RAIS MWINYI NA MAKAMU WATOA KAULI ZENYE UZITO "HILI WALA HALITAKI KUFICHWA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 8

  • @NaglaSaid-jn1xo
    @NaglaSaid-jn1xo 3 месяца назад +1

    Sijui, lakini nakhisi hawa viumbe ni kama wana nyuso mbili hivi ,
    Maana ukiangalia wanayoyahubiri ni tafauti na wanayotatenda,
    Kiukweli hakuna anaepinga amani suali ni kwamba je amani ina tafsiri gani?
    Isije ikawa tunatafautiana katika kuitafsiri amani.

  • @AbuufauzaanMohd
    @AbuufauzaanMohd 3 месяца назад +2

    KUMBE VIONGOZI WA CCM WANAJUWA KUWA ZANZIBAR NI NCHI INSHALLAH ALLAH AWAONGOZE

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 3 месяца назад +1

    Kweli ndugu lakini ukifika uchaguzi mnabadilika je !?ni dhihaka Kwa Allah?

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 3 месяца назад +1

    Machoni kama watu nyoyoni hawana kitu . Kitu ganiulicho muahidi maalim sefu ulipomtaka ajiunge na serekali ya pamoja kumbuka ahadi ni deni

  • @Nabiilkhamis
    @Nabiilkhamis 3 месяца назад +1

    Maneno yako uyashike ikifka uchaguz muje kufanyia kaz

  • @RamadhaniMussa-xs5uk
    @RamadhaniMussa-xs5uk 3 месяца назад +1

    Kuuwa ni katoka uovu

  • @KhadijaHussein-qn2ge
    @KhadijaHussein-qn2ge 3 месяца назад +1

    Maneno mazuri humtoa nyoka pangoni lakini vitendo vibovu humfukuza na kurudi pangoni tusijisahau Kila kiliopo duniani kitaondoka tukumbuke walikuepo leo hawapo na ss tupo njiani siku,Saa,dakoka,sekunde anaijua muumba tambua tutaulizwa je Dunia umekushana au imekukushana?

  • @alimau7939
    @alimau7939 3 месяца назад

    Usanii mtupu