VIDEO: HALI MBAYA LOS ANGELES INAVYOTEKETEA KWA MOTO, MILIPUKO KUONGEZEKA ZAIDI, UPEPO MKALI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 467

  • @FestoMatayo-x1t
    @FestoMatayo-x1t 14 дней назад +162

    Kinacho tengenezwa na mwanadamu kwa Zaid ya Karne 1 mungu anaweza kukiharibu kwa saa moja jaman kwa wote waislamu na wakristo tutambuwe uwepo wa mungu na kuheshimu mipaka yake hapa duniani Amina🙏🙏🙏

  • @kitaaofficial4119
    @kitaaofficial4119 13 дней назад +5

    Moto ukiwa na Upepo Kuuzima ni ngumu sn😢😢 This is unstoppable fire

    • @aairraahseif5648
      @aairraahseif5648 13 дней назад +2

      Hatakama'huo moto ni kiasi cha kuwakumbusha kuna Allah, waache kumuasi'kumpuuza'nakumdhihaki, wao huifanya ni miungu watu, wanaendesha Dunia watakavyo kwa uovu,wanataka kushindana na Allah

  • @RukiaMandenge
    @RukiaMandenge 13 дней назад +28

    Mungu atulinde na tz yet...marekani tu ngoma ngumu na wana kila vifaa. Apa bongo je ingekuaje ghorofa moja tu raia kbao wmkufa...mungu ilinde nch y2

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 13 дней назад +1

      Amiin amiin ya rabialamin

    • @HvhVvb-k3i
      @HvhVvb-k3i 13 дней назад +5

      Usisahau muhimizane kuwacha maovu maana ushoga sio marekani tu Hadi Tanzania na maovu mengine pia kukashifiana dini

    • @PendoMarco-x3u
      @PendoMarco-x3u 13 дней назад

      Amina

    • @kassimdc3288
      @kassimdc3288 13 дней назад

      😂😂

    • @lailaoman3856
      @lailaoman3856 13 дней назад

      Ila marekani umezidi mbaka makanisayakufunga ndoa

  • @AminaOmar-v9f
    @AminaOmar-v9f 13 дней назад +17

    Subhannaallah moto unawawakia duniani nabado moto.wa jahannam mungu awasamehe nakuwaokoa lnshallah 😢

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 13 дней назад +2

      We ni mjinga mbona wenyew hawaja acha kuichoma Gaza huko Palestine. Namuomba Allah (s.w) aendelee kuichoma marekani kama vile wao wanavyoichoma Palestine na mashariki ya kati Kwa ujumla. Ameen 🙏🙏🙏

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 13 дней назад

      ​@HassanJaphari-rx7jy kwa sababu wewe ni mkamilifu sana acha kiburi cha uzima ukijiona mzima nyenyekea hujampa MUNGU chochote Hadi akupe pumzi Hadi Leo kwahiyo acha kuhukumu usije hukumiwa

    • @TwahirMohammed-x2h
      @TwahirMohammed-x2h 13 дней назад +1

      Wacha moto uwawakie mi siwaonei huruma kila siku kazi yao kupiganisha wenzao wamewagombanisha wa libya mpaka leo hawajakaa sawa

    • @LizenMaker
      @LizenMaker 13 дней назад

      Unakuja Tanzania sio mda

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 13 дней назад

      @@HassanJaphari-rx7jy Amiin

  • @innocentmvungi8925
    @innocentmvungi8925 13 дней назад +9

    Hamna kitu wanaweza Fanya hao kikafanikiwa wamrudie Mungu tu wafanye Toba ya kweli lasivyo wanatwanga maji kwenye kinu

  • @HGvv-bh1ig
    @HGvv-bh1ig 13 дней назад +25

    Nkumuomba mungu msamaha awashushie mvua kubwa moto upate kuzima jamn Allah atujalie mwsho mwema

    • @shariffjuma7974
      @shariffjuma7974 13 дней назад +3

      Acha nchi iangamie uharibifu umezidi mno na kuusambaza kwa lazima Kila nchi

    • @iddihamisiharuna8261
      @iddihamisiharuna8261 13 дней назад +5

      Wamerekani walimpa silaha na wanajeshi Israel ili kuwaua Malaki ya wananchi wa parestina na kuharibu mji wa gaza. Acha nao Mungu awaangamize, Allah anawalipizia kisasi wanawake, watoto na wazee wa parestina waliouliwa na
      kuharibiwa makazi yao

