Our brother at this age still hajarealise kwamba the world doesn’t always give you what you want, nnamwelewa bt u can’t blame everyone you ever helped or worked with, coz not everyone remembers the gud deeds once they’re on the other side.
respect for ever ajalishi unapitia katika ugumu kiasi gani bado unamadini na uwezo mkubwa kikubwa madini yako yatoe yawepo sokoni na ayaishi maana mda wowote ata ukiamka usingizini yapo kichwani kwa time yeyote ile unaweza mwamba kwa kipaji madogo achana nao wana utomvu wa nizamu wamesahau walipotoka wameshiba kwa kupewa rifts.
wazee tafuteni hela na mkipata hela kumbukeni kuekeza mana kula bata mpaka hela ya kodi sio mpango wazee, CHIDI ni mti smart sana na ukiacha mtihani aliopitia ila alichezea sana maisha kwa sababu wakati wake alipata hela nyingi sana na ziliishia kwenye bata na wanawake.. hili ni funzo tosha kwa wasanii wasasa kumbukeni kuekeza isije kufika wakati wa lawama kama za CHIDI BENZI 🙏
Inabd ujue kuwa hela sio kila kitu,heshima ya mtu ni muhimu sana,mtu anatakiwa kuwa na hekima na kujali utu wake,usitezwe utu wako kisa hela kwa namna yyte ile
I get your point chidi benz, lakini watu hawana imaani km yako, wanakulipa km mfanya kazi na ww unataka wakutreat km ndugu yao mkubwa😢😢😢😢😢😢😢😢😢 pole 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧
Inasikitisha sana kiukweli jamaa kasaidia wengi.ila watanzania tukumbuke tuliko toka.kwan amekuja na mchango mkubwa ktk wasaniii wange mvumilia mapungufu yake na kumrekebisha kidogo kidogo Kwan mchango wake ni mkubwa kwenu.hamlioni hilo? Muogopeni mungu msimtenge chidi Benz daimondi wewe ni mtu ulie saidia watu wengi na ulisamehe watu wengi.unahekma sana na busara istoshe kimziki kimaendeleo yaa kimaisha uko mbali sana msamehe alipo kosea bro wako huyo.hao wengine wamekukuta daimondi usiwasikilize angalia ulipo Toka na chid.na mungu atakusaidia insha Allah
Bangi na gongo na njaa vimekuharibu sauti, sura, ngozi na uyuni wako wote umepotea. Sauti kama una makohozi yamekuganda. Afya yako mbaya acha mapimbe tengeneza afya yako.
Watoto wadogo hawawezi muelewa chidbenz it's so painful ana roho poa sana na amewatoa na amewasaidia wasanii wenzie bila kukunja ila wao hawampi respect
Kumuelewa huyu jamaa kwny point chanya unatakiwa uwe na akili kubwa sana.. wengi hawamuelewi kwasababu ya miemko au ushabiki . Jamaa anachoongea kasaidia sana nyuma ya pazia lakini yeye anasaidiwa na makelele mengi hasa machawa wa wasanii wanamsema vibaya hali ya kua yeye alisaidia kimya na hakuweka dharau.
Chid n voice of the nation....huyu jamaa AKO na kipawa kikubwa xna...lakin watu hua hawamuelewi kama vile alivyo address hio issue...ya watu kuto muelewa.
MM KWAUPANDE WANGU SAWA CHID ANAMTUPIA LAWAMA SANA DIAMOND SIOPOA LAKN NIKWANN MANA HUYU CHID AMEFANYA COLABO NAWASANII WENGI SANA KIBA MLLOW NAWENGINE WENGI NAWANAHELA VILEVILE LAKN KWANN MOND HUYU CHID ANAMPENDA SANA MOND AMINI USIAMIN KWAHYO MOND AIANGALIE HII
Ni vyema Serikali kupitia Wizara inayohusika na masuala haya kuangalia ni kwa namna gani inaweza kulinda haki za wasanii, hasa hawa ambao wakati wapo Juu mifumo haikua sawa.
