EXCLUSIVE: JACQUELINE MENGI AFUNGUKA SIKU ZA MWISHO ZA DR. MENGI, KUZUIWA KABURINI, MALI ALIZOACHIWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 мар 2020
  • Mke wa pili wa Marehemu Dr. Reginald Mengi, Jacqueline Mengi amekaa kwenye Exclusive Interview na Millard Ayo na kufafanua kile alichokiandika kuhusu kuzuiwa kuingia kwenye eneo la Familia ambako Marehemu Mume wake alizikwa.
    Hata hivyo baada ya mahojiano haya tuliutafuta upande wa pili wa Familia ya Marehemu ili kusikia kauli yao juu ya tuhuma hizo zilizotolewa na Jacqueline lakini hawakuwa tayari kuzungumza chochote kwa sasa.

Комментарии • 2,4 тыс.

  • @mr_kajombaremelo_og2134
    @mr_kajombaremelo_og2134 4 года назад +565

    Millard ayo wewe ni mwandishi bora kwangu #tem #ayotv like zenu

    • @hadijahassan3113
      @hadijahassan3113 4 года назад +3

      Nimeliona hilo pia asee

    • @ombenmichael3473
      @ombenmichael3473 4 года назад +1

      Absolutely

    • @hasanimikeyo8893
      @hasanimikeyo8893 4 года назад +4

      Izo like zinalipa? au

    • @geeva99
      @geeva99 4 года назад +4

      Sijapenda anavyouliza detail za mambo ya ndani kama percentage etc. hii sio court hii no social public interview that was just bad, I suggest he gets some training course katika hizi serious interviews, hii sio udaku matter

    • @goodluckmgeni5423
      @goodluckmgeni5423 4 года назад +2

      Millard ayo ww ni bora zaid hapa tanzania

  • @busaratemba1884
    @busaratemba1884 4 года назад +264

    Kama umejua kuwa huy dada anampangilio mzuri wa maneno na majibu kama vile anasoma kibut gonga like tujuane

  • @juliusmatalo2211
    @juliusmatalo2211 4 года назад +87

    MILLARD AYO WAPO WATANGAZAJI WENGI ILA WEWE UMETULIA SANA

    • @omanoma5446
      @omanoma5446 3 года назад

      Yanı, wewe, Dada, nakupenda, sana, unavyojiewa, yani, wee, acha

    • @sonnojoseph3394
      @sonnojoseph3394 3 года назад

      Big up

  • @MZIZE
    @MZIZE 4 года назад +197

    Amefariki Lakini Bado Unamwonesha Heshima ( Mume wangu )
    Hongerah kwa hilo

  • @ksnjos001
    @ksnjos001 4 года назад +88

    Hii inatuonyesha umuhimu wa kuoa mwanamke mzuri na mwenye hekima atakaye kukutetea na kulinda heshima yako wakati umekufa... Mungu anatuona jamani acheni roho mbaya

  • @susannamusindi9950
    @susannamusindi9950 4 года назад +120

    To Jackline Mengi. Here is an advise. The 50% which Mercy received was divorce settlement which does not include children because the children are not being divorced. If I may speculate, the chilfren are in the court because they want their inheritance from their father because their parents divorce is never their inheritance. It is their right to file a case to demand their inheritance. Whether their father left anything or not. In this case, if nothing at all was given to the children in question, then their father was malicious and bitter towards them, and the court could nullify the will and award the children something
    But if their father was clever enough and left even 10 shillings for them, then the will cannot be changed it will stand because something was left for them to inherit no matter how small it may be. So, here the Law has to be applied. Thanks.

