RAIS MWINYI AFUNGUKA USIA ALIOACHIWA NA BABA YAKE MZEE MWINYI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 77

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 9 месяцев назад +3

    Poleni sana Allah awape subira kipindi hili Allah amlinde Rais wetu amlinde na shari za mahasidi ameen

  • @HusseinAbdul-is9xq
    @HusseinAbdul-is9xq 9 месяцев назад

    Pole saana Raisi wetu ALLAH akupeni subra tuko p1 ktk dua ya mzee wetu

  • @yasminjuma9146
    @yasminjuma9146 9 месяцев назад +5

    Pole sana Rais wetu Allah akupe subra na yeye ampe pepo yake ya FIRDOUS amin.. najua unaumia sana lkn kazi ya ALLAH haina makosa.

  • @ibunmurshid3885
    @ibunmurshid3885 9 месяцев назад +9

    Kama Kuna Tunu kaiacha Mzee mwinyi basi Ni kijana wake huyu

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 9 месяцев назад +2

    Kama kuna tunu kaiacha mzee mwinyi basi ni kijana wake huyu.mungu amulinde usiku na mchana.amin.❤

  • @BashirAbdallah-yk9me
    @BashirAbdallah-yk9me 9 месяцев назад +1

    Pole sana Rais wetu Allah akupe subra ampokee Mzee wetu katika kheir..

  • @chemstry409
    @chemstry409 9 месяцев назад +1

    Mwenyezi Mungu awafanyie wepesi katika kipindi hiki kigumu na Mwenyezi Mungu amsamehe madhambi yake na Peponi yakaende kuwa makazi yake...🙏🙏🙏

  • @ndahanisimon6817
    @ndahanisimon6817 9 месяцев назад +5

    Hongera sana mama etu na Rais wetu Mh Samia Suluhu kwa moyo safi na uungwana.

  • @issasalim4635
    @issasalim4635 9 месяцев назад

    Pole rais wetu kipenzi Allah atamlaza pahala pema peponi

  • @jumahaj
    @jumahaj 9 месяцев назад +4

    Pole sana raisi wang Allah akupe subr na amlaze mahali pema pepon

    • @MamuduAziz-h1z
      @MamuduAziz-h1z 9 месяцев назад

      Pole yanini ikiwa Ali mwinyi alibarikiwa kuishi karne moja ni bahati hiyo, mm nafurahia tu mzee wetu mwinyi kapumzika kwa aman alikuwa mtu mwema sana

  • @alversealverse4006
    @alversealverse4006 9 месяцев назад +8

    Allah akufangie wepesi

  • @BakuzaSimon
    @BakuzaSimon 9 месяцев назад +10

    TUNAKUOMBEA RAIS HUSSEIN MWINYI NINAKUPA POLE KUPOTELEWA NA MZEE WETU HAYATI RAIS MSTAFU ALLY HASSAN MWINYI NAFARJIKA KWAMBA UNA HEKIMA KAMA YA MZEE WETU MWINYI AMBAYE ALIKUWA MKWELI ASIYE NA HILA NA WEWE NINAKUONA HIVYO MUNGU AKUTUNZE WEWE NI HAZINA WA TAIFA

    • @jumahamadomar9124
      @jumahamadomar9124 9 месяцев назад +1

      Hakupotelewa alikwemda kwao ambako nasisi tunaenda

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 9 месяцев назад +2

    May Allah SWT make it easy for u

  • @isayamapela2087
    @isayamapela2087 9 месяцев назад +1

    Pole sana mungu akutie guvu

  • @Khadees26
    @Khadees26 9 месяцев назад +2

    Poleni sana Allah awape subra in sha Allah

  • @MudatthirMudiMrwiser
    @MudatthirMudiMrwiser 9 месяцев назад +1

    Kiongoz we2 kua pole sn na mungu akufanikshe kucmama wima kuendelea na majukumu, ucsahau kumuombea dua.

  • @nasreeniteu8877
    @nasreeniteu8877 9 месяцев назад

    😢😢inalilah waina ilaih rajiun sote njia yetu ni moja😢

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 9 месяцев назад +3

    Mungu ampe wepes

  • @princefakamiomupovizurifak5929
    @princefakamiomupovizurifak5929 9 месяцев назад +3

    Mungu atubariki sote maana hizo pesa za wananchi na sie tupate kheri

  • @BernadethaSimba-qi4dw
    @BernadethaSimba-qi4dw 9 месяцев назад

    Nilikuwa nangoja deni kuhusu Usia wa baba yetu kweli alisema azikwe Mkuranga au wazushi wamezua .M/ Mungu amlehemu kipenzi chetu Ameni

  • @jumaahassan7864
    @jumaahassan7864 9 месяцев назад +2

    Mungu akujalie

  • @aqmmsm55
    @aqmmsm55 9 месяцев назад

    Allah akupe subra na amrehemu mzee wetu
    lakini kuna neno nataka nikwambie kabla ya kukwbia nakuomba msamaha kwanza
    job lenyewe ni hio huzuni ulionayo kwa kuondokewa na mzee wako ujuwe na sisi tulipata huzuni nyingi mulipowapiga risasi ndugu zetu bila kosa

  • @franknduhirubusa9873
    @franknduhirubusa9873 9 месяцев назад

    Nakukubali sana rais ,mzee wetu apumuzike salama

  • @ashrafkhamis1051
    @ashrafkhamis1051 9 месяцев назад +1

    Mola amrehemu Mzee Hassan mwinyi

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 9 месяцев назад +1

    Poleni sana familia.

