AFISA MTENDAJI Amnyonga MKEWE Mpaka KUFA/BABA na KAKA wa MAREHEMU WASIMULIA/ "MUME alikuwa MLEVI"...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 351

  • @RemigiusDomitian
    @RemigiusDomitian Месяц назад +2

    Jifunze kutoa salaam ya heshima,wewe ni kioo Cha jamii.Ahsante.

  • @Chocococoliam
    @Chocococoliam 2 месяца назад +19

    Wanawake tunakaa na mambo mengi sana moyoni kwenye ndoa but when it’s come to a toxic relationship pls leave…run awaay
    Rest in peace Diana…fly high babes
    My deepest condolences to her family

    • @saudalilingani9264
      @saudalilingani9264 2 месяца назад

      Huko ni kuonyesha anahitaji ishu ama yupo tayari kuwa na huyo baba

  • @MagrethThomas-f4o
    @MagrethThomas-f4o 2 месяца назад +5

    Kichaa huwa haponi kwa asilimia 💯.Mungu awatie nguvu familia kwa wakati mgumu huu wanaopitia.Inaumaa sana

  • @rehemamwasa9657
    @rehemamwasa9657 2 месяца назад +13

    Jamani mwanamke mwenzangu ukiona ndoa inakushinda kimbiaaaa, khaa😭😭😭😭

  • @vero57
    @vero57 2 месяца назад +20

    Hii mambo ya kuvumilia ndoa sio vizuri, poleni sana wafiwa

  • @AnitaApolinary
    @AnitaApolinary 2 месяца назад +7

    Unajaribu kuvumilia ndoa na madhaifu ya mwenzio kumbe yy ana mpango wa kukuua😢jaman sasa hapa tunajifunza kwmb tuache kuwavumilia wanaume maana😢😢😢😢😢

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 2 месяца назад +15

    Wanawake wote. POLENI sana. Mnavumilia mengi sana. Mkiamua kuacha ndoa. Kutokana na yanayo wakuta ,Jamii Ina walaumu. , Mnapovumilia , mnapatwa na kifo. Duu jamani wanawake wana teseka sana Wanaume. tutambue kuwa huyo mkeo anapendwa na wazazi mno kuliko mali ulioltoa. Kama umemchoka mrudishe kwao kuliko kumnyanyasa

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 2 месяца назад +12

    Hizi roho za mauti zikome kwa Jina la YESU, fikiri kabla ya kutenda ukisha ua utaishia jela umepata nini umeleta hasat kwa familia ulioua Mtoto WA mwenzako Nawe pia jeeeeela faida gani mpingeni sHeTani nae atawakimbia

  • @rahimchardluck
    @rahimchardluck 2 месяца назад +4

    Kwa mtu anaejua maisha halisi ya hapa duniani unaweza shangaa kwa hiki kitendo ila lazima ifikie hatua wanaume wawe na natabia kama za kike sahizi uiili kuokoa haya matukio.wanaume wanapitia magumu sana kwenye ndoa zao ni vile tu si rahisi kuzungumzika kwenye jamii na jamii haiko tayari kuielewa upande wa wanaume.sivizuri jambo lakuua ila kuna kitu ndani yake.ulevi si iwe kigezo chakusema kisa mlevi ndio maana kaua.wangapi wanalewa na kama ulevi shida si serikaliizuie utengenezaji na uingizaji wa pombe!ishu ni mambo yakifamilia

  • @happytimes9747
    @happytimes9747 2 месяца назад +8

    Mwanamke mzuri kweli, jameni hii mambo inaumiza sana mbona bila huruma unyonge mtu ambaye mumekua na yeye si muachane tu kila mtu atafute maisha yake😢😢😢poleni sana family

    • @محمدالقايد-د6ب
      @محمدالقايد-د6ب 2 месяца назад

      Umeonae jamanii

    • @SimonMwita-k8s
      @SimonMwita-k8s 19 дней назад

      Poleni.ila niligundua mwanamke sura nzuri ni hatari afadhali sura mbaya afadhali.sura nzuri utashindia mukikoseana na wanaume

  • @JumaMartin-e4v
    @JumaMartin-e4v 2 месяца назад +2

    Mimi niwaombe wanawake wote mnapo kuwa na changamoto ktk ndoa zenu msifiche na c vema kukaakimya.polen wafiwa ndugu na jamaa na mungu aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi insha Allah.

