Big boy P funk salute ✋✋ thanks to Willy m Tuva I knew u before hata nikuone.......and please block 89 you should invite that TV and radio presenter(mzazi Willy m Tuva )from 254.....
Kuna maswali mnaepuka kumuuuuliza the legend p sasa sjui nikwann,,, swali inabidi umuuulize ni kwann alizima ghafra akawa hasikiki kma aliyokuwa anaskika enzi zle za akina espekta haluuuun babuuu
Muda mwingine mjipange watu Kama majani si wa kuuliza maswali yasiyo na taarifa sahihi unaona anavyowasahihisha? Hatupondei block 89 hapana Ila time nyingine mjipange maana majani ukimuita kufanya interview uwe well prepared. Karabani nimekuelewa kizazi sana.
Album ya kwanza ya sog ili sambazwa na fm alibeba gitaa kwenye picha ya cover duu mmenikumbusha mbali cc ndio manguli wa usambazaji tulianza na music huu long time
Mwamba kachill on dis 1 mtu imara nakukbali sanaa ila P funk umeiteka block 88.9 interview yako hamna kabisaa na upate msanii mkubwa ùmsimamie itaķua poa sanàa
Interviewers wakiwa wengi...naona km inaleta distortion cz kila ktu kinakuwa shallow ila one on one hii interview ingekuwa deep sana na tungejifunza mambo kutoka kwa interviewee!! Ni maoni tu
Watangazaji!! Jaribuni kuangalia interview za Ayo tv au clouds muone wanavyomhoji mtu kulingana na caliber yake!! Huyo Pfunk ni legendary mkubwa ila nyie mnamhoji kwa hali ya chini kiasi kwamba hatoi mambo mazuri aliyonayo katika tasnia ya muziki.
Hakuna kazi bila kujiandaa ila kuna maswali yanapojibiwa unakuta amejibu hadi swali namba tatu na tano... Utashi wa utangazaji sio tu kuandaa maswali, kuna muda unaangalia na mtu unaemuuliza, P funk sio Dudu baya ukamuuliza ujinga akakuchekea
P funk umetuweza million9 au8 just for shoes nani pair12 tu I can't believe that joh umetuingiza chaka kaka ata kama n nje hyo pesa siunafunga duka lako mwenyew kubw la viatu hapa bongo na mzgo ukaw unachukua huko huko nje
Mzee usiseme mtu hajui maana sidhani kama una Elimu yoyote ya utangazaji, kutangaza kuna mambo mengi sana sijui umemchukulia category gani au unamfananisha na nan...? Bango ni kubwa
1:11:02 ma nigga mbona kama unajisema mwenyewe, you literally just said you do nearly everything kwenye label yako?? Live what you preach bro! Muchas gracias, I was expecting more wisdom from you P!
hahahahahahaaaaaaa wa bongo bhana dola 4500,sijui mkwama wapi sababu kila msanii akifanyiwa mahojiano anasema ananijiweza,ngoja apate majanga kidogo utasikia mpka mawaziri wametanjwaa akiomba msaada,acheni hizo
Jamaa wanamjua Soggy wa Kibanda Cha Simu!!! Kweli nyie ni watoto wa juzi. Soggy kabla ya hapo alikuwa mtangazaji RFA wakati huo akiimba Hot Pot Family. Usimuone mfupi ni mzee yule bro.
Nimependa interview ya leo. Respect 🙇 P Funk🔥🔥🔥# wasafi 4life
Nimependa apo pfunk aliposema MTU anatumia vitu big up sana vijana wengi wamehalibika
I like this, big shoutout for p funk...!! Anafany niendelee penda bongo music
Big boy P funk salute ✋✋ thanks to Willy m Tuva I knew u before hata nikuone.......and please block 89 you should invite that TV and radio presenter(mzazi Willy m Tuva )from 254.....
