Uko wapi Crazy GK huu Wimbo natamani uurudie tena uitwe 'Sauti ya Magufuri" hakika huwa naisikiaaa nikilala inajirudiaaaa kichwani mwangu haitapoteaaaaa.
Hawa wanamuziki waliweza sana kutengeneza story nzuri na pia kuwaziwakilisha🔥🔥🔥 Kitu ambacho hatukioni kwenye muziki wa sasa umekosa simulizi za uhakika kabisa, ziwe za mapenzi hata za jamii nikurukaruka tu😂😂 14/3/2023
I really remember long tims .kwetu congo bukavu this git song was reall Breck Recond..tulikuwa wadogo sana nyumba na vibada via cinema all ove this song paka leo March 1.2024 stll sound good
Dah! Kuna muda Huwa najitahidi kuwaelewa Hawa wasanii wa Sasa lakini najikuta mikito ya zamani Bado inanitawala, Rest in peace wasanii wote wa kitambo waliotangulia mbele za haki kwani hakika walitupa vitu ambavyo hata Sasa bado vinaishi
Mwezi wa tisa huu 2024 niko hapa kwenye sauti ya manka
Kitambo sana gonga like laza boy
🇰🇪2021 bado naisikia sauti ya Manka...gonga like mingi tusonge pamoja.👊👍👍....
Huu Ndo Ulikua Mziki Cyo .Weka Mate Niteleze Kama Nyoka Pangoni. Mara Kwenye Zipu Kuna Kirungu Ukikishika Unawaita Wazungu Dah Vipaji Vimetea Kabisa
Nimecheka sana.... nyimbo za bongo za sasa yani zimejaa ngono tuu
😂😂😂
Yani😢
@@roggermwakyanjala3586Inareflect kizazi tulichonacho😂
Uko wapi Crazy GK huu Wimbo natamani uurudie tena uitwe 'Sauti ya Magufuri" hakika huwa naisikiaaa nikilala inajirudiaaaa kichwani mwangu haitapoteaaaaa.
In May 2023 I still remember this hit song by King Crazy GK 👊🏽👊🏽👏🏽
2024 April 28 Sauti ya Manka bado naiskia Nikiwa Kinondoni Moscow.
Tukutane tupige pombe uku tukisiliza hizi nyimboo kaka .. niko apa makongo
Duuh, tumepoteza vipaji kabisa!!
It's January 2022 still love the song ...one of my fav song talented guy king crazy GK🙌
2022
2022
2022
25 October 2023
Country boy
Zamani hiti zilikuwa nyingi na zinaendelea kuhit Kama unaangalia 2020 gonga like
Kitambo kama uko hai like wengi tumewazika
muda wako hujafika tu kaka ila na wewe utazikwa
The DMX of Africa.
👏🏾👏🏾🎻🎻
Daaaah nimekumbuka mskitin kwetu kulikua na ustadh anasaut nzito kama gk tukawa tunamuita saut ya manka
GK alikua anapita kama DMX Rap souls 💯🎉
19 th Jan 2025
If you're listening to this you are a legend
29/01/2025 naisikia.
Naiskia nikiwa burundi bujumbur kitambo san aisee mambo yalikuw mazuri bet waiskia hadi unabaki ukirudisha mwanzo
Big up bro utafikiria ngoma imetoka leo
nyimbo zzinafundisha sana, maudhuo unayapata
Hawa ndio walikuwa wasanii
Kwel husna
Kabisaaaa
2024 nyimbo nime isikiliza mpaka mwili una sisimka kwa huzuni
Aliyekuja kumuona paul zongo kama Mimi gonga like
Mhh,dada uyo cye
Amri jeshi mkuu upo wapiiii kaka mashabiki tumewamisi bro
Hawa wanamuziki waliweza sana kutengeneza story nzuri na pia kuwaziwakilisha🔥🔥🔥
Kitu ambacho hatukioni kwenye muziki wa sasa umekosa simulizi za uhakika kabisa, ziwe za mapenzi hata za jamii nikurukaruka tu😂😂
14/3/2023
Bado nasikiliza 2023
2023 en stil a vibe jus found myself thinking of the song💯
19/12/2024 sauti ya manka ikipenya kwenye masikio yangu ahsante bro crazy gk kwa wimbo mzuri👊💪💪
It's February 2020 still watching, blessed GK
Wa 2020 likes yako tujuane
woyoooooo!!
⁰
Nakumbuka nilkuwa nachunga mifungo nasikilza Saudi ya manka
I really remember long tims .kwetu congo bukavu this git song was reall Breck Recond..tulikuwa wadogo sana nyumba na vibada via cinema all ove this song paka leo March 1.2024 stll sound good
Du!nyimbo inankumbusha mbali Sana kweli GK n mashine nyingine achana na Hawa wa juzi wasojua kutoa nyimbo za kui-reflect jamii!
