haya mawazo ya huyu mzee ni mazur sana na ya kufanyia kazi, ila wanasubiri siku mzee amelala mauti ndo wanatumia maneno yake wakati huo athali zimeshaharbu nchi.
Endeleeni kuwapa Wachina ...Tutakuja kulia, hayo marudio ya mchanga wa dhahabu wanatoa madini mengi, tujifunze Zambia kilichowakuta walipowakalibisha Wachina kwenye Marudio ya Copper.
Elewa hoja ,,anazungumzia "ONE WAY ROAD"🛣️ kuepusha kubomoa nyumba za watu Ili magari yapishane kwenye barabara za mitaaa, na hiyo inafanya kama ulitaka kujenga 5Km unajenga 10km ,
Du hadi ajira za watu maskini zinabinafsishwa,serikali angalieni hoja za huyu jamaa ,ikiwezekana muwakopeshe wavuvi wadogo na wachimbaji wadogo vifaa vya kisasa ili mzunguko wa hela ubakie ndani ya nchi la sivyo Hali itakua ngumu kwa wananchi.tunapoelekea tunarudi utumwani,kweli nimeamini Africa tuko modern slave..
Ww ni mbunge wangu namba moja duniani kwa kuongea fact mwenyez mungu akulinde ndugu ❤
Barabara ya kupita baiskeli ndani ya ccm hakuna wabunge aiseeee
Kishimba nakukubali sanaaaa nondo zako nzuri waeleze waelewe
Kishimba is the best, alitakiwa awe na mtu wa kutafsiri kwa vitendo
Nakuelewa sana father
Mzee yupo vizur sanaaa
Mkijenga Barabara msitujengee Barabara za muda mfupi tengenezeni Barabara za muda mrefu acheni kulipua.
Very bright, una akili nyingi sana ukweli tz tunatumia mda mwingi kusoma bira sababu ya msingi, miaka 60 tunajenga shule tu aibu kweli, kishima oyee.
haya mawazo ya huyu mzee ni mazur sana na ya kufanyia kazi, ila wanasubiri siku mzee amelala mauti ndo wanatumia maneno yake wakati huo athali zimeshaharbu nchi.
Huko sawa
Endeleeni kuwapa Wachina ...Tutakuja kulia, hayo marudio ya mchanga wa dhahabu wanatoa madini mengi, tujifunze Zambia kilichowakuta walipowakalibisha Wachina kwenye Marudio ya Copper.
Tatizo la shule kama kuna ongezeko la watu na wanafunzi ni Jambo rahisi tu jengeni shule za ghorofa ongezeni walimu ...
Shule wanajenga nyingi,walimu wanahitimu kila mwaka lakin mashule yenyewe hayana walimu.inasikisha kwa kweli
wakati huo watoto wenu wanasomea International schools full Time
Hizo ni dili za wateuzi wa mama Samia hawa mijizi mingi
Haya mashule ni dili la wasaidizi wa rais samia
Barabara ya mita 3? Mzee keshaanza kuchoka huyu
Elewa hoja ,,anazungumzia "ONE WAY ROAD"🛣️ kuepusha kubomoa nyumba za watu Ili magari yapishane kwenye barabara za mitaaa, na hiyo inafanya kama ulitaka kujenga 5Km unajenga 10km ,
Kweli Kuna umuhimu wa wabunge wa upinzani
Du hadi ajira za watu maskini zinabinafsishwa,serikali angalieni hoja za huyu jamaa ,ikiwezekana muwakopeshe wavuvi wadogo na wachimbaji wadogo vifaa vya kisasa ili mzunguko wa hela ubakie ndani ya nchi la sivyo Hali itakua ngumu kwa wananchi.tunapoelekea tunarudi utumwani,kweli nimeamini Africa tuko modern slave..
Muambie waitara hana elimu jimboni kwake
Mzee logic zako ziko poa Sana tatizo wakoroni walitumaliza akili