  • @richardbenny156
    @richardbenny156 2 месяца назад +6

    Nawaambia Wanawake. ogopeni sana mwanaume mlevi. Atakuchekea leo kesho Atakuua. Ni sawa unampenda ila Atakuua na kukatisha Maono yako. Nawashauri kaaeni mbali na walevi na wanywa pombe. Muda wowote anakuua vizuri.

    • @johnnkya1824
      @johnnkya1824 2 месяца назад

      Pombe ikifikia kuwa sababu ya kuuwa sasa hiyo inakuwa siyo pombe...kumbe kuna na shida ya afya ya akili....

    • @magrethpaul2207
      @magrethpaul2207 2 месяца назад

      Kiukweli Hawa viumbe nihatari MWENYEZI MUNGU kawapa nguvu ya kutulinda wanaitumia kutumaliza😢

  • @mariamkikula1614
    @mariamkikula1614 2 месяца назад +146

    Waandishi wa habari acheni hii Salamu ya heshima yako.mzee kama huyo unashindwa kumuamkia shikamoo.c umri wa mzazi wako huyo.mnatuharibia vijana na hii Salamu yenu ya kihuni

    • @sir_ENOCKMACHA
      @sir_ENOCKMACHA 2 месяца назад +13

      Sana hovyo kabisa

    • @saraallen6341
      @saraallen6341 2 месяца назад +16

      Kwanza heshima yako ndo nn jamani mimi huwa sielewi

    • @mauasylla5024
      @mauasylla5024 2 месяца назад +14

      Najiuliza hii " heshima yako" ilianzia wapi? Ni ukosefu wa adabu. Inanikera sana.

    • @SALEHSALEH-lk5jr
      @SALEHSALEH-lk5jr 2 месяца назад +7

      Kuna wazee wengine hata ukiwaamkia hawakuitikii na wengine huku jibu "poa". Sasa wazee kama hawa utawasalimia kwa salamu gani?

    • @twiseghekisilu8845
      @twiseghekisilu8845 2 месяца назад +5

      Wapumbavu Sana sijui anaweza kumuambia baba yake mzazi heshima yako

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 Месяц назад +2

    Ndoa ikikushinda kimbia 😭😭

  • @hyasintapantaleo1102
    @hyasintapantaleo1102 2 месяца назад +2

    Davis pole kipenzi. Jamani Diana Mungu akulaze mahali pema

  • @JosephineMegora
    @JosephineMegora 2 месяца назад +1

    Nyumba nzuri maisha safi shida nin jamani mkono wa mtu huo

  • @agnessokumu58
    @agnessokumu58 2 месяца назад +3

    Ni maumivu makubwa kwa familia Mungu awatie nguvu na sheria itatenda haki

  • @MaryamAziz-q7t
    @MaryamAziz-q7t 2 месяца назад +21

    Kweli ni salam ya kihuni saana heshima yko maana yke nin

    • @DpN-rk8xz
      @DpN-rk8xz 2 месяца назад

      JAMANI poleni famiy RIP Diana hii kweli kila siku kunamauaji watu wamekuwa vipi

    • @valenakomba7686
      @valenakomba7686 2 месяца назад

      Hivi wewe unajuwa maana ya marahaba kwa waarabu wenyewe? . Marahaba maana yake KARIBU sasa hiyo ndo nini?

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 2 месяца назад

      ​@@valenakomba7686kwan sisi ni waarabu 😂😂😂we si mngoni kabisa

    • @ljk4006
      @ljk4006 2 месяца назад

      ​@@valenakomba7686😂😂tubaki tu na salamu zetu za kibantu

    • @Migrationdesanimaux
      @Migrationdesanimaux 2 месяца назад

      😂​@@nancyg8664

  • @KULWAMAIGE
    @KULWAMAIGE 2 месяца назад +3

    Familia mnaongea vzr sna mnaofu ya mungu

  • @malakisilas6523
    @malakisilas6523 2 месяца назад +1

    Pole sana watu wabaya hawana utu Wala dini,ahukumiwe naye

  • @gracemacha9357
    @gracemacha9357 Месяц назад +1

    Wanawake tuache kuvumilia vipimo vya Wanaume 😭😭😭

  • @LatifaHashim-rn1ip
    @LatifaHashim-rn1ip 2 месяца назад +2

    Duh wanaume msijikaze sana bwana wote tunaumia Baba Pole

  • @NixonJohnson-zn8nk
    @NixonJohnson-zn8nk 2 месяца назад +2

    Kero ni cku Moja tu.. Sms 1 inaua na kuishi na chizi ni uchizi pia.

