DUDU BAYA: WCB / BILA KUVUTA BANGI SAUTI HAITOKI / WANAIBA MATAULO HOTELINI / NANDY MTOTO WA JUZI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 май 2019
  • Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
    / lilommy
    / lilommy
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 300

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 5 лет назад +43

    Kama unamkubali dudu mkali was interview. Gonga like hapa.

  • @jumbebrown7417
    @jumbebrown7417 5 лет назад +19

    Mwenye kumwelewa vyema DUDU KONKI MASTER goungeeer LIKE...

  • @keynoteyjr
    @keynoteyjr 5 лет назад +16

    One of the best interviews ive ever watched... This guy is real...

  • @arushatanzania
    @arushatanzania 5 лет назад +5

    Sema Konki uo mkato wa kichwan wakikonki sana.. all in all we ni mnoma.. REAL MAN #longliveLilommytv

  • @Kobe_254
    @Kobe_254 5 лет назад +8

    Imebidi ni watch hii interview yote saa saba ya usiku.. kataka kujua uliyoyasema, nice one... still follow ur interviews.. watoto wa millennium wapewe somo!!

  • @jamilaomar9860
    @jamilaomar9860 5 лет назад +25

    Eti Yule wa bongo movie anaejiita bakaa sijui bangi mm huyo simjui 😁😁😁😁😁😁😁😁😁

  • @vancyable2
    @vancyable2 5 лет назад +7

    l can listen to Dudu All day

  • @hmatta3024
    @hmatta3024 5 лет назад +16

    Kiukweli konk master uko vzr Sana brother unaongea fact

  • @goodboi9821
    @goodboi9821 5 лет назад +69

    Kama kuna interviews siwezi kosa moja wapo ni ya Dudu Baya na Unju na Chidi

  • @robertpetro804
    @robertpetro804 5 лет назад +20

    Dudu yupo poah sana mzee

  • @laurentprochess8278
    @laurentprochess8278 5 лет назад +11

    Upo sahihi kabisa brother hwa watoto wa juzi awajui kitu hao

  • @allyshabani8680
    @allyshabani8680 5 лет назад +39

    Ili jama linaongea point sana

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 5 лет назад +9

    Hivi Times fm mnapiga nyimbo za dudu...?..inakuwaje kweli Mtu anakuwa na Bifu na clouds anabaniwa station zote...

  • @darviswantana7669
    @darviswantana7669 5 лет назад +12

    Duduuu.. jonijoo na lil ommy ni nduguu.. ndio mana tunagonga mezaaa.... ila usiendee cloudz ukawambia gonga mezaa..

  • @salimumavura5756
    @salimumavura5756 5 лет назад +25

    Umeongea vizuri sana mwamba

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 лет назад +8

    Dudu baya ni fire

  • @eddybayzor5072
    @eddybayzor5072 5 лет назад +11

    Dudu nakuelewa kama unamwelewa konki gonga like hapo chini

  • @mctcherkenya488
    @mctcherkenya488 5 лет назад +8

    From Count 001 Mombasa Kenya Nakukubali sana Konky

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla6504 5 лет назад +15

    Dudu anakichwa cha kumbukumbu 💪

  • @Yegon254
    @Yegon254 5 лет назад +6

    hii interview nimeenjoy sana from 001 Mombasa

  • @luanamwambigija5266
    @luanamwambigija5266 5 лет назад +33

    Moja ya Interview niliyo Enjoy Sanaa

  • @slayingtee6044
    @slayingtee6044 5 лет назад +25

    Napendaga interview za konki

  • @kubry07mtutala49
    @kubry07mtutala49 5 лет назад +4

    Dudu jaman, hadi raha...Love nyingi kwako'

  • @barikiarastus8770
    @barikiarastus8770 5 лет назад +5

    Legend the dudu nakubali sana bro

  • @bigdaddyhahaz
    @bigdaddyhahaz 5 лет назад +27

    Konki uwa namkubali sana

  • @tendatanzania9483
    @tendatanzania9483 5 лет назад +8

    Konki master nilisubiri sana hii interview

  • @juniorfresh6816
    @juniorfresh6816 5 лет назад +4

    Dudu ni legend au sio :)

