Inabidi mkubali tu kikimbizana na wakati na technology coz nyie ni ma legend ila mkizubaa mtakuwa kama wakina afandesele tunataka tuone ivi ktk xxl na msichukulie poa comments coz sisi ndio walaji block 89. Wanafanya vizuri na sisi tunaona kama ndio competitor wenu kwa sasa mkubali au mkatae so lazima mshindane tu ili muendelee kuwa hapo, na msiizoee game hata Kidogo dunia imebadilika sasa watu awafuati majina wanafuata kitu kizuri.Q
Soko la album mm ndio nasema hivyo kwa kua nilikuwepo ndani ya soko lime nyanyuka kwa kasi kubwa,baada ya kuleta wasanii wake kwa mamu kiukweli siko lili changamka sana tena,sana kulikua na ushindani mkubwa,sana na kiukweli tulikua tuna,weka tatangazo j3 ina tika, albam ya msanii wa bongo record ikikua hivyo na miss hizo mambo
Uki ishi kwa chuki na kisasi mtafika wapi! Sote ni binadamu tunakosea cha msingi ni kusamehana na kupeleka tasnia mbele #beef hazjengi usi supports udwanzii
Hapa sasa ndo nagundua jnc gan ulvyo na upeo mdogo,ww mara ngap ulgombana na wazaz wako au marafk zako? je mpk sasa hauelewan nao? Km unaelewana nao bac umetuonesha jnc gan ulvyo maskini wa fikra!!!
Achen uboya wa kupingana na baba zenu (Mim baba yenu) alafu hata siku moja usiishi kinyonge kwa ajili ya binadam mwenzio kumbuka Adui awezi kuwa rafiki sema Rafiki anawez kuwa adui, kama unakumbka clouds hadi sasa wanabifu na wasafi alafu chanzo ni salam na Luge, sasa kwa nini memberz wengine wanaliendeleza chuki hadi Leo, Acheni udhaifu nyie manywanyw Timu maboya tu, alafu eti Zuzu moja linanitolea mfano wa kukosana na mzaz kweli we zerooo no 1 tangu lini mzaz akakosea acha mawazo finyu mtoto atakae mkasilikia mzaz wake basi huyo kalanika mana mzaz hakosei kwako wew mtot inakubid uwe mpole na mnyenyekev. Kifupi point yangu ni kwamb acha kumsujudia mtu kweny maisha kama mlemavu anaishi vizur inakuwaj wew mkamilifu uwe dhaifu mbele ya binadamu mwenzio inamaan unamdharau Mungu wako kwa karama aliyokup haikusaidii! Nawashauli ishi kwa kujiamini na kumtanguliza Mungu utafanikiwa na ukumbke ukipoteza rafiki mmoja utapata rafiki 1 mwingine ambae atakufanya uwe na marafiki wengine 100 kwa sababu rafiki zake nao watakuwa rafiki zako "believe your self "
P-Funk,...braaa kama ni kutayarisha muziki, uliweza sana.
Mamaeeeeee! Mmeanza kujipendekeza kwawatu mlio kataa kuwasaport , Naona kabisa nguvu ya Wasafi inafanya kazi, WCB For Life 😀😂😁
Clouds I gech ya
P kinywele kimoja, super duper producer
My number one producer
P Funk majani utabaki kuwa juu juu mawinguniiiiii
Sema p funk mkali sana ...anajua sana kiasi kwa bongo wahusika wanashindwa kumtumia....ila hakuna producer mkali hapa bongo kama p funk
Akuna ambae atatokea kama ww nevar p,funk
P, funk wadau bado nimkal akuna wakufukuza uu upepo
Peace sana Majani alikua anajua sana
Tanzania bila Bongo record haiwezekani😁😁
best producer ever
Vipi Tena Majani unerudi Clouds au sababu ilikuwa ni mtu flani nini maana ulikuwa Clouds uingiii sasa hivi umekuwa in da House halaaaaaaa
Majani nakuelewaga sana kwenye Copyrights
Ex
Something is behind these things i think, thats why alianza Master J leo Majani
Majani anajuwa kaz yake sana
The best interview in 2019
Kali sana nawakubal clouds kichiz
Nice love him👏👏
Majani 🔥
Since wayback.
