Inapendeza hii show: Ali Kiba pamoja na yote, ubaki ulivyo, utajiharibu siku ukianza kuiga mambo yasiyo na maana kama kutoboa masikio, naona uko natural mno, pongezi. Salama, Muba na John pongezi kwenu. Kipindi mnaimudu sana..
the first ever extended mkasi video basi lazima ni special mno. Ali kiba is soo gentle and for real always my favorite tz artist. Big up "tuko wazi crew"
Salama thanks for bring this awesome person to your show like seriously iwas waiting ally kiba to ur show mda mrefu, john muba maswali poa, addicted to mkasi show, big up, the last thing ally kiba man his cute he got that awww smile u feel me, oke ya mwisho salama i feel you sana . Okebye
Love him loads his for real, just like his name. this nicca he never act . Bless brava. Sisi kama ma fun's tuna kukubali sana tena sana ur supastar- dont be zzzzz again usiwe mkimya. Napenda nyimbo zako sana mbali na kuburudisha pia inafundisha so ur up there juu mno, napenda nyimbo zako cause sio mziki tu bali ni shule, so proud of u, mbali na usupa star kaka una heshma the way u talk the way you wear ur clothing. Ww si mtu wa ma tatu mahereni ur just simple pure superstar ali kiba for real, got you back son. And wish you luck kwa kila ufanyalo, isiwe ishu kuwa ww husafiri kwenda wapi mziki bora sio safari sio mavazi sio video mziki bora ni ujumbe na ujumbe tuna upata ipasavyo kupitia mziki wako, do ur things kista arabu kama tunavukujua ww ni mstarab mno huna majivuno huna dharau ww ni mtu wa kufanya yako, ah naweza ni simalize kusema ila tu jua ur my number 1 supaster in tanzania accoding to your song's and your voice and your behave, last thing brava dont forget swala do all your things but swala is a comminication between you and who make you perfect allah, mad love from holland najma, respect
ALI Kiba nilifurahi sana kusikiliza inerview yako lakini naomba nikwamibie najua hutaki kusikia kwamba nimakosa kuzaa mtoto lakini nikweli nimakosa kwako na jamii kupata mtoto na familia kutangana kwa sababu huyo mtoto atamfuata nani? hataweza kumuita bibi mama atamwita bibi, bibi na mtoto mmezaa nyie na siyo mama yako mama yako anatakiwa alindwe na kutunzwa na nyie na siyo yeye kurudi nyuma na kuanza mjukuu tunajua mama zetu wanapenda wajukuu . lakini siyo haki kuwaacha watulelee watoto wetu tumekuwa so lets take responsibility of our actions we bring the baby in the world we raise them with one love with no excuses we have to try and find solution in any difficult journey in our life because a child need there MUM and DAD and the Grandmothers are there to help you whenever you need them . and not to abandon your children to them . ninapenda kazi yako man na ninaomba mungu akuongezee baraka katika kazi yako aliyokujalia ........... asante sana
I record a reporter ask him a very good question, she said" how did you just known you are a superstar?" He's just responding nonsense. I'm sorry he's not quiet smart enough to answer critical questions.
nimependa sana mlivyo muuliza kuhusu dully, swali zuri kwa kua sio kumuuliza kuhusu yeye tu at least we know how he sees dully's music trend, ... so John big up sana kwa swali lako ..... and it was a nice interview
diamond hakuna heshima hajui lolote wewe ndio unampandisha cheo kasaidiwa sana Na kiba mpaka katoka ndio Leo unamjua tunaangalia pamoja kuwa watanzania ni muuza unga tyu ilo wabongo hawajui Mayotte kuna population ya watu wangapi hata imlipe tujiuze
Nimeirudiaa Hii ShoW 2020 Naombenii Lik Zanguhh
Inapendeza hii show: Ali Kiba pamoja na yote, ubaki ulivyo, utajiharibu siku ukianza kuiga mambo yasiyo na maana kama kutoboa masikio, naona uko natural mno, pongezi. Salama, Muba na John pongezi kwenu. Kipindi mnaimudu sana..