  • @JamilaKelota
    @JamilaKelota 2 месяца назад +3

    Mpuuzi sana huyo mtangazaji umeshindwa nn kumuamkia

  • @putilegamagama6049
    @putilegamagama6049 2 месяца назад +20

    SALAMU GANI HIYO KWA MZEE HAPO. DADA ETU

  • @PriscaMnyumba-xw8oc
    @PriscaMnyumba-xw8oc 2 месяца назад +1

    Mungu atusaidiee sana. Bilaa mungu sisi hatuweziii kitu

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 2 месяца назад +6

    Poleni sana familia, imetuumiza wengi, ukatili wa hali ya juu, Mtangazaji nenda kahoji wazazi wa mwanaume pengine hili sio tukio la kwanza kuua

    • @MauaDumba
      @MauaDumba 2 месяца назад +2

      Sasa unadhani watasema hata kama tumio si la kwanza

    • @mariej6962
      @mariej6962 2 месяца назад

      Kama ndugu tu wa mke wanaficha matatizo yake ya akili unadhani utapata chochote kwa wazazi wake?

  • @mohamedrajabu9055
    @mohamedrajabu9055 Месяц назад

    Alikuwa mke bora lkn mume hakuna bora

  • @FelistaMichael-mp2jm
    @FelistaMichael-mp2jm 2 месяца назад +1

    Pole sana

  • @AnnaStazia-i6o
    @AnnaStazia-i6o 29 дней назад

    Kiukweli wanawake tuogopeni sana wanaume

  • @naomilumolwa7864
    @naomilumolwa7864 2 месяца назад +1

    Mungu tupe uvumilivu, ktk makasiliko yanayotokea ktk familia, tusichukue maamuzi magumu.

    • @VeronicaMedard
      @VeronicaMedard 24 дня назад +1

      Duh inauma sana😢😮5

    • @VeronicaMedard
      @VeronicaMedard 24 дня назад +1

      Sas sjui amepata faida gan.😢😢ila mungu amsamehe😢😢😢

  • @GadssonLutaha
    @GadssonLutaha 2 месяца назад +2

    Tobaah wanawake sisi jaman au hakujua kama anachizkaga? Maana had anachet kabisa? ama kwel kupenda upofu jamaniiiii dah! Mtu akpata uchz anaweza fanya lolote jaman nahuyo baadae...polen sana familia😭

  • @SuzanFelix-mo8fq
    @SuzanFelix-mo8fq Месяц назад

    Heshima yako na wew pia mwandishi ameshindwa kujibu 😂

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 2 месяца назад +3

    Aliongea doctor (PhD). Baadhi ya wasichana ambao waliharibiwa tabia kwa kujua mambo ya ndoa wangali wadogo. ,,Wasichana wa namna hiyo ni vigumu sana kusema SHIKAMOO

  • @DaheerK
    @DaheerK 2 месяца назад +13

    Mtoto akishaolewa mkaletewa changamoto yoyote msimfarij mtoto mtumie sheria mrudisheni nyumban jaman 😢😢

  • @stellamongi8811
    @stellamongi8811 Месяц назад

    Alafu watu wakiachana mnaongea mtu ukiona una aman ya roho na mpenz wako sepa dada yangu mzuri umemuuwa du

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 Месяц назад

    Jaman ikisha fikia hatua watu hawaelewan juwa upendo umeisha ukingangana una uliwa binadamu tumebadilika hata utende jema lipi utalipwa baya tuu

  • @CharlesGida
    @CharlesGida Месяц назад

    Ndoa hailszimwishi wa awake wenzangu yakikufika kooni beba vilivyo vyepes sepa nyumbani haukuuwa

  • @Marzzzzzz20
    @Marzzzzzz20 2 месяца назад +3

    Aisee poleni sana Familia

  • @RevinaVedasto
    @RevinaVedasto Месяц назад

    Jamani wanaume jalibu kuwa na mungu ndani ya moyo mbona wanawake twawavumilia nyie family poleni

  • @minaelnathanael1846
    @minaelnathanael1846 2 месяца назад +1

    Shikamoo baba nadhani inatosha. Halafu Pole sana kwa msiba baba yangu. Inatosha kutafsiriwa kama heshima

