LISSU AFOKA VIKALI MAANDAMANO KUZUIWA, "MNATAKA MPAKA AFE NANI?"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 дек 2024

Комментарии • 222

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 месяца назад +35

    Safi sana mh lisu hongera kwa ukweli kutekwa ,kuuliwa hakukubaliki uhai ni haki yakila mtu

  • @zidatv1122
    @zidatv1122 2 месяца назад +32

    Kazia kabisa wandishi nao huwa ni machawa

  • @jeanmarieirankunda-ww4bn
    @jeanmarieirankunda-ww4bn 2 месяца назад +8

    Big up sana mheshimiwa lissu

  • @DoctorRengeda
    @DoctorRengeda 2 месяца назад +16

    Mr president nakukubali sana wewe nizaidi ya chuma big up xana tupo pamoja Bega kwa Bega na wew mpaka kieleweke lisu oyeee

  • @Steve-z6b1q
    @Steve-z6b1q 2 месяца назад +7

    Will be with you lissu

  • @ivanrobert3071
    @ivanrobert3071 2 месяца назад +24

    Lissu ubarikiwe sanaaaa asante kwa hizi Nondo na 2025 tupo na ww

    • @MashakaMagesa
      @MashakaMagesa 2 месяца назад

      CCM 2025 Wakimsimamisha Majaliwa hakuna upinzani tena Wananchi wataona kama Jpm Amefufuka Majaliwa akipewa hii Nchi Atainyoosha

  • @mulokozimwijage7507
    @mulokozimwijage7507 2 месяца назад +8

    Sasa Mwandishi nenda kamuhoji RPC au IGP mwenyewe. Mwanasheria kukueleza sheria inavyosema, na wajibu wa polisi. Kawahoji uje hapa utuambie .

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 месяца назад +2

    Uponyaji ufike 🎉

  • @DamasPhillipo
    @DamasPhillipo 2 месяца назад

    Amina sana sema baba❤

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 2 месяца назад +8

    Waandishi kwa nini mnashindwa kuwauliza polici nini kisa kuvunja sheria kwa kuzuia maandamano halali.

  • @paulremigiuspaul3293
    @paulremigiuspaul3293 2 месяца назад +1

    Well said Mkuu Mh. Tundu Lissu

  • @songombingo108
    @songombingo108 2 месяца назад +10

    Nimejaribu kuvuta kumbukumbu tangu waruhusiwe kuandamana kama kulishatokea uvunjifu wa amani lakini nimegundua kila walipoandamana hakukuwa na matatizo wala uvunjifu wa amani. Sasa kwa hili jipya nashindwa kuelewa.

    • @EzekiaMtwale
      @EzekiaMtwale 2 месяца назад +1

      sahihi kabisa ndg, sijui kwann haya wanazuia!

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 2 месяца назад +1

      Woga tu wa watawala

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 2 месяца назад +30

    Kama polisi wamehisi kutokuwepo kwa amani basi waongeze nguvu ya ulinzi wakati maandamano ukifanyika sio kuwanyima wananch haki yao ya kuandamana.

    • @Jakgevdjf
      @Jakgevdjf 2 месяца назад +4

      Umeongea jambo kubwa sana kiukweli heshima kwako

  • @YusufuRichardchisimilo
    @YusufuRichardchisimilo 2 месяца назад +5

    Upo sahihi sana brooo

  • @AllymategeMatege-z6k
    @AllymategeMatege-z6k 2 месяца назад

    Mungu akusaidie uwe raising hata kama mfumo wa nchi hii hautaki mungu yupo just yao yeye hufanya nyia mahali pasipo na njia.