I dont think kma watu wanamuelewa Chid msimtetee Mond yeye ndo anajua alipotoka just kwa sababu unaingiza mamilion leo basi usimdharau aliekupa elfu wakati unajitafuta Respect broe 🎉
Yaani huyu chidi cjui ana kitu gni anakitaka kwa diamond,kusaidiwa anasaidiwa labda anaitaka roho yke tena maana hafahamiki nini anachokitaka ila mungu atamsaidia maana kila akihojiwa lazima amtaje diamond,huu mtihani
Inahitaji ukae ktk engo ya ulisia ndio utamueleza chidi.ukikaa ktk engo za hisia mihemko na chuki huwezi kumuelewa.hakika mapito yake ni chuo na elmu tosha.kunakipindi alikosea mwenyewe na Kuna kipindi alizilimiwa na figisu figisu kibao na kufanyiwa kampeni za kila aina ili apotee ktk tasnia ya mziki.nakila siku tunajifunza kitu.
Mnao msema chidy mnkosea sana mkumbuke huyu bro ana akili sana anajaribu kusema ukweli ili kuwakumbusha wadogo zake namna ya kuishi kibinaadam,na sio kama alichezea pesa ukumbukwe kipindikile RUclips haikuwepo kivire sana hakuwahi kumiliki billion1 yakusema atawekeza kitu kikaonekana hivyooo,so mimi namkubali sana broo na nahisi kuna namna chidy hayupo sawa wangejaribu tiba asili huenda ata kuwa sawa.#chidybenz
@@yahayashuta9608anataka Diamond amuse share wasafi? Mziki unauzwa mitandaoni yaani muziki platforms yeye anajuwa saana aende studio aachie ma ngona aweke mitandaoni mashabiki zake wakinunuwa muziji wake jwa wingi hata ma promoter watampa ma show kuliko kulaumu Diamond Diamond inakuwakama Diamond ndie anaambia mashabiki wamsikilize nani wakati Diamond mwenyewe huko mitandaoni ndio anauza mziki wake
@@yahayashuta9608 sahihi kwa lipi? Mitandao iko wazi na ndio mahali wasanii wote duniani wanaweka kaxi zao Chidi aingie studio atowe kazi awake mitandaoni mashabiki zake watanunuwa kazi zake huko sio kalaumu watu, mashabiki zake wanao sema chidi anajuwa saana wakinunuwa kazi zake mitandaoni hata ma promoter watampa shows, aache mibangi afanye kazi
@@yahayashuta9608sahihi kwa lipi? Soku hizi biashara ya mziki ni mitandaoni yeye aingie studio atowe kazi mashabiki zake wataenda music platforms na ma promoter watamupa kazi msaniiunachana vizuri aje kila mara kuaumu laumu watu anataka abebwe mgongoni? Kama yeye anajuwa saana kwa nini asitoe ngoma
@allandoro1051: ni chizi ndio sababu kipaji anaco jina anayo mashabiki anao, soko ya music iko wazi kila music platforms ila hatoe nyimbo ili wanao mkubali waende wanunuwe music wake sasa kipaji chake inakaxi gani? Kama sio uchizi
one thing i have know hao wasani wa back in the days their dont hate diamond ni mondi ataki kusema ukweli kua kuna watu walipa support ata kama ni kidogo diamond amejiweka kwa level ambaye ati alipambana mwenyewe mpaka hakafika hapa mahali yuko na ndio apo yuko wrong ata 50 cent alitolewa na eminem lakini ajioni super star kuliko dr dre na eminem KE
Chidi he’s only need chapati he doesn’t need help couse izo help zote anazo fanyiwa yeye ha count kutoka yeye anahisi kashasaidia watu anavyo hisi kashasaidia na watu kukupa pesa tu wanahisi km unatumia hivyo vilevi hawatakipia kuna unatumia hivyo vitu in some how ila watu wanakupenda nahisi aache kuonga hizo issues focus in your things my bro one love
Our brother at this age still hajarealise kwamba the world doesn’t always give you what you want, nnamwelewa bt u can’t blame everyone you ever helped or worked with, coz not everyone remembers the gud deeds once they’re on the other side.
