лет назад +5

    Oil chafu 🤣🤙🏼💋

  • @EastCoasTGorilla90
    @EastCoasTGorilla90 3 года назад

    2021!! Konkii

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 6 лет назад +2

    Oili chafu kweli haiwezi chafuka tena .

  • @fredmathubejr3547
    @fredmathubejr3547 9 лет назад +1

    Muba A.K.A "Mba" hujui kuuliza maswali mzee UNAZINGUAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA...salama mfunze huyo jamaa anafeli, the way anauliza ni kama anatoa maelezo afu maelezo yenyewe yanaishia kati eti ndo swali..Anazingua

  • @aminakawawa1935
    @aminakawawa1935 6 лет назад

    Konki uko sawa dem ana mdomo mary

  • @majidmousa4557
    @majidmousa4557 5 лет назад

    Wallah Dudu anafurhisha

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 6 лет назад +1

    Kumbe Dudu baya bonge la Mtu. Anafurahisha kwa ukweli Na mawazo mazuri alokuwa nayo. Ivo Vipi Mtu kama huyu afungiwe ngoma zake jamani!

  • @dastonamichaels1854
    @dastonamichaels1854 6 лет назад +6

    Konki konki konki master

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 6 лет назад +1

    Salama Umesema mkund

    • @saeedmassoud256
      @saeedmassoud256 4 года назад

      Nameshangaa kinoma alaf wala haijakatwa wala nn live live Du

  • @angelagathoni1415
    @angelagathoni1415 6 лет назад +2

    Best show I have watched

  • @ayshahusseinmohamed5984
    @ayshahusseinmohamed5984 6 лет назад +2

    nikweri tunapenda kubusu mikundu

  • @mohamedothuman2248
    @mohamedothuman2248 4 года назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣mabati ya kiwalani ni machafu kufaaa😂😂😂😂😂

  • @francespeter8772
    @francespeter8772 6 лет назад

    nitaenderea Kuangaria saima sababu kuna mafundisho

  • @abuusufian6506
    @abuusufian6506 6 лет назад

    Oil chafuuuuuu mbaya

  • @abdallahmatongo8668
    @abdallahmatongo8668 6 лет назад

    konk konk konk master....

  • @kaswahilianatol2430
    @kaswahilianatol2430 6 лет назад

    Kweli dudu watu wanakupenda saana tena hasa mwanza

  • @kamgishaally8933
    @kamgishaally8933 6 лет назад

    Bhebhe dudu bhebhe

  • @faraolion6822
    @faraolion6822 6 лет назад +1

    Muziki hauna bigwa

  • @amedeusedwin5714
    @amedeusedwin5714 10 лет назад +2

    This show was great...very entertaining

  • @Kendry_jenner
    @Kendry_jenner 8 месяцев назад

    🤣🤣🤣sikiliza kwa makini salama kauliza eti sio kwamba sisi waafrika tunapenda kubusu .........🍑

  • @magrethmanintveld5477
    @magrethmanintveld5477 3 месяца назад

    Wow Enzi hizo shavu dodo

  • @billykahungu5678
    @billykahungu5678 6 лет назад

    Na Maria je ...

  • @giresdemokelwa7446
    @giresdemokelwa7446 5 лет назад

    Oil chafu

  • @abrahimali3628
    @abrahimali3628 5 лет назад

    Sio kanisa fala wewe Ysssu hajaingia kanisani umesoma wapi wewe?.

  • @chrisgmubepi84
    @chrisgmubepi84 6 лет назад

    hapa ulimsahau maria

  • @collinsmartin5614
    @collinsmartin5614 Год назад

    2023

  • @ayshahusseinmohamed5984
    @ayshahusseinmohamed5984 6 лет назад

    ukome

  • @twariqali7002
    @twariqali7002 9 лет назад +3

    dudu nakukubali

  • @nakivamrema
    @nakivamrema 8 лет назад +2

    ☺☺☺

  • @agathakatondo4630
    @agathakatondo4630 9 лет назад +1

    Mwambie muba aweanaacha watu wamalizie kuongea asidakie dakie

  • @mboyajackson4574
    @mboyajackson4574 7 лет назад

    He's funny

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 6 лет назад

    dudu wa sasa angemwita muba as mbwa ... cio kwa maswali ya kiboya

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo41 10 лет назад +2

    Muba ni mnoko halafu hana akili.. .. msenge anauliza maswali ya kihanithi .. uchizi..

  • @abdulmshana7708
    @abdulmshana7708 8 лет назад

    kubusu MIKUNDU?

  • @stephanolukumay9553
    @stephanolukumay9553 6 лет назад

    Mmetolea WAP hii ngurue

  • @manjalejuniorlg7024
    @manjalejuniorlg7024 6 лет назад +2

    DUDU NI NOUMA

  • @mutakabaka
    @mutakabaka 6 лет назад +1

    Konk master..

  • @westcijosh
    @westcijosh Год назад

    Dudubaya started talking that shit wayback nobody listened man

  • @ngoroshowinfrid2220
    @ngoroshowinfrid2220 6 лет назад +2

    dudu baya chapombe hauna utumishi wote umeishiwa hekima,maarifa na akili 0

  • @ayshahusseinmohamed5984
    @ayshahusseinmohamed5984 6 лет назад +2

    your alcoolholic usijinadi watoto waka wakawa alcoolholic ujinga unaongea

  • @sadamosses9763
    @sadamosses9763 9 лет назад

    michosho kuongeleo ujinga hayo maswali hayo ni maongezi tena ya kishamba , hayo yote utumbumbo mtupu, mshamba

  • @pennystang6065
    @pennystang6065 6 лет назад +4

    Huyu bwana anaongea sana

  • @sadamosses9763
    @sadamosses9763 9 лет назад

    michosho, kaja mjini mkubwa basi tabu tupu, hata kiswahili tabu mnatuchengua

  • @msonjoaden3260
    @msonjoaden3260 6 лет назад +2

    Konki konki konki master

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 6 лет назад

    Konki konki konki master