EXCLUSIVE: DUDU BAYA AFICHUA SIRI YA TANGAZO LA PEPSI ALILO PEWA DIAMOND / UCHAWI FITNA VYAHUSIKA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 дек 2024

Комментарии • 291

  • @petersimfukwe9802
    @petersimfukwe9802 5 лет назад +73

    You are very right Mr Konki, you are well known in Zambia and we love you. I still remember your old song called Nakupenda mpezi!
    From Zambia

  • @ibrahimfrance1576
    @ibrahimfrance1576 5 лет назад +248

    Anaye kubaliana na ukweli anaouongea dudu gonga like tujuane

    • @homan_nkwama
      @homan_nkwama 5 лет назад +1

      Ibrahim France sigongi like na gonga mezaaa

    • @paulomkumbwa3836
      @paulomkumbwa3836 5 лет назад +1

      Safi sana konki konki masta

    • @SumailAssane
      @SumailAssane 8 месяцев назад

      Namwelewa kutoka mozambiq

  • @thobiasmwambeta6990
    @thobiasmwambeta6990 5 лет назад +26

    Aisee ubarikiwe kwa maneno ya busara Mungu Akubarikj

  • @Naziluna-en7lj
    @Naziluna-en7lj 5 лет назад +17

    heshima kwako nkonki wetu nakupenda san kwa sbb ww ni mkweli
    hlf unajiamini huogopi chochote big up baba

  • @frankkinyaiya.8217
    @frankkinyaiya.8217 5 лет назад +28

    Ushauri wako mzur sana konk be blessed

  • @evartmurangira1384
    @evartmurangira1384 5 лет назад +48

    bunduki hizi muhimu .kujiamimini, kutokata tamaa, kujituma ,sikubali kushindwa @like twende

  • @omarmteg972
    @omarmteg972 4 года назад +4

    Dah nimekuelewa kaka tena sn mungu akulinde kaka

  • @saidpara7494
    @saidpara7494 4 года назад +14

    Mala ya kwanza watu walikuwa hawa muelew. Tulio muelewa tangaia mwanzo gonga 🙌

  • @martindeogratius6547
    @martindeogratius6547 5 лет назад +27

    Umeongea point sana bro wangu may God be with you.

  • @abdulrahmanmussa4479
    @abdulrahmanmussa4479 5 лет назад +31

    Subhanallah konki anajua kama swala 5 muhimu ana himiza watu wapige swala alafu kuna waislamu hata khabari hawana mungu awaongoze

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 года назад +2

    Kweli kinga yako ni damu ya yesu nmekuerewa sana bro

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 5 лет назад +19

    Head on..,point taken. Konki, Konki, Konki master.

    • @dominickalume2891
      @dominickalume2891 5 лет назад

      Mimi Nadhani Watanzania MNA wanaharakati ila hamuoni kama wanafanya vyema Sana Kuelimisha Kiukweli,...Nimeona Huyu dudu mbaya,..Na Mwijaku ,Niki wa pili..Na wengineo huwa wanaongea sana na wanatoa ushauri bure ila hamtilii maanani watanzania Huku Kenya Wasagaji na Mashoga wamekithiri Bwana....na tena wanapewa mpaka interview kabisa katika Redio kuweni na Shukrani kwa watu kama hawa Jamani...•√

  • @dkensmopainvevo3683
    @dkensmopainvevo3683 5 лет назад +23

    Hili jamaa noma saana 💯😂😂

  • @abuuslater9242
    @abuuslater9242 4 года назад +4

    Dudu Baya's Facts I'll always remember this words #
    God bless Dudu..........

  • @alikorobert3572
    @alikorobert3572 5 лет назад +7

    Dudu nakukubali kaka saf sanaaa Mr fact

  • @eliakibandike345
    @eliakibandike345 5 лет назад +71

    Kama ulikuwa haujui DUDU BAYA anamiliki BUNDUKI 4 Gonga meza hapaaaa

  • @sultanmganzira4388
    @sultanmganzira4388 5 лет назад +6

    Ubarikiwe konk

  • @samsonshedrack8096
    @samsonshedrack8096 5 лет назад +8

    Upo vzr xana konki3 mungu akulinde xana

  • @johnedwardkassawa2952
    @johnedwardkassawa2952 5 лет назад +7

    konki master you rock my brother

  • @Winstonfying
    @Winstonfying 4 года назад +1

    Respect Konki Master, gonga meza/like pamoja nami kwa ajili ya madini haya.

