Watenda haki kabisa I love that and everyone is appreciating this., seriouse speaking jack hakupaswa kuchua vyote alitakiwa Kuwa mpole apewe kias weee .. hajui utajili ulikujaje anyway Mungu awaongozee watoto wa marehemu
Kweli kabisa huyo dada ni muuaji jaman hmmm hiv akisema Naombeni nyumba moja au mbili na kampuni yoyote Ile Mali zingin wachukue ndg atapangukiwa na nn tamaa inamsumbua Sana huyu mkigoma mwenzg khaaa
MENGI KASOTA MWENYEWE BWANA NA NDO MAANA AKUGAWANA MALI NA MKEWE ILA ALIAMBIWA AMLIPE PESA KWA AJILI Y A WANAE MENGI KA STRAGO YEYE MWENYEWE HATA KTK KTABU CHAKE CJAONA AKIANDIKA ETI MKWE WA KWANZA WALI FANIKIWA WOTE
Yaan hapo ndio pakujifunza wanaume weng maana wakisha Pata Mali waona wake waliona wanawabana wanawataka watt, mwanamke kama jack hawez kuishi na yule babu mwenye Mapesa, yake kwa miugomvi sababu anajua anachokitaka
Wanaume hawajufunzi,wapo wanaendelea na hayohayo kwa tamaa za kupenda dogodogo Wazee wenzangu ingieni RUclips msikilize wimbo wa Tuncut almas " mapenzi ya sasa"
@@RuzoOwzy mimi ni mke mkubwa Hawa wanaokuja kukuta ndoa zetu zimeimarika halafu mfano Mme wangu afe wanangu wakose urithi wa baba yao uchukuliwe na mke wa Pili na wanae unajua bibilia haitambui mitala inaita wanawake Hawa wageni yeye akubali na watoto wa mke mkubwa wapate haki ya baba yao after all Wakati anaolewa kaukuta utajiri huu means mke mkubwa na wanae wana haki zaidi mimi nasimama upande wa wAke wakubwa si vinginevyo najua maumivu ya Hawa wanawake wanaokuta ndoa then wanataka kuolewa
Ila jmn Mungu wetu yupo hapa Dunia tunapita tu laiti watu Tungefunguliwa MACHO HAYA NA KUJUA KWAMBA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA DHULUMA,hakuna atakayeishi milele na Dhuluma haijamuacha MTU SALAMA NA MUNGU YUPO,JASHO LA MTU HALILIWI BURE
Yaani Huyo Jacqueline ameingilia ndoa amedumu miaka minne tu na Mengi anadai urith sio haki apewe, mke wandoa ameanza maisha na Mengi tangu ujanani ndio anastahili, jaqui apewe tu banda alelee watoto basi
Huyo ni shetani akizidi anataka kukudhalilisha ndicho kilichomkuta, mwisho wa ubaya aibu, anataka kufanya hata watoto wake wakose haki zao kwa upuuzi wake
@@mtzhalisi2232 kwa hiyo ulitaka nilie Lofa wee umeona vyema alivyo fanya huyo dada yako wa kumdandia akusanye Mali zote awe nazo yeye, 😏😏😏nyie ndio wanaume wa pumbavu nyie mnatafuta Mali kwa ajili ya wanawake na sio familia zenu au watt wenu, mnakufa hamna mnachowaachia watt wenu kisa tamaa
@@mtzhalisi2232 Lofa kweli we Ata masikin Ana mgawaia mtt wake milas je kwa huyo bilionea kwa nini watt wake wasipate peleka ujinga wako mbele huko😏😏😏😏😏👌
Wanawake cc ni madelila alimbeleza akamshika shika baba wa watu akamwimbia nyimbo tamu mpaka mzee katiririka wosia wa ajabu huku akibembelezwa kama samsoni duh madelila tunaishi nayo humu
On point, c angejifanya kahaba halafu Ucku naondoka na chake, Sasa yeye kajimilikisha kabisa Sasa ona yaliyomtokea, ila bado mdogo na mrembo akitaka anaolewa tena, Ila angefuta hilo jina lapili maana c stshili yake tena.. Ila pole jack
Wasichana muolewe na mwanaume ambaye hana mali muanze wote kutafuta na kujenga maisha yenu .Kuolewa na mwanaume mwenye mali na amekuzidi umri haitakusaidia lolote utanyanyaswa na watoto wake na ndugu utaisha maisha ya siyo na amani .Maana hizo mali wapo walikuwa mbele yako.Halafu yakukute afariki utanyanyaswa sana.Wanawake jifunzeni kutafuta mali zenu .
Uamuzi huo kwa kweli hawahusiki ndugu, na wosia huo wake. Marehemu MENGI. Watoto na mjane wapewe haki. Hii yote inafanyika kwa sababu za kimakini na hila mbaya sana na mbovu lakini Mwenyezi Mungu yupo nao mjane na wanae wapewe haki. MAHAKAMA kweli imeonyesha udhaifu. Hii yote labda kuna RUSHWA NDANI YAKE. HAKI ITENDEKE .
