KTV TZ ONLINE
KTV TZ ONLINE
  • Видео 4 692
  • Просмотров 67 348 627
RAIS MWINYI: "KAULI YAKO MOJA TU INAWEZA KUTUHARIBIA MAMBO MENGI / KUVURUGA AMANI"
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 717 619 834
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
ruclips.net/video/QQjaQ7ey9Pg/видео.html
ruclips.net/video/Mscbg7grm9Y/видео.html
Просмотров: 1 863

Видео

USHIRIKI WA WANAWAKE ZNZ: CHANGAMOTO NA MAFANIKIO KATIKA UCHAGUZI
Просмотров 16214 часов назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
NAMNA GANI WATOTO WA KIKE WANA ANDALIWA KUWA VIONGOZI IKIWA BADO WAPO SKULI
Просмотров 19716 часов назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
MABADILIKO YA TABIANCHI ZANZIBAR WANANCHI ELFU 20 KUNUFAIKA NA MRADI WA KILIMO BIASHARA
Просмотров 38514 дней назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
UCHAGUZI MKUU 2025: RAIS MWINYI AONYA DHIDI YA MIFARAKANO ISIYO NA TIJA
Просмотров 1,3 тыс.21 день назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
MATISHIO YA TAARIFA BINAFSI, ZANZIBAR SERIKALI YAANZA KUPAMBANA
Просмотров 912Месяц назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
HABARI NJEMA !! ZANZIBAR YASHINDA NAFASI, KUANDAA MKUTANO MKUBWA WA SEKTA YA ANGA AFRIKA
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
CHEKI UWEZO WA BANDARI KUBWA YA CHINA, RAIS MWINYI AFIKA KUJIONEA UKUBWA WAKE
Просмотров 3,1 тыс.Месяц назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo ametembelea Bandari ya Shanghai International Port Group (SIPG) nchini China, na kukutana na uongozi wa shirika hilo. Bandari ya SIPG ni moja ya kitovu kikubwa zaidi cha biashara ya kimataifa duniani, ikihusisha usafirishaji, upakuaji, na upakiaji wa makontena kutoka mataifa mbalimbali, na ni kiungo muhimu c...
RAIS MWINYI ATUA CHINA, ULINZI UMEIMARISHWA YEYE NA MKE WAKE
Просмотров 8 тыс.Месяц назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiwa na Mke wake Mhe. Mama Mariam Mwinyi, wamewasili salama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Pudong, Shanghai, China, wakitokea Doha, Qatar. Walipokelewa kwa heshima na Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Khamis Mussa Omar. 🇹🇿🤝🇨🇳 Mhe. Rais Dk. Mwinyi na ujumbe wake wanatarajiwa kushiriki katika ufunguzi...
DK. MWINYI AFUNGUKA MAENDELEO YA FAMILIA HUKO DOHA - QATAR
Просмотров 2 тыс.2 месяца назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amehudhuria Mkutano wa Mwaka wa Kimataifa wa Familia uliofanyika Doha, Qatar. Mkutano huu hufanyika kila baada ya miaka 10 na unalenga kusisitiza umuhimu wa familia kama msingi wa jamii. Katika hotuba yake, Rais Dk. Mwinyi ameangazia hali ya maendeleo ya familia barani Afrika, akieleza kuwa juhudi kubwa zimefany...