  • @mkomboraahmedchome
    @mkomboraahmedchome 5 лет назад +16

    Dudu baya wewe Ni Voice of voiceless

  • @florinjoseph2504
    @florinjoseph2504 4 года назад

    Nakukubali Sana mr kaza buti aisee nakupenda sana maana unaongea ukweli kabisana ila natamani siku moja uwe pastor kwenye neno la mungu uko vizuri Sana Biga Up sana

  • @akibarahamadi5058
    @akibarahamadi5058 5 лет назад +26

    allah atakubariki konki master wey ni msema ukweli cloudz sio wat wa zuri lakin kwa wcb wameshindwa

  • @medyyakub8754
    @medyyakub8754 5 лет назад +10

    So clever can't imagine

  • @kizungasalum4772
    @kizungasalum4772 5 лет назад +5

    Perfect Broo you are legendary

  • @debbiethomas9825
    @debbiethomas9825 5 лет назад +50

    SKUWAHI KUJUA KAMA HUYU MJINGA ANA AKILI HIVI....!!!!!!!😟😟😟😟 Linajibu mapoint balaa....😀😀😀😀😀

    • @jumandutu2275
      @jumandutu2275 4 года назад

      Hili Jamaa Lina akili kinomaa usilichukulie pow mjuba

  • @petermsangi2701
    @petermsangi2701 5 лет назад +18

    Wise talk broo ,,,hizi ndio points zakuongea

  • @peterpain5594
    @peterpain5594 5 лет назад +13

    Point

  • @davidwalalason7630
    @davidwalalason7630 5 лет назад +16

    I seriously take dudu baya's word In high concern.

  • @shodristvtv6121
    @shodristvtv6121 5 лет назад +18

    Nakukubali sana konki master

  • @michaelgeorge1431
    @michaelgeorge1431 5 лет назад +3

    Kuwa karibu na ibada sawa kabisa konki master

  • @michezomixer
    @michezomixer 4 года назад +3

    Unakaa kwenye magorofa kwa kufumuliwa marinda..😂😂😂

  • @nessa4899
    @nessa4899 5 лет назад +5

    Ubarikiwe konki

  • @rolandechoisina7576
    @rolandechoisina7576 5 лет назад +22

    big up sana Dudu baya tunakupenda sana nyimbo zako tunazisikia sana toka RDCongo

  • @kimedinson5879
    @kimedinson5879 5 лет назад +7

    from urope i love konk

  • @hassanjumbe1368
    @hassanjumbe1368 5 лет назад +19

    Sema ukweli wote dudu

  • @Kachaa254
    @Kachaa254 4 года назад

    Huyu jamaa anaongea ukweli na hio Ni kauli nzuri kwa yeyote mpenda maendeleo 👊👊 Safi Sana master

  • @hamisimmasudi1207
    @hamisimmasudi1207 5 лет назад +7

    FACT SANA

  • @thobiasndichaye4861
    @thobiasndichaye4861 5 лет назад +2

    Uko vizuri sana konk kuokoka ni chanzo cha marifa

  • @mariamothman7404
    @mariamothman7404 4 года назад +5

    Me hapo kwa marinda tu nda nimepapenda👌

  • @abilahswalehe4206
    @abilahswalehe4206 5 лет назад +16

    Dudu asaivi umekuwa mwelewa sana

  • @edwardongori7734
    @edwardongori7734 2 года назад

    Konki konki konki master.Mungu akujalie

  • @barakamollel2109
    @barakamollel2109 4 года назад +4

    How many of u can really understand Dudu as i do???

  • @blacksezo6167
    @blacksezo6167 5 лет назад +5

    Nakuhelewa bro 🔥🔥🔥

  • @richmondtiger8535
    @richmondtiger8535 4 года назад

    Konk 3 master nakukubari sana bro msema kweli nimpenzi wa mungu mungu akulinde nawatu wabaya

  • @fatmaismail7683
    @fatmaismail7683 4 года назад +2

    Leo umenifurahisha

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 4 года назад

    Hongera sana mzee kwa elimu nzuri ya jamii

  • @edwardmlenge5802
    @edwardmlenge5802 5 лет назад +33

    Nimezipenda bunduki nne nami nitazifuata

    • @rukiaosman8416
      @rukiaosman8416 5 лет назад

      Kabisa mashaallah mashaallah I love you brother wangu

    • @mosesmwafwenga3012
      @mosesmwafwenga3012 5 лет назад

      Konki konk masters nakubaliiiiiiiiiiiii wewe ni jembe

  • @allyswear1077
    @allyswear1077 4 года назад

    Dah safi sana ndugu umeongea point tupu

  • @stevenobillo7100
    @stevenobillo7100 5 лет назад +4

    Umeongea point dudu

  • @charlskpc1103
    @charlskpc1103 5 лет назад +9

    You're so bright konk master.