    • @YusuphRashidi-b1j
      @YusuphRashidi-b1j 13 дней назад

      Hivi na wewe unaihuzunikia marekani wa azirishi ya machafuko

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 13 дней назад +4

      Mfanyaji wa haya yote ni MUNGU mmoja ambae hajazaa wala kuzaliwa, kwaiyo wacha afanye yake ili watu wajue kama kuna MUNGU

    • @nicodemuswidambe5132
      @nicodemuswidambe5132 13 дней назад

      Mungu cyo mungu!!

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 13 дней назад +7

    It's too much inabidi kutubu kwa Mungu bila hvy mji unaenda kufutwa , Km mtaendeleza kiburi Mungu atazidi kuwa onesha ukuu wake

  • @beatricemwasunda5027
    @beatricemwasunda5027 13 дней назад +12

    Muonapo matukio kama ayo,mjue Yesu yu karibu KURUDI 😭mwenye kudhurumu,azidi kudhurumu,na Mwenye KUJITAKASA,aZidi kujitaka...YESU YU KARIBU SANA KURUDI😭😭

    • @shariffjuma7974
      @shariffjuma7974 13 дней назад

      Itikadi ya upotevu kabisa😮😮

    • @MerySakila-n3z
      @MerySakila-n3z 12 дней назад

      Ndio yesu yukaribu kuja kuchukua watu wake tuonapo hayo ni dalili za kurud kwak

    • @AtupelileSanga
      @AtupelileSanga 7 дней назад

      Amen 🙏 tuachane na dhambi tuzidi kuutafuta uso wa MUNGU ili YESU atakapokuja atukute tayari tumejiandaa kumpokea 🙏

  • @annndunda3953
    @annndunda3953 13 дней назад +22

    Sio upepo ni mkono wa Mungu, si wenyewe walisema Mungu kapata sufuri na wamtoe kwenye mji wao, mji wenye hauna Mungu hukaa hivi okay

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 13 дней назад +8

      Na waendelee tu kuteseka mie sitaman ata uzimike😂

    • @azizasaid5255
      @azizasaid5255 13 дней назад

      Mmmm,

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy 13 дней назад +3

      Wacha wachomeke na moto kama vile wao wanavyo choma nchi za wenzao. Ameen 🙏🙏🙏

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 13 дней назад +3

      😂😂😂😂uwake pande zote ili akili ziwakae sawa maana hata maji yatakwisha sasa

    • @ISSAJR-f5
      @ISSAJR-f5 13 дней назад

      MAJI YATAISHA MWISHO WATAMWAGA MIKOJO WAHUNI HAO WAUNGUE 2.

  • @nakilingwembele9504
    @nakilingwembele9504 13 дней назад +21

    Unakuta mtu anaandika mungu na watu wanaitika amen, jamani ni MUNGU/Mungu na siyo mungu 🙏🙏

    • @karibunyumbani3824
      @karibunyumbani3824 13 дней назад

      Haswaaaaaaa🎉🎉🎉🎉

    • @Aziza-tx4jx
      @Aziza-tx4jx 13 дней назад

      Aowenzetu wamevuka mipaka nakujifanya wameishika Dunia na kuijua vilivyo acha yawakute

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 13 дней назад

      Kweli​@@karibunyumbani3824

    • @MarcoPeter-y5n
      @MarcoPeter-y5n 13 дней назад

      Safi Kwa kutoa Elimu ya jinsi MUNGU BABA wa Mbinguni anavyotakiwa Kwa kuheshimika Kwa kuandika Jina lake Kwa herufi kubwa

    • @ruthkamungo5566
      @ruthkamungo5566 13 дней назад

      Ubarikiwe kwa kuliweka sawa

  • @KHAMISISADICK
    @KHAMISISADICK 13 дней назад +16

    Mungu angamiza malekani yote maana tumechoka na matendo yao machafu na unyonyaji kwa mataifa madogo🙏🙏🙏

