LISSU AKUTANA NA NESI ALIYEMTIBU WAKATI AMEPIGWA RISASI DODOMA, AFUKUZWA KAZI, AELEZEA MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 янв 2025

Комментарии •

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian 7 месяцев назад +20

    Mungu akubariki na uzao wako utabarikiwa

  • @linogracephord9785
    @linogracephord9785 7 месяцев назад +9

    Ni story inayosikitisha Sana! Mungu atabaki kuwa Mungu!

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 7 месяцев назад +26

    Kaka Lisu msaidie Huyo dada kama Kuna uwezekano.

    • @josephjeremiah-x5v
      @josephjeremiah-x5v 7 месяцев назад

      Nakaa naye jilan huyo

    • @victaboy7273
      @victaboy7273 7 месяцев назад

      Amsaidie kivipi sasa. Alifanya kazi yake

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 7 месяцев назад

      ​@@victaboy7273 amsaidie ili aipate haki yake,
      Kwani wewe humsikia huyo dada!!!

    • @ziadasalimu1730
      @ziadasalimu1730 7 месяцев назад

      ​@@josephjeremiah-x5vsawa asaidiwe tu Ili apate kazi

  • @frankremishoy5778
    @frankremishoy5778 7 месяцев назад +4

    Duuh mungu atakuinua mama.sauti ya wengi ni sauuti ya mungu umekuwa imara wa baraka kutuokolea jemedari wetu

  • @faustinluambano2958
    @faustinluambano2958 7 месяцев назад +12

    Huyu mama ni mkono wa Mungu.Weka jamvi awe na biashara

  • @paschalmagai751
    @paschalmagai751 7 месяцев назад +17

    Mungu ni mwema sana siku zote

    • @abdulhakeem959
      @abdulhakeem959 7 месяцев назад

      Na mijitu hata haishughuliki na jaribio hili la mauaji

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 7 месяцев назад +6

    Mama samiah asipowasikiliza watu mwisho wa siku hawa watu wanaenda kwa Lissu na hapa watanzania wote wanasikia hii ni issue kubwa .

  • @salama1113
    @salama1113 7 месяцев назад +1

    Acha mungu aitwe mungu huyu baba kaziyake haijaisha mungu anakusudilake mungu akulinde🤲🤲🤲

  • @fredyjeremia7074
    @fredyjeremia7074 7 месяцев назад +4

    Pole sana dadangu.kaka LISU MOtrendeye mosaaada dada wasoo mboya akhiroo! Ncho wajunchwa MOEMO Aghwakhiii tuuuu,,ng'e eyeiii agefotru kamwee..

  • @AthanaseKiyoja
    @AthanaseKiyoja 7 месяцев назад +9

    Kumbe mtaka wa hovyo sana.ccm ni janga ,mbwa wamejiificha huko.

  • @austinmcharo928
    @austinmcharo928 7 месяцев назад

    Very emotional...Mungu awajalie kheri katika vizazi vyao,,,

  • @elialugano1679
    @elialugano1679 7 месяцев назад +7

    Nice and humanity talk

  • @bukurunestory3540
    @bukurunestory3540 7 месяцев назад +3

    Mungu wa Mbinguni ni Mwema sana

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 7 месяцев назад +11

    Jamani watanzania njooni tuumie na huyu. Muuguzi wa Dodoma

    • @josephjeremiah-x5v
      @josephjeremiah-x5v 7 месяцев назад

      Naish naye jilan Dom kwa rose mhando kwa pemben yake

  • @JohnNgambeki
    @JohnNgambeki 3 месяца назад

    Asante mungu nimkubwa.sana

  • @timothnkhambi3188
    @timothnkhambi3188 7 месяцев назад

    Hongera sana dada Kwa kumsaidia,kaka yetu Lisu,Pole sana dada

  • @kennedykassian5269
    @kennedykassian5269 7 месяцев назад +1

    Kwa aliyewah kuishi dodoma lazima anamjua huyu nesi ,ni mcheshi na jasiri sana namkumbuka sann,Mungu amsaidie sana

  • @Landisy
    @Landisy 7 месяцев назад

    Kwakweli ww mama mungu akubariki Sana na atakupa maisha marefu sana

  • @robisonikadogo7371
    @robisonikadogo7371 7 месяцев назад +3

    We mama mwenyezi mungu skuongezee,na wote muriyo muudumia rissu

  • @andrewIzdory-sk4cu
    @andrewIzdory-sk4cu 7 месяцев назад +2

    Kwahiyo wewe uliyemsaidia Lisu ndo umefukuzwa kazi!! Duh hatareeeee sana.