  • @husnamarandu8380
    @husnamarandu8380 5 лет назад +21

    Mmh! Sema dudu katakata sahivi! Shikamoo hela

    • @barakamgimwa108
      @barakamgimwa108 5 лет назад +1

      Ungeuliza camera iliyotumika ni cannon gan... 😄😄😄..kutananae LIVE

    • @mariambeiiiby6157
      @mariambeiiiby6157 5 лет назад +1

      hahahaha na kweli

  • @AndrewMlawasi
    @AndrewMlawasi 5 лет назад +1

    The real O'G dudu baya respect for saying it as it is....

  • @goodboi9821
    @goodboi9821 5 лет назад +29

    Leo Lil Ommy amekalishwa bench😂😂😂😂 maswali anayajibu yeye akiwa na Amy Gal😂😂😂😂
    Dudu ni fire

  • @TheBestPhone7918
    @TheBestPhone7918 5 лет назад +18

    😀😀😀 Konki 3, vzr kama Pombe umeacha, Nakukubali sana Ng'wanangwa.

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 лет назад +8

    Nice one

  • @mdidiomari7351
    @mdidiomari7351 5 лет назад +11

    Konk3 uko vizuri sana

  • @fabianjohn6961
    @fabianjohn6961 5 лет назад +6

    point mzee bb nakubali

  • @deebrown7908
    @deebrown7908 5 лет назад +7

    Napenda interview zako sn #Dudubaya
    Uwahunaongea point
    Sis ambao tunaokuelewa
    Kizazisana #lilOmmy

  • @maestrotv8264
    @maestrotv8264 5 лет назад +19

    Akili mingi huyu dudu baya

  • @ilovejesus9303
    @ilovejesus9303 5 лет назад +13

    Gonga meza, gonga meza, gonga meza 😁😁😁😁 kweli Konki Master!! Ukweli mtupu ongea babaaa 💪👍🤗🤗

  • @barnabasmafuru6930
    @barnabasmafuru6930 5 лет назад +2

    One of the best interviews Konki konki konki ame dominate show nzima MVP umekuwa msikilizaji but you're the best

  • @davidndaha9607
    @davidndaha9607 5 лет назад +3

    USA,dudu,mpeni soda mate yamekauka! Chapa kazi master.

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 5 лет назад +14

    Konki toka nikufahamu kwenye muziki sijawai kosa enterview yako kivyovyote..🔥🔥🔥💪💪💪💪💪😂

  • @lilakhhassan6896
    @lilakhhassan6896 5 лет назад +9

    Ni kweli albam ya mwisho ili fanyiwa fitina na sana tuliogopa kuchukua

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo1302 5 лет назад +15

    Gd 💯✔️ Sana mkubwa

  • @mropeamadeus5445
    @mropeamadeus5445 5 лет назад +4

    Watanzania tupendane na kupeana Heshima, nakuheshimu Brother kok3 master

  • @yusuphramadhani2244
    @yusuphramadhani2244 5 лет назад +13

    Fact🤔Bro kasimamia ukwel pia n muazi xanaaa??vitu alvyozungumzia ni full maukwel

  • @ahmedali0333
    @ahmedali0333 5 лет назад +6

    Aiseee eee gongaaaaa mezaaaaaaaaaaaa😃😃😃👌✌💪

  • @slayqueenvevo8118
    @slayqueenvevo8118 5 лет назад +7

    Konki much love from #USA

  • @sekeyifabian9517
    @sekeyifabian9517 5 лет назад +9

    Konki. Kichwa sana

  • @jahpetmadenge1817
    @jahpetmadenge1817 5 лет назад +6

    kale keupe ni fireeee

  • @umojamedia4167
    @umojamedia4167 5 лет назад +8

    👌👌

  • @goodluckymartin334
    @goodluckymartin334 4 года назад +1

    One of my best interview in ds year🔥🕐🔥🔥🔥🔥🔥🔥✔✔

  • @abdulnaseermrisho4342
    @abdulnaseermrisho4342 5 лет назад +5

    Bonge la Intavyuuuuuuuuu asei 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 лет назад +8