  • @HusseinSaguti-sj9nh
    @HusseinSaguti-sj9nh 2 месяца назад +7

    Waandsh wetu uchwara sn
    Niwepec kumhoji raia wakawaida lkn waoga kumuulza kiongozi
    Ovyo kbsa bure sn

  • @deusdeditamani-je5se
    @deusdeditamani-je5se Месяц назад

    uko vizuri lisu

  • @feruzmato4422
    @feruzmato4422 2 месяца назад +2

    Nakuunga mkono mheshimiwa lissu kura yangu kwako

  • @EmmanuelErnest-xd1rc
    @EmmanuelErnest-xd1rc 2 месяца назад +3

    Point

  • @AndrewAndrew-p1p
    @AndrewAndrew-p1p 2 месяца назад

    Nchi hii inaitaji upon yakisagana na neema ya MUNGU maana kunakikundi cha watu wanaona wao ni zaidi ya Mungu

  • @kaguripenina63
    @kaguripenina63 13 дней назад

    Huyu ataweza kulikomboa taifa hili mungu akupiganie

  • @EzekielSitayo
    @EzekielSitayo 2 месяца назад +1

    Sahihi kamanda MUNGU akulinde

  • @prospermalala6636
    @prospermalala6636 2 месяца назад +2

    MH Lisu Mungu akuongoze ktk ulimwengu huuuu uliojaaa uharamia ndani ya Taifa letu, majibu unayoyatoa Kwa mwandishi hakika IQ yako imepenya kwenye vichwa vya wandishi machawa

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati3641 2 месяца назад +4

    Maandamano ni Lazima kudai HAKI.

  • @AgnessStephen-jm6ix
    @AgnessStephen-jm6ix 2 месяца назад

    Aimeeeen

  • @SuleimanEdward-f1n
    @SuleimanEdward-f1n 2 месяца назад +9

    Facts

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 месяца назад

    Safiiiii sana mheshimiwa Lissu🙏

  • @AbdallaRashid-s2m
    @AbdallaRashid-s2m 2 месяца назад +1

    Safi sana lisu

  • @ShekheMussa
    @ShekheMussa 2 месяца назад +1

    Mama samia maneno aliyo SEMA siyo hoja kwa taifa juu ya taifa letu juu ya unyama unaoendelea

  • @rithaurassa
    @rithaurassa 2 месяца назад +2

    KATI ya wew unayeita wengine kazia na MACHAWA ninan ZAIDI.nyie ni majinga tuu usirudie Tena majinga ndiowaliwalo matumbo mbele ENDELEA kupokea chochote kile.Ila CHADEMA INAPETA JUU KWA JUU.

  • @JoelRichard-hj3bi
    @JoelRichard-hj3bi 2 месяца назад +2

    Lissu namukubali kwa msimamo wake mzuri,watekwe wangapi na wauuwawe wangapi?

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde 2 месяца назад +1

    Huyu jamaa anaakili sn
    Unahtaji uwe na akili za ziada kutambua uwezo wake.
    Alifaa kuwa waziri mkuu wa Tz

  • @davidmpiluka5224
    @davidmpiluka5224 2 месяца назад

    Pamoja sana, mh. Lissu.

  • @AshaSuleyman-c9h
    @AshaSuleyman-c9h Месяц назад

    ongera baba enderea kukemea

  • @lembricesaravo3543
    @lembricesaravo3543 2 месяца назад +3

    Hoja za msingi kabisa viongozi wa dini tunawaelewa na Lisu kaeleweka pia🎉

  • @KayongoOba-ht2rf
    @KayongoOba-ht2rf 2 месяца назад +1

    akika nakupata Lissu

  • @ChumHaji
    @ChumHaji 2 месяца назад +1

    Wewe lisu ulipigwa risasi mia, mbona hamkuandamana, Tuliza mishono brooo

  • @KazmiliLyongo
    @KazmiliLyongo 2 месяца назад

    Kwer kabisa tundusu

  • @MmbagaMmbaga
    @MmbagaMmbaga 2 месяца назад

    2025🎉🎉 mzee

  • @Eric_Hackz
    @Eric_Hackz 2 месяца назад

    YESU TUNARUDI KWAKO MSARABANI UTUHURUMIE.

