KWANINI ZANZIBAR INAANZISHA BIMA YA LAZIMA KWA WAGENI?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 42

  • @AziziIssa-l1j
    @AziziIssa-l1j 2 месяца назад +3

    Kiukweli mimi nahisi mr raisi aingilie kati katka suwala hili wageni wamepungua Zanzibar hakuna mgeni anaekuja Zanzibar asiekuwa na bima yake sasa hapa wageni hawaji mawepungua sana sana

  • @hadiyajuma3974
    @hadiyajuma3974 3 месяца назад +9

    Mnataka kuwakibiza watu tu watu wote wakitoka nje wanakata bima kabla hawajaja Africa au nchi za nje hio idea yenu mtakimbiza wageni

    • @SophiaTafuna
      @SophiaTafuna 3 месяца назад +2

      mie naishi Germany, wafanyakazi wenzangu wamesikitishwa na hii bima nadhani hawatakuja tena Zanzibar

  • @ameali1251
    @ameali1251 2 месяца назад +1

    Tamaa mbele mauti nyumaa hawatosheki kutuzulumu ktk ile bima yao ya laki moja na 77000 .

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 3 месяца назад +1

    Acheni achini mtakimbiza watalii . Atae umwa akija hospitali matamlipisha hakuumwa basi. Acheni mombasa wanalia hawana watalii .sababu nighali sasa nyinyi mnafanya nn

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go 3 месяца назад +1

    Mungu alete kheir❤

  • @AziziIssa-l1j
    @AziziIssa-l1j 2 месяца назад +1

    Muondoe huo upuuzi wageni wamepungua Zanzibar mkitaka msitake acheni kuwaibia wageni wamepungua 😢😢😢😢😢😢😢

  • @IshakaIssa-h4w
    @IshakaIssa-h4w 3 месяца назад +2

    Tatizo maoni y watu wengi wameliping hilo jambo kw sababu halito furahisha wagen na litapunguz kasi ya wageni has wanaotok ndan y Afrika kw hivy serikali lazim watafakr ten na cio kulazimisha hil jamb

  • @annerobinson1592
    @annerobinson1592 3 месяца назад +3

    Kwani watu wakikata Bima ya chombo usalama ya traffic inaongeseka vipi.

  • @aminahassan3588
    @aminahassan3588 3 месяца назад +5

    Wanalalamika watu bima hiyo ya lazima vp wizi tu

  • @mohammedkhkombo4439
    @mohammedkhkombo4439 3 месяца назад +2

    Kuwe na mfumo madhubuti kuzuia rushwa na fedha zifike sehemu huka

  • @FatmaOmari-tz2my
    @FatmaOmari-tz2my Месяц назад

    Mnatulaza na njaaaaa jmnii iondoeniiiiiiiiii tuna dhlilikaaaaa

  • @AaAa-vm8bb
    @AaAa-vm8bb 3 месяца назад +1

    Jee kuna uhakika gani mgeni atashughulikiwa na wapi atatoa taarifa pindi amefikwa na matatizo

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 3 месяца назад +3

    Dunia nyengine hii

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 месяца назад +3

    Murudishe pesa zao

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 месяца назад +3

    Viongozi fikirieni jinsi ya kuingiza mapato sio kuwaibia wageni kwa njia hii ya bima ya lazima. Huu ni wizi wa macho macho. Yaani wageni wengi wameshacancel safari ya kuja Zanzibar kutokana na ughali wa kuingia nchini. Ukiangalia mgeni alipe pesa ya kuingilia,pesa ya siku, pesa ya kutokea,pesa ya bima. Hivi huyu mwendawazimu msenge gani alieleta huu upuuzi wa hii bima.

    • @SeifMjawir
      @SeifMjawir 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂bro yan wee acha tu

    • @aglianosaid1189
      @aglianosaid1189 Месяц назад +1

      Dah kwel kak viongozi wetu ni vipofu san wanaiga mambo ya nchi zilizo endelea wanatuletea Zanzibar il hali miundombinu inawashinda kutengeneza yaani wanatengeneza airport terminal, vibarabara ulimi wa paka na vidaraja vya flyover tu makodi tele vilipe ndani ya mwaka 1 tu kweli tamaa mbaya kisha eti Zanzibar hakuna matata usenge mtupu mbwa kabisa

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c Месяц назад +1

      @@aglianosaid1189 Na sasa ndege zinakuja na abiria kidogo wageni wamecancel kwasababu ya bima ya utapeli wanayolipishwa

