INAOGOFYA: MAMBA WAKIMBILIA URAIANI KUKWEPA MAFURIKO/ TANAPA YATOA TAHADHARI/ WANANCHI WATOA OMBI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 апр 2024
  • Shirika la Hifadhi za Taifa nchini - TANAPA , Kanda ya Mashariki limeanza kutoa elimu kwa Wananchi juu ya tahadhari ya Wanyama wakali waishio majini ikiwemo Mamba na Viboko katika maeneo yaliyokumbwa na mafuriko kutokana na Wanyama hao kuonekana katika Makazi ya Watu hali ambayo ni hatari kwa usalama wa maisha yao wakiwemo Wanafunzi Mashuleni, huku wananchi wakiiomba Serikali kutoa kibali ili Mamba hao wavunwe wakidai idadi yao uraiani inatisha.

Комментарии •