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 2 месяца назад +2

    Kuuliwa kwa watu kumezidi nchi imefikia hatua mbaya kutoweka kwa Amani kabisa Tanzania

    • @AziziOmary-b9e
      @AziziOmary-b9e 2 месяца назад

      Maandamano yanahusika kwa Mambo haya yanayojir anaepinga hayajamfika, na haumii kwa watu kupotea na kuuwawa kwakulazimishwa

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 2 месяца назад

    Kuandamaaa ni haramuuuu😂😂😂

  • @anthonymsawile6076
    @anthonymsawile6076 2 месяца назад

    Asante sana kiongozi wangu

  • @Michaelmwasese-m7y
    @Michaelmwasese-m7y 2 месяца назад +2

    Unaulza maswali Gani kawaulize polis unaogopa mwandishi bwege kweli

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 2 месяца назад

    Maaskofu hao labd wamesomea Cuba, askofu anachochea ugomvi ????😂😂😂

  • @yonahizza-o8z
    @yonahizza-o8z 2 месяца назад

    P1 sana

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 2 месяца назад

    Risu Mwenyewe Akija Kuwa Raisi Watanzania Tujipange Kwa Kujibu Maswali Kutoka Kwa Risu Kwanini Akujatokea Maandamano Wakati Alipigwa Risasi Apo Ndipo Wengi Watajua Kama Jamaa Kwanini Alifananishwa Na Simba Mkali Amani Inaitaji Shelia Kali Kwa Mafisadi

  • @MartinAgatoni
    @MartinAgatoni 2 месяца назад

    true lissu🙏

  • @jonfredkewe3451
    @jonfredkewe3451 2 месяца назад +2

    Mwandishi rudi shule hujielewi usilazimishe mambo kutekwa na kuuliwa hakufai na hakukubaliki

  • @FatmaYussuf-gu5by
    @FatmaYussuf-gu5by 2 месяца назад

    ndio mjifunze kuchagua viongozi wa haki kwa ajili ya kutunza haki zetu za binaadam hem kamskilizen mange hua hasemi uongo yule dada jaman

  • @RESTITUTAMOLLED-mp3pp
    @RESTITUTAMOLLED-mp3pp 2 месяца назад

    hivi kuna mtu hajamuelewa kisu?well done Mheshimiwa lisu.umeeleweka moja kwa moja

  • @emmanuelmasele9585
    @emmanuelmasele9585 2 месяца назад

    Big up

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 2 месяца назад +2

    Hadi waingie madarakani ndio patapoa huo ndio ukweli hata kama kusingekuwa na utekaji wataanzisha lingine, mbona kulipoa saana tu wakaanzisha mitafaruku

    • @yassinnabwera4273
      @yassinnabwera4273 2 месяца назад +1

      Wewe,huo ni upumbavu,nani hadi aingie madarakani ndopo patapoa?Kwani hao waliopo madarakani ni haki yao kuwateka wafuasi wa Chadema na kuwaua?Unataka kutuambia wao ni haki yao kuendelea kututawala huku wakiteka watu na kuwaua?Angeuwawa ndugu yako ungeridhika?Kuwa mstaarabu.

  • @LazhzLzhz
    @LazhzLzhz 2 месяца назад

    👊👊👊👊

  • @BarakaMaglaniLaizer
    @BarakaMaglaniLaizer 2 месяца назад

    You Tundu lisu I really appreciate you forever and ever.
    Viva lisuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!

  • @brightergermanus2163
    @brightergermanus2163 2 месяца назад +3

    MWANDISHI ACHA MASWALI YA USUMBUFU

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 2 месяца назад

    Mazungumzo bila vitendo ni "ukichaa"

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 месяца назад

    Tundu pas Lisu tunakupenda unapigania uhalaliwetu wakuishi nakupigania taifa letu

  • @YassinJuma-q9s
    @YassinJuma-q9s 2 месяца назад

    Watanzania tusikubali kupotea kwa kutekwa tena

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul 2 месяца назад

    Chama Cha wapigaji na wauwaji chadema

  • @Amani-z5y
    @Amani-z5y 2 месяца назад

    Kungekuwa na wanasiasa 20 wenye akili timamu kama Tundu Lisu nchi hii ingepiga hatua kubwa sana