    • @mshambaused3840
      @mshambaused3840 13 дней назад

      Kabisa

    • @Bahatisekile
      @Bahatisekile 13 дней назад

      Unaposema Mungu aangamize taifa zima kwani hakuna watu wema na wacha Mungu

    • @SaidIsmaili-vc4wl
      @SaidIsmaili-vc4wl 10 дней назад

      Kumbe maomb yako kama yangu

    • @wilsonDenderege
      @wilsonDenderege 10 дней назад

      Wanyonyaji au weee mwenyewee huna maalifa na taifa lako tz wezi wagonjwa, vichaa, wezi taifa litaendeleaje sasa🖕

    • @geogelucas7544
      @geogelucas7544 12 часов назад

      Amin

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy 13 дней назад +9

    Namuomba Allah (s.w) moto usizimike hadi marekani yote ipotee katika uso wa dunia na kubaki magofu tu kama vile walivyo iteketeza Gaza na mashariki ya kati Kwa ujumla. Ameen 🙏🙏🙏

  • @FidelisMushi-m5b
    @FidelisMushi-m5b 13 дней назад +10

    Wakati wa kutubu tuu bila ivyo kuamini mungu yupo moto utawatesa sana

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 13 дней назад +12

    Alhamdulillah ..YAA ALLAH endeleza hasira zako kwa Taifa hili dhalmu lisilojua kama kuna MUNGU wa kweli ambae hashindwi na chochote.

  • @kileoisaac
    @kileoisaac 13 дней назад +1

    Toba pekee ndio inayo weza kuwaokoa na huo moto; tofauti na hapo kwa jitihada zao hawawezi kuuzima huo moto... Mwenyezi Mungu turehemu! Tunaomba Rehema zako na Neema yako iwafunike! Uwaokoe na maasi yao!

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 13 дней назад +9

    تبارك الله ❤❤❤❤

  • @SabihaibrahimRajabu
    @SabihaibrahimRajabu 13 дней назад +19

    Allahu akibaru maashallahhhh

  • @AmiWitu-n1y
    @AmiWitu-n1y 13 дней назад +2

    Msaada wa haraka,wa kweli na karibu ni Mungu tu. Sio hata jeshi,polisi,mali ulizo nazo NK. Tumheshimu na kumkaribia Mungu.

  • @mohamedkhatib5526
    @mohamedkhatib5526 13 дней назад +20

    Laana hiyo Allah' ana majesh ambayo hayawezwi na majeshi yoyote na hilo n moja ya majesh yake sasa

    • @MsevenSaudisaidi
      @MsevenSaudisaidi 13 дней назад

      Wasilam mbona mnafulai malekani kuwaka moto

    • @chikuiddy9946
      @chikuiddy9946 13 дней назад +1

      ​@@MsevenSaudisaidi Wanaotuletea sisi huku ndoa jinsia moja ni hawa na pia ni wachonganishi watu wanauwana

  • @AlhajiIssa-jb9hr
    @AlhajiIssa-jb9hr 11 дней назад +2

    إنما امرهو إذا أراد شيئاً أن يقول له كن فيكون.

  • @nellymtambo8432
    @nellymtambo8432 13 дней назад +2

    Wamarecan bhana na nyumba zao ni mabox mabox cjui mbao mbao za kuulia nyoka😂😂😂 ndio maana imekua rahisi sana LA kiteketea kwa dakika 0 mungu awatie nguvu tunawapenda❤

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 13 дней назад

      Zipo sababu nyingi za kwann nyumba zao wanajenga kwa mbao

  • @AminiMsellem-gk3yy
    @AminiMsellem-gk3yy 13 дней назад +4

    Safi sana tena sana mazalimu hao wameiteketeza palestina Mungu analipa hapahapa duniani

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 13 дней назад +6

    MUNGU AWAPE KILE WALICHOKIFANYA GAZA , SYRIA, LIBYA, IRAQ , AFGHANISTAN NA MAENEO MENGINE AMBAYO WALIPATA MAUMIVU WALIOSABABISHA WAO

  • @fatmamangallah8263
    @fatmamangallah8263 13 дней назад +1

    Allah Akbar. SubhanAllah wa Astaghfirullah 😭😭😭😭

  • @TonnleeLwisgon-c6m
    @TonnleeLwisgon-c6m 13 дней назад +1

    Huo ndio mkono wa Mungu Mashallah.