Hujaelewa umeishia kusoma kichwa cha habari tu, sikiliza kinachozungumzwa
@@mohamedothman5792 Mi nmesikiliza the whole interview bro.
respect for ever ajalishi unapitia katika ugumu kiasi gani bado unamadini na uwezo mkubwa kikubwa madini yako yatoe yawepo sokoni na ayaishi maana mda wowote ata ukiamka usingizini yapo kichwani kwa time yeyote ile unaweza mwamba kwa kipaji madogo achana nao wana utomvu wa nizamu wamesahau walipotoka wameshiba kwa kupewa rifts.
Heti nilikuwa sili bagiya
Kaka CHIDY intervier zako
Unajua sanaaaa kwanza wew
Ni mtu wa busara sanaaa
Hii inagusa sana,respect muhimu sana kwanza mazee
wazee tafuteni hela na mkipata hela kumbukeni kuekeza mana kula bata mpaka hela ya kodi sio mpango wazee, CHIDI ni mti smart sana na ukiacha mtihani aliopitia ila alichezea sana maisha kwa sababu wakati wake alipata hela nyingi sana na ziliishia kwenye bata na wanawake.. hili ni funzo tosha kwa wasanii wasasa kumbukeni kuekeza isije kufika wakati wa lawama kama za CHIDI BENZI 🙏
Naskia walkua wakitoka Dar kwenda Arusha kula bata tuuu😊
Sure Mungu hutoa nafasi mara moja tu,ukipewa nafasi tumia vzuri usije Anza kuwa lawama FC kwa kutaka msaada kwa lazima
Sure
Pua na kandambili zake
Anasemaje 😂😂😂
Chidy analaumu wanavyo msema vibaya
Umaskini mbaya sana.. usipokuwa na Hela au maisha mazuri..unakuwa na hasira tuu..na kila mtu anakutendea mabaya.
Inabd ujue kuwa hela sio kila kitu,heshima ya mtu ni muhimu sana,mtu anatakiwa kuwa na hekima na kujali utu wake,usitezwe utu wako kisa hela kwa namna yyte ile
I get your point chidi benz, lakini watu hawana imaani km yako, wanakulipa km mfanya kazi na ww unataka wakutreat km ndugu yao mkubwa😢😢😢😢😢😢😢😢😢 pole 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧 🇬🇧
Inasikitisha sana kiukweli jamaa kasaidia wengi.ila watanzania tukumbuke tuliko toka.kwan amekuja na mchango mkubwa ktk wasaniii wange mvumilia mapungufu yake na kumrekebisha kidogo kidogo Kwan mchango wake ni mkubwa kwenu.hamlioni hilo? Muogopeni mungu msimtenge chidi Benz daimondi wewe ni mtu ulie saidia watu wengi na ulisamehe watu wengi.unahekma sana na busara istoshe kimziki kimaendeleo yaa kimaisha uko mbali sana msamehe alipo kosea bro wako huyo.hao wengine wamekukuta daimondi usiwasikilize angalia ulipo Toka na chid.na mungu atakusaidia insha Allah
Asee chid kaka yangu jitahidi uwache ayo madawaa aseee plss chid Niko chini ya miguu yako nakupenda sana acha madawa mi nishabiki yako kitamboo roho inaniumaa aiseee jombaaa
Bangi na gongo na njaa vimekuharibu sauti, sura, ngozi na uyuni wako wote umepotea. Sauti kama una makohozi yamekuganda. Afya yako mbaya acha mapimbe tengeneza afya yako.
Broo humuelewi coz kicwachako kidogo sana
Watoto wadogo hawawezi muelewa chidbenz it's so painful ana roho poa sana na amewatoa na amewasaidia wasanii wenzie bila kukunja ila wao hawampi respect
We unahisi wasaniii aawajawai kumsaidia chidi jaribu wewe😂😂😂😂😂
@@kinthermediakinachokuchekesha? Au unawashwa?
The real man namukubali ❤ chid the GENIUS
Chidi unaweza popote pale anacover ata interview like anafro. Heshima kwake kikubwa apewe sapport.
THE WAY HES SAYS 'SIONGEI KWAMBA NADAI, WAKATI IN REALITY NDIO ANADAI' ITS KINDA FUNNY 🤣🤣😂😂
😂😂😂😂😂😂
Kumuelewa huyu jamaa kwny point chanya unatakiwa uwe na akili kubwa sana.. wengi hawamuelewi kwasababu ya miemko au ushabiki . Jamaa anachoongea kasaidia sana nyuma ya pazia lakini yeye anasaidiwa na makelele mengi hasa machawa wa wasanii wanamsema vibaya hali ya kua yeye alisaidia kimya na hakuweka dharau.