UWEZO WA QATAR MKUMBWA MNOO, RAIS MWINYI AWASHAWISHI l NEEMA KUMIMINIKA TANZANIA
Просмотров 6 тыс.2 месяца назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameanza ziara yake rasmi nchini Qatar kwa mafanikio makubwa leo. Katika siku ya kwanza ya ziara hiyo, Dk. Mwinyi amekutana na Waziri wa Nchi wa Qatar anayeshughulikia masuala ya Nishati, Mheshimiwa Saad bin Sherida Al-Kaabi, kwa mazungumzo muhimu. Mazungumzo hayo yamefungua fursa kubwa ya Qatar kuiuzia Tanzania mbole...
RAIS MWINYI APENDEZESHWA NA IJITIMAI YA MWAKA HUU WAKATI WA UFUNGUZI
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
MZEE ANGUAA KILIO MBELE YA RAIS MWINYI FURAHA IMEPITILIZA KWA BARABARA
Просмотров 1,5 тыс.2 месяца назад
Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote. Follow Ktv Tz Online Facebook | KTV TZ ONLINE INSTAGRAM |@ktv_tz_online Wasiliana nasi kupitia number 255 717 619 834 Ktv Tz Online Journalists cc: Sadia Rashid cc: Sauti Byego Camera Department" Dadi Ali Omar (OJ) Nassor Shaibu Abdallah Juma Editors: Juma Maulid Dadi Ali Video Zingine: Angalia hapa - Diamond Pla...
UTAPENDA!! RAIS MWINYI NA MKE WAKE WANAVYO JIACHIA FORODHANI NA VIJANA WA MAKACHU
Просмотров 15 тыс.2 месяца назад
✨ MAKACHU INAVYOITANGAZA ZANZIBAR KIMATAIFA! 🌍 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kuwa mchezo wa makachu ni fursa muhimu ya kuitangaza Zanzibar kimataifa. 🇹🇿🌊 Akizungumza katika Bustani ya Forodhani alipofika kushuhudia mchezo huo maarufu unaovutia wenyeji na wageni, Dk. Mwinyi amewasisitiza vijana wanaoshiriki kuhakikisha wanaendeleza makachu...
RAIS MWINYI AFUNGUA BARABARA LAKINI AMEONESHA KUCHUKIZWA NA TABIA HIZI l ATOA MAAGIZO
Просмотров 10 тыс.2 месяца назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameiagiza Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi kusimamia hifadhi za barabara kwa nguvu zote ili kuzuia wananchi kujenga au kufanya biashara kwenye maeneo hayo. Hatua hii inalenga kuepusha mzigo mkubwa wa fidia kwa serikali inapohitaji kupitisha miundombinu mingine muhimu. Dk. Mwinyi amesema kumekuwepo na tabia y...
CHEKI POLISI WALIVYO PAMBANA NA WAHALIFU NA KUFANYA UOKOZI "MAFUNZO MBELE YA CP. HAMAD' ZNZ
Просмотров 1,9 тыс.2 месяца назад
CHEKI POLISI WALIVYO PAMBANA NA WAHALIFU NA KUFANYA UOKOZI "MAFUNZO MBELE YA CP. HAMAD' ZNZ
SHEIKH 'OTHMAN MAALIM' KWA MAPENZI MAKUBWA AJA NA SULUHISHO KWA IBADA YA HIJJA
