MWANAFUNZI MTANZANIA ANAYELIPWA LAKI 2 KWA SIKU SOUTH AFRIKA,KAJENGA NYUMBA YA MILLION 40
HTML-код
- Опубликовано: 6 фев 2021
- Erick Laizer ni mwanafunzi mtanzania anayesoma chuo cha African Leadership Academy kilichopo South Africa na alipata nafasi hiyo baada yakugundua mtambo wakumsaidia mtu kujilinda na majanga mbalimbali ikiwemo moto,wizi na hitilafu za umeme ambapo aliibuka nakushika nafasi ya kwanza kwenye mashindano ya kisayansi Tanzania
Erick anasema kwenye chuo anachosoma cha African Leadership Academy analipwa zaidi ya laki mbili kwa siku kwa kutengeneza simu laptop ukiachia mbali fedha nyingine anazolipwa na wanafunzi kwa kuwatengenezea vifaa mbalimbali na amewajengea wazazi wake nyumba ya shilingi millioni 40
Hongera sana mtoto wa mwanamke mwenzangu namuomba Mungu namimi mtoto wangu awe mfano kama wewe
Hongera mwanangu kwa kuwakumbuka wazazi, stay blessed son
Hi
Hongera brother
Habari ndugu zangu, ninawapenda sana naomba msapoti channel yangu ya neno Elimu TV kwa kubonueza alama nyekundu kama Utaipenda, ninankupenda sana❤
Mtangazaji uko vizuri unampatia kijana muda wa kutosha na kazi yako iko makini, hongera kijana Tanzania tunajivunia kuwa na wewe.
Shukrani sana ndugu yangu
Jmn mbona sie tusojua English tunakosa mazur uwiiii natamn kupata nafas huko na mie nijitafutoe maisha walah jmn naombe njia passport ninayo ila sasa English ndio mgongano otakuwaje na mm natak kujuja?
@@munaahmed8499 unavyomuona huyo ameenda kwa vigezo vya English?
@@onesmojustice2348 hilo si jibu kwa hiyo kam huwez nijibu vzr ni kher ujae mimya maan ukioita sitokufata nikakuuliza ok pls
@@munaahmed8499 sio ugomvi😀
Safi sana bro umenifurahisha sana kwa kuwakumbuka wazazi kwanza mungu akuongoze 🇹🇿🙏🏼🇹🇿❤️🙏🏼🙏🏼
Mungu alikupa ubongo mdogo wangu hongera sana
Utazidi kufanikiwa kwa sababu hukuwasahau wazazi. Mungu akubariki Genius
Amen nawapenda sana
Kabisa kabisa. Yaani kawafikiria wao kwanza.
@@ericksimon8323 niaje faza
Angalia sana hayo makampuni makubwa yasikupe mikataba mibovu ukapoteza haki kwenye vitu unavyovitengeneza ama unavyovigunduwa.
Umefanya mazur kwa wazazi Mungu atakulipa safi sana kijana angekuwa mwingine yeye na maden viwanja starehe lkn kwako Mungu akupe haja ya moyo wako.
in Life, a Mentor is very important variable
Brilliant, M/Mungu aendelee kumsimamia katika hatua zake; Tunajivunia yeye 🇹🇿
Masai ni bright hatariii. @respect mdogo wangu. Mtaani Kuna PHD azijagundua hata kirahinishi
Hongera sana kijana. Mungu akujalie umri mrefu uweze kuwagusa vijana wengi na kuipaisha bendera ya Tanzania
Hongera sana kijana hiyo nineema uliyonayo,Allah akuepushe na macho ya husda ,umefanya ihsani nzur kwa wazazi wako hongera sana kijana.
Serikali fanya chap, chukua kijana uyo jenga kiwanda cha kutengeneza iyo mitambo.... Uchumi wa kati
Bro Umeongea maneno machache Yenye Tija na Yenye kufundisha . Kuna watu wanataman kufanya unachoFanya hivyo usikate tamaa utawaangusha keep on fighting in case ya William its Good he is A friend with benefit keep on Man
Thanks kaka
Vijana wa Tz, haya ndio Mambo ya kuiga., Lkn sio lazima ni maamuzi binafsi. Wasanii wanadanganya sana mkiendelea kuwaiga hamna mtakacho pata.
Mungu ambariki kila kijana mwene mlengo na matumaini ya kujituma Kwa kadri ya uwezo wake.
Hongera Sana kijana kweli wazazi umewapa heshima🙏🙏 na baraka utazidi kuzivuna ktk maisha yako yote.
Huyu mtangazaj noma sana anaibua habar Kali sana Milady nyie Ni namba moja dunian
Ahaa kwa siku ni nyingi nilijuwa kwa mwezi
Kaizer Jina La bilionea
Ndio wana habar mzur
Yaani mie ndio maana napenda hii Ayo jamani. Mtangazaji anampa muda mtu anaeleza kila jambo hamkatishi. Na wanatuletea vitu vya maana. Hongera sana Laizer nitatafuta hiyo kidude
Hongera sana ,20 years umefanya makubwa hivyo ,Allah aendelee kukupa maarifa inshaallah
Naomba namba yako tafadhali
Wangekua watu wengine wangekua wanastarehe na wanawake kwa wingi tuu, HONGERA SANA kijana
Ndo mawazo ya wanaume wakipata pesa
So excited hearing all dat mamen from Smith compas USA river...... Fighting poverty through education!!!!!!