Kama upo nami 2023 gonga like hapa ❤ 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
the first ever extended mkasi video basi lazima ni special mno. Ali kiba is soo gentle and for real always my favorite tz artist. Big up "tuko wazi crew"
Hey kiba napenda sn nyimbo zako bro jp kua niko saudia bt sikosi kuagalia nyimbo zako keep it up Inshaallah na mola atatimiza dreamzzz zako Ameen
Ali Mashallha tabarakaallah uko juu klacku. Samalma nimependa Unavyo uliza maswali
Kip it my dear
Salama thanks for bring this awesome person to your show like seriously iwas waiting ally kiba to ur show mda mrefu, john muba maswali poa, addicted to mkasi show, big up, the last thing ally kiba man his cute he got that awww smile u feel me, oke ya mwisho salama i feel you sana . Okebye
I like the way +Ali Kiba alivyokua anarespond kwa questions mbali mbali, Smart and thoughtful. Big up
Am proud of u king ur tha best big up bruudha watching from Dubai
Nampenda sana Ali king of bongo big up Ali
Dah huu dada anamkera Ali kiba Kwa kumtetea diamond any kali sana Ali kiba nakukubali sana💪💪💪💪
Km unaichek 2020 gonga like hapa
wow the best reason Ali kiba.hapa powa.
Nakupenda sana alikiba. Weye njo musani mukubwa. Yule ni FREEMASON inamubeba hana lolote
Ww ni msenge hujaona ally kiba wamemuweka macho mekundu siku anaingia freemasoni
Love him loads his for real, just like his name. this nicca he never act . Bless brava. Sisi kama ma fun's tuna kukubali sana tena sana ur supastar- dont be zzzzz again usiwe mkimya. Napenda nyimbo zako sana mbali na kuburudisha pia inafundisha so ur up there juu mno, napenda nyimbo zako cause sio mziki tu bali ni shule, so proud of u, mbali na usupa star kaka una heshma the way u talk the way you wear ur clothing. Ww si mtu wa ma tatu mahereni ur just simple pure superstar ali kiba for real, got you back son. And wish you luck kwa kila ufanyalo, isiwe ishu kuwa ww husafiri kwenda wapi mziki bora sio safari sio mavazi sio video mziki bora ni ujumbe na ujumbe tuna upata ipasavyo kupitia mziki wako, do ur things kista arabu kama tunavukujua ww ni mstarab mno huna majivuno huna dharau ww ni mtu wa kufanya yako, ah naweza ni simalize kusema ila tu jua ur my number 1 supaster in tanzania accoding to your song's and your voice and your behave, last thing brava dont forget swala do all your things but swala is a comminication between you and who make you perfect allah, mad love from holland najma, respect
love everything u do ali kiba
Alikiba Niko nawimbo wangu lakini inaitaji Saudi yako
he is simple but so cute
Its was the best show...big up kiba...much lv
Ur de best artist in east africa & across the world
Ali Kiba is so mature, his way of addressing an issue is on point.. Diamond has nothing on him #whylie
poakaka
Nice speeches my dear. you're true
Lying mom,
Fala kweli
Must you bring in someone else in order to congratulate who you like
one of the best show ever🙌🙌
SJ hongera kwa kutuckiliza fanz wko ktk swala la kuengeza dakika nice inteview nime enjoy more then last time big up
I likes alikiba when he is talking the truth I love you kiba
I like ur ways of handlling issues.
You dont say your a superstar You show your a super star
Your so proud
Naombeni hiyo number ya panya road. Nadai watu na hawataki kulipa. Mtakuwa mmenisaidia sana sana
2019
Nice
king kiba juu sana big up sana
On air, repeat
Wenye wanaangalia intvyu 2023 gonga like
I luv ua maturity kiba
The King himself
Team-Kiba💞💞
panya roady,u make me happy.
king kiba naomba mtuonyeshe wa tz kuw wewe na diamond hamna bifu yoyote chezeni nyimbo moja ili amani iwepo
Ali kiiiiiiiba the king
Marry Mary
Ali you're right dully vocal ni mkali especially The Dhahab song
king
kiba the best
Too much love from Buja, we love too much Alikiba in Burundi.
