KIJANA WA KITANZANIA ALIETAJIRIKA KUPITIA MBWA "NINA MBWA WA MILLION 100"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2020

Комментарии • 652

  • @fatimamohammed2332
    @fatimamohammed2332 3 года назад +14

    kusoma sana sio kuwa na maisha mazur gonga like km wakubal hili

  • @owlbig
    @owlbig 3 года назад +13

    Good interview ❤️🇧🇮

  • @jafreezhasheem6376
    @jafreezhasheem6376 3 года назад +37

    Tunapenda sana hivi, mafanikio kwa vijana wetu Asante Mungu. Hongera nondoz Big up

    • @tambwe
      @tambwe 3 года назад +1

      Usikosi kutazama filamu ya kiswahili kutoka burundi kwenye compny ya TAMBWE
      ruclips.net/video/OzGpc_tJgVo/видео.html

  • @munashaloood4152
    @munashaloood4152 3 года назад +34

    Mungu akujalie kazi ya mikono yako

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 2 года назад

    Safi sana ,,kazi nzuri kwa watu wanaopenda kujishulisha🤝

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 года назад +6

    Hongera sana bro 🤩

  • @mnyangabejowrlicecy3881
    @mnyangabejowrlicecy3881 3 года назад +6

    Nakumbuka ulimuuzia baba yangu mbwa ,,Alikuwa mkali hata mmi nilikuwa siingiindani namkumbuka Sana yule mbwa..

  • @naimaalhagreya7119
    @naimaalhagreya7119 3 года назад

    Pongezi sana bro...mungu akubariki kwa upambanaji wako...mungu akufungulie zaidi ya hayo...

  • @rugendorunene545
    @rugendorunene545 3 года назад +18

    Baraka 🙏🙏 Kaka🇹🇿, nataka nikutembelee hivi karibuni kutoka kajiado🇰🇪🇰🇪. One of the best interview I have ever seen for those who understand the language.

    • @tambwe
      @tambwe 3 года назад +2

      Usikosi kutazama filamu ya kiswahili kutoka burundi kwenye compny ya TAMBWE
      ruclips.net/video/OzGpc_tJgVo/видео.html

    • @SPrivy
      @SPrivy 3 года назад

      Embu kwenda fanya maisha yako wakenya mnawashwa na nini shida zenu

    • @felixochieng6813
      @felixochieng6813 3 года назад

      Nataka kuwa mteja wako ndakupata aje🇰🇪

  • @patrickmarco964
    @patrickmarco964 3 года назад +6

    Safi sana broo

  • @tatalyzer382
    @tatalyzer382 3 года назад +60

    Hiyo siyo nyumba ya kuishi. Hiyo ni site ya kufugia. Km umeona mtangazaji kashangaa gonga like

  • @thomasdavid3378
    @thomasdavid3378 3 года назад +15

    Plan ni mtaji mungu akupiganie

  • @hebronsdaughter1661
    @hebronsdaughter1661 3 года назад +12

    Hongera sana kaka Mungu abariki kazi ya mikono yako

  • @abubakarsimon7456
    @abubakarsimon7456 3 года назад +7

    Mtangazaji upo vizuri sana kaka

  • @bozzabeka2240
    @bozzabeka2240 3 года назад +2

    Tunamahukuru raisi wetu magufuli kwa sababu amesema "HAPA KAZI TU" na sisi vijana tumeipokea na tunafanyakazi" yani hii video itabaki kuwa kumbukumbu kwenye makablasha yangu hakika umenena na umeonyesha..!!
    Heshima sana mzee baba hakika magufuli alikuwa ni true leader na vijana wengi wenye akili tulimkubali ila mungu kamkubali zaidi..."#salute bro.... Much respect..."
    @la pweza
    Rip mr president.

  • @henrymsoka515
    @henrymsoka515 3 года назад +4

    Hawa sasa ndo ma motivational speaker sio wale wengine waleee!! Big up broh, una inspire watu kufanya kwa moyo na kufikiri zaidi

  • @dismasmtui729
    @dismasmtui729 3 года назад +3

    Uko juu mkuu

  • @Craftiummah123
    @Craftiummah123 3 года назад +15

    I think all these dogs use for helping poice,Stay connected.