  • @driss4957
    @driss4957 7 месяцев назад +10

    Hiii nchi Ina uonevu sana...

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 7 месяцев назад +1

    Nahisi kutokwa na machozi mie😢😢😢
    Anyway Mungu yupo
    Na anaweza

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 7 месяцев назад +2

    Mungu yupo kwa ili tupo pamoja

  • @williammwamalanga1065
    @williammwamalanga1065 7 месяцев назад +5

    Pole sana wewe muuguzi wa dodoma nimeumia sana sana Mimi Askofu William Mwamalanga namuomba Mungu Atakuinua sana sana lakini Mhe Rais samia suluhu Hassan atakusaidia

  • @leoncebenjamin8107
    @leoncebenjamin8107 7 месяцев назад +1

    Dah pole

  • @christophermakunzo4232
    @christophermakunzo4232 7 месяцев назад

    Daaa pole sana...

  • @LeonardSiame
    @LeonardSiame 7 месяцев назад +2

    Hongera sana nesi

  • @willekessy4658
    @willekessy4658 4 месяца назад

    Mungu NI mwema

  • @josephmkinga9509
    @josephmkinga9509 7 месяцев назад +2

    bora wakuu wa mikoa wachqguliwe na wananchi kwa sababu wanasimamia lasimali na kuongoz wanachi mkoa mzima na sio wasichagukiwe na mtu mmmoja ajabu sana masisiemu hayo.

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 7 месяцев назад +3

    Mungu akutangulie mama

  • @feruzmato4422
    @feruzmato4422 7 месяцев назад +1

    Pole mheshimiwa

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 7 месяцев назад +2

    SIASA SIO SAWA HATA KIDOGO. SIKU ZOTE NILIKULAUM KWA KUWATQJA MADAKTQRI WA NAIROBI NILIHISI KAMA HUTAMBUHI JITIADA ZA MADAKTQRI NA MANESI WA TANZANIA. POLE LISSU NA ASANTE KWA KUONGEA NA HUYO DADA NIMEFARIJIKA.

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 7 месяцев назад +4

    Ilipangwa Lissu afe na sio kuwa hai !! Hivyo wote waliomsaidia kuishi waliipata fresh !!

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 7 месяцев назад +6

    Anglia kiongozi unaweza ukamponza maana waliousika awakutaka upone

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 7 месяцев назад

    Duh jamani Mungu atakusaidia

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 7 месяцев назад +2

    Hii nchi ina watu mashetani yaani viongozi wanaonea wanyonge sana

  • @JohnMpongwe-sr7qx
    @JohnMpongwe-sr7qx 7 месяцев назад +1

    Ukitendaa wemaa munguu atakulipaa dadaanguu utapungukiwaa

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 7 месяцев назад +1

    Safiiii sana

  • @dn.n4983
    @dn.n4983 7 месяцев назад +2

    Jamani kweli miujiza pole sana pia asante waguzi kweli mnatakiwa kupewe Nobel kwa kweli huyu unatakiwa kufanyia kitu

  • @mwijagejoseph1675
    @mwijagejoseph1675 7 месяцев назад +1

    Acha Mungu aitwe Mungu

  • @mzeebabumzee
    @mzeebabumzee 7 месяцев назад +1

    pole dada

  • @georgemwapela1654
    @georgemwapela1654 7 месяцев назад +5

    Haya majambo yanatutokea sana.Mimi ni Mwl George W.Mwapela mwajiriwa wa ualimu sekondari 2007.Nilitolewa kwenye Payroll 2014..Nimefuatilia jambo langu kwa muda mrefu sana mpaka Leo nafuatilia jambo langu na sijafanikiwa.Naambiwa ni mtoro na sijawahi kusikilizwa sehemu yoyote.Kuna watumishi wanatumia madaraka yao vibaya....