  • @RugonzibwaPius-l6l
    @RugonzibwaPius-l6l 2 месяца назад +1

    Yes mr lisu

  • @MohamediAthumani-ub8nn
    @MohamediAthumani-ub8nn 2 месяца назад +3

    Mungu ibariki amani Tanzania

  • @SeifYusuf-jf7bn
    @SeifYusuf-jf7bn 2 месяца назад +1

    TUNATAKA UWAJIBIKAJI KWENYE OFISI ZA UMMA.

  • @michaelnehemia4932
    @michaelnehemia4932 2 месяца назад +2

    Sometimes mwakilishi

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 2 месяца назад

    Mtangazaji mzuri kwa maswali

  • @YohanaPeter-r1y
    @YohanaPeter-r1y 2 месяца назад

    Hawa ccm wanaogopa maandamano wanajuw umoj wa mataifa utaingilia na watahaibik ndomaan wana2mia nguv kubwa ili 2siandamane

  • @PeterDaudi-z2z
    @PeterDaudi-z2z 2 месяца назад

    Upo sawa tunafuata Shelia na talatibu

  • @ousmanjuma3396
    @ousmanjuma3396 2 месяца назад

    🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @JamesAbel-ig8wb
    @JamesAbel-ig8wb 2 месяца назад

    Maandamano yalindwe siyo kuzuia. Serikali isikilize malalamiko ya wananchi kama kweli nchi ni ya wote

  • @ulomirabiel6980
    @ulomirabiel6980 2 месяца назад +10

    Anaezuia maandamano hana nia njema na hatma ya nchi hii.

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 2 месяца назад

      Kumamako mpaka basha lako litekwe choko wewe

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 2 месяца назад +1

      ​@@emmapaul1766sasa umetukana nini wakati anasisitiza maandamano yawepo au ufahahamu

    • @haroldtarimo3115
      @haroldtarimo3115 2 месяца назад

      @@emmapaul1766 wewe unamtukana mtu anaeunga mkono maandamano sasa hapo matusi yanatoka wapi acha ujinga

    • @halimamghana2293
      @halimamghana2293 2 месяца назад

      Huyo anayetukana ameshindwa kujua kutumia(h na a) hana nia njema yeye amejua hapo = ana nia njema​@@haroldtarimo3115

    • @ananiasjustice6840
      @ananiasjustice6840 2 месяца назад

      Choko wewe ,kukurupuka tu​@@emmapaul1766

  • @ElizabethOwino-d3n
    @ElizabethOwino-d3n 2 месяца назад

    natka mama afe

  • @DeoLucas-u6o
    @DeoLucas-u6o 2 месяца назад

    Mm kwa mawazo yng makosa anayo magufuli ndo alianzisha mambo haya mama wawatu tunamtwisha mzigo ambao sio wake icngetokea kipindi cha magu aya yote ya cngekuepo aminini mama cdhani kama anabariki uuwaji na utekwaji wawatu

  • @starlily07
    @starlily07 2 месяца назад

    Nimempenda mwandishi anavyouliza maswali, yaani 👌👌 maswali mazuri sana na yamemaliza vidato

  • @kigesomichael8061
    @kigesomichael8061 2 месяца назад +1

    Ok

  • @sautiyawanyonge2511
    @sautiyawanyonge2511 2 месяца назад

    Nimependa walinzi wamzee baba

  • @bontamirambo
    @bontamirambo 2 месяца назад

    Kweli bbb

  • @DaudMollel-z8z
    @DaudMollel-z8z 2 месяца назад

    Pambana lissu

  • @RaphaelMbughi-n1g
    @RaphaelMbughi-n1g 2 месяца назад

    Tuna wasiwasi na wanaozuia maandamano

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 2 месяца назад

    Mwandishi vip?