Jacqueline pambana na hali yako ulishakula bata la kutosha ulitakiwa umwombe Mungu Mengi aendelee kuwa hai ili uejoy mshahara wa dhambi ni mauti. Wachagga sio wa kuchezeachezea. Rithi hao watoto wako.
Fedha fedheha Unadhalilika Sasa Ulijitia kumpenda Babu ili upate mali. Acha tamaa Mali za watu unataka watoto wako wapate ikiwa mwanamke mwenzio aliteseka kuzichima Looh Mungu wasaidie watoto wakubwa was Mengi
Nyie ambao Mungu kawajalia Mali Na mkapewa nafasi ya kuonja uzee Bora gaweni urithi Kwa Kila umtakae kabisa msiache Vita Mali zetu zikawaadhibu mbele ya Mola wenu
Eti anajua kilicho muuwa yani watu wengine wapuzi kweli ,,watu wanapenda mali za watu sn wapunzi kabisa ,,kipindi yupo haii akuna mtuyoyote anasogelea,,
Iyo nilazima ingetokeya maana shuja wawa nyonge Dr. John Pombe Magufuli tayari kashatanguliya bitu bingi bitavurugika ivi mara tatizo la umeme mara tatizo ya vocha MB mara nini bitu bingi bya zulma bya zama izo kurudiya tena akuna budi tuta mkumbuka maana inchi ilikuwa kwenye adabu na kwenye mstari kabsa na kila mtu kufaidika hasa hasa wa hali za nchi pole Dada Jackline
Mpaka umuibie mchaga ujipange maana sisi ndo wezi wenyewe🙄sasa kama unaweza kumuibia mwizi basi utatuibia 😅😅pole dada kusugua kote gaga kule na hujaambulia kitu😂😂😂😂 inatia huruma jomonii😂😂😂😂
Hivi huyu mwanamke hajitambui coz Mali hujui zilikotokea from no we're eti nimeandikiwa mimi. Wew Jacklin tunakujua wew ni danga kaendelee kudanga.Halafu hakuna mchaga mjinga aachie Mali zake kirahisi hapa umechemka
MIMI NASHANGA WACHAGA KUMSEMA JACKLINE WAKATI HISA KAPEWA NYUMBA KAPEWA NA AS LONG MAKAMPUNI YAENDELEA AKIWA NA AKILI BASI MAISHA YANAENDA WEWE JE WAMFIKIA MBAAVUU
Dada Jack,umechekemka.kwanza ulitakiwa uwaheshimu saana watoto wa Mumeo,kwa sababu ni wakubwa.hao hao ndo watalea watoto wako,pia wangekupenda saana.lakini wewe umeenda kwenye familia tayar yenye uwezo,ukaleta ubaguzi.kuna leo na kesho watoto wako watalelewa nanani?KAWAOMBE SAMAHANI.
Yani jaki alikosa hata hayakabisa kweli ularidhi mali zote labda ingekuwa kabila lingine siyo wachaga haya sasa umeumbuka sasa na utanyooka tu subiri dawa iko jikoni inachemka ikipowa itainywa
Kwa kweli hiyo ni roho ya ukatili roho mbaya kabisa kila kitu urithi wewe! Wewe ulimuona huyo Mzee ana kila kitu amechuma na mke mkubwa yaani wewe uchukue tu!
Jaki aache tamaa yeye kaja juzi mengi alishakua tajili na mwanzo alikua na mke na watoto inakuaje alithi yeye kila kitu. Iyo ni tamaa apo awetu mpole apewechake asepe. Asitake mkubwa Nani mpumbavu akakubali kwamba mke wa pili alithi malizote wakati vitu vyote kavikuta na kulikua na mke na watoto kabla yake.
Samahani kidogo; Kwa hiyo nyie mlitakaje sasa? (1) je, mlitaka baada ya kufiwa na mkewe asioe mke mwingine..? (2) je, mlitaka aoe mama wa miaka 55 ili mseme tena "Huyu Bibi kaja ili apate mali za kutunzia wanae, maana hana uwezo wa kuzaa na kaka yetu ama.....!?" (4) je, mlitaka awe anachukua "majimama" anakaa nayo baada ya mwezi anachukua mwingine..? (4) Au je, mlikuwa mmeshamuandalia mke mwingine ambaye atakuwa hajafuata MALI..? Ama ninyi mlitakaje kwa mfano..?