Просмотров 4562 месяца назад
SHEIKH 'OTHMAN MAALIM' KWA MAPENZI MAKUBWA AJA NA SULUHISHO KWA IBADA YA HIJJA
RAIS MWINYI NA MAKAMU WATOA KAULI ZENYE UZITO "HILI WALA HALITAKI KUFICHWA"
Просмотров 2 тыс.2 месяца назад
RAIS MWINYI NA MAKAMU WATOA KAULI ZENYE UZITO "HILI WALA HALITAKI KUFICHWA"
RAIS MWINYI AZINDUA BANDARI MPYA ZANZIBAR l HII APA BANDARI KAVU
Просмотров 12 тыс.2 месяца назад
RAIS MWINYI AZINDUA BANDARI MPYA ZANZIBAR l HII APA BANDARI KAVU
RAIS MWINYI AFUNGUKA KWA WAANDISHI WA HABARI MPANGO WA WANANCHI KUMILIKI NYUMBA ZNZ
Просмотров 3,4 тыс.2 месяца назад
RAIS MWINYI AFUNGUKA KWA WAANDISHI WA HABARI MPANGO WA WANANCHI KUMILIKI NYUMBA ZNZ
MUFTI MENK ALIVYOAGA ZANZIBAR KWA KISHINDO CHA UJUMBE MZITO HOTEL VERDE !!
Просмотров 6 тыс.2 месяца назад
MUFTI MENK ALIVYOAGA ZANZIBAR KWA KISHINDO CHA UJUMBE MZITO HOTEL VERDE !!
MUFTI MENK & RAIS MWINYI WAKUTANA TENA IKULU, WAFURAHI SANA BAADA YA JAMBO ZITO
Просмотров 10 тыс.2 месяца назад
MUFTI MENK & RAIS MWINYI WAKUTANA TENA IKULU, WAFURAHI SANA BAADA YA JAMBO ZITO
RAIS MWINYI AIBUWA MATUMAINI MAPYA, SMZ KUTOA PESA NYINGI KWA HIJJA "KUNA KASORO SEHEMU"
Просмотров 3,1 тыс.2 месяца назад
RAIS MWINYI AIBUWA MATUMAINI MAPYA, SMZ KUTOA PESA NYINGI KWA HIJJA "KUNA KASORO SEHEMU"
KATIKA MIRADI HII ZNZ JE WAZEE WAMEZINGATIWA ? WAZIRI AFUNGUKA ALICHOBAINI
Просмотров 1,4 тыс.2 месяца назад
KATIKA MIRADI HII ZNZ JE WAZEE WAMEZINGATIWA ? WAZIRI AFUNGUKA ALICHOBAINI
RAIS MWINYI AFIKA MWENYEWE TUMBATU LEO NA KUWAAMBIA KAULI HIZI ZA MATUMAINI
Просмотров 7 тыс.3 месяца назад
RAIS MWINYI AFIKA MWENYEWE TUMBATU LEO NA KUWAAMBIA KAULI HIZI ZA MATUMAINI
SIKU YA WAZEE WOTE KUKUTANISHWA PEMBA NDIO HII l WENGINE KUTOKA UNGUJA
Просмотров 3493 месяца назад
SIKU YA WAZEE WOTE KUKUTANISHWA PEMBA NDIO HII l WENGINE KUTOKA UNGUJA
KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?
Просмотров 3,7 тыс.3 месяца назад
KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?
RAIS MWINYI ABAINISHA UTARATIBU MPYA WA MIKOPO ZANZIBAR, 4.4.2
Просмотров 1,6 тыс.3 месяца назад
RAIS MWINYI ABAINISHA UTARATIBU MPYA WA MIKOPO ZANZIBAR, 4.4.2
PEMBA' YABAINIKA INA MADINI MAZITO, UTAJIRI NJE NJE, RIPOTI INASEMA
Просмотров 19 тыс.3 месяца назад
PEMBA' YABAINIKA INA MADINI MAZITO, UTAJIRI NJE NJE, RIPOTI INASEMA
ACT WAZALENDO WAFUNGUKA SABABU ZA KUTANGAZA BARAZA LAKE KIVULI Z"BAR l "MUUNGANO/HAKI/USALAMA"
Просмотров 1,5 тыс.3 месяца назад
ACT WAZALENDO WAFUNGUKA SABABU ZA KUTANGAZA BARAZA LAKE KIVULI Z"BAR l "MUUNGANO/HAKI/USALAMA"

