Sisi Wakenya tunaendelea kuwaombea. Mungu awape nguvu familia ha Raisi mstaafu Mheshimiwa Mwinyi. Mungu awape nguvu serikali ya Tanzania na ndugu zetu Watanzania ❤
Inna Lillahi Waina Ileyhi Rajiun, Allah [S.W] ampe kauli thabit ,amuondole adhabu ya moto na ya kaburi, ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia na amuweke miongoni mwa waja wema JANNAT FIRDAUS, pia na wazee wetu na families walio tangulia tukutane tena Allah atukutanishe tena kwenye pepo yake ALLAH ATUPE SUBRA FAMILY NA SISI SOTE KUONDOKEWA NA MZEE WETU , KIONGOZI , MENTOR ,ROLE MODEL, MWALIMU BABU NA BABA YETU MPENDWA ALLAH AKURAMU.
Inaonyesha aliwapenda sana watoto wake, ndio maana wanasikia huzuni. Shukrani Mzee Mwinyi kwa zawadi ya maisha yako kututumikia Watanzania vema na kwa unyenyekevu.
Pole sana kaka Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumuuuuuu sana pamoja na Sisi watanzania wote kwa ujumla pumzika Kwa aman Mzee wetu Babu yetu kipenz yote ni mipango ya Mungu ishallaah Allaah ❤️😭
Poleni sana familia ya Mzee Ally Hassan Mwinyi. Hayati Mzee Mwinyi atakumbikwa daima Kwa uungwana, ukarimu, utu na uzalendo Kwa Taifa lake! R. I. P Mzee Mwinyi
Poleni Sana Allah Akupeni Moyo Wasubra Hili Niletu Sote Allah Ammpe Malazi Meme Amughufiriye Kilaalilokosea Ndio Mja Allah Amjaalie Qaulthabit Yarabiy Amjaalie Qabriyake Liwe Minalriaadhiljannnah Yarabiy..
Kufiwa usikie kwa jirani tu,omba usifikwe japo ni ngumu😢😢Mungu awape nguvu na faraja familia,ndugu jamaa na watanzania wote kwa ujumla... Innalillah wainalillah rajiun,Mola wetu mtukufu tunakuomba umpokee Mzee wetu umpe jaanat firdaus,nasi tunakuomba utupe neema ya mwisho mwema Allaumah Amiin Rarab🤲
Mwacheni Alieee jamani, mzazi anaumaaaa, haijalishi kafa na umri ganiii, na ukizingatia upendo wa huyu baba Kwa familia yake na hata kwa nchi yake ...huyu kaka ameniliza hata mimi, maumivu ya kumpoteza mzazi nayajuaa... Poleni Sana wanafamilia na watanzania wotee 😭😭🙏
Wanalia Nini Mungu Alimjalia Baba yao Baraka za Ajabu, Alimpa Kibali cha Kukubalika na Kupendwa Dunia Nzima Amempa Maisha Marefu Ya Karibu Miaka 100. Ati Unalia Mwenye Shukurani na Fadhila Angemshukuru Mungu WAACHE UCHURO... Kuna Mama Anakufa Pale Hospitalini Akizaa Mtoto wake wa Kwanza Hy Wakilia Nitawaelewa! TUACHE KUMKUFURU MUNGU. Mimi Sipendi Unafiki Nasema Ukweli
ila nimejifunza kitu kupitia hii msimba kwakweli ukiishii n watu vizuri utakapo ondoka wengii watabaki wasema mazuri yko n hio ndio mwishomwema 😢 Allah amjalie awe miongoni watakao ingia jannatulfirdaus Allahummah Ameen 🤲
Mushukuruni Mungu sana hamna hata haja ya kulia , wenzenu sisi wazee wetu wote walituacha tukiwa wadogo na wala hawakutuachia mtu wala kitu ni majonzi ya kudumu mpaka Leo tunaomboleza , ila nyie mmebarikiwa heshima na Mari na Mzee wenu kaishi myaka mingi sana. 😢
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u...