Chid n voice of the nation....huyu jamaa AKO na kipawa kikubwa xna...lakin watu hua hawamuelewi kama vile alivyo address hio issue...ya watu kuto muelewa.
Inauma sana acha jamaa ajisikie vibaya dah mungu akusaidie insha Allah
Qm namsiqia hananja ndani ya chidi jmn 😂😂😂au masqio yangu
Hamdekezi ile nikazi yakimakubaliano si kudeka sema jishushe upate riziki maisha hayana mfumo kamili
Hakuna 😂
Kujishusha kwa kumuabudu binaadamu ni dhambi kwa allah
Chid ukiendelea kuishi kwa kulaumu watu maisha yako utaishi kwa depression na stress we Shukuru Allah endelea na maisha yako mengne mzee
Umemsikiliza au umeona clip umekuja ku comment (the point is yeye alisaidia bila masharti)
@@zackchriss10sasa nani kampa masharti
Brother Sky please make sure unafanya interview na Bilionea Mulokozi.
Namkubali Chidi Benz Since Day 1 🇰🇪 🇰🇪
Imebidi niende kuiangalia upya nyimbo ya mashallah
Real talk-show Respect a vous deux 🙌🏾💯
Much love to Chid Benz ❤
madawa ya kulevya yameharibu sana nguvu kazi aisee tuyapinge kwa nguvu zote
😭😭😭😭
Chid Benz yuko sawa hana makosa anamuongelea diamond akiulizwa kuhusu diamond so yuko fine Big up sana ma Big bro chid Benz one love bro
MM KWAUPANDE WANGU SAWA CHID ANAMTUPIA LAWAMA SANA DIAMOND SIOPOA LAKN NIKWANN MANA HUYU CHID AMEFANYA COLABO NAWASANII WENGI SANA KIBA MLLOW NAWENGINE WENGI NAWANAHELA VILEVILE LAKN KWANN MOND HUYU CHID ANAMPENDA SANA MOND AMINI USIAMIN KWAHYO MOND AIANGALIE HII
Sky after this interview maskio iliendeyea kutumika?
😂😂😂😂😂😂😂😂
Weh😂😂😂😂😂😂😂😂Bro sky anacheka tu ameshindwa haelewi huyu mzee 😂😂😂😂😂😂😂😂 I don’t Know what is wrong with him chidi sio mzima 😂😂😂😂😂
Nimecheka kinoma chidy nomaa😊😊
❤❤❤❤❤❤ chidi benz 🇬🇧🇬🇧
Woww bro much respect to you kbsa
Really OG......!!!
Ni vyema Serikali kupitia Wizara inayohusika na masuala haya kuangalia ni kwa namna gani inaweza kulinda haki za wasanii, hasa hawa ambao wakati wapo Juu mifumo haikua sawa.
Chidi toa ngoma na harmonizi itakuwa kali sana
Chid 👍😁❤akili nyingi
Man of people chid binz🔥
and first session nadhani Skywalker kachanganyikiwa kwa mastories ya Chiddy..