  • @michaelramadhan9466
    @michaelramadhan9466 3 года назад +6

    Msitende neno lo lote kwa kushindana wala kwa majivuno; bali kwa unyenyekevu, kila mtu na amhesabu mwenziwe kuwa bora kuliko nafsi yake.
    ____________________
    🙏📖📖📖🙏(Wafilipi 2:3)

  • @jorammanyama9967
    @jorammanyama9967 3 года назад +4

    Noma

  • @mariacosmas5061
    @mariacosmas5061 3 года назад +1

    Kaka Yuko vzr mbwa anakula wali nyama
    Hongera Sana kwa Kaz nzur

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 3 года назад +1

    Safi Sana na hongera

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 года назад +1

    Maashaallah ,,,,all the best broo

  • @hassanmohammed9153
    @hassanmohammed9153 3 года назад

    Kazi ni kazi keep up bro

  • @benmagaya6610
    @benmagaya6610 3 года назад +1

    Congratulations 🎊

  • @edwinsirchidunda5658
    @edwinsirchidunda5658 3 года назад +12

    Big up brother umenishangaza

  • @williammaganga2870
    @williammaganga2870 3 года назад +4

    Happy new year

  • @gililwise
    @gililwise 3 года назад +51

    Jamani mbwa anakula vizuri kuliko binadamu.hongera kaka kwa kujali biashara yako.

    • @nasibumkorongwe3988
      @nasibumkorongwe3988 3 года назад +1

      ongera sana,kweli anayesubiri kuajiriwa hajajitambua bado licha ya elimu yake. Good job excellence idea

    • @rastapeace9616
      @rastapeace9616 3 года назад +1

      Good job

    • @salimahmed6005
      @salimahmed6005 3 года назад

      @gilli mwanaume anapewa kongole...

    • @gililwise
      @gililwise 3 года назад

      @@salimahmed6005 amina

    • @manwoka4078
      @manwoka4078 3 года назад

      Kwani huko nyumbani kwenu mnakula nini?

  • @mahadaziz5793
    @mahadaziz5793 3 года назад +21

    Serekali tumekuskia na kuanzia sasa wafugaji mbwa wote kusajiliwa.

  • @omarnicesang5507
    @omarnicesang5507 3 года назад +3

    Nakukubali nondo

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 года назад

    Hongera sana

  • @cenzohmovies2057
    @cenzohmovies2057 3 года назад +3

    💥💥💥💥nakubal sana

  • @marymwacha995
    @marymwacha995 3 года назад

    Mmh! Amazing!

  • @safhe-mpungi6075
    @safhe-mpungi6075 3 года назад

    Kuiga sio kitu kizuri. Hongera sana bro kazi nzuri sana.

  • @musakisebengo2939
    @musakisebengo2939 3 года назад +1

    Safi sana bro...

  • @leahgithua6728
    @leahgithua6728 3 года назад +1

    May GOD bless the work of your 🤲you have a very healthy dogs and puppies ooh like them their are soo beautiful with a very clean environmental

  • @ricky0441
    @ricky0441 3 года назад

    Hongera.

  • @user-un3df1sl2h
    @user-un3df1sl2h 3 года назад +4

    Ongera kaka

  • @PiddyMontana
    @PiddyMontana 3 года назад +4

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @gaudencegeorge4622
    @gaudencegeorge4622 3 года назад +4

    Safi sana

  • @ngilini9509
    @ngilini9509 3 года назад +1

    Ote mlio komenti ujinga hamjielewi ila mimi niliewahi kufugatu mbwa koko wa wakuuza 10000,najua hesabu anazozipiga huyo jamaa ila mlioshidwa maisha tokea huko mmesha ingiza yenu daaaa watanzania bwana nishida sana hamchelewi hata kumpachika mtu mambo ya ajabu ajabu mungu awafanye mshindwe kwa kila mkifanyacho msifanikiwe kwa chochote katika maisha yenu mwacheni jamaa apige pesa na mbwa wake.

  • @seciliarenatus8657
    @seciliarenatus8657 3 года назад +2

    Kaloleni primary school ♥️♥️

  • @meddymd255
    @meddymd255 3 года назад +19

    Nimependa Sana, Kikubwa kupambana, Ila usije kuiga ukahisi utatoboa haraka ndugu yangu, Kikubwa fanya ambacho unaweza wewe kiwe mfano kwake na kwawengine.