This is guy is strong, and of course he has a very command of speeches. Mwinyi raised intelligent sons!
Swahili pliz
I agree
Poleni sana yote ni mapenzi ya Mungu na ni njia ya kila mtu amin
Sisi Wakenya tunaendelea kuwaombea. Mungu awape nguvu familia ha Raisi mstaafu Mheshimiwa Mwinyi. Mungu awape nguvu serikali ya Tanzania na ndugu zetu Watanzania ❤
Inna Lillahi Waina Ileyhi Rajiun,
Allah [S.W] ampe kauli thabit ,amuondole adhabu ya moto na ya kaburi, ampe kitabu chake kwa mkono wa kulia na amuweke miongoni mwa waja wema JANNAT FIRDAUS, pia na wazee wetu na families walio tangulia tukutane tena Allah atukutanishe tena kwenye pepo yake
ALLAH ATUPE SUBRA FAMILY NA SISI SOTE KUONDOKEWA NA MZEE WETU , KIONGOZI , MENTOR ,ROLE MODEL, MWALIMU BABU NA BABA YETU MPENDWA
ALLAH AKURAMU.
Mungu alitoa na bwana ametwaa jina la baba lihimidiwe amina
Innalilah waina ilaih Rajiun. Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu. Mwenyezi mungu aiweke roho ya mzee wetu pahala pema inshallah
Kufiwa hakuna ukubwa kiukweli inaumiza Mungu awape subra
Mungu ampuzishe Kwa Amani Mzee wetu Mwinyi 🙏
Allahuma arhamhu waskinahum fil jannah🇰🇪🇰🇪🇰🇪😭😭😭
Allah amsameh,amrehem amjaalie kaburi liwe ni miongoni mwa viwanja vya peponi..Amiin
Allah amfanyie wepes katika safari yake inshaallah
Inaonyesha aliwapenda sana watoto wake, ndio maana wanasikia huzuni. Shukrani Mzee Mwinyi kwa zawadi ya maisha yako kututumikia Watanzania vema na kwa unyenyekevu.
Poleni sana familia ya mzee Mwinyi,,pole Rais wetu(mama Samia).
Allahuma ghfirlahu waarhamhu wamaskanahu filjannah 🤲
Aa Poleni sana ameondoka mtu wa watu na akipenda watu.Allah amuweka mahala pema peponi❤❤❤Frm Kenya
Poleni sana wanafamilia nimeumia sanaa kwa kweli uyu kaka kaniliza kbs 😢😢
Asante,groba
Poleni sana ndugu zetu mungu amrehemu pema peponi apumzike kwa amani mzee wetu .
He raised a very wised mans
Mungu amlaze mahali pema peponi usilie kaka jikaze umeniliza sana
Pole sana kaka Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumuuuuuu sana pamoja na Sisi watanzania wote kwa ujumla pumzika Kwa aman Mzee wetu Babu yetu kipenz yote ni mipango ya Mungu ishallaah Allaah ❤️😭
Poleni sana familia ya Mzee Ally Hassan Mwinyi. Hayati Mzee Mwinyi atakumbikwa daima Kwa uungwana, ukarimu, utu na uzalendo Kwa Taifa lake!
R. I. P Mzee Mwinyi
Allah amrehemu mzee wetu inshaAllah.....
Pole sana mwenyezi mungu awapeni subira na uvumirivu
Kwa wakati huu mgumu
Poleni wanafamilia kwa kuondokea na mzee wenu mpendwa inauma ila kazi ya mungu Haina makosa nmetokwa na machozi pole rais wetu mpendwa kuweni na subra
Amemaliza safari yake.
