Je kama kesi ilikua ya jinai mtuhumiwa kahukumiwa kifungo na alitakiwa kunipa pesa akitoka hakuweza kulipa akapangiwa kiasi cha pesa kulipa kila mwezi na ame saini amelipa mara moja akaacha kulipa na anaemdai amesafiri mbali ila mahakama inajua huyu mdai akirudi baada ya mwaka kupita anatakiwa afanye je
Ahsante sanaa kwa kutuelimisha
Kazi nzuri elimu ya sheria kwa jamii
Asante kwa ufafanuzi
Asante kwa kutuelewesha
Kwa sasa ardhi watu wameongezeka na mahitaji ardhi yanaongezeka zaidi je sheria haioni haja ya kufanya badiliko LA muda miaka 12 na kuwa nusu yake ?
Je rufaaa unakata mahakama yoyote?
Naomba kujuwa zamana ya ajali ya pikipik alie mugoga mtu
Na taman kupata darasa
Je kama kesi ilikua ya jinai mtuhumiwa kahukumiwa kifungo na alitakiwa kunipa pesa akitoka hakuweza kulipa akapangiwa kiasi cha pesa kulipa kila mwezi na ame saini amelipa mara moja akaacha kulipa na anaemdai amesafiri mbali ila mahakama inajua huyu mdai akirudi baada ya mwaka kupita anatakiwa afanye je
Asante kwa kutuelemisha