  • @SaidIsmaili-vc4wl
    @SaidIsmaili-vc4wl 10 дней назад

    Ewe mwenyezi mungu muumba wambingu na Aridhi hakikisha wanacho bitia raia wasio kua nahataia huko parestina nahuko kwahao wanao sababisha hao raia wasio kua nahatia kupoteza maisha namakizi yao naho mbwa wafanyie hivo hivo maan hawajui kama wewe nimkali wakuadhibu 🤲🤲🤲🤲

  • @jumahamad3723
    @jumahamad3723 13 дней назад +3

    Qur'an inasema kweli kabisa
    Cha kuwasaidia ni kuomba msamaha huruma ya Allah itaokuja na sio zima moto

  • @blessedggithinji6192
    @blessedggithinji6192 13 дней назад

    Wooi God you said you will finish world with fire you have starting😢forgive us all Jehovah God 🙋🏼‍♀️🇰🇪🙏🏼

  • @kmotivation1130
    @kmotivation1130 13 дней назад +5

    Amini Mungu Yupo ,Yesu ni Mwokozi Piga kazi

    • @kalelaonlinetv
      @kalelaonlinetv 13 дней назад

      Allah sio yesu uyo yesu ni mtume wake anaitwa ISSA bin mariyam

    • @angelelirehemachambo2382
      @angelelirehemachambo2382 13 дней назад

      Wewe nawe​@@kalelaonlinetv

    • @facilitylema8423
      @facilitylema8423 13 дней назад +1

      Iko Siku inakuja hapo Yesu Kristo atakaposhuka na mawingu na kila jicho litamwona.
      Hapo ndipo itakapojulikana Kama Yesu Ni Mungu.

    • @sbboymkaliofficial9108
      @sbboymkaliofficial9108 13 дней назад

      ​@@facilitylema8423 kajambe ukalalale acha kutupanga 😂

    • @barakashaban1082
      @barakashaban1082 13 дней назад

      ​@@facilitylema8423Yesu sio Mungu

  • @EdithaRaphael-fp4gb
    @EdithaRaphael-fp4gb 13 дней назад +1

    Hapa yaani Mungu aingilie tu kati,pamoja na vifaa vyote havitasaidia ila Mungu akitamka yatosha moto na utatii na utazima.kwahiyo tuwaombee tu Mungu ni mwema sana🙏

  • @SalmaAthuman-hp3en
    @SalmaAthuman-hp3en 13 дней назад +4

    Huu moto ni kama ukizima ndo unazidi tuombe mwisho mwema dunia ni mungu tusijisahau

  • @doramerits1077
    @doramerits1077 13 дней назад +4

    Wao sinasikia wanaweza kutengeneza mvua imekuwaje ndio wajue kama Mungu yupo

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 13 дней назад +1

      😂😂😂wasingetumua nguvu kubwa kuzima moto

    • @hamoudmchiko4523
      @hamoudmchiko4523 13 дней назад +2

      Mvuaa😂??? Mamlaka hayo anayo malaika ambae amepewa na Allah

    • @KhadijaMwenda
      @KhadijaMwenda 13 дней назад +1

      Uliona kilichowakuta Dubai 😂😂

  • @LeahAndrew-r8y
    @LeahAndrew-r8y 13 дней назад

    Sorry for that 😢😢😢 God is good will save you amen.😞😞😢😢😮‍💨

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 13 дней назад +1

    Yesu wakumbuke Tena baba yetu! Uwiiiii. Kumbuka Rehema baba wa neema!

    • @hamadsheni8997
      @hamadsheni8997 13 дней назад

      Kwahyo yesu ache kukaa mbinguni aje kuzima moto.