One of my best songs..What a lesson and true life story! So much to learn!
Leo hii 2022 tujuane tunaoitazama
This is amazing song of all the time
Dah! Kuna muda Huwa najitahidi kuwaelewa Hawa wasanii wa Sasa lakini najikuta mikito ya zamani Bado inanitawala,
Rest in peace wasanii wote wa kitambo waliotangulia mbele za haki kwani hakika walitupa vitu ambavyo hata Sasa bado vinaishi
16.10.2024 sauti ya Manka.like nyingi hapa
2025 gonga like ✌️
It's 2022 and this is my favorite song
I love this song here 2024
Hizi Ndo Zilikua Ngoma Cyo Sasa Weka Mate Niteleze Kama Nyoka Pangoni
Juni 18 mwaka 2024 , nyimbo bado.
Demand ya mziki wangu kuwawekea mabano
2019 still watching
Leo mwezi wa tisa 2024 niko hapa 😊
Woke up today with this song in my head. Found it after hours of research. A classic 🔥
Happen to me today bro
Sauti ya manka 2024 likes nyingi
Naisikia sauti ya manka kutoka makongo juu
2021 still banging the stereo system
Watoto wa 2000 hawawez elewa hii😅2024-8-18
Niko hapa naendelea kuisikia sauti ya Manka
Leo tarehe 23/01/2021 nimelimisi hili bongo fleva dah. Nakumbuka sana Berlin na Rotterdam 2006
August 2024 bado naiskia sauti ya manka kutoka mbezi
C mpenzi wa muziki lkn hii ngoma naielewa sana sana
Dah!! Nouma sana aisee!!!
Hii nyimbo hunigusa kwenye sehemu mija ya ndani kabisa kwenye roho yangu
Nani ana sikiliza hii ngoma hadi Leo 2021
Kingcrazy kitambo sana
Baada ya baba Magu kufariki nikajikuta nakumbuka wimbo huu nikaona niutafute😭😭😭
Hata mm niliusikiliza .Ila pia baada ya mtoto was hayati kuja kusema Mama anaumwa tangu baba afariki nimeusikiliza tena
Sauti ya manka ninakupenda sana
Huyu mwamba alikua anajua mziki ..
@2:42 No house,No food,No money,No friends No parents No....🔥🔥🔥
That was amaizing asee hasa hyo mdada alivyopanda that’s how the music is supposed to be
Kweli nyimbo izi tumezitamani jamani siyo zaleo za wame Shiba bangi narumogi
Kali sana
Nacheki September. 2019 nna sababu zangu
Hizi ndizo nyimbo hata kama umekaa na wakwe zako zinasikilizika..
DMX wa East Africa!!!
Kenny Andola umeuååååååååå
Hujakosea kabisa
Kenny Andola kabisa kabisaa
Kweli
Dah Umeua
2023 January gonga like kama bado unaisikia sauti ya manka salut kwa king crazy GK
My all time favourite east African rapper,king crazy GK,2022
Hizi Rap music Og za kibongo zimepotelea wapi?Hivi ndio wasanii wetu wamepotea kabisa??
GK where are you Bro?
GK DMX wa bongo.🇰🇪🔥
Bigup Xna bro Kazi nzuri Sana sauti ya manka Maua yko 🌸 Grazy Gk
*Nyimbo za zamani zilikuwa Kali*
That was Bongo flavor 🎉
Nkbl izi ndio ngoma
Big up bro! Good song! Among the best!
G.k resemble 🇺🇸 usa rapper the late d.m.x who notices?
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪i ❤it still dancing to it 2024
OK Wimbo muzuri sana
Old school kbxa ❤
Wimbo huu nakumbuka mwaka 2006 kwa dar
DAH LEGEND KING CRAZY GK.RESPECT KWAKO
Crazy Gk, MwanaFa, Ngwair, Mwasiti 👏👏👏
Live bila chenga November 08 2019 naiangalia SAUTI YA MANKA....
Bango ni KUBWAAAA
Bado naisikia sauti ya manka 2025
It's crazy how hii sauti huwa inajirudia kichwani
That Flow like Stamering is hot🔥🔥🔥
Huyu jamaa nikama karajeremayah
Legendary king gk
Alienda wapi
Naisikiya 2025 nikilala inajirudian
wimbo mzuri saana Maisha yana change any time..but bro it's true story au?
Of cuz
19/09/2024 tuko hapa
2021.....👀
2024 May 21st..sauti ya manka
Its 2024 am still listening 🎉💐💐
2025
Sauti ya manka
Bado tunashi nayoo
2020"
nyie jamaa mtarudi liniii
Crazy one😂😂