@@mamachris6811 tusidanganyane ndugu yangu, hakuna apendae maisha DUNI hapa Duniani, awe maisha Duni ili amfurahishe nani..? (1) Kwa nini aolewe na kapuku wakati yupo mtu mwenye Hadhi amempenda..? (2) je, wew Mama Chris, ungekuwa tayari kuolewa na "kapuku" na kumkutaa mwenye Mali eti tu kwa kuogopa macho ya watu, kuwa watasema ulifuata MALI wakti kakupenda...!? (3) Na vipi kama nduguyo ndo alimshawishi sana..? (4), ulitaka huyo Dada (30+ years) apoteze bahati yake ya kuolewa abaki single na kuzaa na mwanaume, hasa ukizingatia Umri wa kuolewa ulikuwa unamkimbia..? Au umejisahaulisha kuwa Mwanamke akifikisha 30yrs NURU inaanza kupotea..? Huwezi jua huyo Dada hadi anafikia hapo kashaumizwa mara ngapi..? Na hivo kujiwekea Nadhiri kuwa "Yeyote atakaetokea mbele yake atamkubalia, mara paap..katokea Kaka yako....je akatae ili azeekee nyumbani, maana vijana wa siku hizi hatueleweki tunataka nini eti..." (5) Na je, vipi iwapo kaka yako asingekuwa "well off" ndugu mngekuwa na yapi ya Kusema? Au ndo mgesema Kaolewa na kaka yenu ili atoe mkosi wa kutoolewa..? (maana pia nina hiyo mifano hai ya wadada kuolewa na wazee tena wengine sio kwa kufiwa na mkewe bali anaolewa mke wa pili au wa tatu.) Lakini hata hivo hujajibu Swali langu, badala yake umeniuliza Swali..narudia tena, "Ninyi wanandugu mlitakaje..?
@@seifjuma3471 sure mwanangu, Mama Chris atuelezee hapa Umma kuhusu matakwa yao juu ya Brother ake....asikae kumuhukumu yule wifi ake bure, huwenda hata alikataa ila Mzee kamshawishi sana
@@tumainsawe6960 mmm sasa weye una jifanya kujuwa ina maaana Jaki hastahili kupewa chochote??? Na hayo yako sana kwenye family za ki Africa wanakupa samani wakati mme wako yupo akisha toweka ww hawuna samani tena
@@RandB_Channel Ungeilewa hii video ungejua kuwa hawajakataa apewe. Tatzo yeye Jack anataka mali zote za marehemu apewe yeye pekee yake kwa mjibu wa huo wosia batili ambao mahakama imeukataa
@@RandB_Channel unasema najifanya kujua kwani wosia hujasikiliza anataka kila kitu best hao ni wachaga eee watu waliosoma kabla hata ya uhuru mtetee sana vua na nguo ukimtete halambi upooooo yani we ukute watu na maisha yao useme alikupa kila kitu ina naana hawa watoto wa mama mengi wamekufa wote au we vipi nishakuambia alambi tena ingekua mimi weeee angejua hajiju upooooo
Nilikua naomba kila siku hii kesi washinde kila Regina kwakweli jack naomba osome komenti za watu ujue wewe ninani labda ulikua hujui khaa umeiga sinema za Nigeria copy kweli mali zote ciwe zako hats huko kupenda kwaaina gani akupe wewe tu Awanyime wanawe Tamaa mbele hiyo mauti nyuma
Kwanza wahenga tumkumbushe tu wakati hizi mali zinatafutwa na mama yao na baba yao akina Regina walikuwa wakisoma shule.wapole wastaarabu majivuno 0. He wewe unachukua hata mali za mama yao. Katafute historia ya hizo mali
Nakupendaje Mahakama kwa kutenda haki? Jizi hilooo,eti mke, una gold ulizaa Yesu.Jiziiiiiii
Uyu Dada simuamini iviiiiiii😥.. Anajua kilichomuua Baba Etu😭😭😭
Kifo kilikuwa cha utata sana
Slay queen ni biashara kweli. Hongera mahakama kwa kumtambua mke wakwanza na uzao wake.
Safi sana uyo Dada ana tamaa, alichopewa aliona akimtoshi,
Mahakama zetu zinafanya kazi kwa haki
Watenda haki kabisa I love that and everyone is appreciating this., seriouse speaking jack hakupaswa kuchua vyote alitakiwa Kuwa mpole apewe kias weee .. hajui utajili ulikujaje anyway Mungu awaongozee watoto wa marehemu
Kweli kabisa huyo dada ni muuaji jaman hmmm hiv akisema Naombeni nyumba moja au mbili na kampuni yoyote Ile Mali zingin wachukue ndg atapangukiwa na nn tamaa inamsumbua Sana huyu mkigoma mwenzg khaaa
MENGI KASOTA MWENYEWE BWANA NA NDO MAANA AKUGAWANA MALI NA MKEWE ILA ALIAMBIWA AMLIPE PESA KWA AJILI Y A WANAE MENGI KA STRAGO YEYE MWENYEWE HATA KTK KTABU CHAKE CJAONA AKIANDIKA ETI MKWE WA KWANZA WALI FANIKIWA WOTE
@@simonlukiko2850alikuwa najisex mwenyewe? Alikuwa anajifulia mwenyewe? Alijibebesha mimba mwenyewe? Ama mafanikio yanakuja bila utulivu?
