Msikie MBUNGE wa DARASA la SABA ANAVYOTEMA MADINI BUNGENI
HTML-код
- Опубликовано: 9 фев 2025
- HUYU NDIYE MBUNGE DARASA LA SABA, ILA SIKIA ANAVYOTEMA MADINI, MMILIKI WA IMALASEKO SUPERMARKET!
#BUNGENIDODOMA
YALIYOMO GLOBAL TV ONLINE (+255 657 955825 au +255 784 888982)
-------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
HABARI MPYA DAILY: www.youtube.co....
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:www.youtube.co....
GLOBAL RADIO TV:www.youtube.co....
EXCLUSIVE INTERVIEWS:www.youtube.co...
Only genius can understand dis man.people understands according to their level of thinking
nimekuelewa mzee
Saaafi sana sana sheria kandamizi zinatutesa
Hoja nzuri sana Maana watoto wakipata hawakumbuki wazazi wao. Na mzazi Akitalia pesa mpaka aanze kumsalimia na kuwasifia wajukuu mwisho ndio ana piga mzinga wake duh. Vijana tujiongeze. Inabidi uongezewe muda kwa hoja Hii
Hayo ni matirio sema wajinga hawawezi elewa
Hyo mzee apimwe sio kawaida mental disorder hio
Hiiiii hapo sawa ndg mheshimiwa wambie
Nimekuelewa baba uko vizuri sana.waacha wasomeshe shule za ghalama lakini ajira hakuna wajiajili weye.
Mzee yk sawa
Nakukubali mzee kishimba
Mweshimiwa mwenyekiti!!
Kukosea kupo
Kwelii kabisaa mzee
Hapo sasa kazi kwenu
Yaaa kaongea full points
Yuko vizuri mimi namkubali.... na kwenye mirathi nayo inaumiza asilimali munazijenga mke na mume ikitokea mume anafariki, eti mali zinagawanywa kwanini asibaki nazo mama? Na mama akifariki mali anaachiwa baba na mali azigawanywi labda madera tu hapa sheria iangalie vizuri,
Nakubali
Leo mzee umeniangusha sana
Kweli mzee ametema madini tunaona hali halisi mtaani kulivyo wote waliokuwa wanachekwa wakati wanasoma ndiyo walio fanikiwa huyu mbunge awe anapewa dakika ishilini maana kunawatua wanapona kupitia huyu mzee
Ana point nzuri ila anashindwa kueleza vizuri ni kwamba waliofanikiwa Sana wanakuwa na akili za ubunifu na kuwa ni watu wenye kufanya mambo makubwa kuliko waliokuwa darasani kwa hiyo vijana hawo walindwe vipaji vyao ili taifa kuwa na wabunifu wengi walio endelezwa na Serikali
Huyu Mzee msimpuuze
Mm ni darasa la saba namuunga mkono
Huyu mbunge ni pro
Uyu Mbunge anapointi sana
kweli kabisa mbunge wangu umesema yotee ni muhimu kwa mzazi kua na haki ya kudai pesa za kujikimu
Huyu mzee mnamuona pumba lakini yuko sahihi anasema jinsi gan ya kuwaendeleza watoro nahajazuia wale ambao wapo tayar kusoma tumewaona weng wameacha shule wakawa juu nawale waliosoma nakufaulu wakizunguka mchana kutwa na mabahasha tu bla mafanikio
huyu mbunge awe anapewa dakika 20
Mbunge Bora kabisa wa CCM
Sasa ukianzisha mitaala ya watoro watoro si watakuwa wengi???
Kwa hiyo tufunge shule zote za Sekondari tubaki na msingi tu?? Elimu ni muhimu na haina mbadala..Unaweza kutafuta mifano midogo lakini kikubwa kila kukicha unaona wagonjwa wanafanyiwa operesheni lakini si na watu wa Darasa la Saba..Unaona madege yanaruka lakin i hayarushwi na Darasa la saba
..
Kwa mwendo huo watoto watakuwa wanakataa kuzaliwa mzee Baba 🤣🤣🤣🤣
Hahahahahahaaaaaa
Daaa huyu babu alikua anawaza km mm
😂😂😂 sisemi kitu
Naona mchango wako umebezwa lakini ukweli unabaki palepapale mungu azidi kukuwezesha kwa hoja za kuwasaidia watanzania
Hiyo haiwezekani,huyo ni mbunge kweli.
Sasa hao watoto hawasomi madrasa ni shule tu
Huyu mbunge kweli niladaba!? anamwaga point kuliko maprofesa
Pumbavu kuimba muziki ndio kufanikiwa
Umeongea kweli inabidi wasomeshaji wadai haki zao baada ya watoto wao kuajiliwa.
CCM Kwa style hii lazima tuwang'oe..
😂😂😂😂😂😂😂 akili yako ndo maisha yako, elimu yako itakusaidia kulingana akili yako
Hawa ndo wabunge wa ccm 😅😅😅
Mbunge kichaa
Mtaala wa watoro
mzee kweli sija kuelewa wenzio tuna teseka na jembe LA mikono wewe unataka watoto walime ndio waingie darasani
Huyu mtu kichwa chake ni kizima!
Wabunge wa hovyo hovyo. Wabunge wa CCM hawafai sasa wananchi ndio waone. Analeta comedy yaani
lumola steven 😳
Huyu nae darasa la saba kweli manake anaongea pumba tu na akajambe huko
Unajua mbunge wawapi huyo na anasifa gani
Anahela nyingi huyo mzee balaa ukoo wenu mnakula nawajukuu
Nilikuwa namwelesha huyo anaesema huyo la saba kweli yaani huyo mzee ni mwisho na anakijua anacho kiongea siyo bahati mbaya
Ana akili sana huyu Mzee. Ana hoja nzuri muda wote. Ana akili ya pekee na ndio maaana nahisi ni tajiri
Kuwa mtoro ukawe makenika ustake kudanganyana yani ni kupotoshana tu apa mwanafunz gn anaingia darasani saa 4asb kwa sababu ya mchakamchaka,, ata mawazo yako ni ya kidarasa la nne km elimu yako
Vijijini lipo hilo na hata Mimi nimelishuhudia, mzee yupo sahihi kias chake, ukisikiliza hotuba hta za nyerere alisema tutunge sheria tukizingatia na tabia zinazosababisha watu kuto kutii sheria
Wewe unaweza kujilinganisha na huyo kishimba kwenye aspects ipi ? Mpka uandike statement hii?
Kweny aspect ipi kivip,mim ww unaninifahamu uniulize swali hilo au we ndo kishimba, What the fuck hel' U talkin about? mim nimekuja kujilinganisha apa!?
Hicho ni kichekesho .hapo mnaongeza utoro.eti wafanye kazi kwanza.mzee tafadhali fikiria sana.hao ndio wabunge wetu.mmm.
Rehema my dear jmn mbn hivo lkn??? Mmmmmmmm
Da saluti kwako
Yaaa kaongea full points