kwenye xwala la ukiukaji wa haki za binadamu kama kweli ndo ulivyo jibu bc pw apo frexh ila me cjaelewa xwali linalohuxu lissu na pia xwali la kugombea mwakani mbona kmy
Sasa wengine apa mnataka majibu gani na majibu ameyatoa na yanaeleweka? Ata wewe ukiwa tajiri jirani yako ata kuchukia bila sababu? Utasikia ni mchawi ni free maso na mengine hivyo mafanikio yanaleta kila kitu
Rudi darasani ili ujue majibu na kujibu maswali anachojibu makonda ni majibu kama huelewi pole hiyo sio hisabati 1+1=2 haya ni maswali sahihi ya ufahamu na majibu ni sahihi kwa uelewa
Hongera sana mh.makonda.uko vizuri sanaaaa hongera kpe it up.Ahsante mama samia kukuchagua.chaguo sahihiii
Sasa apo kajibu nn kwa akili zak za maviii izoo
Uyu jamaa kuna wakati hata asipo taka kugombea uraisi atagombea hata kwa fimbo mimi ntakuwa wa kwanza kumtandika
Unahekima sana kiongozi, unaakili ya kujibu maswali 1. Nitajifunza kwa Mungu, 2. Nitajifunza kwako 🎉 unahoja nzito sana
Big up sana
Zebwela mwandishi wa kwanza Tanzania
Big up makonda ❤❤❤❤❤
Makonda hajajibu maswali😢😢
Makonda unafaa kuwa raisi wa hii nchi
❤❤❤❤❤❤
kwenye xwala la ukiukaji wa haki za binadamu kama kweli ndo ulivyo jibu bc pw apo frexh ila me cjaelewa xwali linalohuxu lissu na pia xwali la kugombea mwakani mbona kmy
We love you makonda ❤❤❤❤
Naomba cv na chuo alichosomea zembwela😊
Street university
😂😂😂
Amejibu vzur
Sema mwamba anajibu maswali ya wandishi wa habari kwa akili sana.
Ongera mkuu kwakulibana limanguruwe lilisumbuwa sana.
Makonda angejibu tu marekani ni wavuta bangi
Unaweza jiuliza hapo Makonda kasimama kwa muda gani
Makonda aujiipasavyo maswali
Ila makonda anajua jamani
Malofa waungamawazo yalofa makonda
Tuseme ukweli wambie viongonz wawe kam wew
Wapi wewe umewapnga hao wanaokuhoji na majibu wala wakat huo haukuwa wa kuoinga ushoga muogope unaemtaja mungu ipo siku atakuumbua
Tunza kumbukumbu bro ushonga ulianza kitambo na wakati ule ushoga ulikuwa umetamalaki makonda yuko sahihi haya mengine ni maneno ya wahuni tu
Jibu maswala Makonda usituzungushe zungushe .
Blablabla no majibu
MWAMBA
SIONI MASWALI YAKIJIBIWA KWELI AU SI KWELI,NDIO AU HAPANA ISPOKUWA KUZUNGUKA TU
Kwahiyo wewe unashahidi wa wanaoteka? Uweke mezani acha unafiki
Sasa wengine apa mnataka majibu gani na majibu ameyatoa na yanaeleweka? Ata wewe ukiwa tajiri jirani yako ata kuchukia bila sababu? Utasikia ni mchawi ni free maso na mengine hivyo mafanikio yanaleta kila kitu
Rudi darasani ili ujue majibu na kujibu maswali anachojibu makonda ni majibu kama huelewi pole hiyo sio hisabati 1+1=2 haya ni maswali sahihi ya ufahamu na majibu ni sahihi kwa uelewa
Ndugu rajabu uelewe maswali yapo ya aina mbalimbali na majibu yake. Huwezi jibu ndio au hapana katika swali la kwanini.
Hata akijibu unavyotaka wewe hauwezi kuelewa maana inaonekana waz kuwa unachuki na pia akili yako nindgo sana