Good,huwezi taka Mali za watu hujui watu wame husstle kufika hapo,angetulua zake angetunzwa na familia wala asingekutana na yote ...Tamaa ni mbaya
Afadhari jamani yaan ilikua inanimuma utadhani mimi ndo mtoto wa mengi. Daah afadhari haki imetendeka
Mahakama imetenda haki hapo kwa kweli.
Hatari! Mzee alizama kwenye penzi hadi akatekwa akili🚶🏿♂️🚶🏿♂️🚶🏿♂️
MUNGU MKUU aturehemu sote. AMEN.
Mmh acha niendelea kunywA michemsho yangu na matembele haya ndio majaliwa yangu kwa allah
Inshaaallah Mungu atakupa
Hongera mahakama..yule malaya anataka hela yetu.
Wow!!!!!!!!
Mmmh kwann asirizike na atakacho pewa sababu marehemu anawatt wengine wakubwa tu jamani
Duh 😥 urithi ni balaaaa
Whawhooo very god
Hata kifo cha baba wa watu kilikua cha utata 😢uyu dada ajiangalie Sana!
Yaan hapo ndio pakujifunza wanaume weng maana wakisha Pata Mali waona wake waliona wanawabana wanawataka watt, mwanamke kama jack hawez kuishi na yule babu mwenye Mapesa, yake kwa miugomvi sababu anajua anachokitaka
Wanaume hawajufunzi,wapo wanaendelea na hayohayo kwa tamaa za kupenda dogodogo
Wazee wenzangu ingieni RUclips msikilize wimbo wa Tuncut almas " mapenzi ya sasa"
Tuncut almas enzi hizo waliimba " mapenzi ya sasa"
Don't interfere
@@mamachris6811 kabisaaa huwa, awajifunzi kabisaa
Eh Mungu, tukumbushe kuwa mwisho wa ubaya ni aibu. Sitaki fedheha hii inikute
Aibu sana dada mdogo kuolewa na babu kisa pesa dah kweli wanawake wengi hawapendagi mtu wanaangalia maslahi aisee
Muha amuibie mchaga pesa never😀😀😀
Alijua anacheza na waha wenzie mama hao ni wachaga eeee
Hahahahahah
@@tumainsawe6960 Kwani ni.muha huyu mdada .?
@@hadijasaidi7709 kumbe, muha ndio
@@tumainsawe6960 katuangusha waha kugombea mali waha hua hatuna hizo huyo mdada du
safi sana mali wazitafute bb ao na mm ao waje wazisi watt wamke mdogo inahuuuuuuuuuu😏😏😏😏😏😏😏😏😏
We nae duh hufanan
Na jack alifata pesa tyu pale mtu tayari alikuwa mgonjwa akajifanya anampenda sana yani wanawake sisi mungu anatuona
So happy about this
Mi nlijua utamtetea mwanamke mwenzio. 😯
@@RuzoOwzy mimi ni mke mkubwa Hawa wanaokuja kukuta ndoa zetu zimeimarika halafu mfano Mme wangu afe wanangu wakose urithi wa baba yao uchukuliwe na mke wa Pili na wanae unajua bibilia haitambui mitala inaita wanawake Hawa wageni yeye akubali na watoto wa mke mkubwa wapate haki ya baba yao after all Wakati anaolewa kaukuta utajiri huu means mke mkubwa na wanae wana haki zaidi mimi nasimama upande wa wAke wakubwa si vinginevyo najua maumivu ya Hawa wanawake wanaokuta ndoa then wanataka kuolewa
@@mtumishi6175 Nmekupata. Lakini ana haki fulani ye na watoto wake wawili? Au hana haki ya mali hata kidogo?
Aisee! Mbutah Nangah
Mmmh 🤔Mtihani kwa kweli
Jackline 1000 kweli 😅😅😅😅😄😄😄😎🫵🏼🏃♀️🏃🏿🏃🏿🏃🏿🐎 mmmmmhh!
This is big trouble now for jack and kids ...