    • @siostinijohn3226
      @siostinijohn3226 3 года назад +1

      Broo dah , Asante Sana mungu ,nanikweli hapa kazi tu

  • @camoteplatnumz2476
    @camoteplatnumz2476 3 года назад +2

    karibu kwenye lyrics song

  • @remeniurasa4866
    @remeniurasa4866 3 года назад

    Great project

  • @anoelinamwilili2094
    @anoelinamwilili2094 3 года назад

    Good ideal big dro

  • @leonarddeus5897
    @leonarddeus5897 3 года назад +14

    Mh kwenye mke hapo bro umeteleza tengua kauli.

  • @danielmbarikiwa6692
    @danielmbarikiwa6692 3 года назад

    Hongera

  • @noeldamas1890
    @noeldamas1890 3 года назад

    Hongeraa sanaaa

  • @mariapetro8825
    @mariapetro8825 2 года назад

    Hongera sana kaka hapa kazi tu

  • @sevenkefa2709
    @sevenkefa2709 3 года назад

    Hongera sana Kaka

  • @mcgoodluckeventz2175
    @mcgoodluckeventz2175 3 года назад +3

    Bravo kaka

  • @adammjomba7112
    @adammjomba7112 3 года назад +2

    Juhudi ndio msingi wa mafanikio na sio fina wala tunguli. ( BY ADAM MJOMBA)

  • @bihamatvjunior4771
    @bihamatvjunior4771 3 года назад

    Nondo unatisha kweli big up mkali

  • @kalimojanswila407
    @kalimojanswila407 3 года назад

    Hongela sana kwa kazi swali kwanini mbwa wamekatwa mikia

  • @ezekiachaffu282
    @ezekiachaffu282 3 года назад +4

    Heshima kwako broo

  • @tamaraseff.9707
    @tamaraseff.9707 3 года назад +44

    Heri ii kuliko wizi.congrats boo

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 года назад

      Nazi ngumu mbona unafikiri kazi ndogo.Chakula

    • @eggysulle7988
      @eggysulle7988 3 года назад +2

      Unaeza ukalinganisha kaz ii Na wizi?

    • @georgeigogo9259
      @georgeigogo9259 3 года назад +1

      Nimekushangaa sana kwa kufananisha kazi hii na wizi

    • @MrJevelson
      @MrJevelson 3 года назад

      Pia bora hii kuliko kuvuta

    • @nimrodsigulu2053
      @nimrodsigulu2053 3 года назад

      We ndio mjinga kweli ..sasa hii kazi na wizi unaifananishaje?

  • @aminielyohana3052
    @aminielyohana3052 3 года назад +7

    Kaka nimejifunza jambo kwako nashuru sana mungu akutangulie

    • @swedinjaidi4658
      @swedinjaidi4658 3 года назад

      Lakini umeelewa kuwa mbwa wa kwanza kamto wap?

  • @shekhalban8168
    @shekhalban8168 3 года назад +3

    ukweli tuseme kwa sisi waislamu tumekatazwa kuuza au kununua mbwa allah atuongoe na atuepushie kuingia ktk biashara hio

  • @christelle9690
    @christelle9690 3 года назад

    Napenda kabisa 👏

  • @edigausuka3343
    @edigausuka3343 3 года назад

    Hongera bro

  • @lilig5959
    @lilig5959 3 года назад +1

    Jamaa ametuinsper sana vijana ila tunakuomba millard uende arusha kumuoji zaidi tunaamini utatuonyesha mali zake nyingi zilizo tokana na mbwa ili tuwe proud na tujifunze zaidi kazi iyo.Ndo maombi yangu mm kama fans wa millard

  • @hanceysamuel5475
    @hanceysamuel5475 3 года назад +6

    Inahamasisha kwa kila mweny ndoto za mafanikio!! 🙏🙏🙏

  • @Fabulousmom509
    @Fabulousmom509 3 года назад +4

    Well done Kijana..

  • @violethmtalemwa5190
    @violethmtalemwa5190 3 года назад

    kaka nimekukubali sana sana umechagua biashara ya pekee big up

  • @pendowambui4378
    @pendowambui4378 3 года назад

    Hongera sana nondo

  • @siriyangu4724
    @siriyangu4724 3 года назад

    Masha Allah vjana wawe wambunifu kama nondo wwache wizi taifa iendelee nguvu za kazi ni vjana ongera brother mungu azindi kupambania amiin