Chid ni noma🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kaka bundala pole sana,yaani hadi nimecheka maana jamaa ameanza tu ukajizuia kucheka 😂😂😂
Mimi nipo southa Africa nimesikuya uching mweziye na baba lev ana itwae gaz
Ukitaka kuendelea jifunze kwa aliye pitia changamoto chid upo vema sana
Chid ni genius sana akili ndogo hawawezi muelewa
Yateme chidi unahaki yakumzungumza yoyote anae kuzungumzia
Ndio maana akafeli katika maisha leo ndio nimeelewa 😊
I dont think kma watu wanamuelewa Chid msimtetee Mond yeye ndo anajua alipotoka just kwa sababu unaingiza mamilion leo basi usimdharau aliekupa elfu wakati unajitafuta
Respect broe 🎉
Haya mtetee kiba na harmonize
Yaani huyu chidi cjui ana kitu gni anakitaka kwa diamond,kusaidiwa anasaidiwa labda anaitaka roho yke tena maana hafahamiki nini anachokitaka ila mungu atamsaidia maana kila akihojiwa lazima amtaje diamond,huu mtihani
ANAULIZWA CYO ANAMTAJA
Small mind will never understood chid benz
For really
Kweli leo sky interview unayo
Bro FREDRICK andaa posho za MCHIDI siku zako zinakuja na wewe 🤣 hutajua hujui.#lawama kipasel
Iyo Meza na chidi benzi yani ana gonga sana 😅 na wivu utamuua uyu muangalieni vizuri
IQ kubwa sna uy mwamba
Ukimshirikisha chidbenz,,usubiri lawama
Mbona hajamlaumu Roma
Juma anataka kutreatiwa vizuri
Kwamfano mr blue wamefayakasi mzuri
@@jafarisaidi4988 part 4 kamlaumu😅😅😅
@nelsonneeson620 duh!Chid Benz Noma 😂😂
Huyu jamaaa mpka ubwage makini sana ndio utamuelewa 😂
@stevewanga aache kuvuta unga afanye kazi ataeleweka
TUMUOMBEENI CHIDI BENZ HAYUKO SAWA KWAKWELI 😢😢
Respect legendary chid Benz
Inahitaji ukae ktk engo ya ulisia ndio utamueleza chidi.ukikaa ktk engo za hisia mihemko na chuki huwezi kumuelewa.hakika mapito yake ni chuo na elmu tosha.kunakipindi alikosea mwenyewe na Kuna kipindi alizilimiwa na figisu figisu kibao na kufanyiwa kampeni za kila aina ili apotee ktk tasnia ya mziki.nakila siku tunajifunza kitu.
Much respect broo,,,,, ❤❤❤🎉🎉
Chid Benz nimtu flani ukimsikiliza una enjoy Sana anavyo ongea😅😅😅
AISEEH HUYU MWAMBA MKWELI SAANA SAFI 🇶🇦
Machizi wote makondeni lawama ni Diamond...huu chizi nae eti kidonda chake ni kwasababu ya Diamond 😂😂
Benzino ni zawadi kwenye mziki wa Bongo Flavor, na sky ni zawadi pia kwa content Creator's.
Chid benz kama Mange Kimambi ana file la kila mtu😂😂😂
Et pua Sijui revo😂😂😂
Respect 4 chid BENZ
NATANGAZA EP YANGU
bin simba sultan
MY PIANO 🎹 EP
1. My piano
2. Nanenepa
3. Maumivu
4. Shime
5. Solemba
6. Nyang'a Nyang'a
BONGO FLEVA LET'S GO 🚀
mimi apa wakwnz❤❤❤
Dah chidi balaaa!!
chidi maisha halisha yakosea kwaiyo Kila mtu anamuona m,baya
Chid Benz anaboa kinoma
Humwelewi. Akili ndogo wewe
Kila msanii wa zamani anadai kamsaidia #Diamond sasa sijuhi walimsaidia #Diamond pekee au veep? Yaani kila Legend anadai kamsaidia Mond😮😮😮
Tatizo dharau
Child shida yake lawama nyingi mpaka tumemchoka ahache bangi n mbaya
They have to stop talking about him point blank piriod
Uy kil sik lawam tuuuu ah!ukish kuwa hun hel bna ahhh
Respect chid benz
Tatizo lako chini hutaki kukubali kama wakati wako umepita na maisha uliyoishi hayapo tena
Acha ujinga bila hawa usinge wajua hao we k nn
Mnao msema chidy mnkosea sana mkumbuke huyu bro ana akili sana anajaribu kusema ukweli ili kuwakumbusha wadogo zake namna ya kuishi kibinaadam,na sio kama alichezea pesa ukumbukwe kipindikile RUclips haikuwepo kivire sana hakuwahi kumiliki billion1 yakusema atawekeza kitu kikaonekana hivyooo,so mimi namkubali sana broo na nahisi kuna namna chidy hayupo sawa wangejaribu tiba asili huenda ata kuwa sawa.#chidybenz
Tiba asili 😂😂😂
Uwache bangi
Sky nahic unacheqa sanaa moyoni
Hyu hta mm simuelewi 😂😂 kaka Sky sema kwl hvi unamuelew hyu mwmba ...