Hongera sana dogo, Mwenyezi Mungu akujaalie umri mrefu ili uweze kusaidia jamii ya kwetu n ulimwenguni, Mungu akulinde na hasada za sina yoyote, endeleakuwa mzalendo wa nyumbani Tanzania
Yaani umenifurahisha uliposema umejenga Kwa Mil 40...wangekua jamaa zetu wangesema Mil 700...keep it up..!
kweli
😄😄😄😄😄😄😄 wale bongo mavi
Yani true
@@sophiekivuyo6028 Ndio Hawo Hawo Na Wakiongea Lazima Waingize Kizungu Matope.
Mie nilijengewa kajumba kadogo ka vyumba viwili kwa zaidi ya 70m. Hakika a mungu amujalie zaidi
umetisha safi sana Mungu awe nawe daima
Mashallah.M/MUNGU akuzidishie kila jema kwa wakati katika maisha yako
Big up sana asee nimependa kuona kwamba hata sisi watanzania tunaweza kufanya vitu vikubwa san
Mwenyeenzi mungu akujaalie nawe uwe bilionea kama wenzako akina Laizer
Aisee huyu dogo ame onesha ile wanasema "FROM ZERO TO HERO"
Jicho lahasad lisimpate huyu kijana yarabbi
Well done to the young man, M/Mungu azidi kukuongoza.
Powerful & Inspiring! Kila kitu kinawezekan, ni kujiamini, kuthubutu na kupambana. Hongera sana na Mungu azidi kukuongoza. The fact that umekumbuka wazazi, utaendelea kubarikiwa sana!
Ukiwaheshimu wazazi unakuwa na siku nyingi za kuishi nami ni imani yangu ya kwamba hakika utajenga hiyo nyumba ya ndoto yako kwani tayari umejipatia siku za kukufanya utimize ndoto pale ulipoamua kuwapa wazazi wako ile faida ya awali. Sasa hv wanajivunia zile gharama walizotumia miaka yote jinsi zimerudi kwa pamoja kama vile mvua za ukame mrefu zikinyesha kwa mafuriko. Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu kijana, nakuomba uendelee kumtunza na kumpa kibali na maarifa zaidi.
Hongera sana kijana kuwa makini usioneshe kipaji chako nje ya nchi hususan Afrika ya kusini wazungu wanawivu sana hawataki kuona waafrika wanakipaji kama Iran wszungu wanawauwa wa Iran wataalam wa nyuklia
Masha allah, Mungu akusimamie brother.
Hongera ziende kwake....
Tuendelee kuona that tatizo sio raia wa Tanzania but ni system....Police watapata taarifa within 5seconds ila mda ambao wao watatumia kufika eneo la tukio ndo hatari....
Hongera sana mdogoangu.....daaah.....mungu akulinde sana...jmn.....!
Wow, go boy go, the sky is the limit. Hongera kwa kuwakumbuka wazazi.
Hongera sanaa kijanaa 🔥🔥
Hongera sana mwanafunzi wangu! Moyo wangu umelipuka kwa shangwe.
Hongera sana Simon, Mungu ni Mwema. I'm happy for all that.
Masha Allah ❤❤❤ kazi nzuri sana 💪
Daaah tunaosubiri ajira tuspite bila kulike
🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani we acha tu mtu awezikujiongeza wanasubiri ajira vijana wengine wavivu.
Dogo you are among of the BRIGHT SHINNING START SCIENTISTS of TZ if not Africa or in the world
Venyee unamuita dogo as if umejenga nyumba ya milion 40😆😆
@@animusstudio3302 wewe venyee ndio mdudu gani maana hata kiswahili hujui ubamebaki tu venyee 😆 huna hata ndururu 😅
Dogo yuko vizuri
Tena ww ni mkenya njoo huku TZ usifikiri tunashida kama nyinyi njoo uone watu wanamiliki mashamba siwe umebaki kusema venyee
Njooo TZ tukufundishe
Hongera Sana dogo na uckate tamaa kamwe
Mungu wewe ni Mkuu na sifa zako ni za juu....Hongera sana mdogo angu kwa hekima Mungu akuongezee zaidi na hakika utabarikiwa.
Nmependa Sana huyu kijana alivyowafanyia wazazi wake, m. Mungu atujaalie kizazi Chenye manufaaa kwetu na Jamii kwa ujumla
Millard Ayo uko Vizuri aiseee! Alafu huyu mtangazaji ni namba 1 because he is creative!! Kuna na yule jamaa anayetumiaga gharama kibao kwenda China... Yuko vizuri Sana aiseee, ni mpole na anauliza maswali ya mantiki kinomanoma!