Yes ma blood p funk yupo vzur sana
Mwalimu ameingia darasani. P funk God bless you bro.hakuna swali walilokuuliza coz hawaujui mziki umetoka wapi
Kuna maswali mnaepuka kumuuuuliza the legend p sasa sjui nikwann,,, swali inabidi umuuulize ni kwann alizima ghafra akawa hasikiki kma aliyokuwa anaskika enzi zle za akina espekta haluuuun babuuu
Muda mwingine mjipange watu Kama majani si wa kuuliza maswali yasiyo na taarifa sahihi unaona anavyowasahihisha? Hatupondei block 89 hapana Ila time nyingine mjipange maana majani ukimuita kufanya interview uwe well prepared. Karabani nimekuelewa kizazi sana.
hii interview hamkujipanga, hamjamtendea haki p, sijaona maswali, muwe na mtu ambaye anajua muziki ulipokuwa mziki aulize maswali ya maana!!
kweli asee...
Alex Mahenge kabisa
Huyu ndo Pfunk majani !!!!aise nafurahii kumuona, heshima yake...
Block89 sayali nyingine jonijoo babako nakukubali ile mbaya
N
Aliya nakupenda kinomanoma
Wasafi tafuteni mtangazaji mkongwe kidogo maaalumu ajili ya wakongwe Kama hao kina P naona mnashindwa kabisa kumuhoji P
Unajielewa ww??
Ukimtoa jonijooo 'na huyo demu, hao wengine mmewaokota wapi,?mbona hawana sifa za utangazaji!sijui wameajiriwa kwa sifa zipi, fukuzeni utumbo huo
Lil Ommy atabak kuwaburuza tu Watangazaji hamjui mnachokiuliza!!!
Bila shaka wewe utakuwa mjumbe wa team wadada
P funk bonge la producer bongo next level
Album ya kwanza ya sog ili sambazwa na fm alibeba gitaa kwenye picha ya cover duu mmenikumbusha mbali cc ndio manguli wa usambazaji tulianza na music huu long time
this Majani Guy should get PHD ya heshima kwenye muziki wetu wa Bongo
PhD?
@@sadickrajabu1191 sure why not?
Nakushauri soma maana ya elimu kisha jua ngazi za elimu na namna ya kupata kwa kupitia class au vigezo vya kutunukiwa award in education issue
@@sadickrajabu1191 wewe ulie pitia ungetupa mwanga hapa kwanza
Sure anafaa
Mwamba kachill on dis 1 mtu imara nakukbali sanaa ila P funk umeiteka block 88.9 interview yako hamna kabisaa na upate msanii mkubwa ùmsimamie itaķua poa sanàa
Nilichogundua jamaa kaja kufundisha vijana hamna mtu wakuuliza swali hapo mtu pekee mwenye ametulia ni Jonijoo anajielewa na yule jamaa chinedu niniii
P funk mnyama mbaya sana jamaa ukiskiliza kaz alizofanya mdundo wakipekee
Majaniii wasafi hapa
Hapo angekuwepo Lil Ommy aseee anajua kupangalia maswali sana
Da! Namkubali sana majani
Maneno yake yanaelimisha..kuchana anajua ila aongeze speed kidogo na abadilike km kinyonga.sijui mnanielewa..ila big up Legendary Majani
P funk tuko pamoja nakubali🇿🇼🇿🇼🇿🇼
Hao presenters cjui wametokapi ....kwanza huyo rasta bure kabisa...kapoa
Interviewers wakiwa wengi...naona km inaleta distortion cz kila ktu kinakuwa shallow ila one on one hii interview ingekuwa deep sana na tungejifunza mambo kutoka kwa interviewee!! Ni maoni tu
Sema majamaa miyeyusho kinoma inabidi mjipange na watu wanaojua ili kipindi kiwe bora
Watangazaji!! Jaribuni kuangalia interview za Ayo tv au clouds muone wanavyomhoji mtu kulingana na caliber yake!! Huyo Pfunk ni legendary mkubwa ila nyie mnamhoji kwa hali ya chini kiasi kwamba hatoi mambo mazuri aliyonayo katika tasnia ya muziki.
maswali yote wamekopi katika interview Majani aliyofanya na Lil Ommy wa Times FM
Aisee huyo dada mashallah.