Woyoo intevew ya kibabe love clouds
Mambo
Daah majini kamtaja Diamond
Inabidi mkubali tu kikimbizana na wakati na technology coz nyie ni ma legend ila mkizubaa mtakuwa kama wakina afandesele tunataka tuone ivi ktk xxl na msichukulie poa comments coz sisi ndio walaji block 89. Wanafanya vizuri na sisi tunaona kama ndio competitor wenu kwa sasa mkubali au mkatae so lazima mshindane tu ili muendelee kuwa hapo, na msiizoee game hata Kidogo dunia imebadilika sasa watu awafuati majina wanafuata kitu kizuri.Q
naona kwadaimond mmekaa kimya kuitikia mnashindwa kukataa mnashindwa😂😂😂
Majani baba la baba
Jamaa kaingiza story ya Diamond watangazaji wamebaki Mmhhh Mhhhh kudadadeki
Nafikiri sasa ile picha iliyokuwanayo jamii kuhusu P itakuwa imefutika. Umeongea kweli tupu, kwa uwazi bila wivu au kinyongo.
Like kama hii intervju ili paswa ianzie upyaaaaaaaaaaaaaa....
huyooo jamaaa sijawahi kusikia akihojiwa hivi karibuni kutika cmg
Soko la album mm ndio nasema hivyo kwa kua nilikuwepo ndani ya soko lime nyanyuka kwa kasi kubwa,baada ya kuleta wasanii wake kwa mamu kiukweli siko lili changamka sana tena,sana kulikua na ushindani mkubwa,sana na kiukweli tulikua tuna,weka tatangazo j3 ina tika, albam ya msanii wa bongo record ikikua hivyo na miss hizo mambo
XXL for Life #Dozen #mchomvu#Djzero
p funk sisi twataka ma bits
Hahaha
Jamaa walikaa kiimyaa baada ya kuckia diamond platnumz katajwa yan walipagawa
Nime-enjoy sana leo
Wa9 yakibabe sana
Kwa hawa mbolo naagalia tu wakitaja mod wangu bila hivo napita kama upepo
Uyu jamaa anatakiwa apate nafasi japo kusota au basata
U a critical thinking
Nawakubal xan wana XXL
majaniiii temba hapa
kwanini morogolo hatuwapati upande wa redio
nimekubali
Mzungu
Katajwa Diamond,, hu,, hu, hahahahaha
Nimeona iyo pia ahahahah nikama maji usipo yanywa utayaoga
Huwezi kumfanisha p Funk na produce yoyote Yule ana tumia akili sana na hakurupuki kutoa wimbo
Enzi hujirudia ila kwa huyu bwana sijui
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍.
P fuck nishida upande wa bit
Wale wachonganishi wako wapi
Ruge hayupo ndio maana ameingia mjengoni
Huyu P funk sialiwai kuwaponda Clouds kipind kile cha kifo cha Ngwer imekuwaj Leo yup hap, Hakika wasanii wa bongo hadi producer ni wanafki
henry twalipo
Co unafiki wewe tumepima ujinga wako adui yako usiforce awe adui yetu TAFAKARI yeye alikua na tatizo na boss wao.
Uki ishi kwa chuki na kisasi mtafika wapi! Sote ni binadamu tunakosea cha msingi ni kusamehana na kupeleka tasnia mbele #beef hazjengi usi supports udwanzii
Hapa sasa ndo nagundua jnc gan ulvyo na upeo mdogo,ww mara ngap ulgombana na wazaz wako au marafk zako? je mpk sasa hauelewan nao?
Km unaelewana nao bac umetuonesha jnc gan ulvyo maskini wa fikra!!!
Achen uboya wa kupingana na baba zenu (Mim baba yenu) alafu hata siku moja usiishi kinyonge kwa ajili ya binadam mwenzio kumbuka Adui awezi kuwa rafiki sema Rafiki anawez kuwa adui, kama unakumbka clouds hadi sasa wanabifu na wasafi alafu chanzo ni salam na Luge, sasa kwa nini memberz wengine wanaliendeleza chuki hadi Leo, Acheni udhaifu nyie manywanyw Timu maboya tu, alafu eti Zuzu moja linanitolea mfano wa kukosana na mzaz kweli we zerooo no 1 tangu lini mzaz akakosea acha mawazo finyu mtoto atakae mkasilikia mzaz wake basi huyo kalanika mana mzaz hakosei kwako wew mtot inakubid uwe mpole na mnyenyekev. Kifupi point yangu ni kwamb acha kumsujudia mtu kweny maisha kama mlemavu anaishi vizur inakuwaj wew mkamilifu uwe dhaifu mbele ya binadamu mwenzio inamaan unamdharau Mungu wako kwa karama aliyokup haikusaidii! Nawashauli ishi kwa kujiamini na kumtanguliza Mungu utafanikiwa na ukumbke ukipoteza rafiki mmoja utapata rafiki 1 mwingine ambae atakufanya uwe na marafiki wengine 100 kwa sababu rafiki zake nao watakuwa rafiki zako "believe your self "
Ruge hayupo sasa hivi ndio maana wanakwenda ina onekana ndie alikuwa anawabania