  • @ROBERTMGOGOSI
    @ROBERTMGOGOSI 7 месяцев назад +5

    Huyu jamaa aise ni tunu ya taifa

  • @RwegoshoraPatt-os2ik
    @RwegoshoraPatt-os2ik 7 месяцев назад +1

    Mama tunakushukuru kwa uzalendo katka kutimiza wajibu wako maana yataka moyo pia mko wengi mliokos maisha ya mh. Lisu

  • @jumamanya-pd8dn
    @jumamanya-pd8dn 5 месяцев назад

    ❤❤

  • @LeonardSiame
    @LeonardSiame 7 месяцев назад +1

    Mungu atakulipa

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel5662 7 месяцев назад +1

    Hizo pete vp
    All in all ulifanya vzr kusave life

  • @cyprianpetetmbonde6374
    @cyprianpetetmbonde6374 7 месяцев назад +1

    Kwa tukio la Lissu na huyo mama ni ushahi di kwamba kuna baadhi ya watumishi ni wapumbavu sana na wanajiamini kiasi kwamba hawatakuwa nje ya ajira kwa sababu yoyote.

  • @godfreybitakama9845
    @godfreybitakama9845 7 месяцев назад +1

    Hakika mungu wetu ni mwenye nguvu

  • @rugemalilalucas4533
    @rugemalilalucas4533 7 месяцев назад +1

    Wewe muuguzi ubwarikiwe na BWANA mno. Jina la BWANA wetu lipewe sifa na heshima zote.

  • @EmanuelMwambu
    @EmanuelMwambu 7 месяцев назад +2

    Hapo hakuna cha manesi, Wala dakitari ni mpango wa mungu tu.aTundu lissu uendelea kuishi.

    • @exprodigitaltechtv5571
      @exprodigitaltechtv5571 7 месяцев назад

      Mbona we ukiumwa cha kwanza unakimbilia hosptal au duka la dawa sinl utulie kwako usali tu😂😂😂, then mungu ndo mtowaji wa vipawa na vipaji vyote

  • @salama1113
    @salama1113 7 месяцев назад +1

    Mungu mlinde huyu mama mana huu ukweli utakuwa mchungu kwake

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 7 месяцев назад

    Vero kama humfaham mnhh! Au bas tuseme ana li shape Hilo na angekuwaga amenyoka angekuw mke wa mtu mkubwa tu serikalini

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bc 7 месяцев назад +3

    Tanzania tumekosa viongoz wazarendo ,so mungu atupe walio bora

  • @sangomamourice3539
    @sangomamourice3539 7 месяцев назад +1

    Hakika ukuu wa mungu

  • @RonnieBertin
    @RonnieBertin 5 месяцев назад

    Huyo mama ni story teller

  • @HannaSamson-nq3hc
    @HannaSamson-nq3hc 7 месяцев назад

    Weka namba yake tumchangie afungue biashara. Ila kizazi chake kime barikiwa milele yote.

  • @odoieriasmonga6591
    @odoieriasmonga6591 7 месяцев назад +10

    Hiyo ndiyo Tanzania mnayoisifia kua Nchi ya amani

  • @mzeebabumzee
    @mzeebabumzee 7 месяцев назад +1

    pole dada pole lisu

  • @JosephatNziku
    @JosephatNziku 7 месяцев назад +1

    mungu mkubwa sana

  • @InnocentCharles-hm3ff
    @InnocentCharles-hm3ff 7 месяцев назад +1

    Tukio hili ,Linahuzunisha sana ...still kuna usemi upo unaitwa " tunajivunia amani yetu"...jah see n know!...