  • @tzboy150
    @tzboy150 5 лет назад +9

    kabisa konk

  • @sethmopao771
    @sethmopao771 5 лет назад +6

    Bro, now I can say I love you, i trust you

  • @andersonchibule4761
    @andersonchibule4761 5 лет назад +5

    Aminia Dudu

  • @chicharitoronaldo5950
    @chicharitoronaldo5950 5 лет назад +3

    Uko Sawa Konki Masta👍🏼

  • @sudymalema2313
    @sudymalema2313 4 года назад

    👏👏👏💯💯 izii ndiyo talifa zakutuletea sio mnatuletea wakin.......😁😁😁

  • @christopherkutizibwa3476
    @christopherkutizibwa3476 4 года назад

    Dudu Baya umeongea mengi sana. Unajua sana vitu vingi sana brother.

  • @upgang156
    @upgang156 5 лет назад +20

    K0nK! K0nK! K0nK Master

  • @keyibrahim1982
    @keyibrahim1982 4 года назад

    Amin shekh

  • @denisaloycekobelo6411
    @denisaloycekobelo6411 5 лет назад +1

    Upo vizuri kamanda

  • @pauloogtv1741
    @pauloogtv1741 4 года назад

    Daaaaaaa tembea nawanao nukia nawe utanukia nimepena buleeee jamaa ana hakili xana likee ziko wap kwa duduby

  • @ruionyango8818
    @ruionyango8818 5 лет назад +5

    Dudu Nuksi "nakupenda Sana usiyependa noti nakupenda sana usiependa doo"
    Dudu Balaa langtym.

  • @sethlilageza5968
    @sethlilageza5968 5 лет назад +56

    aliona Dudu baya (konk masta) ameng'aa kwa sababu ya kunywa maji mengi

  • @araphakhatibu9853
    @araphakhatibu9853 4 года назад

    Uko vizuri dudu baya

  • @edsonshirima5208
    @edsonshirima5208 5 лет назад +19

    kashaacha pombe, kweli ashukuriwe Mungu

  • @nyamarungujr7834
    @nyamarungujr7834 4 года назад +2

    Aloisoma na kuiona bunduki ya tatu 11:26 gonga like tukachukue bunduki😅😅😅😅😅

  • @ochutzboy5631
    @ochutzboy5631 5 лет назад +1

    Nakukubali sana dudu kizazi jeuri

  • @charlesmore486
    @charlesmore486 5 лет назад +13

    Xana konki ni truth yote kwel mandaz ya elfu ishirn huwez ukapata laki tatu "kizazi xan konki"

  • @fredricklyimo3238
    @fredricklyimo3238 5 лет назад +7

    SHIKAMOO BRAZA

  • @Jc-wl6yf
    @Jc-wl6yf 5 лет назад +9

    Dudu

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 4 года назад

    Dudu zuriiyeee hebu tunga wimboo 1 au zaidi wa Yesu huku makanisani kote hakuna haja ya makampuni tutakinua kwa utakavyokuwa unavyomwinua Mungu

  • @patrickmpali6513
    @patrickmpali6513 5 лет назад +10

    Konk unaupeo mkubwa xnaaa wa kufikilia na na ata unavyo ongea tu,ni mtu ambaye umesha juwa wasan wamekosea wapi safi xnaaa,point ya uwezi kuwa na mtaji wa vitumbuwa vya Elf 20 Alf ukataka faida ya lk 2 aiwezekani .bigap konk konk monk master.

