MAKONDA AJIBU KWA HASIRA - "BORA NISIENDE MAREKANI ILA SITAKUBALI USHOGA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 дек 2024

Комментарии • 330

  • @BettyMeela
    @BettyMeela Месяц назад +78

    Cjawahi kucoment ila leo naomba niseme kitu. Baba Mungu aendeleee kukupigania Makonda wetu

    • @jamesmarumbo6820
      @jamesmarumbo6820 Месяц назад +2

      Ulivyo mbariki shetani kweli unampenda

    • @Ambwene
      @Ambwene Месяц назад

      ​@@jamesmarumbo6820nyie mashoga ndo muende marekani

  • @mahmudahmad5369
    @mahmudahmad5369 Месяц назад +46

    Dah ......! Yaani makonda leo umenifurahisha sana. Mungu akulinde makonda wetu.

  • @HadijaHsalehe-z4k
    @HadijaHsalehe-z4k Месяц назад +4

    Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu...kuwa Mkuu wa mkoa napo unamtumikia Mungu...wewe ni mkweli hata ingetokea maelfu wakupinge katika jambo ambalo kwao si la haki utasimama peke yako kupinga jambo ilo ...Arusha mmepata Mkuu wa mkoa hongereni

  • @AminaYasser-y6j
    @AminaYasser-y6j Месяц назад +21

    ❤❤❤❤❤ namshukuru mungu mnooo.kwakuwaa na mtu km makondaa.kakaangu mungu.akulindee.kweli marekan.wanatabia mbayaa.mnoo.mungu akulindeee.makonda

  • @ELIMBOTOREUBEN-sv5qm
    @ELIMBOTOREUBEN-sv5qm Месяц назад +16

    Yes tunaomba viongozi kama hawa ambao wana chembe chembe ya maguu wawepo wengi tanzania ee mwenyezi mungu tusaidieee 🌹👍🙏🙏🙏🙏🌹

    • @Happizo
      @Happizo 16 дней назад

      Wana chembe chembe ya maguu...Magufuli....au

  • @lucykristensen7145
    @lucykristensen7145 Месяц назад +14

    Makonda ni mtetezi wa haki za binadamu. Ushoga na usagaji ni ushetani. Kwani marekani ni mbiguni? Kwa rais mpya Makonda alikuwa sahihi. Ushoga ni dhambi kubwa kwa Mwenyezi Mungu. ❤❤❤❤❤. Makonda ana ethics haburuzwi burizwi na matrekta.

  • @alimasihakizimana8496
    @alimasihakizimana8496 Месяц назад +18

    Hongera sana mkuu wetu kwenye hili la kupinga ushoga Allah ata kupambania from U.S.A

  • @StellaWaillu
    @StellaWaillu Месяц назад +3

    Mungu mlinde Makonda katika jina la Yesu Kristo.

  • @JoyceMwita-e3w
    @JoyceMwita-e3w Месяц назад +13

    Mungu wa mbinguni akuongoze kwa kila hatua ya maisha yako

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga День назад

    Makonda Yesu wa kweli yuko ndani yako❤❤❤

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 Месяц назад +2

    Nakupenda sn Jemedari wangu Makonda.❤ Mungu Akubariki sn

  • @bayovantane1314
    @bayovantane1314 Месяц назад +2

    Aisee katika siku zte nilikuwa simuelewi makonda lkn kwa speech hii....💪💪 salute

  • @mikwilemyovela3382
    @mikwilemyovela3382 Месяц назад +2

    My next president ❤

  • @ZediMichael
    @ZediMichael 12 дней назад

    Mwenyezi Mungu akutangulie katika kazi yako

  • @ahmadmahmoud6139
    @ahmadmahmoud6139 Месяц назад +6

    Kweli RC ma shaa Allah bro 💪💪💪💪💪👏👏👏

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 25 дней назад +1

    Mungu akutie nguvu rais mtarajiwa

  • @CarlyJuma
    @CarlyJuma Месяц назад +2

    Daah wasituulie na huyu mungu mlinde sanaa kaka makonda

  • @munuoisaack418
    @munuoisaack418 Месяц назад +9

    Hata Tramp anakuunga mkono sasa waweza kwenda kamanda halafu Marekani siyo kila kitu ijulikane hiyo,,,,Makonda juuuu