Jamaa yupo vzr
Sema ndugu zangu block89 ni hamjui mziki wote.. 😅😂😂 interview unamfanyia mtu smart Kama P hata hujajiandaa, wote wasenge tu
Namkubal sana majani
p funk noma juma nature toa ngoma na p funk
P funk majani kitambo Sana aisee.
SAfi
Rapcha ni mkali...salute mzee
Hiko kijamaa kimeuliza swali la kiduanzi saana Dakika ya 26:38 Hajui kitu kabisa! eti Mkali wa Rhymes Mandojo na Domokaya wapi na wapi?
Abdulkadir Sudi hajakosea wale jamaa walikuwepo nao top 3
Mtu mkubwa anaulizwa vitu vya kitoto
Hamjatendea haki p
P mtu mkubwa bhana kwa hii game
Clouds wameharbu mziki na maisha ya watu
Da ujui chochote kuhusu mziki ujui hats watu gani walio umaket mziki was bongo
Kama mna mtu anakuja kuhojiwa jiandaeni Na maswali vinu sio mihemko ya furaha
Baadhi wapo good baadhi wanachemka
Hakuna kazi bila kujiandaa ila kuna maswali yanapojibiwa unakuta amejibu hadi swali namba tatu na tano... Utashi wa utangazaji sio tu kuandaa maswali, kuna muda unaangalia na mtu unaemuuliza, P funk sio Dudu baya ukamuuliza ujinga akakuchekea
Aisee watangazaji ovyo sana yan wameshindwa kabisa kuuliza maswali yaukweli,wanaishia kucheka cheka tu.jipangeni mmeboa coz majani alibidi ajibu maswali mazito
50:00.... huyu dogo hizo lyrics kaziandika..... hakuna freestyle hapo
Soggy wa 1995 , alikua na Camp yake Karakata , Kipawa na Ukonga ....
P funk umetuweza million9 au8 just for shoes nani pair12 tu I can't believe that joh umetuingiza chaka kaka ata kama n nje hyo pesa siunafunga duka lako mwenyew kubw la viatu hapa bongo na mzgo ukaw unachukua huko huko nje
Hebu jaribu kuingia mtandaoni uone bei za viatu Original.. Halaf rudia tena
huyu jamaa yuko kinyamezi sana
Huyo Rapcha anaflow style kama Young Killer wa sasa.
Kwenye comment mashabiki wa upande wa pili utawajua tu wao ni kuponda tu
Yap,... P Funk the Legend!
Huyo dogo nimkali sana!
Nimependa sana
Fanya kupita kwangu ICHUKA TV vitu vikali nimeweka
Msiwe mnamualika mtagazaji alafu mnaleta upuuzi mnaulizamaswali ,muwemnajifunza kwa liliomi
uyo jamaa alie vaa kijeshi na mtambala wake ajui kabisa kutangaza au ndo kujuana
Duuh aisee wee kiboko
uyo jamaa fund sana inawezekana wewe huo unadandia basi kwa mbele
Mzee usiseme mtu hajui maana sidhani kama una Elimu yoyote ya utangazaji, kutangaza kuna mambo mengi sana sijui umemchukulia category gani au unamfananisha na nan...? Bango ni kubwa
Huyo anaitwa mnyama chinedu
Kalipso hayupo kwahiyo kamreplace kwa mda
big up rapcha congrats u hav emproved since scul u sang on ur graduation day big up
Mzee mwenyewe
Lily ommy king of interview wasafi masharo hamna mpya nyie sio ubunifu, afu chalii alievaa T-shirt nyeupe anakiherehere
Wasafi interviews za malengendary kama awa jipangeni huyo sio harmonize. Nextime mjiandae
Wazo zuri sana, jifunzeni kuuliza maswali mafupi....