    • @Jumaaa1111
      @Jumaaa1111 5 лет назад +1

      Dudu baya uko vizuri Sana

  • @boscoamadi9135
    @boscoamadi9135 5 лет назад +1

    Sanaa konk konk konk mastar

  • @shareefkamtande4692
    @shareefkamtande4692 5 лет назад +7

    Konki3master

  • @goddamwakimi5889
    @goddamwakimi5889 5 лет назад +2

    Nakukubar dudu

  • @dandan9030
    @dandan9030 4 года назад

    Asante xna konk master

  • @asajileraphael1951
    @asajileraphael1951 6 месяцев назад

    Unaakili Sana bro

  • @jwakoofficial1560
    @jwakoofficial1560 2 года назад

    Nakukubari sanakonki

  • @officialmisungwi8870
    @officialmisungwi8870 5 лет назад +6

    Duuh konki' umenisemelezea aisee

  • @peterfania1005
    @peterfania1005 4 года назад

    Big up brother 💪🏾✋😘

  • @isayapaul2921
    @isayapaul2921 5 лет назад +19

    Kweli mungu yupo sikutegemea huyu jamaa angeongea point nzur kama hizi

  • @sophieaden5367
    @sophieaden5367 5 лет назад +5

    Unasema ukweli

  • @bonifasbonara9323
    @bonifasbonara9323 4 года назад +3

    Kofi yupo kwenye game toka mwaka 7o kwenye game ya kongo mwangu dudu bwana

  • @majaliwapili2928
    @majaliwapili2928 5 лет назад +15

    Simbaaa platnumz mfalume wa bongo frev

    • @jansenmlb6592
      @jansenmlb6592 4 года назад

      Asanteeeeeee nakubal pamoja sana

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 лет назад +9

    Nakubaliana na wewe dudu unaongea ukweli usio pingika

  • @wangwemseti7592
    @wangwemseti7592 5 лет назад +4

    Mdogo wangu bado jamii inakukubali tumia hichi kipindi kifupi ulicho nacho kwenye sanaa kwa kurekebisha pale ulipo kosea usiruhusu yale zamani yajirudie tumia nafasi kujijenga

  • @saedissah2197
    @saedissah2197 4 года назад +1

    Leo ajalewa....!!!!!

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 года назад +1

    Dudubaya huwa anaongea fresh siku zote isipokuwa huwa hatumuelew kila siku TU . Hilo ndio tatzo
    Misenge inaanzia boarding .,.......

  • @rashidmohamedi1495
    @rashidmohamedi1495 5 лет назад +10

    Huyu jamaa tunamuonaga mlopokaji ila anaongea vitu konki Sanaa au mnasemaj?

  • @moudymchemia6598
    @moudymchemia6598 5 лет назад +5

    Ukweli hujenga jamii saafi konki

  • @ernestlaiza9489
    @ernestlaiza9489 5 лет назад +4

    konk konk konk master nakuaminia

  • @fahadsaid9616
    @fahadsaid9616 4 года назад

    Konki nakupa salute kwa mara ya kwanza

  • @akilihabibu4203
    @akilihabibu4203 4 года назад

    Mheshimiwa DUDUBAYA unatisha maneno mazito ujumbe mzito. Daa! Naweza kusema ni yamaqa

  • @harerimanadeoleon2594
    @harerimanadeoleon2594 4 года назад

    Uko mzima kichwani mwenezi mungu atakusaidiya utasonga mbele

  • @atanasjisonge2538
    @atanasjisonge2538 4 года назад

    Nakukubali sana konki3

  • @jerushanyawera4964
    @jerushanyawera4964 3 года назад

    Come stay Kenya🇰🇪

  • @mbosothankyouilikeyoursong9850
    @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 лет назад +6

    Koffi olomedi ni wa zamanii saaana ana mwaka 25 toka alianza kuimbaaa brooo samahani dudu baya essbu vizuri broooo

    • @kombosaira7894
      @kombosaira7894 5 лет назад +1

      Hujamuelewa

    • @kombosaira7894
      @kombosaira7894 5 лет назад +1

      Kasema Kofi olomede ni new generation.akimaanisha wapo wakongwe zaid yke.pia ata yeye dudubaya ni new geration kwa maana miaka ya nyuma bongo hapakuwa na mziki rasmi

    • @mbosothankyouilikeyoursong9850
      @mbosothankyouilikeyoursong9850 5 лет назад

      @@kombosaira7894 nooo my dear nini Tanzania ndiyo nilikuwa lava hamumujuwe koffi olomid ila wa Tanzaniya walimuwa london one ya Tanzania walimuwa wakimtambuwaa unajuwa wale wako na mama khadija kila mzee yousufu khadija yusufu ndiye saaana walimuwa wana Juliana yarabi ila koffi toka alianza kuimba ana mwaka 27 years anasema weradon sawa wwra sone fun mpaaa kabisa na hello ni wapya lakini koffi niwazamani saana

    • @farijala1
      @farijala1 5 лет назад

      mboso thank you ilike your songs All th Hi unakosoa halafu hujui. Ana zaidi ya miaka 25

    • @kingofafricaall6541
      @kingofafricaall6541 4 года назад

      Sasa kofii 25 nawew si Kama dudu tu

  • @upgang156
    @upgang156 5 лет назад +17

    Dudu baya katiKA maubiri yotE ya Mwamposa alichoshikilia ni Nyota ya bikira Maria kung'aa

  • @arafashabani4834
    @arafashabani4834 4 года назад +3

    Ina maana hajui kwamba wamiliki wa Wasafi ndo hao hao wanaomiliki redio anayoichukia? Hata wanamiliki 51% bado wana sauti

  • @avellygelas1828
    @avellygelas1828 5 лет назад +5

    Akili zipo asee