Tuombe Mungu tuwe wakishua 🙏
Mungu amlaze mahalipema pepon Amin kikubwa kwa Sasa nikumuombeya duwa t tuweni pole 😭😭😭
Allah awatie nguvu wafiwa wote
Has confidence on his speech.. like father like son
Pole sana familia ya mzee wetu🤲🏽🤲🏽
انلله ؤان اليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه واسكنه الفردوس الأعلى
امين 🤲🤲انشاء الله
Poleni Sana Allah Akupeni Moyo Wasubra Hili Niletu Sote Allah Ammpe Malazi Meme Amughufiriye Kilaalilokosea Ndio Mja Allah Amjaalie Qaulthabit Yarabiy Amjaalie Qabriyake Liwe Minalriaadhiljannnah Yarabiy..
Kufiwa usikie kwa jirani tu,omba usifikwe japo ni ngumu😢😢Mungu awape nguvu na faraja familia,ndugu jamaa na watanzania wote kwa ujumla... Innalillah wainalillah rajiun,Mola wetu mtukufu tunakuomba umpokee Mzee wetu umpe jaanat firdaus,nasi tunakuomba utupe neema ya mwisho mwema Allaumah Amiin Rarab🤲
إنا لله وإنا إليه راجعون اللهم اغفر له وارحمه واسكنه فسيح جناتك مع الصديقين والشهداء والصالحين
Innalillah wainaillahim rajiunah Allah amsamehe alipomkosea na ampokee akiwa ameridhia mzee wetu Mwinyi
Poleni sana familia ya babu yetu mzee mwinyi
Peni sana familia ya mzee mwinyi. Apumzike jwa amani. Ni ngumu sana ila Allah ampe pumziko la milele
Mungu Ampe Pumziko la Amani
Innalillah wainna illah rajioun. Allah ampe kaul thabir
Mungu ampumzishe mzee wetu tuta kukumbuka sana I'll mungu amekupenda Zaid sisi tuko nyuma yako baba🙏🙏
Pole swahiba yangu Abdallah
Apumzike kwa Amani Mzee Wetu!
Poleni Sana familia ya Mwinyi Kila nafsi itaonja mauti Mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi
Mungu amlaze mahari pema pepon 😭😭
Poleni Sana Alla awatie nguvu nasitupo pamoja ktk kipind hiki kigum Allah ampe kauli dhabit ktk balizaaa
Mungu Amrehemu Rais wetu he is indeed a role model kwenye kila sector
Allah amsamehe makosayake
Apumzike kwa aman babu yetu kiongozi wetu ameen
R.i.p mzee wetu😢😢😢
Allah amsamehe mzee wetu madhambi yake.
Mm namuelewa.. nimeondokewa na baba yangu mzazi mwaka jana na hadi sasa nahc uchungu mwingi sana😢
Mwacheni Alieee jamani, mzazi anaumaaaa, haijalishi kafa na umri ganiii, na ukizingatia upendo wa huyu baba Kwa familia yake na hata kwa nchi yake ...huyu kaka ameniliza hata mimi, maumivu ya kumpoteza mzazi nayajuaa...
Poleni Sana wanafamilia na watanzania wotee 😭😭🙏
Polen sana wafamilia.Mungu awatie moyo. Pia On green Madktari wa Hospital ya Mzena kwa kazi nzuri.
Poleni sana wana familiy wote na watz kwa ujumla hakika tumeumia pumzika kwa amani babu yetu hakika tutakukumbuka😢😢 msalimie mzee jpm
Allahumma ghafrillahu waskanahu fil janah🤲🤲
Mungu awape subra wakee na watoto wa mzee Ali Mwinyi na awalipe ujira mkubwa.