Kaka leo utavunjwa meza 😂😂😂
😂😂😂😂 Chid bwana ati mume wa Diva anakilo 43 😂😂😂😂 twakupenda kwaajili ya Allah ❤
Aaaaaaah 😂😂😂Nikuku
@@japhetlust5050 🤣
This is why you need to succeed in life , if you waiste time and apportunities you will end up bitter like chidbebz
Mr lawama ,,
Bro sky inabid tu akwepe hiyo mikono ya chid maana 😂😂😂lkn pmoja na yote chid apate hak zake jmn
jamani chidi punguza kulaumu bro wewe ni rappa mkali wachia magoma
Wewe tuliya jama yuko sahihi
@@yahayashuta9608anataka Diamond amuse share wasafi? Mziki unauzwa mitandaoni yaani muziki platforms yeye anajuwa saana aende studio aachie ma ngona aweke mitandaoni mashabiki zake wakinunuwa muziji wake jwa wingi hata ma promoter watampa ma show kuliko kulaumu Diamond Diamond inakuwakama Diamond ndie anaambia mashabiki wamsikilize nani wakati Diamond mwenyewe huko mitandaoni ndio anauza mziki wake
Kabisa,,jamaa ana lawama mnoo
@@yahayashuta9608 sahihi kwa lipi? Mitandao iko wazi na ndio mahali wasanii wote duniani wanaweka kaxi zao Chidi aingie studio atowe kazi awake mitandaoni mashabiki zake watanunuwa kazi zake huko sio kalaumu watu, mashabiki zake wanao sema chidi anajuwa saana wakinunuwa kazi zake mitandaoni hata ma promoter watampa shows, aache mibangi afanye kazi
@@yahayashuta9608sahihi kwa lipi? Soku hizi biashara ya mziki ni mitandaoni yeye aingie studio atowe kazi mashabiki zake wataenda music platforms na ma promoter watamupa kazi msaniiunachana vizuri aje kila mara kuaumu laumu watu anataka abebwe mgongoni? Kama yeye anajuwa saana kwa nini asitoe ngoma
Utavunjiwa meza 😂😂😂
Huyu hawez kupona
Ya Mungu mengi, usiropoke
jamaa ako vizuri,ukimchukilia chizi pia anakupa za uchizi
@allandoro1051: ni chizi ndio sababu kipaji anaco jina anayo mashabiki anao, soko ya music iko wazi kila music platforms ila hatoe nyimbo ili wanao mkubali waende wanunuwe music wake sasa kipaji chake inakaxi gani? Kama sio uchizi
Jamaa alikuwa anaenda Picnic si Kwa wahuni kule😂😂
Real G Real Thing REAL MOTHERFUCKING G .......One of the best interview CHIDI MAKAVELI BENZ
Really 2pac wa bongo.
one thing i have know hao wasani wa back in the days their dont hate diamond ni mondi ataki kusema ukweli kua kuna watu walipa support ata kama ni kidogo diamond amejiweka kwa level ambaye ati alipambana mwenyewe mpaka hakafika hapa mahali yuko na ndio apo yuko wrong
ata 50 cent alitolewa na eminem lakini ajioni super star kuliko dr dre na eminem KE
Watz wanaishi kishabiki sana
Jaman kwa yoyote anaeangalia hii interview please sana usiruke dkk ya 43:00 Mpk mwisho
Chidi: Sipendi kumuongelea Diamond. Wakati kila interview lazima amuongelee. Lawama kila siku na kuombaomba kama kote
Daa story ya mapua inachekesha sana
😂😂😂😂😂😂ety anashik pua😂😂😂😂
Chid uko True
M n WCB fan for life,lkn najiuliza why ngoma ya Diamond na Chid haijatoka hadi leo???????
Chidi he’s only need chapati he doesn’t need help couse izo help zote anazo fanyiwa yeye ha count kutoka yeye anahisi kashasaidia watu anavyo hisi kashasaidia na watu kukupa pesa tu wanahisi km unatumia hivyo vilevi hawatakipia kuna unatumia hivyo vitu in some how ila watu wanakupenda nahisi aache kuonga hizo issues focus in your things my bro one love
😂😂😂 Eti aijalishi hii vídeo umeshut kwenye yai....