Unacheza na wachagga wewe mbele ya pesa..😂 huyo Jacqueline alifikiri atachukua pesa hivi hivi🤣🤣
Kabisa tu
Siyo hela tuu wanaakili ndefu kinyama
😂😂😂
Alijisahau
Ila jmn Mungu wetu yupo hapa Dunia tunapita tu laiti watu Tungefunguliwa MACHO HAYA NA KUJUA KWAMBA HAKUNA KITU KIBAYA KAMA DHULUMA,hakuna atakayeishi milele na Dhuluma haijamuacha MTU SALAMA NA MUNGU YUPO,JASHO LA MTU HALILIWI BURE
Tama sio nzur watu watafute rizki zao sio kutafuta mirathi zawatu haki ya mwenye kuitafuta haipotei ,
😁😁😁😁 jack imekula kwake na umalaya wake
Watch your mouth
Tuonyeshe vielelezo kua Jacklyn Alikua malaya,,,,chunga mdomo wako na ukumbuke kuna sheria
Ttzo la kukosa akili ndio hilo
Mjinga Sana huyo dada
Hawa mahakimu walioamua hivi mama wape vitengo Tafadhali, kuanzia sasa sitalalamikii tena mahakama za TAnzania, na nchi jirani zije kujifunza haki.
Mmmh jmn hiyo vit ingene
Yaani Huyo Jacqueline ameingilia ndoa amedumu miaka minne tu na Mengi anadai urith sio haki apewe, mke wandoa ameanza maisha na Mengi tangu ujanani ndio anastahili, jaqui apewe tu banda alelee watoto basi
Mke wa kwanza alifariki
Kafata pesa tu wazee wawe makini
@@mariamdimosso621 kwani hakua na watoto?
Ingekua mimi nisingempa chochote
@@tumainsawe6960 wapo
Hivi nauliza mmesahau kulikua na mama mengi unajua nimagumu mangapi alipitia?safi sanaaaa
Alisha chukua za kwake kabla mpm na wanamiliki wtt wk.
Wewe Jack acha tamaa, umeacha vijana wa kuanza nao maisha imemfata mzee Mengi kwa ajili ya Mali. Utakufa kwa tamaa.
Ila Jack jamani iv hata hakuona aibu jamani😢😢😢😢😢
Acha tu
Mwizi ana aibu?
Huyo ni shetani akizidi anataka kukudhalilisha ndicho kilichomkuta, mwisho wa ubaya aibu, anataka kufanya hata watoto wake wakose haki zao kwa upuuzi wake
Malaya hanaga aibu wala utu...hata familia yao iko hivo ni hela mbele
Mmm mimi sisemi kama alovitafuta kaondoka na sanda tu yadunia yahachieni dunia
Sijakuelewa ulivosema "yahachieni"
Umemaanisha nini?
Na jeneza bana na kaburi la kifahari
@@gosbertmuta5421, hata angeondoka na gari au jumba la kifakhari havitomsaidia kitu.
Sawa
Ila jack nae alitia fora eti atakaepingq wosia huo apewe buku kweli dada ukasahau kama watoto wakubwa wapo ukawanyima mpaka nguo za baba yao
Umesema kweli
Njaa mbaya sana.
Hahahahhaa
Hakuna mapenz y mzee na kabinti Ni ukata, njaa kali ndo ilimpeleka hpo
Wadada tujitume.. Pambana fanya kazi na mikono yako utaweza tu
Wezi Sana kirahisi TU ule maisha huko jioni UNAKUJA na kujifanya mrithi pumbavu
Mtegemea cha ndugu hufa maskini
Wasichana wapenda mteremko ndo somo kwenu chumeni mapema kabla ili muwe mmeachiwa vyenu
Hata Jacki Angeshinda ,,,Mchaga Hakuachii Mali Kingese Ngese ,,,,,wangempeleka Kaburini miss wetu..
😂😂😂🤦♀️🤦♀️
Saaaaaaana
😂😂😂
teana wacha wa machame ni hatari wanaitwaga wapalestina
@@mbesherejoh4219 🤣🤣🤣🤣🤣
Hopefully tutaanza kuona single na EPs za dada yetu. Ni muda toka ametoa single.
Pole sana Jacky
Kwa kweli pole kubwa maana mh alitaka kucheza na mali ya watu bila kufikiri
Safiiii sana dada mjinga Sana huyo ashukuru hawaja mtoa roho
Ukijiangalia kwenye kioo utaona kabisa sura yako haifanani na jinsi ulivyo!! Watch out usihukumu usichokijua.