  • @fatmasaid9765
    @fatmasaid9765 3 месяца назад +3

    Sasa ikiwa mtu hakuumwa mpaka kaondoka itabidi mumrudishie mwenyewe

  • @AhmedAhmed-bk2il
    @AhmedAhmed-bk2il 3 месяца назад +1

    Kuna vitu vingi sana vya kufanya kabla ya bima beach zetu chafu sana barabara mbovu wageni watalipa ila lazima waone hiyo pesa inaenda wapi 🤦🏾‍♂️
    Then most on them wana❤bima tayari so ni kama wanalipa Mara mbili na pia wanalipa dola tano ya kodi kila siku

  • @murattywamuratty9778
    @murattywamuratty9778 3 месяца назад +1

    Kwanza rekebisheni foleni ya kutokukaa sana apo wagen wanapo ingia mkoo shaloo sanaa

  • @salwasuleiman3525
    @salwasuleiman3525 3 месяца назад +2

    Mtu akiumwa huduma hamna 😢

  • @Jumahilal-h1h
    @Jumahilal-h1h Месяц назад

    Nchi yetu tamaa sana wageni mushawafukuza kwa bima zenu zisizokuwa na maana December yote hii haina ata wageni cancelled safar zote

  • @Jumahilal-h1h
    @Jumahilal-h1h Месяц назад

    Upuuzi tu

  • @ummuraw6372
    @ummuraw6372 3 месяца назад +1

    Lohhh

  • @abdulabdallah2033
    @abdulabdallah2033 Месяц назад

    Wanafoc tufanye mambo tusiyopenda kuyafanya...izo pesa wanafanyia nini kwani... wezi wakubwa ...wao wenyewe hawana bima yoyote wanalazimisha watu wakate bima '''

  • @zaudinzau2258
    @zaudinzau2258 3 месяца назад +2

    Mna nenepa kw Zulumati .. mkitoka madarakani .. mnatia huruma mnaumwa kila sehem ..

    • @MohamedAhmada-ie7ke
      @MohamedAhmada-ie7ke 3 месяца назад +1

      Wao wenyewe tukenda kwao wana tupiga kodi atar

    • @IddiKhamis-u6c
      @IddiKhamis-u6c 3 месяца назад +1

      ​@@MohamedAhmada-ie7ke Acha ujinga ww. Kodi inajulikana ni lazima nchi zote. Lakini sio hii bima ya lazima. Wakati wageni wanakua na bima zao International. Sasa unapomlipisha na hii bima unamuongezea mzigo tu usiokua na faida kwake. Bima yake International inajitosheleza popote atatibiwa kwa bima yale.

    • @ummuraw6372
      @ummuraw6372 3 месяца назад +1

      WIZI WAKUBWA LAKINI ZITAWATOKEA PUANI HIZO PESA

  • @aglianosaid1189
    @aglianosaid1189 Месяц назад

    Mshatuharibia utalii tayari tamaa mbaya mnatak pesa nyingi Kwa pamoja lakini utalii mushau kill akili ya kuambiwa changanya na yako

  • @haroubhbm5728
    @haroubhbm5728 3 месяца назад +1

    Hii bima ya lazima ita cost na kupoteza wageni wengi mbona private insurance hospital zanzibar International zipo hapa naona watauwa mashirika binaries naona wafikirie tena wamefeli tena itawacost tuone but mtazamo wangu haitofika mbali 😢 my future eyes naitakia mema but think before done❤

  • @khalfanaltaley
    @khalfanaltaley 3 месяца назад

    Kila msafiri anajua namna ya kujikinga mwenyewe kabla hajaanza safari. Hii Bima ya lazima haina maana yeyote isipokua ni kuongeza business ya bure kwenye Insurance company ambayo ni sehemu ya serikali.!
    Kwanini Insurance company zingine zisiruhusiwe? Na kwanini wageni kabla ya kusafiri wasikate insurance huko kwao?
    Hii ni njia nyingine tu ya kuingiza pesa kiharamu!

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 3 месяца назад

    Wizi huu hamna BIMA ya lazima

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 3 месяца назад +3

    Viongozi fikirieni jinsi ya kuingiza mapato sio kuwaibia wageni kwa njia hii ya bima ya lazima. Huu ni wizi wa macho macho. Yaani wageni wengi wameshacancel safari ya kuja Zanzibar kutokana na ughali wa kuingia nchini. Ukiangalia mgeni alipe pesa ya kuingilia,pesa ya siku, pesa ya kutokea,pesa ya bima. Hivi huyu mwendawazimu msenge gani alieleta huu upuuzi wa hii bima.

  • @Jumahilal-h1h
    @Jumahilal-h1h Месяц назад

    Upuuzi tu