  • @VaiEliass
    @VaiEliass Месяц назад +6

    Mungu akupe maisha marefu wasije wakakuuwa

  • @pendogiz806
    @pendogiz806 Месяц назад +1

    Yaani huyu baba Mungu andelee kumurinda Kwa ajili ya Tanzania nakupenda mi tdz nipo Uganda ❤❤

  • @ZubaidaMrangi
    @ZubaidaMrangi 19 дней назад

    Safi sana makonda mungu akubariki sana

  • @taflamohsin2195
    @taflamohsin2195 17 дней назад

    Kasema kweli Makonda hatutaki mashoga bwawa na hatutaki kwenda Marekani, Afrika yetu watuachie na mila na desturi zetu,viva Africa

  • @SubaruBoy-v3r
    @SubaruBoy-v3r 19 дней назад +1

    Kwer makonda

  • @MaulidKomboza-wh2ki
    @MaulidKomboza-wh2ki Месяц назад +4

    Hongera sana Makonda Mungu Akubariki sana sana.

  • @BilalYaile
    @BilalYaile Месяц назад +13

    Makonda nakukubali Kaka.Nakuombea Mungu akuongoze Kwa uislamu.

  • @ShariffaSaid-q2r
    @ShariffaSaid-q2r 15 дней назад

    Kwakweli yaani salute 👌👌☝️☝️🤝🤝

  • @davidlewis4044
    @davidlewis4044 16 дней назад

    Makonda kwa hili nakuombea kwa Mungu usijebadilika siku ukipata nafasi ya kuwa Rais wa Tanzania. Endelea kuwa na hofu ya Mungu naamini Mungu atakufikisha mbali zaidi

  • @CharlesMs25Daghaly
    @CharlesMs25Daghaly Месяц назад +1

    ❤❤❤❤ Makonda Hongera sana kazia hpo tna kwa Herufi kubwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @matulanga5269
    @matulanga5269 Месяц назад +1

    Hongera muheshimiwa makonda👏

  • @FatumaLulu-bp7ms
    @FatumaLulu-bp7ms Месяц назад +7

    Hongera sana.....ALLAH akujaalie mwisho mwema...Ufe ukiwa Muislamu...AMIIN

    • @AmenMushi-j2j
      @AmenMushi-j2j 29 дней назад +2

      Yesu ndiye njia kweli na uzima hakuna dini inayompeleka mtu mbinguni, Ni kuokoka na kumwamini Yesu kristo ambaye ndiye Bwana na Mwokozi

    • @fredducaunt
      @fredducaunt 25 дней назад

      Bwege kweli

    • @jafarinauma6798
      @jafarinauma6798 22 дня назад

      Amiin inshaallah AMINA

  • @MariamEmmanuel-b7i
    @MariamEmmanuel-b7i Месяц назад +6

    ❤❤❤ aiseee wewe myaka ijayo ni rais wetu nimekupenda bulee,Mungu azid kukulinda ninakuombea pia

  • @michaelkazungu1987
    @michaelkazungu1987 Месяц назад +1

    Blessings makonda kiongozi Bora mwenye anastahili heshima

  • @BukuluTheBosscomedy
    @BukuluTheBosscomedy 15 дней назад

    Watu kama makonda ndoo mnaitajika kwenye nnchi hii au Africa yetu, Ishi sana makondaa