@@mtzhalisi2232 kajambe mbele huko kwan sura Yangu unaijua mjinga nini
@@mtzhalisi2232 kwa hiyo ulitaka nilie Lofa wee umeona vyema alivyo fanya huyo dada yako wa kumdandia akusanye Mali zote awe nazo yeye, 😏😏😏nyie ndio wanaume wa pumbavu nyie mnatafuta Mali kwa ajili ya wanawake na sio familia zenu au watt wenu, mnakufa hamna mnachowaachia watt wenu kisa tamaa
@@mtzhalisi2232 Lofa kweli we Ata masikin Ana mgawaia mtt wake milas je kwa huyo bilionea kwa nini watt wake wasipate peleka ujinga wako mbele huko😏😏😏😏😏👌
Acha uchawi wewe..Utajikuta unazaa na mikule wewe.Watch out.Basi poa siku njema
Wanawake cc ni madelila alimbeleza akamshika shika baba wa watu akamwimbia nyimbo tamu mpaka mzee katiririka wosia wa ajabu huku akibembelezwa kama samsoni duh madelila tunaishi nayo humu
Kufa tugombanie Mali.......Kama zetu vike.😭😭😭😭
Duuu....Hii mambo hii
Matajiri ndio Masikini wakubwa
Lkn Jack ulifanya uzembe sana ungeng'ang'ania Mali ambazo mmetafuta wote sio za mke mkubwa
Mahakama imetenda haki after all watoto wa mke mkubwa ndiyo wanastahili zaidi Jaq kakuta utajiri wote
Uyo dada hana akili hajui kula na kipofu,,Yeye kakuta mali anataka achukue yeye zote,,iyo haiwezekani
On point, c angejifanya kahaba halafu Ucku naondoka na chake, Sasa yeye kajimilikisha kabisa Sasa ona yaliyomtokea, ila bado mdogo na mrembo akitaka anaolewa tena, Ila angefuta hilo jina lapili maana c stshili yake tena.. Ila pole jack
Wasichana muolewe na mwanaume ambaye hana mali muanze wote kutafuta na kujenga maisha yenu .Kuolewa na mwanaume mwenye mali na amekuzidi umri haitakusaidia lolote utanyanyaswa na watoto wake na ndugu utaisha maisha ya siyo na amani .Maana hizo mali wapo walikuwa mbele yako.Halafu yakukute afariki utanyanyaswa sana.Wanawake jifunzeni kutafuta mali zenu .
Ata kuoa ni kujitakia shida ya milele kwa maana sikuiz hakuna wanawake japo sio wote
Hajui kula na vipofu 😃😃
Ungewaacha watoto wakubwa hata kwa asilimia 30% tungejua labda kuna kaukweli kidogo. Ila 0% maamae uongo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Arusha sio pa kuchezea andaaa sandaaa mapema
Tamaa za jamaa zake Marehemu MENGI, NA UAMUZI
Uamuzi huo kwa kweli hawahusiki ndugu, na wosia huo wake. Marehemu MENGI. Watoto na mjane wapewe haki. Hii yote inafanyika kwa sababu za kimakini na hila mbaya sana na mbovu lakini Mwenyezi Mungu yupo nao mjane na wanae wapewe haki. MAHAKAMA kweli imeonyesha udhaifu. Hii yote labda kuna RUSHWA NDANI YAKE. HAKI ITENDEKE .
@@harounbuzohera4797 Hujaelewa uamzi wa Mahakama ndio maana comment yako haiendani na kilichosemwa kwenye video
Jacqueline pambana na hali yako ulishakula bata la kutosha ulitakiwa umwombe Mungu Mengi aendelee kuwa hai ili uejoy mshahara wa dhambi ni mauti. Wachagga sio wa kuchezeachezea. Rithi hao watoto wako.
Muhaya 🤣
Fedha fedheha
Unadhalilika Sasa
Ulijitia kumpenda Babu ili upate mali. Acha tamaa Mali za watu unataka watoto wako wapate ikiwa mwanamke mwenzio aliteseka kuzichima
Looh Mungu wasaidie watoto wakubwa was Mengi
Atafute pesa zake aache ujinga
kwel kabisa
Yaani mimi baba yangu kaniachia nguo na saa 😅
Nyie ambao Mungu kawajalia Mali Na mkapewa nafasi ya kuonja uzee Bora gaweni urithi Kwa Kila umtakae kabisa msiache Vita Mali zetu zikawaadhibu mbele ya Mola wenu
Eti anajua kilicho muuwa yani watu wengine wapuzi kweli ,,watu wanapenda mali za watu sn wapunzi kabisa ,,kipindi yupo haii akuna mtuyoyote anasogelea,,
Pole da jack aliyetafuta kaondoka hamjui yupo wapi jitahidi kuomba sana utakufa uache watoto wadogo
Umesahau mke wake alikufa we vipi bwa piteni hivi alaaaaa
Iyo nilazima ingetokeya maana shuja wawa nyonge Dr. John Pombe Magufuli tayari kashatanguliya bitu bingi bitavurugika ivi mara tatizo la umeme mara tatizo ya vocha MB mara nini bitu bingi bya zulma bya zama izo kurudiya tena akuna budi tuta mkumbuka maana inchi ilikuwa kwenye adabu na kwenye mstari kabsa na kila mtu kufaidika hasa hasa wa hali za nchi pole Dada Jackline
Madem Acheni Kudanga na wazee mkitegemea Hawana miaka mingi duniani😂😂😂Angalia sasa ,,,,,
🤣🤣
Kwelo
Watafute wakwao halali
Mpaka umuibie mchaga ujipange maana sisi ndo wezi wenyewe🙄sasa kama unaweza kumuibia mwizi basi utatuibia 😅😅pole dada kusugua kote gaga kule na hujaambulia kitu😂😂😂😂 inatia huruma jomonii😂😂😂😂
This is really wonderful news.
