TAZAMA ! KILICHOTOKEA KWENYE ENEO LENYE MVUTANO MZITO KWA KUCHIMBA MCHANGA ZNZ

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2020
  • Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
    Follow Ktv Tz Online
    Facebook | KTV TZ ONLINE
    INSTAGRAM |@ktv_tz_online
    Wasiliana nasi kupitia number
    +255 625 323 932
    Ktv Tz Online Journalists
    cc: Sadia Rashid
    cc: Sauti Byego
    cc: Maryam Busara
    cc: Masoud Maganga
    Camera Department"
    Dadi Ali
    Mwarabu Mmadi
    Nassor Shaibu
    Abdallah Juma
    Editors:
    Juma Maulid
    Dadi Ali
    Video Zingine:
    Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
    - Ali Kiba akiwa Oman
    • ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
    • NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Комментарии • 48

  • @rahalee5479
    @rahalee5479 3 года назад +5

    Allah akupe maisha marefu mkuu!

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 3 года назад +3

    💃mkuu wambie watulie wakusikilize hao Wasikufanye umekaa kispot sipot kazabuti mkuu hongera sana Kazi zuri mkuu 🙌wanyonge wanyongeeeeeee hakizao muwape

  • @mohdkhamis6581
    @mohdkhamis6581 3 года назад +3

    Safi mkuu ayubu chapa kazi babaa

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 3 года назад +1

    Shukran Ktv tz ONLINE hakika hii ni fahari yetu

  • @amourhasaan7242
    @amourhasaan7242 3 года назад +4

    CCM kwa halii hiii maendeleo yaa wananchi kwanza aaa kilasiku tutakuwa mkonoo juuuu

  • @abdulihafidhali5379
    @abdulihafidhali5379 3 года назад +2

    Hongera sana muheshimiwa ayoub mkuu wa mkoa Allah atujalie atuekei Insha Allah

  • @msanifgdf615
    @msanifgdf615 3 года назад +3

    Mungu akuepushe na fitna na majungu ya walimwengu,mungu akupe subra na moyo wa huruma KWA wakwezi na wakulima,

  • @iddisaid1680
    @iddisaid1680 3 года назад +3

    hongera ayub mohd mhmud

  • @salummkubwa
    @salummkubwa 3 года назад +5

    Hiyo timu ya RC Ayubu na DC Rajabu ni hatari sana kwa utekelezaji lazima mambo yanyooke tu!

  • @salumharoun484
    @salumharoun484 2 года назад

    Mueshimiwa Ayubu nakukubali mungu akulinde

  • @RioIpo
    @RioIpo 3 года назад +1

    Mh Ayoub piga kazi

  • @sikandaryakoub3777
    @sikandaryakoub3777 3 года назад

    Hongera mheshimiwa ayub kazi yako super fast

  • @zakwani885
    @zakwani885 3 года назад

    ahsante Ayuub kazi nzuri wa znz wapate kazi uondoke maskini

  • @mahmoudsaidy2677
    @mahmoudsaidy2677 3 года назад +1

    Safi sana mkuu wa mkoa

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 2 года назад

    WAZANZIBARI WANAHAKI HAPO NI KWAO SIO WANACHIMBA WAGENI

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 3 года назад

    Maashallah mkuu

  • @abdallamahfoodh8465
    @abdallamahfoodh8465 Год назад

    Najumbuka sikumoja nipo nagari nilikua na nataka ningie barabarani nakulikua kuna kilima gari inayo toka kushoto huioni gafla nikatoa gari ile natoa tu naona gari nyeusi imekolea inanipigia honi namimi nishaìngia Kati nlikua namba 1 nikaweka 2 fast kikawahi mbembeni ilegari nyeusi ikaja kunisimalia mbele alafunaona watuo wote walokua kwenye gari wakashuka wakaja kwangu nikasema leo nisha pigwa lakini alikua mweshimiwa RAJABU akaja akanifahafisha alafu kapanda kwenye gari yake kaondoka nilishukuru sana nlikua natetemeka sito sahau sikuile mpakaleo namkubali sana mweshimiwa RAJABU

  • @abduldangote2916
    @abduldangote2916 Год назад

    Ayuobuuuu

  • @utaani1
    @utaani1 3 года назад +1

    Kazi za zanzibar wapewe wa zanzibar tu bali kazi za skilled ndio wapewe wageni kama daktari

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 3 года назад

    Mungu awafanyie wepesi

  • @abdallahamad3099
    @abdallahamad3099 3 года назад +1

    Huyu Mtu ayoub mohd tuna kulilia mkoa wa mjini magharibi wallah hy mtu bora awe rais