Tungependa achukuwe ile ya finale ya primusic
We don't like Diamond
But King KIBA
your just awesome Kiba salute brodah
kuiona show yako UK Bamigham..kumenifanya kuuelewa msimamo mzima wa Bongo fleva #KingBidder
November 2019
How come to watch 2023. 🙋
2024
Huyu mjamaaa namkubali sana
Sijapenda unavyosema unajua wewe ni Super Star
kwani wewe una nini kwake
Kiongozi wa masauti yani hakitoka Bella kiba ndio dawa yao
Bella yule mazogo tu hna ishu watu wanasauti km uyo kiba
KING.........#KIBA
king upo vizuli sana
i lk hw he s humble diamond anafaa amuige kiba otherwse haedi far
Irene Njoroge kuma ww
King Kama king
nakubali kiba
Nice
Jamani Kiba nakupenda ww
salama naomba tuoane
When are we non east africans going to watch alikiba english interview,we want to know what he is saying or pls translate for us to read
yap
ALI Kiba nilifurahi sana kusikiliza inerview yako lakini naomba nikwamibie najua hutaki kusikia kwamba nimakosa kuzaa mtoto lakini nikweli nimakosa kwako na jamii kupata mtoto na familia kutangana kwa sababu huyo mtoto atamfuata nani? hataweza kumuita bibi mama atamwita bibi, bibi na mtoto mmezaa nyie na siyo mama yako mama yako anatakiwa alindwe na kutunzwa na nyie na siyo yeye kurudi nyuma na kuanza mjukuu tunajua mama zetu wanapenda wajukuu . lakini siyo haki kuwaacha watulelee watoto wetu tumekuwa so lets take responsibility of our actions we bring the baby in the world we raise them with one love with no excuses we have to try and find solution in any difficult journey in our life because a child need there MUM and DAD and the Grandmothers are there to help you whenever you need them . and not to abandon your children to them . ninapenda kazi yako man na ninaomba mungu akuongezee baraka katika kazi yako aliyokujalia ........... asante sana
Samwel Mwanga ú
kweli bhana fundi uyo
KING
Hatali 2023
kweli Uncle nakukubal 👑 music
saluti kaka kaza mwendo
Yeah
nice
alikiba ni mkali
Yep ali better than diamond
TheKING
I record a reporter ask him a very good question, she said" how did you just known you are a superstar?" He's just responding nonsense. I'm sorry he's not quiet smart enough to answer critical questions.
And he add original, he talking nonsense
Nigeria movie
2022
nimependa sana mlivyo muuliza kuhusu dully, swali zuri kwa kua sio kumuuliza kuhusu yeye tu at least we know how he sees dully's music trend, ... so John big up sana kwa swali lako ..... and it was a nice interview
2020/4/1
Guud
KIBA
Kipusa
After The Middle Finger may Allah Bless You thats Maturity
uko p bloe
Ali k 4Real
Kadogo
Kwa mkaai Ali utakoma tu
ACHENI KUTOA VITU AMBAVYO SIO VIZURI
Mubaaa
18/7/2020
Yebaba
Pop it in
Huyu kashakalishwaa na diamond hana ujanjaa
Vipi kuna mtu kaukuuliza au? Acha ujinga.
06/02/2021
team platnumz
D- PLATUNMZ 4real
Sa mnacomment hapa mmeulizwa bata mizinga nyie
ALVEDA JUMA acha zako Wee fala kwani lazima utaje domo
Sasa Wewe team Domo hapa unafuata NN
Huko ni kumsuta,maswali magumu kuhusu girlfriends
diamond hakuna heshima hajui lolote wewe ndio unampandisha cheo kasaidiwa sana Na kiba mpaka katoka ndio Leo unamjua tunaangalia pamoja kuwa watanzania ni muuza unga tyu ilo wabongo hawajui Mayotte kuna population ya watu wangapi hata imlipe tujiuze
B
Andujee😂
Kiba the kiba love you braza
A
"Papare".... rotflmaof!!!!!