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu 7 месяцев назад +1

    Cheki huyo mtoto alivyotulia lissu ni mbarikiwa

  • @Nicolasmosereta
    @Nicolasmosereta 7 месяцев назад +1

    Weka mkeka watanzania wafanye jambo Kwa akili ya huyu mtu mwema

  • @Robust78
    @Robust78 7 месяцев назад

    Weka vizuri cv yako mama 2025 utakuwemoo

  • @MwatijaFikoti
    @MwatijaFikoti 7 месяцев назад +1

    Jamani inasikitisha sana.

  • @zebedayokatamaduni9676
    @zebedayokatamaduni9676 7 месяцев назад

    Kamanda Lisu tuko pamoja

  • @GIFTKIWELU
    @GIFTKIWELU 7 месяцев назад +1

    Dah

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 7 месяцев назад +3

    Jamani tuwakumbuke sana manesi na madaktari na watumishi wa hospitals wanafanya kazi kuokoa masha. Mungu atawalinda tu.

    • @samsonmweta5040
      @samsonmweta5040 7 месяцев назад

      Hawa wauguzi na madokta waliokoa maisha yake

  • @coms2640
    @coms2640 7 месяцев назад +1

    God

  • @Dannny690
    @Dannny690 7 месяцев назад +3

    Kumbe ndio maana samia siku ile akaongea vibaya.
    Kwamba.
    Mtoeni huyo hapo anashughulisha watu bure.😢
    Kuna watu ni makatili sana😢
    Pole mzazi pole sana na Mungu akubariki kwa kuokoa maisha ya kiumbe wake Lissu.

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub 7 месяцев назад +1

    Huu ndo utawala wa ccm

  • @leothardngonya4842
    @leothardngonya4842 7 месяцев назад

    Ili iweje.

  • @SamsonLubimbi
    @SamsonLubimbi 7 месяцев назад

    Inaumiza sana jmn

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 7 месяцев назад +2

    WALIOMPIGA RISASI LISSU WANASIKIA ALIVYOTIBIWA, JEE HAWAONI UCHUNGU? NA FAIDA GANI WALIYOIPATA?

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma4570 7 месяцев назад

    Masjabu mambo yote haya unayo yasikiaa mabaya mqbaya nashangaa na bado CCM inashinda bora na mie nimfate huyu shetani ana nguvu kweli hamna njia, napenda uonevu chama kinanifaa hichi 😂😢

  • @ngalamawecheslous9976
    @ngalamawecheslous9976 7 месяцев назад +1

    Muujiza unatembea

  • @kilimanjaroflavour
    @kilimanjaroflavour 7 месяцев назад

    Hakuna nesi anae tibu. Doctor ndio ana tibu.

  • @kenedyochieng155
    @kenedyochieng155 6 месяцев назад

    Huyu mama anaonekana anatatizo

  • @chage97
    @chage97 7 месяцев назад +2

    Jamani tumchangie huyu mama

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 месяцев назад

      Kweli inabidi tufanye hivyo, ati Tanganyika Kuna haki na amani😢😢😢

    • @deokimena5168
      @deokimena5168 7 месяцев назад +1

      Naunga mkono hoja

    • @MiriamAbdallah
      @MiriamAbdallah 7 месяцев назад

      @@deokimena5168 👍

  • @marianajohn5415
    @marianajohn5415 7 месяцев назад

    Huyu mama arudishwe kazini! Its indeed sqd😢

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 7 месяцев назад

      Sina wasiwasi na Rais Samia, mtu wa Mungu atamrudisha kazini na kumfuta machozi

    • @kuchimillionaire6683
      @kuchimillionaire6683 7 месяцев назад

      Sina wasiwasi na Rais Samia, ni mtu mwenye hofu ya Mungu atamrudisha kazini na kumfuta machozi.