  • @calvinmwabungulu9672
    @calvinmwabungulu9672 2 месяца назад

    Unazuaje maandamano ya kudai watu wao waliopotea hii si haki maandamano yapo pale pale nakuaminia mh lisu kazi ya police ni kulinda raia na Mali zao sasa Kama wanauwawa na kutekwa na kuuwawa kwa nin watanzania tusipige kelele Ali kibao kawakosea nin Mzee wa watu hii haikubariki mbinguni na dunian l

  • @FelixMkini
    @FelixMkini 2 месяца назад

    Jamani Kuteka na kuua Hadi LINI?

  • @bennycharzy6772
    @bennycharzy6772 2 месяца назад

    Heeer

  • @veronicamwanjala8590
    @veronicamwanjala8590 2 месяца назад +2

    Lissu ni mmoja tu

  • @frankkimaro1354
    @frankkimaro1354 2 месяца назад +2

    ❤❤

  • @RichardMajala
    @RichardMajala 2 месяца назад

    Safi

  • @MaicoFanganyua
    @MaicoFanganyua 2 месяца назад

    Hakika baba inatosha sasa

  • @gilbertburasixbert2569
    @gilbertburasixbert2569 2 месяца назад

    Kiongozi umesema na timekuelewaaaa

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад +1

    Viongozi w dini saw lkn hii, Farao Firaun,hii n kukejel Allah subuhana wataalah,sijui w Tanganyika, tumekukosea nn MUNGU yan aseee Tatizo shule aunn,waloteka kwenye,basi,ndoo wana Amani???au msikio yngu,eb nisaidie, waloteka mt kauwaw kwenye basi ndoo wana Amani,eb nipeni jb,

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 месяца назад

      Rudi darasani kwanza ujifunze kuandika

    • @HamisMghuna-fj3vz
      @HamisMghuna-fj3vz 2 месяца назад

      @@erickmsigala138 hio bingw wa rivasi mbona unakua mkali ww unamshinda MUNGU mbona,unawaka ww Allah anaweza,muulize Farao yukowp,au,

    • @erickmsigala138
      @erickmsigala138 2 месяца назад

      @@HamisMghuna-fj3vz sorry sikukuelewa sasa nimekupata tuko pamoja

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 2 месяца назад +1

    👊✌️👍.

  • @RenatusMatungwa-o7c
    @RenatusMatungwa-o7c 2 месяца назад +1

    Mwandishi unakosa weredi wa kuuliza maswali

  • @akimAkimuWA-m3t
    @akimAkimuWA-m3t 2 месяца назад

    Nihakiiiii

  • @NyumbayaWakfukkoo
    @NyumbayaWakfukkoo 2 месяца назад

    LISU ACHA ZAKO NYINYI NDIO WATEKAJI. ACHA UROHO WA MADARAKA MKONGO WW KISWAHILI CHAKO CHA KUJIFUNZA

  • @RevocatusSebastian-c8o
    @RevocatusSebastian-c8o 2 месяца назад

    Na wapewe Deadline hao watekaji wapatikane wawekwe hazarani

  • @Dutichgogo
    @Dutichgogo 2 месяца назад

    Dundurisu nimependa majibu yako

  • @yosephatMasanyiwa-oh1rl
    @yosephatMasanyiwa-oh1rl 2 месяца назад

    Muhoji na Chalamila maana....

  • @ManaseNassary
    @ManaseNassary 2 месяца назад

    Sawa kamanda

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 2 месяца назад

    Mwandishi anataka atekwee ndio atajua inauma kiasi gani

  • @saidkhamismasai1204
    @saidkhamismasai1204 2 месяца назад

    WAANDISHI MACHAWA HAWA😢

  • @NyumbayaWakfukkoo
    @NyumbayaWakfukkoo 2 месяца назад

    MBONA MLISHINDWA KUANDAMANA WAKATI WA MAGU KAMA KWELI KUANDAMANA NI HAKI? WATEKAJI NYINYI