  • @johnnykallaghe7704
    @johnnykallaghe7704 3 года назад +1

    Congrats bro

  • @aisha-ro5fr
    @aisha-ro5fr 3 года назад

    Msela nakujua sana mze baba nondoo

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 года назад

    Mungu amujarie

  • @bitricemsungu7961
    @bitricemsungu7961 3 года назад

    Uko vizuri

  • @soaregttz65
    @soaregttz65 3 года назад +11

    msipende sana kuuliza shule ya mtu,elimu ni mafanikio ya mtu aliyonayo

  • @gilntihe4445
    @gilntihe4445 3 года назад

    Congratulations,

  • @joelkitoka5297
    @joelkitoka5297 3 года назад

    Thnks brw

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 3 года назад +3

    Mtangazaji jitahidi kufanya mahojiano katika njia ambayo ni kama na wewe unataka kujua yaan zungumza(make conversations) sio kuuliza swali moja moja hivyo unamfanya anayehojiwa nae akae mkao wa kujibu maswali na si kuelezea pia hapo kwenye aina za mbwa ungeenda akuoneshe kila aina ili wasiojua wajue..Ni mawazo tu.

  • @rameckatanasi6888
    @rameckatanasi6888 3 года назад

    Mm napenda sana kujihusisha na mambo ya ufungaji

  • @starlonejadamskp8224
    @starlonejadamskp8224 3 года назад +1

    🔥

  • @eddogeorge9670
    @eddogeorge9670 3 года назад

    Respect for you Brother

  • @luhunganyerere6347
    @luhunganyerere6347 3 года назад +1

    💯💯👍

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 года назад +1

    Motivation speaker

  • @aby21111
    @aby21111 3 года назад

    I love dogs 👍👍👍

  • @ElephantEchoesEntertainment
    @ElephantEchoesEntertainment 3 года назад

    Jamaaa kitambo sana aisee enzi ana duka la simu stand kuu pale arusha sijamwona mpk leo kumbe kawa millionaire

  • @nyandapatrick1239
    @nyandapatrick1239 3 года назад

    Hongera kwa fulsa yako ya ufugaji ingawa inaonekana ni gharama sana, nahisi inahitaji utaalam sana na ingefaa fulsa hii iwahusu vijana wanaotokea sua

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 3 года назад

    Big up sana

  • @JB-eu7sb
    @JB-eu7sb 3 года назад +8

    Mtangazaji be like after this interview i'm going to open my own dog shop.

  • @sarahassanmtegwa5578
    @sarahassanmtegwa5578 3 года назад

    Hatariii

  • @madatapeter2218
    @madatapeter2218 3 года назад

    Safi sna haujaizarau

  • @melangongo2829
    @melangongo2829 3 года назад +1

    Uyu kijana hana akili sana courage👏👏👏👍

  • @mbisetv8349
    @mbisetv8349 3 года назад +1

    Safii

  • @mshamurashidi4124
    @mshamurashidi4124 3 года назад +2

    Hongera kwakuwa mpambanaji na unaushauri mzuri.

  • @hassanishebawa6334
    @hassanishebawa6334 3 года назад

    Big up bro

  • @emmamatemu8225
    @emmamatemu8225 3 года назад +91

    Chochote unachofanya ukiweka juhudi utafanikiwa

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 3 года назад +1

    😎

  • @devishonest8028
    @devishonest8028 3 года назад

    Namjua vizr kabs hyu mshikj wang😅😅😅hongr bhna oscar

  • @angeljoseph922
    @angeljoseph922 3 года назад

    Napenda mbwa anaitwa hulk

  • @josemoshazungu8279
    @josemoshazungu8279 3 года назад

    Gt nakubali kk

  • @bablojakitalambo504
    @bablojakitalambo504 3 года назад +1

    Aya maish ni hatali sana respect mzee nondo

  • @enockjuma3902
    @enockjuma3902 3 года назад

    Du kweli

  • @georgetavalentine4686
    @georgetavalentine4686 3 года назад +1

    🙌👏👏👏👏

  • @hawaramadhani4435
    @hawaramadhani4435 3 года назад +1

    Tunashukuru kwa maelezo yako mazuri sana sasa jiandae mwezi wa 3 ujilete mwenyewe TRA kwa makadirio ya biashara yako sasa uache kuja sheria itafuata mkondo wake ...asante sana kwa uhujumu uchumi sio ombi amri ripoti babaangu .

    • @leonellykweka7165
      @leonellykweka7165 3 года назад +1

      NILIWAZA UNAPOJITANGAZA HIVI HUONI TRA WANAKUANGALIA

    • @hawaramadhani4435
      @hawaramadhani4435 3 года назад

      Aje na mashine au kitabu cha risiti za mauzo