RAIS MWINYI ATUA CHINA, ULINZI UMEIMARISHWA YEYE NA MKE WAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 ноя 2024

Комментарии • 23

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 День назад +7

    Mmeona maendeleo hayo sio haya hapa kwetu kuchokora barabara kidg halafu munatudanganya mmeleta maendeleo

  • @fahmysaid-zw4np
    @fahmysaid-zw4np День назад +5

    kuharibu kodi zetu tuh juzi katar leo china

  • @LaurentMatigili
    @LaurentMatigili 18 часов назад +2

    Wameenda kuuza rasilimali zingine za waafrica

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 8 часов назад

    Asalam alaykum baba dr husen mwinyi msalimie mama hapo mkirudi naomba mniletee zawadi ya cherehani

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 9 часов назад

    Laahaula ulinzi umeimarishwa ?hebu leteni toba kwanza

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 6 часов назад

    Kapokelewa na Baloziiii!😂

  • @nassorkhamis6233
    @nassorkhamis6233 18 часов назад

    Nimeamini leo kama home hatuna nchii 😢so sad

    • @fifo262
      @fifo262 17 часов назад

      Ririkeni na mulipo mungu alipowajalia

  • @masoudmasoud8138
    @masoudmasoud8138 16 часов назад

    Kenda kuomba au

  • @MohdSalum-y5i
    @MohdSalum-y5i 19 часов назад

    Piga kazi mwinyi

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg 21 час назад

    Jistiri mke waraisi

  • @DohaQatar-w4t
    @DohaQatar-w4t 23 часа назад +2

    Nauliza swali uko anajulikana kama raisi Zanzibar au mjumbe WA jumba kumi

  • @aminattai2676
    @aminattai2676 20 часов назад +1

    Wasio haya Wana mji wao hawachoki kuongea na kulaumu kama vinawahusu vile.

  • @AbdulSaid-bn2gi
    @AbdulSaid-bn2gi 17 часов назад

    Sisi hatuna maendeleo

  • @abuuzahra-fc2jg
    @abuuzahra-fc2jg 21 час назад

    Kuvaaa hivyo ndio Mila gan

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 10 часов назад

    Huyu si raisi huyu kaenda china kama waziri nchi Gani iliokuemo ndani ya nchi nyengine hii funika kombe wajinga wasielewe

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 21 час назад

    Yuko wapi mwenyeji wake raisi mwezake raisi wa uchina?😂😂😂

    • @LaurentMatigili
      @LaurentMatigili 18 часов назад

      Sio rahis wakwenda kusubiriwa na shi ji Ping Airport huyo,Hana hata uzito

  • @HomeLess-h3b
    @HomeLess-h3b 16 часов назад

    Uyo mjumbe wa baraza la mawaziri anazidi kujidhalilisha tu eti rais huoni wenzako wakienda huko wanavyo pokelewa na kiongozi wanchi lakini wewe aliekupokea yawezekana ni mkuu wa polisi wa hilo eneo pole sana uongozi haukufai unadhalilika ndani na nje ya nchi

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 22 часа назад

    Mbona hamna ving'ora kama putini wanavo endda uko

  • @musazain6183
    @musazain6183 21 час назад

    Mnafiki tu zanzibar inataka mamlaka yake lakini jamaa ndo kwanza anaifanya zanzibar izidi kuitegemea bara