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 года назад +1

    Mimi sipend vyama lkn siku ukija kugombea urais nakupigia kura Mung akuweke

  • @topaviator
    @topaviator 3 года назад

    Serikali ya awamu hii kdg inajikaza kaza tofauti na ile ya sheni

  • @ameirmanzi2684
    @ameirmanzi2684 3 года назад

    Mkuu fatilia na uwonevu wa madereva kupigwa camera napoli's pasipo sitahiki km alama zipo na camera inapigwa pasipo alama yoyote ya sipid km alama za sipidi tunaziona zinapoazia na zinapo ishia mbele hukuti alama inatakiwa uwende sipidi ngapi?ndiko unakokuta police anakupiga kamera na ukiuliza huku ni sipidi ngap anakujibu elfu 10 yakufuta camera ndio tunoijua tusaidie alama ziekwe tusende kimazowea

  • @khalimudodoma6045
    @khalimudodoma6045 3 года назад +1

    ayub wewe kwa zanzibar ni pekeyako kiongozi mwenye akili ila nakuonea imani sana huwezi kuwasaidia wananchi kwasababu serekali yako haina pesa

  • @khalfanabdallah6511
    @khalfanabdallah6511 3 года назад

    Yamato yanapendeza kwa hili 2ko pamoja

  • @calvinjuwenisefuccmnakuhas1132
    @calvinjuwenisefuccmnakuhas1132 3 года назад

    Mhnjiaya matetema mbavu namuheshimiwa rahisi alipita alitowa agizoijengwe lakinilimezarauliwa nadaraja limevunjika

  • @rawdhashabanhilal9195
    @rawdhashabanhilal9195 3 года назад

    Jamani wazanzibari tumezidi uvivu wengi wao hao ni wamevuka bahari hebu badilikeni mkiambiwa wala urojo tena ndo iwe hivo badilikeni wazanzibari menge nchi yenu wenyewe

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 3 года назад +1

    Nadhani wengi wa wachimbaji hawa wala si wazanzibari. Kuzuia mashine ni kupunguza kasi ya maendeleo na kuongeza gharama ya mchanga. Jengeni viwanda wapate kazi hawa wananchi.

    • @kombokombo829
      @kombokombo829 3 года назад

      Hiko kiwanda kinaisha leo..kwasasa watafanya nn ao wakat wenye scaveta wapo maoficn. Acha wanyonge watumie nguvu zao

  • @yusufwewe8600
    @yusufwewe8600 3 года назад +1

    Vp

    • @alihamadi3026
      @alihamadi3026 3 года назад

      Upatikanaji wa mchanga kwa wananchi bado ni shida sisi wengine vibandavyetu matofali yamungunyuka tumeshindwa kupiga palasta, kwaio tunaomba irudi kama zamani.

    • @alihamadi3026
      @alihamadi3026 3 года назад

      Na ugumu wa upatikanaji wa mchanga ndio imekuwa sababu ya baadhi ya maeneo mitaani kuchimbwa mchanga bila ya kibali cha serikali.

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf9566 3 года назад +1

    🤔kaka Masoud Maganga kwahisani yako kunjua uso huo 🎥🙄🎤

    • @hazjay4671
      @hazjay4671 3 года назад

      Yaan Aaahahahaaa

    • @magangatv2903
      @magangatv2903 3 года назад

      Ahsante, jua lilikua kalisana zayyati i wish ningevaa miwani!

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 3 года назад

      @@magangatv2903 pole in shaa Allah nitakuletea🕶👓

    • @magangatv2903
      @magangatv2903 3 года назад

      @@zayyatiyussuf9566 karibu zanzibar.

    • @zayyatiyussuf9566
      @zayyatiyussuf9566 3 года назад

      @@magangatv2903 Shukran kaka Masoud in shaa Allah mwakani✈🏃

  • @mohammedjumakhamis8151
    @mohammedjumakhamis8151 3 года назад

    Tangu DC Rajab alipokuwa mkuu wa mkoa wa kaskazini unguja alikuwa mtendaji mzuri San na saiv amepata mkuu wa mkoa mtendaji zaid Mh Ayoub apo ni kazi kazi

  • @emilyibraimo5032
    @emilyibraimo5032 3 года назад +2

    Wazanzibar bado hatujajua kujielezea

  • @abubakarmzee3374
    @abubakarmzee3374 3 года назад

    🐔🐓🐓🐓🐓

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 3 года назад

    Hao jamaa zenu wa kiunguja au WAZANZIBAR kuwaongoza kama unaongoza mbuzi mana wana zarau na kutojielewa mtu majukumu yake afanyeje na ndio mana umaskin hawishi zanzibar kwa uvivu

  • @saidfaki6579
    @saidfaki6579 3 года назад

    Aowabongo. Wametokawap. Wazanzibar wajinga. Kujituma. Hatutaki. Twahyar. Tuleungatuu. Tuwacheni. Ujinga. Maeneyo. Yetu. Hayo. Wanafaidka. Wengne

  • @queen-yx8uo
    @queen-yx8uo 3 года назад

    Aaaaah huyu mkuu wa mkoa wa kusini washamhamishia kaskazini tunamtaka mkuu wet arudishwe