  • @leahmwenisongole-yp7id
    @leahmwenisongole-yp7id 11 дней назад

    Yesu akutunze nakukubali sana

  • @kalimbakakela
    @kalimbakakela 17 дней назад +1

    hahahahaha yatakushida kaka tuta fanyaa sana

  • @teyllalugazia
    @teyllalugazia 28 дней назад

    Ongea ukweli usiogope hao wanao ua mwili tu bali muogope anayeua mwili na roho, mtee Yesu naye atakutetea❤

  • @AmbakisyeMinga
    @AmbakisyeMinga 25 дней назад

    Makonda sema bro🙅🙅🙅🙅🙅

  • @AnnaZawabu-f6h
    @AnnaZawabu-f6h 22 дня назад +1

    Msimamo sahii mungu akulinde marekani sio mbinguni kunaudongo kamakwetu utofaut nimaendereo

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat Месяц назад +1

    Mungu akupe imani hiyo na karibu kwenye uislaam maneno yako mazuri sanaaaaaaa màkonda fanya nipate number zako

  • @saumumsangi2059
    @saumumsangi2059 Месяц назад +1

    Mwanangu Makonda Allah aendelee kukutunza akulinde kwenye kona zote za dunia

  • @bibip9181
    @bibip9181 Месяц назад

    Mungu akulinde Kaka makonda, bora uache uongozi uwe mtumishi niko nyuma yako

  • @HashimSwale
    @HashimSwale Месяц назад +8

    Makonda anawanyima usingizi maadui wa maendeleo ya Watanzani..

  • @TwisterMwasilelwa
    @TwisterMwasilelwa Месяц назад +1

    Makonda Makonda👏👏👏👏👏👏👏

  • @Chr196
    @Chr196 29 дней назад

    Kusimamia haki za Mungu kwa wanadamu ndiyo njia bora barikiwa Ndugu Makonda

  • @khalidjmaftah9449
    @khalidjmaftah9449 Месяц назад +1

    We jamaa uko vzr sana, tuna watu au viongoz wachache wenye msimamo wko, big up

  • @EzekiaMwamlima-h2z
    @EzekiaMwamlima-h2z Месяц назад +1

    Mkuu mungu akutete sana mi nipo songwe natamani ufike songwa ulete amani tunaonewa sana

  • @Muuzambuzi
    @Muuzambuzi Месяц назад

    Safiiiii makonda safiiiii

  • @Valencechachalyrics
    @Valencechachalyrics Месяц назад +1

    Tunaku-support sana Makonda

  • @RoseDion-t5i
    @RoseDion-t5i 28 дней назад

    Mungu akuweke makonda safi sana

  • @IzackLaizer-c3l
    @IzackLaizer-c3l 17 дней назад

    Hii macond nimependa sana

  • @aliiddi7565
    @aliiddi7565 24 дня назад

    Makonda mungu hakuweke inshaallah

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j Месяц назад +2

    Safi sana kupiga ushoga na tulitamani sana uendee kwenye kazi yko mungu akulinde makonda kazi nzuri sana na uzid kupinga hayo mambo

  • @jumakasuly8875
    @jumakasuly8875 Месяц назад

    Mungu jalia huyu aingie katika haki, na asimamie haki

  • @MadinaChikumbi
    @MadinaChikumbi Месяц назад

    Safi sana rais mtarajiwa

  • @joackymjackson9144
    @joackymjackson9144 28 дней назад

    Hapo ndipo ua nakukubali makonda sisi wanaume msimamo wetu ni Mmoja hatutaki "USHOGA"