  • @JlmwinukaOnlineTv
    @JlmwinukaOnlineTv 9 месяцев назад +1

    Poleni sana.

  • @KondoFundi-fl5td
    @KondoFundi-fl5td 9 месяцев назад

    Mama Samia mungu akulipe kila la heri

  • @khadijamohd5741
    @khadijamohd5741 9 месяцев назад +1

    Pole sana kipenz chetu

  • @R10_Rajab
    @R10_Rajab 9 месяцев назад +2

    Pole sana Mr President

  • @SalumMohammed-r8n
    @SalumMohammed-r8n 9 месяцев назад +1

    Pole sana mheshimiwa rais

  • @fallymetoo191
    @fallymetoo191 9 месяцев назад +2

    Allahumma bareek inshaallah 🤲

  • @muhammadsalaam1373
    @muhammadsalaam1373 9 месяцев назад

    Mola amrehemu Al Hajji Ali Hassan Mwinyi

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 9 месяцев назад

    Pole sana rais wetu

  • @RamadhanHussein-u6n
    @RamadhanHussein-u6n 9 месяцев назад +1

    Poleni sana wafiwa

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 9 месяцев назад +1

    Maandishi ndio proof.
    maandishi...
    Not blah! blah!

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 9 месяцев назад +5

    Walikuwa hivyooo madactar kwasabu raisi mstafu ingekuwaa mm na wa nyongee wengine tusinge hudumiwa hivyooo

    • @eddydben
      @eddydben 9 месяцев назад

      Huna akili ww..

    • @eddydben
      @eddydben 9 месяцев назад +1

      Jitahidi na ww uwe rahisi na baadae uwe rais mstaaf .

    • @JamilaDaudiKanakoko
      @JamilaDaudiKanakoko 9 месяцев назад

      ​@@eddydbenasante umejibu vema,,,
      Agombee urais

  • @msabahaali758
    @msabahaali758 9 месяцев назад +5

    Msimamizi wa familia kwa sababu una ulwa kuna mali na utajiri vyeo connection na mengineyo alipaswa akuusie kuhusu uadilifu maana jukumu lako ni kubwa mno

    • @kiri5807
      @kiri5807 9 месяцев назад +1

      Yeye mwenyewe hakuwa muadilifu .

  • @driss4957
    @driss4957 9 месяцев назад +2

    Assalaam, Poleni kwa Mziba wa Mzee Wetu Mzee Mwinyi Magandi,Mzee Ruksa".HIVI NI KWELI MAMA SAMIA NI MTOTO WA MZEE RUKSA?,AU UZUSHI TU WA WAPEMBA WAISHIO BARA..MOLA AMPE FIRDAUSI MZEE RUKSA,ALIKUWA RAHIM NA MKARIMU SANA MWENYE HOFU YA MUNGU.

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp 9 месяцев назад +1

    We mtangazaji vp,unamwita mtu hayati lhali keshakufa

  • @meowzna
    @meowzna 9 месяцев назад +1

    Ameen🙏🤲

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 9 месяцев назад +1

    Raisi samia ili tumuelewe ni lazima afanye kama magufuli alivyokuwa akifanya. Magufuli alikuwa sio m'baguzi na ndio sababu aliwachukia sana wezi. Marehemu mzee mwinyi alimkubali sana jembe magufuli. Mzee Mwinyi alinkubali JPM kwa dhati kabisa na sio kinafki kama wengine.

  • @MOHDMOHD-mp1tg
    @MOHDMOHD-mp1tg 9 месяцев назад +1

    Pole sana kiongoz

  • @MasturaMohammed-l5x
    @MasturaMohammed-l5x 9 месяцев назад +2

    Habari ya mzee kwenda kuzikwa mkuranga mbona hujaeemw

    • @humoudiddi1397
      @humoudiddi1397 9 месяцев назад +1

      Mbona nyinyi mumekalia roho mbovu tu wewe kwani zanzibar ni peponi mbona tunaroho mbaya kiasi hichi acheni izo habari tubadilikeni

  • @noelmusa3502
    @noelmusa3502 9 месяцев назад +2

    Walimuhudumia coz yy alikuwa rais mstafu ingekuwa kapuku mm weeee wasingekesha

  • @mariammmbaga976
    @mariammmbaga976 9 месяцев назад +1

    Alhamdulillah

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 9 месяцев назад +1

    Royal family always V.I.P

  • @ShabaniSudi-d1x
    @ShabaniSudi-d1x 9 месяцев назад +3

    Ni jambo jema raisi samia kugharamia matibabu na sasa dua ya marehemu mzee mwinyi. Mungu akujaze kheri. Lakini kuhusu matibabu mbona raisi samia hatumuoni kwa raia wa kawaida tunamuona sana akijitolea kwa viongozi tu!! Marehemu magufuli aliteremka kwa sana huku chini kwasababu aliamini huku chini ndiko kunahitajika msaada sana. Mnakumbuka JPM alichofanya muhimbili alipokuta wagonjwa wanalala chini sakafuni?