Mmm
Duh
Wanawake wenye tamaa jmn tujifunze kitu HP uwezi ukakuta vitu vipo tyr ukajiingiza ukajuwa unachako HP usahau nausipoteze mda wako tafuta chako
Hivi huyu mwanamke hajitambui coz Mali hujui zilikotokea from no we're eti nimeandikiwa mimi. Wew Jacklin tunakujua wew ni danga kaendelee kudanga.Halafu hakuna mchaga mjinga aachie Mali zake kirahisi hapa umechemka
MIMI NASHANGA WACHAGA KUMSEMA JACKLINE WAKATI HISA KAPEWA NYUMBA KAPEWA NA AS LONG MAKAMPUNI YAENDELEA AKIWA NA AKILI BASI MAISHA YANAENDA WEWE JE WAMFIKIA MBAAVUU
Hakuridhika na alivopewa alitaka asilimia 100
Dada Jack,umechekemka.kwanza ulitakiwa uwaheshimu saana watoto wa Mumeo,kwa sababu ni wakubwa.hao hao ndo watalea watoto wako,pia wangekupenda saana.lakini wewe umeenda kwenye familia tayar yenye uwezo,ukaleta ubaguzi.kuna leo na kesho watoto wako watalelewa nanani?KAWAOMBE SAMAHANI.
Tafta mali zako za halali mali za urithi zinaua jamni mm sitaki mambo ya kitu inaitwa urithi ukitegemea san urithi basi jua kifo kipo mbele yako
Sijaelewa yan watot warithi nguo mpka wakue ni leo ??????
Pumbavu mwizi uyo mwanamke
Its never well with a second wife once the husband is gone
Wanataku uwaibia
Yani jaki alikosa hata hayakabisa kweli ularidhi mali zote labda ingekuwa kabila lingine siyo wachaga haya sasa umeumbuka sasa na utanyooka tu subiri dawa iko jikoni inachemka ikipowa itainywa
Mimi nipo Pemba ila inauma Sana huyo dada mtieni chura wa tumbo sababu ni adui mkubwa
Kwa kweli hiyo ni roho ya ukatili roho mbaya kabisa kila kitu urithi wewe! Wewe ulimuona huyo Mzee ana kila kitu amechuma na mke mkubwa yaani wewe uchukue tu!
KUZAA NA MZEE
KUWATESA WATOTO WADOGO.
TAMAA YA PESA LOOH
Jaki aache tamaa yeye kaja juzi mengi alishakua tajili na mwanzo alikua na mke na watoto inakuaje alithi yeye kila kitu. Iyo ni tamaa apo awetu mpole apewechake asepe. Asitake mkubwa Nani mpumbavu akakubali kwamba mke wa pili alithi malizote wakati vitu vyote kavikuta na kulikua na mke na watoto kabla yake.
Uliona wapi mchaga anaibiwa pesa kizembe hivyo.Yaani Muha ampige mchaga nani kasema.
Muha akili mingi
Anataka mali alitafuta naye changu mkuu
Aache Tama wagawe urisi kama inavyo stahili
Sagi sana jackly wacha tamaa dunia ni mapito
Whn someone is alive watu hawapigani akifa kelele tu ths bad aki
Kaka yangu ( miaka 65) kafiwa na mkewe
Kaoa binti miaka 32
Familia nzima tunajua binti kafuata mali 😞
Sasa huyu anafikiri ndugu hawakujua hili ?????
Samahani kidogo;
Kwa hiyo nyie mlitakaje sasa?
(1) je, mlitaka baada ya kufiwa na mkewe asioe mke mwingine..?
(2) je, mlitaka aoe mama wa miaka 55 ili mseme tena "Huyu Bibi kaja ili apate mali za kutunzia wanae, maana hana uwezo wa kuzaa na kaka yetu ama.....!?"
(4) je, mlitaka awe anachukua "majimama" anakaa nayo baada ya mwezi anachukua mwingine..?
(4) Au je, mlikuwa mmeshamuandalia mke mwingine ambaye atakuwa hajafuata MALI..?
Ama ninyi mlitakaje kwa mfano..?
@@chiefmahucha6847 hili swali limekaa vema sana
@@chiefmahucha6847 jiulize,umewahi kuona binti wa hivyo ameolewa na Mzee kapuku 😄
@@mamachris6811 tusidanganyane ndugu yangu, hakuna apendae maisha DUNI hapa Duniani, awe maisha Duni ili amfurahishe nani..?
(1) Kwa nini aolewe na kapuku wakati yupo mtu mwenye Hadhi amempenda..?
(2) je, wew Mama Chris, ungekuwa tayari kuolewa na "kapuku" na kumkutaa mwenye Mali eti tu kwa kuogopa macho ya watu, kuwa watasema ulifuata MALI wakti kakupenda...!?