  • @yubaaly1541
    @yubaaly1541 18 дней назад

    big up makonda ❤❤❤

  • @DM_15
    @DM_15 Месяц назад +1

    MAREKAN SIO MBINGUNI NOMEIPENDAHII❤

  • @EverinaKagoroba
    @EverinaKagoroba Месяц назад

    Mungu akulinde makonda

  • @MaryLyimo-y9z
    @MaryLyimo-y9z 28 дней назад

    Mungu. wetu akupiganie

  • @SalmaHangali
    @SalmaHangali 15 дней назад

    ❤ usikate tama tuko pamoja

  • @ibrahimmussa-e8l
    @ibrahimmussa-e8l Месяц назад

    Masha’Allah Tabaraka’Allah hakuna mzazi ameyeweza kubali mwanae au shoga

  • @wachapeclassic
    @wachapeclassic 25 дней назад

    Kataaa kabisa kaka,👍

  • @musachizo24
    @musachizo24 26 дней назад +1

    Jiwe💪🔥 twende na like kwa makonda

  • @ComedySokomoko
    @ComedySokomoko Месяц назад +6

    Unajua ukahaba na uzinzi Ni dhambi lakini walau utasema MTU alisukumwa na tamaa za mwili. Sasa najiuliza ushoga hata shetani anaweza kulia yaani sjui MTU utasema ulipitiwa je kwa mfano.
    Baba Makonda Mungu akupe uraisi

  • @VitusMapunda-u7o
    @VitusMapunda-u7o 16 дней назад

    Tupo pamoja makonda tunakuombea uishi maisha malefu

  • @FARIDIMUSSA-hd1gq
    @FARIDIMUSSA-hd1gq Месяц назад

    ❤🎉❤🎉 Mungu akulinde nakuepushe mitego naushilikina ivi viongozi wengine hakuna cha kujifunza kwake

  • @NoelyEphraim-j5i
    @NoelyEphraim-j5i 28 дней назад

    Mungu akuonekanie aesee we ni mtu ambae Mungu anawakubali kwenye huu ulimwengu

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 Месяц назад

    Mungu akutunze Baba Keegan

  • @MaryTomito
    @MaryTomito Месяц назад

    Mungu akutunze makonda dah

  • @aidanintibilamila829
    @aidanintibilamila829 Месяц назад

    More Respect to you Makonda. Endelea kusimama Imara

  • @MajaliwaThobias
    @MajaliwaThobias 26 дней назад

    Hapo mh Makonda kwa hili huna baya kwa Mungu hakika atasimama na wewe kupitia hili ipo siku utapanda cheo maana Mungu anawapenda watu kama ninyi.

  • @ChristineElias-bn4dw
    @ChristineElias-bn4dw Месяц назад

    Daah hakika wew ni mtu wa maana kbs kwa tz yetu sina maneno xnaaaa ila mungu wangu akulinde milele maana hapo hapo kuna watu wanatamani ata ufe leo lkn mungu anakuliada xnaaaa makonda oooyeeeh❤❤❤❤

  • @husseinbakromar5865
    @husseinbakromar5865 Месяц назад

    Safi sana makonda msema kweli kipenzi cha mungu

  • @mamawamireille4872
    @mamawamireille4872 Месяц назад

    Mungu akulinde kaka

  • @josphatkariuki8457
    @josphatkariuki8457 Месяц назад

    Rais Makonda...upendo mwingi kutoka KENYA 🇰🇪.

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 24 дня назад

    Big up makonda

  • @AledThomas-s9n
    @AledThomas-s9n 28 дней назад

    Kiogozi tunae arusha mungu amsimamie

  • @JamesMario-x3c
    @JamesMario-x3c Месяц назад

    Mungu akubariki sana kiongozi wetu makini chukua foam 2025

  • @muyongahassan2188
    @muyongahassan2188 Месяц назад +2

    Kazi nzuri mwamb endelea hivohivo kaka

  • @ModestSichone-b1d
    @ModestSichone-b1d 14 дней назад

    Makonda ivi ukoje wewe yani mwamba unaakili yakipekee mkili wewe unafaakuongoza mungu akubaliki

  • @JofryDaud-kc2du
    @JofryDaud-kc2du Месяц назад

    Makonda apo upo sahihi ninaamini mengi unayajuwa naviongozi wengi hawakemei ushoga na mkumbuka mzee alisema hata mbuzi hakosei) mungu atusaidie watu wanapenda misaada tu ndomana Mambo yasiasa niatali sana

  • @FarahaAbonga
    @FarahaAbonga Месяц назад

    Yupo sahii kweli Marekani sio seemu sahii kulea watoto,ila watu ambao awajafika ndo awajuwi ilo.