    Lilomy big up

  • @robertdaud9894
    @robertdaud9894 5 лет назад +6

    Wanamapinduz watachukiwa kisha wanaweza kuuwawa lakn fikra za mapinduz ztaish milele keep doing Dudu

  • @mwendwamjukuu9468
    @mwendwamjukuu9468 5 лет назад +15

    Hili show ni zaid ya kawaida

  • @swalehsaid9923
    @swalehsaid9923 5 лет назад +6

    lilommy mbn leo kimyaa MVP 😀😀😀

    • @swalehsaid9923
      @swalehsaid9923 5 лет назад

      Interview nzima kongea mzee baba Dudu..Lilommy leo mbn umenywea leo sissikii maswli yako😀😀😀😀😀

    • @stevewanga957
      @stevewanga957 5 лет назад

      Leo kafanikwa

    • @fasanitzfasanitz9631
      @fasanitzfasanitz9631 5 лет назад

      😀😀😀😀😂 lilomy presenter dudu leo

  • @allyshabani8680
    @allyshabani8680 5 лет назад +7

    Lily ommy no1

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 лет назад +4

    Leo kipindi Dudu Baya ndio kakitawala, it's like Lil Ommy Leo hakujipanga vizuri....

    • @paulsylvester7877
      @paulsylvester7877 5 лет назад +2

      steve wanga unajua nn MTU akifunguka kama hiv unamuacha aongee everything azungumze vitu vingne ambazo hukutegemea if airtime ikiiwepo

  • @mimokassim1887
    @mimokassim1887 5 лет назад +4

    nacheka sana leo lilommy

  • @msafiri85
    @msafiri85 5 лет назад +1

    Dah Dudu Baya entertainer sana aisee!!

  • @mohamedially5330
    @mohamedially5330 11 дней назад

    Point big up sana dudu baya

  • @rashidmtingita7002
    @rashidmtingita7002 5 лет назад +7

    Konki konki konki💥💥💥💥

  • @selemanikaburu8044
    @selemanikaburu8044 5 лет назад +6

    Konk master nakubali sana interview zako unani inspire kweli unaongea fact brother usikate tamaa kaza mpk mwisho.............Muogope Mungu tu wengine Mapaka hawajui game lilipotok

    • @azizalph9197
      @azizalph9197 5 лет назад

      MB zangu hazijaenda bure Leo umekuwa mstarabu xaxa nitakuita konki konki master

    • @fakiikibakola1300
      @fakiikibakola1300 2 года назад

      @@azizalph9197 uuuuii89

  • @allyshabani8680
    @allyshabani8680 5 лет назад +44

    Bongo ukiwa mkweli lazima uonekane mbayaaa

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 года назад

      Kabisa bro na si Bongo tu bali sisi watu weusi tuna matatizo ya kuelewa kabisa

    • @jerushanyawera4964
      @jerushanyawera4964 3 года назад

      Si TZ pekee,adi Kenya ni vyenye Kenyan's people are crazy

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 5 лет назад +12

    Most MVP lil ommy... Much love from 🇶🇦 🇶🇦 🇶🇦

    • @belitadaudi9687
      @belitadaudi9687 5 лет назад

      Where are you? I'm here also 🇧🇭🇧🇭🇧🇭

  • @hamishalidy5696
    @hamishalidy5696 5 лет назад +4

    Nakukubali sana faza Konki

  • @agaaah6697
    @agaaah6697 5 лет назад +11

    Unaongeaga point Sana #konk

  • @zah1d124
    @zah1d124 5 лет назад +8

    Umeongea point ila hao watoto unaosema kua hawana adabu basi inatokea kwako kutokana unawatolea maneno km ni shoga mwanaume unatakiwa kupotezea mambo mengine