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 2 месяца назад +10

    Hicho cheo cha Afisa utendaji ni laana. Wengi wanafanyaga mambo ya ajabu sana! Si ndio wanaosimamia dhuluma na kuhakikisha zinashinda? Mungu turehemu 😢😢

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 2 месяца назад +2

    Pole sana kwa wafiwa 💔😭

  • @محمدالقايد-د6ب
    @محمدالقايد-د6ب 2 месяца назад

    Ukiona ndoa vp bora tuu uondoke jamanii 😭😭poleni wafiwa

  • @claratemba44
    @claratemba44 2 месяца назад +22

    Wewe Dada amkia shikamoo baba

    • @Amospius-r3y
      @Amospius-r3y 2 месяца назад

      tena ni mjuu wake hata wa nne! lakini kuna wazee wengine pia hawataki shikamoo,tusimzonge sana huyu dada pengine yuko sawa!

    • @valenakomba7686
      @valenakomba7686 2 месяца назад

      Kwani shikamoo ina faida gani?. Au inmaana gani? . Sisi watu wa mikoani hatunaga shikamoo. Badala yake tuigage magoti kwa watu wazima.

    • @saudalilingani9264
      @saudalilingani9264 2 месяца назад

      Huyu inaonyesha anakazi nyingine ya kuhitaji mahusiano na wazee, hn ht haiyya yaani looh

    • @drp3721
      @drp3721 2 месяца назад

      Hajui kumpatia Mzee heshima yake. Maadili hakuna hapa, anakimbilia mahajiano

  • @adolphmshiu7410
    @adolphmshiu7410 Месяц назад

    Muuaji sio huyo mume miungu mlio nayo inayo mwalilisha muuaji mkuu shetani

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 Месяц назад

    Heshima yakoo

  • @tumainichanya3268
    @tumainichanya3268 2 месяца назад

    Mtangazaji unaongea vzr Ila kama mtoto wa kitanzania ongeza hekima mkubwa kwako msalimie Kwa heshima tumefundiahwa neno "shikamoo" Kwa wakubwa ulitumia nafikili itapendenza zaidi.

  • @lucymacha1853
    @lucymacha1853 2 месяца назад +1

    Huyu kaka alikua na Pepo ndio maana hakukimbia du! Poleni wafiwa

  • @fatumarajab3139
    @fatumarajab3139 2 месяца назад

    Watangazaji mnakera et heshima yako Ndio nini hiyo Kwani ukimsalimia tu vizuri mnapungukiwa nini

  • @magdalenalaban8895
    @magdalenalaban8895 2 месяца назад +2

    Kumbe anacheti Cha ugonjwa wa matatizo ya Afya ya akili hapo hakuna kesi

  • @sizamazongera5610
    @sizamazongera5610 2 месяца назад +11

    Nyoyo zimekuwa katili kuua inaonekana kawaida

  • @KhadijamussaMachapat
    @KhadijamussaMachapat 2 месяца назад

    Kazi kweli kweli maana 😭🙏🤝🙏

  • @estachengula3902
    @estachengula3902 2 месяца назад +1

    Pole sana familia inasikitisha hata vyeo tuwapange wenye akili timamu

  • @DianaLweyemamu
    @DianaLweyemamu 2 месяца назад +3

    Familia nyingi zinaumizwa Sana ila faarifu wanaachiliwa sijui kwanini mtu anafungwa miaka mitatu Kama ailiuwa mbuzi serikari iangaie kwa kina waarifu Kama hao wachukuliwe hatua kubwa tunaumia kupoteza wapendwa😭😭😭

    • @mustafakimalio9129
      @mustafakimalio9129 2 месяца назад +1

      Hawa ni zaidi ya wabakaji iweje wasiozee jela?

  • @LaulentLameck
    @LaulentLameck 2 месяца назад +5

    Watu tumekuwa waajab badala tukemee mauaji watu mbajadili salami
    Kwani heshima yako ni kihuni

  • @hidayaswai3119
    @hidayaswai3119 2 месяца назад +1

    Duuuh pole kaka kwa kumpoteza pacha

  • @fredkweka-i4i
    @fredkweka-i4i 2 месяца назад +1

    Tatizo ndoa nyingi zina Siri .na ujinga wanaofundishwa kwenye ndoa ni uvumilivu.ndomana yanatokea haya.