Kichwa sana huyu mtu😙😙😙😍
Habari za siku munira
Ongera sana,m.mungu akujaalie na kazi yko.m.mungu akuzidishie zaidi ya hapo.mungu awajalie wazazi wako.kukulea vizuri
Nakuona mtangazaji umemsalut Dogo Hongera Young boy
Kuwa makini huko South Africa, siipendi Sana hio nchi. Wana maugomvi sn.
Hongera sana ....Mungu akupe haja ya moyo wako
Usimsahau Mungu aliyekuwezesha hayo maono! Uzidi kubarikiwa. Wasaidie vijana wenzio wanaoshinda vijiweni kulalamika na kumlaumu kila mtu!
Kijana MUNGU akubariki sanaa...HAYA SASA KILA MTANZANIA AKIENDELEA HUWA WANAMWAMBIA FREEMOSORY ..kwa kweli tuache ujinga huu WATANZANIA WANAUWEZO MKUBWA SAN NA KAMA WANAPATA FURSA WANAKUWA MABILIONEAA..nchi yetu watu wetu tunaakili sana sana na nchi yetu ni tajili sana ila TUMEJIKANDAMIZA WENYEWE.MUNGU IBALIKI TANZANIA NA WATU WOTE
We can do better all
Big up bro!
Pamoja.African boy.Africa will reach where we want to be."Pongezi sana Young African Scientist "
Am inspired...Keep it up
This boy is so organized than my life
Salaam za pongezi kwako.
Wow nice sana laizer fanya kazi nchini kwako mwya usiibiwe na wajanja ika nice sana big up ginious wetu wa kimasae
Congrats brother....🔥🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 one.
Hongera sana kwa ujuzi ulionao bro 💕👏👏👏🙏
Mungu ni mwema atakutimizia ndoto zake.....
Hongera sana na hongera pia kwa St.. Jude schools
Be blessed bro, Tanzania is so proud of you boy 🙌🏽🙏🏽💪🏽
Daaah hongera kwakutumia ujuzi wako kwa manufaa ya wengine!! Sio kungojea kuajiriwa ila kujiongeza.
Hongera wengn wangekula bata tuu
Hongera sana kijana,Mungu aendelee kukutunza!
Mashallah nimependa saana
Waheshimu baba na mama upate miaka mingi na.heri duniani mengine utaongezewa
Brilliant
Safi sana,thats very inspiring......
Ongera sana, Mungu akutangulie
Hongera San mungu akulinde
Ubarikiwe sana mungu ni mwema
MashaAllah
Kwamazuri umefanya sikatai mdogowangu. Ila kale kadenikakangu nilipe bwana siunajua nilikufanyia kazi Erki. Japo uliamua kulipakidogo kidogo fanya mpango tumalizeee dogo langu au unataka zilekelele za mlinzi wa Nnkya ulipokuwa kwa zile Apatiment.
Hongera sana producer, keep it up!!!
Congratulations young Man..God bless you
Big Up Brother🥰🥰❤❤💯💯
Ongera sana kijana
Babumtakeover the real king of interviews 254 wadau wapi likes za 254 1k the first person to comment
HongerA mdogo wangu
Ubarikiwe sana hiyo ni neema kubwa kwa wazazi amini.
Hongera Sana mwanangu mungu akujalie zaidi na zaidi na ajalie pia wenetu insha'Allah
Kwa kweli Mungu azd kutuinua watz na Afrika kwa ujumla
Hongera sana
Maa Shaa Allah
Hongera sana Kijana
Mungu Akubariki
Big up broo,Tanzania kuna vipaji vingi xana, sijui nini kinatukumbaga TZ but one day yes
WOOUW BLESS UP YOUNG PULL UP GOD BLESS AND GIVE YOU LONG LIFE AND GOOD HEALTH 👊🏽
Chukuwa hadhara sana kwasababu mabeberu hawapendi kuona mtu mweusi kufanyikiwa hongera mtoto ubarikiwe
Wooow...this is very inspiring
Hongera sana mwenyezi mungu azidi kukuneemesha na kukuongezea ufahamu wa kujua mambo makubwa zaidi
Hongera sana qaqa ang....may the lord be with you always na uendeleee na moyo huooo💪✊
Hogera sana kijana
Schoolmate Kama schoolmate🥰 hongera Eric
Viongozi wengi huwa wanatoa ahadi kuwafurahisha wageni waalikwa utekekezaji F
Jmn tupende watoto wetu sanaaa watatufaa sana
Your Born with Talent 😍
Sana nakubaliiii appreciate for what you do congratulation Sana
Kwanza ni mtangazaji wa kweliiii
Hongera mwanangu, Mungu aendelee kukupa afya njema, ulinzi damu ya Yesu akutunze.
May God be with yuh on all step dat yuh a stepping.
Hongera sana kijana
Shule ya St Jude Arusha ndio imemtoa huyu dogo, hizi zingine zote mbwembwe tu.
inaweza kuwa chanzo lakini Young Scientist.. ndio imemfungulia Milango