  • @brunomirambi8792
    @brunomirambi8792 7 месяцев назад

    WEWE MAMA TULIA HAPO UNAONGEA NA RAIS AJAYE JITUNZE KIAFYA NEEMA IKO MBELE ACHA PAPALA JITUNZE KWA MUNGU ALIYE KUKUTANISHA NA HUYO RAIS AJAYE MH: TUNDU LISSU NI MUNGU TULIA ATAKAYE KUPATIA HAKI NI MUNGU HUYO HUYO KUPITIA TUNDU LISSU

  • @victorphilipo
    @victorphilipo 7 месяцев назад

    Mama pore uritimaza wajibu wako rakini hawakufurahia hivyo kwa Sasa naye afanye kazi yakisheria akusaidie

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 7 месяцев назад

    Watu wengi naona mnasema amsaidie sasa mnavozani atamuacha hvohvo

  • @fransicmushenyera9302
    @fransicmushenyera9302 7 месяцев назад

    ukweli utaujua siulisema magufuri hakukusaidia waliokusaidia ni wakenya sasa ukweli umelipa uwongo unajitenga unaona haibu

  • @floriankiiza7533
    @floriankiiza7533 7 месяцев назад +1

    Lissu hawa manesi ungewapa zawadi kidogo kama shukrani ya kutambua mchango wao.

    • @danielmakundi8927
      @danielmakundi8927 7 месяцев назад +1

      Kwani akimpa hata zawadi kidogo ww una haja Gani kujua?

    • @FaustinMarko-t6y
      @FaustinMarko-t6y 5 месяцев назад

      Kwani yeye hajui mpaka umsemeee

  • @MOSESIMCHUNGUZI
    @MOSESIMCHUNGUZI 7 месяцев назад

    Huyomtoto aliepakatwa, malezi,nynyanyanya

  • @CharlesMarupa
    @CharlesMarupa 7 месяцев назад

    Atakuwa na uhakika Gani kama ni wewe uliemuhudumia? Muda wote alikuwa wapi? Pengine ni propaganda zime pangwa

  • @TMTZONLINETV
    @TMTZONLINETV 7 месяцев назад

    hatari sana

  • @Mauya23
    @Mauya23 7 месяцев назад

    Kuna haja ya Diet balanced Mh. mana hiyo ndambi inaelekea kubaya

  • @demicratia4071
    @demicratia4071 6 месяцев назад

    Hivi NYIE fulska dhambi ZOTE mnazibeba za niniiiii

  • @deluxwoiso999
    @deluxwoiso999 7 месяцев назад

    😢😢😢😢😢

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 7 месяцев назад

    Ndiyo maana Mungu hatoi taarifa ya kufa kwetu waovu wanapoteza na kuuwa kwa tamaa ya madaraka wajifunze baada ya shambulio lililomkuta Lissu bila shaka walishakufa ndiyo eti wakaitwa mashujaa wa Afrika kwa uovu huu Mungu aliwaonesha ukuu wake kuwa na wao hawastahili kuishi kama ambavyo wao wanawaambia wanasiasa wenzao kuwa anaewapinga hastahili kuishi wanasahau kuwa na wao ni binadamu kama wanaopingana nao kuna siku nilimwona kijana mmoja anawabia Askari wasiulize kama kutakuwa na watu watakaopotea huyo kijana ameshapewa ruhusa na Mungu muovu kuwadhulumu maisha wanaopinzani wake

  • @dianamakyara4210
    @dianamakyara4210 7 месяцев назад

    Yaani lisu nimuujiza unaotembea jamani🤔

  • @simonshimba7759
    @simonshimba7759 7 месяцев назад

    Ila inchi imejaa watu waoneaji

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 7 месяцев назад +1

    Serikalini pabaya sana usiombe

  • @franciscoivo1591
    @franciscoivo1591 7 месяцев назад

    Anton mtaka udescent wote ule kumbe naye yupo hivyo....tumejua mengi asee

    • @davidkawesa3594
      @davidkawesa3594 7 месяцев назад

      Wamejificha tu ssm hawezi kaa nawewe kama huendani na m
      Wao

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 7 месяцев назад +1

    Haki yako umepata Mungu mwema

  • @mugemainyas5241
    @mugemainyas5241 7 месяцев назад +1

    POLE DADA DU JAMANI

  • @oswaldtemba2770
    @oswaldtemba2770 7 месяцев назад

    Hivi nyie mliodhamiria kumuua,mnajisikiaje mnavyomuona lisu yuko hai.

  • @daviekleva1856
    @daviekleva1856 7 месяцев назад +1

    Tumtag @mtaka