(3) Na vipi kama nduguyo ndo alimshawishi sana..?
(4), ulitaka huyo Dada (30+ years) apoteze bahati yake ya kuolewa abaki single na kuzaa na mwanaume, hasa ukizingatia Umri wa kuolewa ulikuwa unamkimbia..? Au umejisahaulisha kuwa Mwanamke akifikisha 30yrs NURU inaanza kupotea..? Huwezi jua huyo Dada hadi anafikia hapo kashaumizwa mara ngapi..? Na hivo kujiwekea Nadhiri kuwa "Yeyote atakaetokea mbele yake atamkubalia, mara paap..katokea Kaka yako....je akatae ili azeekee nyumbani, maana vijana wa siku hizi hatueleweki tunataka nini eti..."
(5) Na je, vipi iwapo kaka yako asingekuwa "well off" ndugu mngekuwa na yapi ya Kusema?
Au ndo mgesema Kaolewa na kaka yenu ili atoe mkosi wa kutoolewa..? (maana pia nina hiyo mifano hai ya wadada kuolewa na wazee tena wengine sio kwa kufiwa na mkewe bali anaolewa mke wa pili au wa tatu.)
Lakini hata hivo hujajibu Swali langu, badala yake umeniuliza Swali..narudia tena,
"Ninyi wanandugu mlitakaje..?
@@seifjuma3471 sure mwanangu, Mama Chris atuelezee hapa Umma kuhusu matakwa yao juu ya Brother ake....asikae kumuhukumu yule wifi ake bure, huwenda hata alikataa ila Mzee kamshawishi sana
🤣🤣atafute zake sasa
Kama anaona pesa kuitafuta ni rahisi atafute zake si anasema alikuwa mentor wake aanze kutafuta sasa
@@sarahgaula2220 🤣🤣👌 km atafika alipo fika mwezake
Hiki ndo kitatokea kwenye familia yet mana yule mwanamke simuelew kabisa
Yapo majizi mengi sn kama lijack,mwishowe aibu.
Ila jack Mungu anakuona eti mtu asiguse mali yoyote shame on you umeaibika vibaya
Labda kwenye Dunia ingine
MUNGU anatenda haki
Shida kweli inamaan uyo mke mdogo akitaka watoto wa marehem wakubwa wakose urithi?
Hapo ss yaan yy na watoto wake ndo wachukue hisa zote za mengi
Yeye akubaliane na mgao tu,kwani visivyo haki haviliki
Duuu hataree sana hahaha
Kwanini jamani wake kuolewa wa bwana zao wakifa mnakuwa mna wanyanyAsa?? Daaa pole sana kwa jaki
Unasemaje wewe unachekasha sana
@@tumainsawe6960 mmm sasa weye una jifanya kujuwa ina maaana Jaki hastahili kupewa chochote??? Na hayo yako sana kwenye family za ki Africa wanakupa samani wakati mme wako yupo akisha toweka ww hawuna samani tena
@@RandB_Channel Ungeilewa hii video ungejua kuwa hawajakataa apewe. Tatzo yeye Jack anataka mali zote za marehemu apewe yeye pekee yake kwa mjibu wa huo wosia batili ambao mahakama imeukataa
Hivi ingekuwa ni wewe kaolewa mwanamke wa pili na mumea halafu arithi ulivyotafuta ungekubali?
@@RandB_Channel unasema najifanya kujua kwani wosia hujasikiliza anataka kila kitu best hao ni wachaga eee watu waliosoma kabla hata ya uhuru mtetee sana vua na nguo ukimtete halambi upooooo yani we ukute watu na maisha yao useme alikupa kila kitu ina naana hawa watoto wa mama mengi wamekufa wote au we vipi nishakuambia alambi tena ingekua mimi weeee angejua hajiju upooooo
Kamuuwa ili apate mali🤣
Saaaana
Mwenye mali zake kalala wario baki wanafarakana.
Arudi kuimba
Nilikua naomba kila siku hii kesi washinde kila Regina kwakweli jack naomba osome komenti za watu ujue wewe ninani labda ulikua hujui khaa umeiga sinema za Nigeria copy kweli mali zote ciwe zako hats huko kupenda kwaaina gani akupe wewe tu Awanyime wanawe Tamaa mbele hiyo mauti nyuma
Hata Mimi nilikuwa naomba hivyo hivyo Namshukuru Mungu kwa ushindi huu huo
Kwanza wahenga tumkumbushe tu wakati hizi mali zinatafutwa na mama yao na baba yao akina Regina walikuwa wakisoma shule.wapole wastaarabu majivuno 0. He wewe unachukua hata mali za mama yao. Katafute historia ya hizo mali
Na watoto wadogo je?
Huna akili.
Wachue wewe