Hapo anaejua machungu ya kufiwa ni yule mfiwa mwenyewe ila wengine ni kutoa saport tu na kuchekelea na kuchambuana basi
Poleni sana Allah awape subira ishaallah
Wanalia Nini Mungu Alimjalia Baba yao Baraka za Ajabu, Alimpa Kibali cha Kukubalika na Kupendwa Dunia Nzima Amempa Maisha Marefu Ya Karibu Miaka 100. Ati Unalia Mwenye Shukurani na Fadhila Angemshukuru Mungu WAACHE UCHURO... Kuna Mama Anakufa Pale Hospitalini Akizaa Mtoto wake wa Kwanza Hy Wakilia Nitawaelewa! TUACHE KUMKUFURU MUNGU. Mimi Sipendi Unafiki Nasema Ukweli
Ukweli upi sasa hapo? Huna uchungu kwa kuwa sio mzazi wako mzazi ni mzazi hata akiwa na miaka 200 unaumia akifa mana utaumisi upendo wake
Mzazi hana mbadala ata awe na miaka elfu akiondoka utaumia tuu sababu ni mzazi wako mazoeaa
Mpumbavu wewe
Halijakufika likikufika utajua kwann wanalia mbali na neema alizo pewa baba yao
Poleni sana, allah amsamehe
Poleni sana wanafamilia kwa kweli tuna majonzi watanzania😭😭😭😭😭😭😭
Pole familia ya mzee mwinyi,
ila nimejifunza kitu kupitia hii msimba kwakweli ukiishii n watu vizuri utakapo ondoka wengii watabaki wasema mazuri yko n hio ndio mwishomwema 😢 Allah amjalie awe miongoni watakao ingia jannatulfirdaus Allahummah Ameen 🤲
Dah mwenyez ndie anajua yote mzee mwinyi pumzika kwa Aman
Poleni sana
Inalilah wainalilah rajighun kazi yake mungu haina makosa leo kwake kesho kwetu yaarabi tupe njia sahihi nas tupe mwisho mwema
Pumzika Babu yetu
My condolences to the family
Poleni sana, ndio maandiko ya Allah Muhimu subra na Dua kwake ili safari yake iwe nyepesi
Mungu akupe pumziko la milele na mwanga wa milele akuanganzie . Amina 🙏🙏🙏
Inna lillahi wainna ilayhi raajiuun Ee Mwenyezi Mungu mpokee vyema hayati Ali Hassan Mwinyi
Amina pole sana
Pole sana bro
Napenda sana familia ya Mzee mwinyi amnaga habari za viele ele kama familia za watoto wa viongozi wengne 🤝🤝
Mushukuruni Mungu sana hamna hata haja ya kulia , wenzenu sisi wazee wetu wote walituacha tukiwa wadogo na wala hawakutuachia mtu wala kitu ni majonzi ya kudumu mpaka Leo tunaomboleza , ila nyie mmebarikiwa heshima na Mari na Mzee wenu kaishi myaka mingi sana. 😢
Hajalishi kifo kinauma kaka mtu ni Bora kuliko mali inauma
Pole sana wazalendo wa Tanzania
Mungu awatie moyo
Pole sana na msiba
Pole sana😭
Polen sana familia na taifa kwa ujmla
Amina
Kulia sio kutia aibu kaka, just cry huyo ni baba yako mzazi. We understand you
Allah amjaalie kauli thaabit
Inalilah wainah illah rajiun
Rip Mzee wetu Mwinyi 😭😭😭
Allah Akbar 😢😢
Pole sana Abdallah
Pole sana sote tutalejea kwa Allah
Poleni sana Kwa msiba
Poleni sana jamani
Baba ,mama ,mke ,mume mtoto na rafiki kipenzi wanauma sana wakifa
Pole sana kiongozi.
Mungu awatie nguvu katikati kipindi hiki kigumu poleni sana wanafamilia
Pole sana kaka ang😢
FAMILIA NZIMA YA MZEE WETU MH:HAYATI RAIS MWINYI,MUNGU AWAPE FARAJA KUU ,AMIIN
Pole sana
Mpoleni sana😢
Poleni sana Wana familia na Taifa kwa ujumla
انا لله وانا اليه راجعون الله يرحمه ويغفر له ويسكنه فسيح جناته يارب العالمين
ALLAH AWAPE SUBRA.KUONDOKEWA SI MCHEZO.MZAZI HATA AWE NA MIAKA 200 LAKINI AKIONDOKA UTAUMIA.
MZAZI HANA MBADALA UNALOSEMA NI HAKIKA
Kabisaa, eti watu wako muache aende amezeeka, life kisikie kwa jirani jamani kisiingie ndani.