Комментарии

  • @husseinbakar2358
    @husseinbakar2358 11 минут назад

    Hakuna kamati hata moja atakayo unda

  • @KhalidiBakar
    @KhalidiBakar Час назад

    Iyo ndo ngumu kumeza najichekesha ila nafsi yanisuta😂😂😂😂

  • @Salimudhahabu-j8o
    @Salimudhahabu-j8o Час назад

    Mama Allah akupe majitajio yako hapa duniani na akhera

  • @AllySingano-uw6nq
    @AllySingano-uw6nq 4 часа назад

    Umepatia sana dada

  • @halemasuliman-js8ug
    @halemasuliman-js8ug 9 часов назад

    Asante sanaa dada una uchungu kweli na nchii yakoo tujitahidini kurudii katika maadili yetuu ya zamanii ya kizanzibari allah azidi kukutia nguvu kwa hilo na pia akulindee

  • @YasinAli-si7rc
    @YasinAli-si7rc 16 часов назад

    Asnt dada mola akulinde na maaduwi walio kuzunguuka kwenye jamii

  • @aliyissa9857
    @aliyissa9857 16 часов назад

    Mama yangu. Nakuombea kwa Allah jazaakallah kher

  • @frankmfuse6990
    @frankmfuse6990 16 часов назад

    Mbona zanzibar nchi ndogo lakini mambo ni mengi kuliko hata bara ZN sheria kali sana za kidini madudu ni mengi hatar sana

  • @azirajiabdallah7177
    @azirajiabdallah7177 16 часов назад

    Onger kwakuliongea lakn sifikirii km litafanyiw kz mn zanz imearibik mno

  • @totobest6913
    @totobest6913 День назад

    Mwinyi haibi achuka mshara wakotu

  • @YussufKhatib-i8q
    @YussufKhatib-i8q День назад

    Yesu ni na bii sio mungu ujuwe hilo ,na alikula samaki

  • @YussufKhatib-i8q
    @YussufKhatib-i8q День назад

    Mama mpeleke Kwa mashekh asomewe rukia huyo jini huyo ndio ana anza kumuingia kabla haja ota mizizi muahini na mape akasomewe kisomo cha rukia Inshallah atapona

  • @nassoribrahim5288
    @nassoribrahim5288 День назад

    😊Allah amhifadhi MaMa huyu wa Maaana

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc День назад

    Yaaan unashida ya pesa alafu unatoa pesa ama kweli mwenye kilanga hapewi pole 😢

  • @MchaOthman-g2i
    @MchaOthman-g2i День назад

    Allah akulipe kheri inshaallah mama kwa kusema ukweli na hiyo ndio imani.

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h День назад

    Kwenye dhuluma hakiwi kitu hamuon sio maneno yangu

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h День назад

    Mtapiga keleke hakiwi kitu kwasab ya kukalia kit sio chake watu wanauliwa

  • @LovelyBubbleTea-vz4ol
    @LovelyBubbleTea-vz4ol День назад

    Hili jengo kwa kweli hakika lina pendeza

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara День назад

    seema maama

  • @JekobuNgwara
    @JekobuNgwara День назад

    haaaaaaaa jaamaaani uoniuozo saaana

  • @ShaabaniRamadhani-f8d
    @ShaabaniRamadhani-f8d День назад

    Dah mama yupo vzuri San lkn lzima achukiwe

  • @DoolyDoolly
    @DoolyDoolly День назад

    Dawa waende kwao

  • @Zivago12
    @Zivago12 2 дня назад

    Mama usipoteze nguvu zako. Huyo unaemwambia ndie anaebariki na kushiriki.

  • @ChausikuRulanika
    @ChausikuRulanika 2 дня назад

    Allah akupe wepesi kaka

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j 2 дня назад

    Jamani huyu mama ni zaidi ya mama mlezi huyu ni mlezi wa vijana wa zanzibar

  • @maftahmusa9513
    @maftahmusa9513 2 дня назад

    Allah akulipe khery kwa ujasiri wako

  • @ConfusedBalkhHound-on2mx
    @ConfusedBalkhHound-on2mx 2 дня назад

    Hao viongozi ndio chanzo cha yote maana wao wanajua hayo

  • @hassanibakari9667
    @hassanibakari9667 2 дня назад

    Mama hongera sana allah akufanyie wepesi majukumu yako inshallah atamulinda

  • @SaidAli-d4g
    @SaidAli-d4g 3 дня назад

    ww unasema castro ya zaman kmbe

  • @JumaMakame-l6u
    @JumaMakame-l6u 3 дня назад

    Daaah polen hilo janga kubwa

  • @aliramadhan-bo1wr
    @aliramadhan-bo1wr 4 дня назад

    Nawashauri tafuteni oil chafu kwenye magereji au popote mtapoipata mwageni humo watakimbia wote inshaallah.