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat Месяц назад

    2030,kama tuko hai mungu azidi kutupa pumz utakuwa mwislaam na kisha gombea urais makonda nakuombaaa sanaa gombea urais utaongoza nchi vizur na ikiwa utakuwa muislaam tutakupaaa uraisi, usiogope kuuwawa na hawa wahuni,ila mungu akipenda ndo utakufa kama hajtka ufe watahangaika na hawatokupata, tumuombe mungu akupe uraisi na akulinde kila sharing na kila baya

  • @MustafaChiumbwe
    @MustafaChiumbwe 8 дней назад

    Upo sahihi Makonda

  • @HijaxZone
    @HijaxZone Месяц назад +2

    Kwenye hili Makonda kasema kweli

  • @NorthmaraFluiconnecto
    @NorthmaraFluiconnecto Месяц назад +2

    Pinga ushoga hatutaki 🇹🇿

  • @Abdallah-z3b
    @Abdallah-z3b Месяц назад +2

    Makonda nipo pamoja nawewe

  • @BilalYaile
    @BilalYaile Месяц назад +3

    Kaka Makonda,Kwa taarifa yako imeenea Kwa mitandao ya jamii kuwa Nchi jirani Kenya kuna estate inaitwa kaleleshwa watu kutoka nje wanawafanyia baadhi ya dada ya Kenya Tabia mbovu mno hali Kula mavi ili Tu wawape hela.Mambo haya usiyakubali maadamu uko madarakani.

  • @Barakah2590
    @Barakah2590 26 дней назад

    Nakubali mjomba

  • @rajabumsuya-hg8jd
    @rajabumsuya-hg8jd Месяц назад

    Makonda Allah akuongoze kwenye haki, uijue haki
    Akupe umri mrefu uwe kiongozi mzuri

  • @23568982
    @23568982 Месяц назад

    We need leaders like this in Kenya.ushoga umepitishwa Kenya

  • @FiredRukundo
    @FiredRukundo Месяц назад

    Watanzania munakiongozi muzurisana murindeni nae atawarind makonda anafa uraisi acharisu nawengine wooote muchagueni makonda❤❤

  • @AllyGodfrey
    @AllyGodfrey Месяц назад

    Mungu akupe maisha marefu kaka

  • @buheroKozi
    @buheroKozi Месяц назад

    Kaka mwenyezi mungu akulinde amina

  • @AsnathMbinga
    @AsnathMbinga Месяц назад

    Mwenz akulinde na akuongoze

  • @MaryamKhawar-h3j
    @MaryamKhawar-h3j Месяц назад +1

    Kweli kabisa muheshimiwa makonda wanaona marekani ni pepo kumbe wanawaharibu watoto wao mungu akubariki sana

  • @TheDonn007
    @TheDonn007 Месяц назад

    Kwanza Mungu si mtu.. Ungesema, “Mwenye haki ni Mungu tu.” Lakini nakuunga mkono hatutaki ushoga

  • @AliyuIdrisa-v8w
    @AliyuIdrisa-v8w Месяц назад

    Nipo Romania 🇷🇴 Europe 🇪🇺 nimesha ongea na boss wangu mzungu kwamba mimi I'm a Muslim and I'm Tanzania 🇹🇿 nchi yetu ya Tanzania hairuhusu ushoga hata dini yetu ya kislaam hairuhusu upididi dunia nzima inabidi itujue wakristo na waislaam tupinge ushoga nakila mtu atujue sisi wakaribu pia tunaupendo na amani

  • @sammysammy2001
    @sammysammy2001 24 дня назад

    Hata Mimì sikubali😢😢😢😢

  • @ayoubali-x6n
    @ayoubali-x6n Месяц назад

    Mungu akulinde