  • @banshbansh2329
    @banshbansh2329 5 лет назад +12

    Ruby anamlaumu Malehemu Ruge
    amsikilize Dudu apa anavyo sema kuhusu show

  • @faizaabdi8168
    @faizaabdi8168 5 лет назад +19

    Kumbe jamaa kichwa kaongea point sana

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 5 лет назад +2

    Nakukubali sana konki konki konki master 🔥

  • @mbcgrams5415
    @mbcgrams5415 5 лет назад +7

    Lil ommy Umepoa sana
    Mzazi😂😂

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 лет назад +16

    Konki konki konki master achia vitu back to back brother from another mother & deferent further

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 5 лет назад +7

    unasema ukweli

  • @Sandydaprincess-
    @Sandydaprincess- 5 лет назад +5

    Show zenye ubora zlizo baki ni hii na block 89

  • @AlexSmith-en1rs
    @AlexSmith-en1rs 5 лет назад +3

    Hapo kwa baraka niko na wew 100% konki

  • @wilfredmbussa4930
    @wilfredmbussa4930 5 лет назад +9

    Jamaa Saa nyingine anaongea points sana

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 лет назад +1

    Nampenda sana uyu mtu m.mungu akuongoze broo

  • @adamsonlai743
    @adamsonlai743 5 лет назад +2

    Uko fine dudu

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 лет назад +9

    Duduuuuuu

  • @chavalabrandtv5315
    @chavalabrandtv5315 5 лет назад +3

    Konki umetisha

  • @rehemashafi4809
    @rehemashafi4809 5 лет назад +3

    Nakukubr sana broo

  • @Jwasafiog
    @Jwasafiog 5 лет назад +4

    Interview kaliiiiiiii Sana za konk

  • @amanikimbee6559
    @amanikimbee6559 5 лет назад +2

    Kizazi sana

  • @konkmaster6354
    @konkmaster6354 5 лет назад +4

    Hakika leo nimeelewa hasira za dudu zilikotokea

  • @ashanalinga8719
    @ashanalinga8719 5 лет назад +4

    LilOmmy gonga meza 😂😀

  • @asallymbwego5906
    @asallymbwego5906 5 лет назад +3

    Big up Konki

  • @deusmauka9626
    @deusmauka9626 5 лет назад

    Dudu siku hizi unapendeza, unakula vizuri,unavaa vizuri, safi sana

  • @tonymlatino4810
    @tonymlatino4810 5 лет назад +8

    Kama na ww hutaki kupitwa na interview ya ommy gonga like

  • @joesimba
    @joesimba 5 лет назад +9

    Dudu baya: blah blah blah
    Lilommy: Mhhh Mhhh Mhhh mhhhh

    • @genimaige6023
      @genimaige6023 5 лет назад

      Joseph Mataba 😀😀😀😀😀😀😀😀

  • @msafiri85
    @msafiri85 5 лет назад +2

    @LilOmmyTV nitampataje Dudubaya plz

  • @eliaspeter4017
    @eliaspeter4017 5 лет назад

    Well said bro

  • @msafiri85
    @msafiri85 5 лет назад

    Always love ya show Ommy

  • @mohammedothuman5974
    @mohammedothuman5974 5 лет назад +3

    Dah leo umeongea point sana Hongera dudu

  • @bonnysureolkokolaboy4342
    @bonnysureolkokolaboy4342 5 лет назад

    Dudueh!! Namjua jamaa alieimba ngoma flani iitwayo Dudu baya 🏃🏃

  • @mabroukabeid148
    @mabroukabeid148 5 лет назад +1

    Konki mastar is best artist msema kweli.

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 Год назад

    ❤❤ Dudu baya SANA

  • @muirusoja9858
    @muirusoja9858 3 года назад +1

    I love this guy for real

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 лет назад +5

    Dudu anajua kuvaa yuko simlpe anapendeza kweli

  • @Engineerkathoz
    @Engineerkathoz 3 года назад

    Bro wee ni star 🌟

  • @jumaseleman2728
    @jumaseleman2728 5 лет назад +1

    Kizazi duu Konki konki konki Master