  • @NdayikengurukiyeSalome
    @NdayikengurukiyeSalome 4 дня назад

    Mimi kunakipaji nikonacho

  • @husseinsalimbora3534
    @husseinsalimbora3534 4 дня назад

    Ahsante sana nimesoma hapo 2015 mpaka 2017.

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 4 дня назад

    Na mtu akifa kwa ajili ya siasa hzi za kipumbavu asije akasema anapigania jihadi hapa sio jihadi tafuta jihadi muislam

  • @JumaHamad-i3f
    @JumaHamad-i3f 4 дня назад

    Huyu kwa uwezo wa Allah mpk 2030 maan binaadamu hatuna shukuran waislam kwa waislam tunalumbana akiongoza mkeisto ndo tutaisoma namba zanzibar watu wanakula kupitia siasa sisi tunauliwa ovyo

  • @abdifaraji2883
    @abdifaraji2883 4 дня назад

    Wabakaji hawachagui Mkiristo au Muislam au mtu asiyekuwa na dini. Pia Wakiristo vaeni nguo za stara

  • @abdifaraji2883
    @abdifaraji2883 4 дня назад

    Uamsho urudi.

  • @abdifaraji2883
    @abdifaraji2883 4 дня назад

    Unayajua wanayofanyiwa Wailamu huko bara. Vijana wa kiislsamu hawapewi kazi, na hao waliobahatika kupata kazi hawapandishwi vyeo. Waislam wananyanyasika huko bara, hasa kitika mikoa yenye Wakiristo wengi kama Kilimanjaro na Mbeya.

  • @hassanbravo7412
    @hassanbravo7412 5 дней назад

    Jambo kubwa ni haki na sio amani, amani bila haki hamna kitu...tunatakiwa tuhubir haki kwanza

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 5 дней назад

    Ur the best my president mungu akulinde inshaallah ❤

  • @rushydahmed9179
    @rushydahmed9179 5 дней назад

    eti rais, anamjua alivyoingia kwenye madaraka? anajua kuwa ndio kibaka wa nchi nzima yaani, kibaka mkuu - mzee anajambia majini..

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 5 дней назад

    Ww mwenyewe mwizi uo uraisi umeiba mwizi mkubwa ww

  • @saidsalim453
    @saidsalim453 5 дней назад

    Raia jukumu lake ni kuchukia na kuzungumza kwa uchache, wasomi jukumu lake ni kusema na kuelimisha na kiongozi ni kuchukuwa hatua kali kwa kitendo sio kulalamika

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 5 дней назад

    AMANI NA HAKI .

  • @SharhabilMuhamed
    @SharhabilMuhamed 5 дней назад

    Mzee kaongea ni kiongozi sasa kutekeleza kama kiongozi ila, mwinyi naona yupo sawa sana mungu ampe moyo wa upendo zaid ya apo

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 5 дней назад

    Sio kauli bwamdogo sema na hata kura moja tu ya wizi huchafua amani na kupelekea mauaji acha kupiga kampeni katika nyumba ya Allah wakati ww ndio kiongozi wa wizi apa zanzibar kwako amani ndio sio haki tunataka haki sio aman wala mwera

  • @reallyman9836
    @reallyman9836 5 дней назад

    Umesema kweli Mh. viongozi wanadhani ukiwa mpinzani ni kuponda tu kila kitu,

  • @husseynomar9523
    @husseynomar9523 5 дней назад

    Kazi nzuri.... ❤👊😁

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 5 дней назад

    Huna mpya weee

  • @salyali7807
    @salyali7807 5 дней назад

    Kazoea kutumia vibla vya msikiti kuleta utumbo wake .... tumechoka nae i can't wait for 2025 kumuona anafunga virago

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 5 дней назад

      Aende wapi Wacha kelele 5 Tena inshallah binadamu hamuna kheri znz oyeeeeee ❤