Nikweli kabisa
Wako less informed..
kabisaa utotoutoto mwingi you suppose to ask serious questions man!! stop kidding.
P majani I have enjoyed the interview
Huyu dogo mwenye kofia hana anachojua.. Hovyooo
Bro mtu imRa nakukubal sana na unajua sanaaa
Mangoya keshakuwa Marehemu jamani
swali langu kwa kaka mkubwa P.MAJAN na Cloud Media hebu atueleze kuna mahusiano gani kati yao????
1:11:02 ma nigga mbona kama unajisema mwenyewe, you literally just said you do nearly everything kwenye label yako?? Live what you preach bro! Muchas gracias, I was expecting more wisdom from you P!
My best producer ever
Sana @rapcha_tz
Kuna maswali amumuulz alafu mpo weng apo studio au mnamuogopa
Pfunk anavocal la kibaharia sema nn wasafi kazen mdoq mdoq mtaeleweka tuu...
Rapture Mkali Kuliko Yule Wa Kumuita Muuaji Mdogo
Najua amjaguandua majan anaongea kibabe sana
hahahahahahaaaaaaa wa bongo bhana dola 4500,sijui mkwama wapi sababu kila msanii akifanyiwa mahojiano anasema ananijiweza,ngoja apate majanga kidogo utasikia mpka mawaziri wametanjwaa akiomba msaada,acheni hizo
Uyo ndio bab paula mwenywe heshima yk mzee
P funk majani legend
Rapcha nomaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪
ulizeni maswali ya kijanja kwa huyo mtu bhna
Sasa ndio mjue kama saidi fela ni mgeni tu
Hahaha huyo dada leo kapigwa doro
Kakosa swali kabisa
Nyimbo 800. Salute!
Yan interview mbovuu hamjui hata kuhojii
Wewe ndohujui
Watangazaji wanamuita mtu kwenye interview halafu hawana info za kutosha jamaa anawakosoa tu....mjipange wazee
Wivu wako
@@adijaniyonkuru9731 wivu wa nini sasa?
Wewe huoni na kusikia? Au ndo mapenz upofu?
Wivu
@@feyzalyusuph14 asanteeee
P funk midundo ya haki Legend
Jamaa wanamjua Soggy wa Kibanda Cha Simu!!! Kweli nyie ni watoto wa juzi. Soggy kabla ya hapo alikuwa mtangazaji RFA wakati huo akiimba Hot Pot Family. Usimuone mfupi ni mzee yule bro.
Umetisha mzee mwenzangu
Alfan----this---is---u---a---king---broooo
Nakubaliii 🔥 🔥 🔥 🔥 🔥
sema nene jonijoooo,, you do yo homework broh.. keep it upp
@Rapcha Tz we mkali sanaa💥💥💥
Kama unapenda simulizi za kihistoria subscribe kwenye channel yetu
Nani kaona Jonijo akinusa Mkono kayoka chooni🤣🤣
Huyu mtoto wa majani balaa
The Legend himself Majanii
P FUNK appreciate you broh
Hii hamkujipanga
Mtu kama huyo mnaacha kumuuliza maswali yamaana
Duuuh umekula chumvi bro naona uko na wanao
Sio nikusaidiaje wazee nyimbo inaitwa ndivo sivyo mbona mnafeli jaman wasafi au hamjui nyimbo za old school
Is this the return of mr. P funk....??
Rapcha nomaaaaa
Kuna movie inaitwa “Sara’s Note Book” Diamond kakaa himo, ipo nyimbo yke hahaha
Find out fellazzzz...!!!
Bongo movie.
@@WasafiSports ambayo sio international
Naijua iyo movie ipo nyimbo ipi
The confidence
Jonjooooo