  • @samwelmabula4455
    @samwelmabula4455 13 дней назад +4

    Chanzo ni walipiga kura nani anakubalika sana Na wamweka Mungu na kwenye kura zao Mungu akapata kura sifuri wakaanza kusema mtoe mungu katika eneo letu asa Mungu niwa mchezo

    • @annndunda3953
      @annndunda3953 13 дней назад

      Kwa hio ilinikera sana

    • @FilbertHabashi-zn1qu
      @FilbertHabashi-zn1qu 13 дней назад

      Ahh kumbe walifanya kitu kama icho, hyo story ndo nimeijua now japo kwa ufupi, nataman mtu anielezee kwa undani kdgo

    • @teddiekwai8424
      @teddiekwai8424 13 дней назад

      ​@@FilbertHabashi-zn1qumimi pia kweli nahitaji kujua vizuru

  • @BashiruMohamedmrisho
    @BashiruMohamedmrisho 13 дней назад

    Baada ya coronavirus mara p diddy Na sasa moto Mungu anatukumbusha uwepo wake😢

  • @MoiseMughalitsa
    @MoiseMughalitsa 6 дней назад

    Mungu atu linde sisi wa African wote 😢 na sikitika sana kutoka DRC 😊

  • @JamesJastin-bg1rx
    @JamesJastin-bg1rx 13 дней назад +11

    Napenda sana Marekani kuungua😅😅😅

  • @SaidatiHalidiJuma
    @SaidatiHalidiJuma 7 дней назад

    Mungu awasaidie ndugu zetu wm

  • @hassanrashid-l3u
    @hassanrashid-l3u 13 дней назад +1

    Wamarekani hawatakiwi kupewa pole wala kuonewa huruma ,asilimia kubwa ya mauaji ya nchi zingine yanasababishwa na wao ,,namuomba mwenyezi mungu huo moto uzidi kuendelea kuwaka ndani ya miez minne tu .marekani yote itakuwa imeisha ili waanze upya kuijenga nchi yao wasahau habali za kuwaangamiza wengine.inshaalah

  • @AnnastaziaJeremiah-ch3vx
    @AnnastaziaJeremiah-ch3vx 13 дней назад

    Mlio coment hapa Yesu akija paa mnauhakika wote Tunaenda mbinguni au bado moyo wako unamaswali

  • @Amary-r2t
    @Amary-r2t 9 дней назад

    Daaaaaah mwisho wa Dunia una mambo mazito😢

  • @fatmakombo9793
    @fatmakombo9793 13 дней назад

    Allah akbar 😊

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 13 дней назад

    Mwenyezi mungu atusaidie Sana dunia iniaelekea pabaya sana ee mwenyezi mungu tusaidie😢😢🙏🙏

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 13 дней назад

    Damu za wa Libya 🇱🇾 Iraq, Congo 🇨🇩 Afghanistan 🇮🇶 na nchi zote mlizo sababisha maafa hazita waacha salama na kama huu ni mpango wa Mungu busi usiishie hapa ili Awatambie Mungu hafananishwi na kitu chochote hapa Duniani kama walivyo mkashifu kuwa amepata Zero

  • @abdallahsaid8157
    @abdallahsaid8157 13 дней назад +4

    INAWEZEKANA TATIZO HILI LIKAWA NI KUBWA SANA KULIKO CORONA. 😳🙏

  • @MarthaIssangya
    @MarthaIssangya 13 дней назад

    Ee mwenyenz mungu warehemu baba wa rehema maana Kwa ufahamu wao na akili zao hawataweza hakika washushie mvua tu ndo itakua salama yao kristo yesu🙏🤲😭😭😭😭😭

  • @RehemaMasunga-ml7kt
    @RehemaMasunga-ml7kt 13 дней назад +3

    Na utaalamu wao wote lakini hapa kwenye moto wamedunda

  • @RehemaBukuku
    @RehemaBukuku 11 дней назад

    Mungu mwenyewe aingilie kati

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 13 дней назад +1

    Allah Jabar

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 12 дней назад

    Hao zimamoto wanafanya ushahidi tu ,,hamna moto wanao uzima

  • @Johnsonchristopher-uc5er
    @Johnsonchristopher-uc5er 13 дней назад

    Tuishi kwa kutambua uwepo wa mungu na tuishi kwa amri zake hakika bwana atatutulinda na vyote vilivyomo duniani na kuishi maisha marefu atakavyo tumuombe sana mungu hii sio kawaida kuna mahali tumekosea anatukumbusha nankutupannafasi nyingine

  • @omariputto3315
    @omariputto3315 13 дней назад

    Hakika Mungu anaonyeaha ukuu wke😢 toba sala kumshukuru na kumtukuza yeye kuna malipo Mungu adhihakiwi matendo yke ni makuu na yanatisha.