  • @TeklaNdekeja
    @TeklaNdekeja 2 месяца назад +5

    Aisee ungonjwa ulipanda halikuwa kusundi lake nadio maana ata hakukimbia😭😭 poleni familia

  • @jamalkishangu
    @jamalkishangu 2 месяца назад

    Pombe ni mama wa maasi na maafa. Ni muhimu jamii kujiepusha na pombe ya aina yeyote, ule usimi kwamba kunywa kidogo hauna maana yeyote.

  • @BahatiSaid-cm7nc
    @BahatiSaid-cm7nc 2 месяца назад

    Tuna shida sana ya afya ya akili, dalili huwa zinajitokeza lakini sielewi kwamba hatujui tunatakiwa kufanya nini au sijui nisemeje jamani…. Soo sad
    Tusivumilie vitu ambavyo sio vya kawaida katika mahusiano

  • @NdeshaPaul-uz9bw
    @NdeshaPaul-uz9bw 2 месяца назад

    Shikamoo maana yake "nashuka miguu Yako mara Saba"

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 месяца назад +13

    Waandishi ndo mnasababisha maadili yakose kwenye jamii, salam gani hiyo?

    • @dorcasassenga2005
      @dorcasassenga2005 2 месяца назад

      Ni kweli . Wakati mwingine tunawalaumu Watoto kuwa hawana nidhamu na tunawalaumu Watoto,kumbe sisi ndo tumewajengea misingi mibovu.

    • @Aisha-t2q
      @Aisha-t2q 2 месяца назад

      😂😂😂😂

  • @ernestsr.3503
    @ernestsr.3503 2 месяца назад

    Diana hugho jmn classmate wangu😓😭😭

  • @joycekalago532
    @joycekalago532 2 месяца назад

    Heshima yako nawe pia😂😂😂sasa sijui ni kabila gan husalimiana hiv

  • @bobg611
    @bobg611 2 месяца назад

    Huyu marehrmu anakaa allikuwa nna roho safi sana kwaa mrefu mme wake!!!

  • @GraciuosGeofrey
    @GraciuosGeofrey 2 месяца назад

    Mfanyakazi wa Tilisho jamani 😢😢😢

  • @MaliamuMaliamsaidi
    @MaliamuMaliamsaidi Месяц назад

    Kwa kweli wanaume wanaroho mbya

  • @dayanaheliasi7769
    @dayanaheliasi7769 2 месяца назад +1

    R,I,p wajina duuuu nimeumia et anajibu kabisa hujui kama amekufa

  • @GraceMalley-ly2xn
    @GraceMalley-ly2xn 2 месяца назад

    Mungu tusaidie sana sana sana

  • @AnitaApolinary
    @AnitaApolinary 2 месяца назад

    Pombe,pombe, pombe 😭😭😭

  • @LaulentLameck
    @LaulentLameck 2 месяца назад +4

    Watu mnajadili salam

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 2 месяца назад +9

    Kwa nini Diana aliolewa na mtu mwenye kichaa!!!!! Ni hatari sana kuishi na mt mwenye changamoto ya akili!!!! Kuua ni kitu cha kawaida sana. Duh!!! Pole sana Diana umewahishwa sana. Umri wa miaka 30s ndiyo maisha yanaanza!!!! Ila huyu kaka muuaji apelekwe hospitali na asitoke kabisa. Anaweza kuua mtu mwingine.

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 2 месяца назад

      @@summanelson5523 Kuna familia wanajua kabisa mtu wao sio mzima wanakauka kimya bila kusema ukweli tukio likishatokea wanaona hata aibu kusogelea ndugu za marehemu

    • @reachglobal9939
      @reachglobal9939 2 месяца назад

      Utakua umalaya ndyo maana jamaa alianza kupotezea mawazoachafu ya wanawake wengi Malaya wanazini nje ya ndoa wavuna matunda Yao

  • @Nyaboke-123
    @Nyaboke-123 2 месяца назад

    Shetani huyo mwanaume. May he never know peace in his life.