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani807 9 месяцев назад +1

    Kwn mlkua na shida gan yakupewa msaada?? Iz ni matumiz mabaya ya pesa za serkali familia inakila kitu kwnn rais atumie pesa kumpleka nje kwnn familia mna hela msitumie kumpeleka, pia mzee mwinyi hakua muhujum Mungu ampumzishe pema

    • @RamadhaniLukambuzi
      @RamadhaniLukambuzi 9 месяцев назад

      Acha kukurupuka Wewe,Mzee Mwinyi ni Rais wa Jamuhuri ya Tz msitaafu na Rais wa Zanzibar mstaafu,kwani katiba inasemaje kuhusu huduma mbalimbali kwa Viongozi wastaafu wa Kitaifa inasemaje?Hebu soma katiba kisha urudi hapa ucoment na anayewajibika kuwapa huduma hao Wazee ni Rais aliyeko madarakani ambaye ni Mama Samia nae akistaafu atahufumiwa na Rais atakayekuwepo madarakani ni sheria kikatiba!

    • @gustavompemba1781
      @gustavompemba1781 9 месяцев назад +1

      Unacho kiongea kinaonesha udogo wa akili yako

    • @ramadhanishabani807
      @ramadhanishabani807 9 месяцев назад

      @@gustavompemba1781 wee akili yako km ni kubwa unazan zipo familia maskn ngapi watu wanaokufa kwa kukosa matibabu, tz wajinga wengi ndio wanajiona wanaakl nyng, hio ndio shda ya tz, wajnga wanajiona wana akili

  • @abdulhakimjuma9112
    @abdulhakimjuma9112 9 месяцев назад +2

    Mkiumwa nyie kimbilieni ulaya raia wenu wengine hata kula hawana hawana pakukaa leo hata majumba viongozi wa nchi ndio wanapeana wakati mnamiliki majumba kibao hii si haki na kwa allah mtakwenda kujibu

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 9 месяцев назад

      Chuki na roho mbaya haijawahi kumuwacha Balahau

  • @remigiushamba
    @remigiushamba 9 месяцев назад +1

    #Wosia

  • @jumahamadomar9124
    @jumahamadomar9124 9 месяцев назад +1

    Hata wewe unasema raisi wetu au wewe kumbe ni gavanor tu

    • @Kidotii
      @Kidotii 9 месяцев назад

      Ndio mama Samia ni Rais wa Jamuhuri ya muungano ni Rais wake pia

    • @ahmedhamis
      @ahmedhamis 9 месяцев назад

      Tanzania 🇹🇿 ni kubwa kuliko Zanzibar huelewi Nini Samia ni Rais wa jamhuri ya muungano

    • @rosetreffert4179
      @rosetreffert4179 9 месяцев назад

      Kuna watu wana maswali ya kijinga hajitambui mpaka sasa 😂

    • @R10_Rajab
      @R10_Rajab 9 месяцев назад

      Chuki tu na roho mbaya dah Mabalahau hata mumchukie vipi huyo Allah tayari amembariki wacheni roho ya kwanini dah

  • @AbdulHakimu-ee1td
    @AbdulHakimu-ee1td 9 месяцев назад +5

    sasa huo wasia sisi unatuhusu nni si akae tu na familia yake wayaonge ahhhh...miyeyusho tu

    • @FatmaHalfan-w3l
      @FatmaHalfan-w3l 9 месяцев назад +2

      Acha roho mbaya makasiriko ya nn

    • @AliJussa
      @AliJussa 9 месяцев назад +1

      Sio vibaya hisia zako kushare na wenzio, ili mwenye na uzowefu na jambo la kufiwa na mzazi ampe ushauri mzuri, anatoa shukurani

    • @talibkarim644
      @talibkarim644 9 месяцев назад +1

      Yaani ww choko kweli apo pia unataka kuweka jealous acha roho mbaya yakishamba ww alafu ndio anajiita muislamu na jina kuitwa Abdul Hakimu
      Wewe muislamu gani mwenye roho yakishenzi.

    • @mohdkhamis2914
      @mohdkhamis2914 9 месяцев назад +2

      Naww umefata nini na una comment kitu gani wakati msiba haukuhusu

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 9 месяцев назад +1

      ​@@mohdkhamis2914umenena😂😂😂Kuna majitu mashenzi sana