  • @Jayhood28
    @Jayhood28 13 дней назад

    Angalau wana vifaa vya kuzima Moto..Mungu awasaidie..pia wafanye SALA maalum

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 13 дней назад +2

    Kama Ni Moto Wa Mungu Atauzima Mwenyewe Sio Binadamu.

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa 13 дней назад +7

    Tesekeni na nyiye km mlivyowatesa wapalestina

  • @dalilahothman-z3x
    @dalilahothman-z3x 12 дней назад

    Kama movie flani vile kumbe ndio hali halisi ,Yarabi wafanyie wepesi waja wako na utunusuru na sisina mitihani mikubwaYaarabi🙏

  • @doramerits1077
    @doramerits1077 13 дней назад +2

    Watubu tuu Mungu ni wahuluma atawasamee

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 13 дней назад

    Vzr sana wafe hawooo makafiri wanajifanyaga wababe hiyo salamu ya allah duniani bado huwoo moto wake siku ya hukumu.

  • @lizyNgaa
    @lizyNgaa 13 дней назад

    Ninani atasimama mbele ya hasira ya Mungu, Yesu nisaidie😢.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 13 дней назад

    SUBHANALLAH
    ALLAHU AKBAR

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 13 дней назад

    Wanalipwa kwa kazi zao huko Gaza yemen siria na kote duniani wanao sapoti usenge bado tunataka wamarekani wapigane na mungu na kila siku mooto uenee marekani yote

  • @hansondaniel-nb2jn
    @hansondaniel-nb2jn 13 дней назад +1

    Ni MUNGU sio (mungu )

  • @RashidShidhani-h4q
    @RashidShidhani-h4q 13 дней назад

    Saa moja ni nyingi kwa mwenyezi Mungu. Dakika tu inatosha kuharibu Kila kitu

  • @johnmeshack4431
    @johnmeshack4431 13 дней назад

    Mungu atusaidie❤jisia moja kuoana ndyo maana mungu anatoa kichapo

  • @Drsilo-v5k
    @Drsilo-v5k 13 дней назад +5

    Tunashukuru MOLA WETU ILA ENGEZA UPEPO ULIANGAMIZE TAIFA LISOKUHESHIMU

  • @lovenesAriel-v3c
    @lovenesAriel-v3c 13 дней назад

    Ooh lord for give us

  • @nyandutozy_1
    @nyandutozy_1 13 дней назад +3

    UNATAMAMI KUWAONEA HURUMA ILA UKIFIKILIA NAMNA WANA VYO ITESA DUNIA UNAOMBA ADHABU INENDELEE NCHI YOTE ITEKETEEE TU

  • @hassnsalim5156
    @hassnsalim5156 13 дней назад +5

    IMEKULA KWENU MTAJUTA KUKUFURU MBWA NYIE

  • @josiacharles2778
    @josiacharles2778 13 дней назад +5

    Ukisoma comment ndo utajua duniani ubinada aupo tena utu ushatoweka, maasi yanatokea watu wanafuraia, watu wanaona wengine kuangamia ni sahii😭😭😭 Dunia imefika pabaya, Mungu tuhurumie,
    Kwamfano ili tukio lingetokea Tz tungewalilia awa wamarekani watusaidie, wao wako kwenye changamoto watu wanafuraia nakuona nisawa kinachowapata, Tz roho yaivi atukua nayo. Mungu wetu muumba Mbingu na nchi irehemu marekani wafanyie wepesi janga ili liwatoke.