  • @LidyaSilaa
    @LidyaSilaa 2 месяца назад +2

    Haya mchaga kauliwa ona mnavyosemaga wabaya wauaji sasa hili mnasemaje.neumia sana mchaga mwenzangu kuuwawa nimeumia sana dah

  • @sabinadohho9559
    @sabinadohho9559 2 месяца назад

    Uyo mtendaji itakuwa kuna roho ya kishetani ilimpitia,RIP Diana

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 2 месяца назад +4

    Mabinti jifunzeni kunywa pombe kupitiliza kwa mwanaume yeyote ni RED FLAG kubwa sana,usidhani akishakuoa ataacha,kuweni makini mnapochagua wachumba,acheni kusema Love is blind,ukiona mtu abusive mkimbie mapema kama Mungu amepanga uolewe utaolewa tu.
    R.I.P dada yetu,poleni sana familia

  • @paulabelleghe451
    @paulabelleghe451 2 месяца назад +1

    mbona hatuoni picha ya mtuhumiwa

  • @NeemaSamson-ti8pc
    @NeemaSamson-ti8pc 2 месяца назад

    Mi kwa kifupi natoa shikamoo kwa mzazi wangu na ndugu zangu walionizidi umri basi, wengini sitoi shikamoo na wala sipokei

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 2 месяца назад +1

    Pombe c chai,MUACHEGE eeh!

  • @selemanimkwichu782
    @selemanimkwichu782 2 месяца назад +1

    Ukatili sana

  • @m.mmarckus6298
    @m.mmarckus6298 2 месяца назад

    Hii dunia kwasasa binadamu tumekuwaje jamni hatuna woga kabisa kumwaga damu zawengine😢

  • @aminiyasini7271
    @aminiyasini7271 2 месяца назад

    Eti heshima yako upuuzi mtupu 😢😢

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 месяца назад +5

    Hii nyumba bila kuombewa kuishi itakua ngumu

  • @batulymsangi926
    @batulymsangi926 2 месяца назад

    Natamani baba angu nae angekuwepo yan mzee anasomesha mwanae mpaka anapata kaz bank alaf mtu anamuuwa jamni😢😢

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 2 месяца назад

    RIP DADA DIANA....POLENI SANA FAMILIA YOTE YA DIANA.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 2 месяца назад +1

    HAWA WAZEE WENGINE WANAYANFANYA HAYA MAUUAJI KWA MAMBO YA USHILIKINA KUENDELEA NA HUONGOZI WA UTENDAJI WA KATA????😢😢😢

  • @JosephineMegora
    @JosephineMegora 2 месяца назад

    Mim nisingeweza kuishi na mtu anacheti cha milembe nisingeweza

  • @pendomariki
    @pendomariki 2 месяца назад

    Mrembo jaman 😢😢😢

  • @ninayamat8213
    @ninayamat8213 2 месяца назад

    😢😢😢😢hivi hili pepo la wanandoa kuuana nini lakn kwa style hii tutaolewa kweli

  • @Asma-u4z7b
    @Asma-u4z7b 2 месяца назад

    Uyo Baba aliumwa akili ndio maana hakukimbia❤

    • @mossyfimbo3577
      @mossyfimbo3577 2 месяца назад

      Eee Mwenyeezimungu uzidi wanusuru watoto wetu na aibu za Dunia

  • @johnmponguliana2331
    @johnmponguliana2331 2 месяца назад

    kichaa haponi huwa anapata nafuu tu kumbe cheti alikua nacho sasa Dada alikubalije kuishi na kichaa jamani

  • @Elisha-zr8ms
    @Elisha-zr8ms 2 месяца назад

    Adui analogue inuka kila njia inakuwa safi machini pa mtu pirenisana jamani

  • @mrmarineboardtz
    @mrmarineboardtz 2 месяца назад +2

    Mmh mbaya sana😢

  • @andrewalex8272
    @andrewalex8272 2 месяца назад +1

    Aina Ya Waandishi wa Habar wa hiv ni hvyo Ma Inatakiw wawe na Heshima na Adabu et Heshima Yako K kabsaaa

  • @modesterchristophermodchri4233
    @modesterchristophermodchri4233 2 месяца назад

    Yani tuna vumilia kwa jili ya toto lakini Bado tuna waacha Mme ana kuita mavi mbwa takataka nafikili ndiyo ninacho subili Mimi wana niuma wa totowangu sana

  • @EricTrillz
    @EricTrillz 2 месяца назад +1

    Afya ya akili.Matibabu ni muhimu.

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 2 месяца назад

    Huyo ana mental disorder hawez kufugwa sanasana atapelekwa kama mirembe akakae huku apate dawa na counseling tu

  • @christianmwabukusi8132
    @christianmwabukusi8132 2 месяца назад

    Watu wapimwe afya ya akili kabla ya ndoa...

  • @MarthaKidirya
    @MarthaKidirya 2 месяца назад

    Polen jaman kama ilijulikana anamatatizo ya afya ya akili kwann walimuosha Binti yao