    • @privatuskatabalo9617
      @privatuskatabalo9617 13 дней назад +2

      Jifunze kujua tabia za Mungu. Usipokuwa makini kunasiku utamuonea huruma hata shetani. Halafu utasema ni ubinadamu.
      Moja kati ya vitu ambavyo mwanadamu anatakiwa kujua kuhusu tabia za Mungu tunazotakiwa kuzifuata ni pamoja na
      1.sisi kuchukia anachochukia Mungu hata kama tunakipenda zaidi
      2.Kupenda anachopenda Mungu hata kama hatukipendi.
      3.Elewa kuwa unaweza kukuombea msamaha kwa mtu niliyegombana naye. Ila kama nimegombana na Mungu ili uwe salama ni wewe kuwa upande wa Mungu.
      Kwakusema hayo tafuta kujua wamemkosea nini Mungu na hicho ndicho alichowajibu.
      NB Mungu ninaye mjua mimi ni Mungu mwenye wivu. NA HUO NDIO KAUONESHA

    • @josiacharles2778
      @josiacharles2778 13 дней назад

      @privatuskatabalo9617 ndo kawaida ya wanafiki Kwa maelezo meengi yasiyokua na maana.

    • @saidalhinai1131
      @saidalhinai1131 13 дней назад

      Marekani hasaidi mtu ila kuna maslahi china Japan na nchi za ulaya zinatusaidia wache waonje nguvu ya mungu mbwa na mashetani wakubwa

    • @HadiaAme-x5f
      @HadiaAme-x5f 13 дней назад

      Wao waliueka wp ubinadamu wkt walipoua wapalestina maelfu kwa maelfu moto uendelee nchi nzima km tamu na wao wale wafaidi nabadooo

  • @mwankunjatyson
    @mwankunjatyson 13 дней назад +1

    Mwenyezi Mungu awasaidie moto uwahi kuzima

    • @MarckMasaki
      @MarckMasaki 13 дней назад

      Unatetea mashoga sio,wanavo uwa watu huko Gaza watoto wasio kuwa na hatiya, Bora marekani iungue yote moto

  • @daudamir-o9n
    @daudamir-o9n 13 дней назад

    wazungu ndio wajue ya kwamba mungu yupo wamezid kukufuru adhab nyingine cyo mpaka mbinguni zinaanzia hapa hapa duniani😊

  • @Saidimkwizu
    @Saidimkwizu 13 дней назад +6

    MASHAALLAH raha sana hii kuona mashoga wakiteseka

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 13 дней назад

      utaniuwa bana😂😂😂

    • @Happy-n5i5x
      @Happy-n5i5x 13 дней назад

      tuwaombee waafrik wenzetu kina roma 😢😢

    • @alicejumaa89
      @alicejumaa89 13 дней назад

      Ukweli ushoga ni dhambi nanga mkono huu moto

    • @Saidimkwizu
      @Saidimkwizu 13 дней назад

      @@Happy-n5i5x warudi kwao kwanza watarudi baadae

  • @ZeldaMzena
    @ZeldaMzena 13 дней назад

    Yaan hapa nimewaza mawazo mengiii..alafu yote siyakumbuki..Mungu ninaomba Rehema kwa ajiri ya Marekani.L.A.

  • @elishaussiri345
    @elishaussiri345 13 дней назад +2

    Walijiona wanaweza bila Mungu wakamuweka Mungu nje ya Kila kitu chao.
    Sasa acha wapambane bila Mungu

  • @EliaminiShembazi
    @EliaminiShembazi 13 дней назад

    Hatari

  • @AzaAzamhmod
    @AzaAzamhmod 13 дней назад +5

    Dah ALLAH SIO WA KUMDHIHAKI
    ANAWAONYESHA UKUU WAKE MTUBU.MUSTOPISHE VITA YA GAZA KENGE NYIE..ISRAELI MBON HAWAJI KUWASAIDIA SASA NEXT ISRAELI TUSEME INSHALLAH 😂😂

  • @MbaroukAbdallah-k8h
    @MbaroukAbdallah-k8h 13 дней назад +2

    ALLAH AKBAR

  • @victorcharlesmwakikoti7764
    @victorcharlesmwakikoti7764 13 дней назад +1

    Hasira ya Mungu imewaka ndani yao 😢

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 13 дней назад +3

    Yaan kama movie vile,,,moto unazimwa lkn bado ngoma inaendelea kuwaka duh🤔

    • @judyngowi391
      @judyngowi391 13 дней назад

      Moto una hasira kama umevutq bangi

  • @danielmabilika3695
    @danielmabilika3695 13 дней назад

    Ayo tv hakika wewe ni mtu na nusu mungu akuweke sana

  • @abdallahzuakuu9051
    @abdallahzuakuu9051 13 дней назад +1

    ingekuwa afrika wangedai technology ndogo ya kudhibiti majanga moto....

  • @FatumaMwage
    @FatumaMwage 13 дней назад +3

    adhabù ya allah hii

  • @omante194
    @omante194 13 дней назад +4

    Acha Allah ainyeshe ukubwa wake 😂😂😂

  • @DevdiUsaka
    @DevdiUsaka 3 дня назад

    Maandiko yametimia mwenye kujitakasa ajitakase yesu yuaja

  • @AmaniKizinga-ew9mk
    @AmaniKizinga-ew9mk 13 дней назад +5

    Na hapa Tanzania hao wanaoleta maushoga yao wajifunze MUNGU hua achezewi

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 13 дней назад +1

    Ona ALLAH alivyowapa kazi ya kufanya.Isingekuwa moto muda huu wangekuwa wanauwa binaadam wenzao hali hawajui hata kuumba Inzi.

  • @JeannetteManirambona-o6m
    @JeannetteManirambona-o6m 13 дней назад

    Kumbe moto baodo upo subhannallah😮

  • @habibumallanga2381
    @habibumallanga2381 13 дней назад +5

    Uwake Sana maana washenzi

    • @salmanassor8732
      @salmanassor8732 13 дней назад +1

      Mie ndio nafurahia kila nikiamka naskia hali inazidi yaani hii imekaa powa sana 😂😂😂

    • @allymaranya
      @allymaranya 13 дней назад

      😅😅😅😅😅😅😅 kwamb una enjoy ​@@salmanassor8732

  • @JaphetPaschal-e1v
    @JaphetPaschal-e1v 13 дней назад

    Mungu awarehemu!, Na awasaidie😢😢😢.

  • @2000-j3i
    @2000-j3i 13 дней назад

    Alhamdulillah

  • @eyembefedsoni1689
    @eyembefedsoni1689 13 дней назад

    Kinachoitafuna marekani ni kuruhusu ndoa za jinsia Moja na ushoga na kudharau Sheria za Mungu hicho kinachoendelea Alisha kibabili nabii wa Mungu alieishi marekani Ellen G. White soma kitabu Cha matukio ya siku za mwisho utakuta hichi kinachoendelea kuhusu moto kuwaka marekani endapo endelea kiburi na kuruhusu ndoa za jinsia Moja.

  • @shannarsaidSwahili
    @shannarsaidSwahili 13 дней назад +3

    Kama Kuna nchi ambayo naichukia saana ni USA na Israili,,,,

  • @IdrisaTuppa
    @IdrisaTuppa 13 дней назад +1

    Huu Moto Sio Wa Kawaida Asee, Kuna Kitu Cha Kujifunza Hapa.

  • @shabankarotta625
    @shabankarotta625 13 дней назад

  • @bockerNyarusahi
    @bockerNyarusahi 13 дней назад +1

    Huu Moto siyo wa kawaida,kuuzima kwa kutegemea hao wazima Moto ni kujichosha na kuwachosha wao maana lipo nje ya uwezo wao,Moto hauzimiki huo na kila kukicha unaongezeka, MUNGU kawaonesha Ukuu wake

  • @TheofridaLuwongo
    @TheofridaLuwongo 13 дней назад +1

    Mungu tunusuru na Hali kama hii

  • @mnisi3694
    @mnisi3694 13 дней назад

    Huu mji si ndy walisema Mungu kapata sifuri kwahiyo hawataki Mungu wanaishi wao wenyewe tu

  • @rawalidrajabu5360
    @rawalidrajabu5360 13 дней назад

    Wanapaswa kutubu Kwa mola mlez la cvo marekan itaish

  • @FrancesMachelela-g4y
    @FrancesMachelela-g4y 13 дней назад

    Jiandaen nahuku c mda mtatia huruma