  • @hamisidale2704
    @hamisidale2704 3 года назад +7

    Millard una hekima Sana, kwa Umri wako, duh nimekukubali Sana piga kazi utafika mbali Sana, hauko na majivuno wazazi wako wamefanya kazi nzuri kukulea lm proud for you, Mzazi anaejitambua kama Mimi tungependa kuwa na watoto wenye adabu kama wewe Mungu akubariki Sana"Hamisi Dale Boston USA

  • @fatumamaiga8496
    @fatumamaiga8496 3 года назад +18

    Watoto wetu wakubwa una Moyo was kuwadhamini watoto wote ulioachiwa na mme wako jack. Mungu awe nawe cku zote

  • @mercy7689
    @mercy7689 4 года назад +213

    After this interview, I'll never judge this woman, she has said her truth and God is the judge🙏🙏

    • @anethmahera4453
      @anethmahera4453 4 года назад +2

      Mercy true

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 года назад

      Kha

    • @josephmahay1438
      @josephmahay1438 4 года назад +1

      Exactly..

    • @nicotv4162
      @nicotv4162 4 года назад +11

      Wew mali inatafutwa wew unafijir angechora mchoro wa wazi aonekane mbaya ,,ubaya unaoneshwa ndani kwa ndani,,mzee alibugi sehemu baada ya kugawana na bbi mkubwa ilibidi na hizi alizobaki nazo awagawie na hao wakubwa koz zile za bibi mkubwa aliwapa wanae ,,hivyo mzee hakuwapa uridhi wanae

    • @collincarlos7433
      @collincarlos7433 4 года назад

      HAKUNA LOLOTE ,,kitakachobadil WOSIA,,na hta ninyi mnajua mzee mengi hakuwahi kuripotiwa kuwa na afya au ttz la AKIL..iweje Leo kashakuf ndio isemwe,,Tena mdomon bila vyeti au trf yyt ya dr

  • @litokai413
    @litokai413 4 года назад +20

    Mzee aliachana na mke wa kwanza na sio watoto wake,hata kama watoto walipata mali kutoka kwa mama yao bado wanahaki na mali za baba yao pia,yani wanatolewaje sasa?!wewe ungekuwa kwenye position ya hao watoto wa kwanza ungekubali??chukua chako kilichocha haki ya kwel na ww ujijenge,ukazalishe upate cha kuwarithisha wanao pia na ww..

  • @mtanzaniahalisimungunimwem673
    @mtanzaniahalisimungunimwem673 4 года назад +44

    Polee Jack wangu..Mungu ni mume wa wajane...usilibebe Sana Jambo Hili kwa nguvu zako..mbebeshe Mungu atayamaliza yote.

  • @Basagamp4
    @Basagamp4 4 года назад +24

    Millard Ayo wewe ni Mwandishi Booora kabiiisa kwa Upande Wangu.
    Naipenda Kazi yako na MUNGU akuweke.

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 года назад +163

    Kama umeona millard ajavaa rozali na kofia gonga like yako hapa

  • @michaelngaliga1802
    @michaelngaliga1802 4 года назад +45

    Huyu mdada anajua kujieleza sana sana.Hupo humble,so smart and straight.

  • @emanuelmoshama3899
    @emanuelmoshama3899 4 года назад +7

    kama ume mwona bibi alo ganda kule nyuma gonga like

  • @nazmaabdullkarim8022
    @nazmaabdullkarim8022 4 года назад +2

    Dah ndugu wamume kwa mali nihatarii sana jack upo makin kujibu maswal had raha Kama. Umemuona jack anameza mate yauchungu like hapa

  • @mtagechota1002
    @mtagechota1002 4 года назад +57

    Sema dada mpole jaman nimerudi kuimalizia 😔 ila nimejifunza mengi sana ahsant millard ahsant jackline jaman nimetamani kulia lakini mungu yupo🙏❤🤲

  • @fredrickbuteye7153
    @fredrickbuteye7153 4 года назад +203

    Millardayo aisee ww ni fundi wa interview p1 na ubahili wangu wa mb nimeangalia mpka mwsho

    • @aminaahmedmohd3148
      @aminaahmedmohd3148 4 года назад +7

      nice interview ata mim nimeiangalia mpaka mwisho uko sawa hongra kwa interview ..na pole dada jackline.

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 года назад +1

      fredrick buteye Eti ubahili hahha

    • @ismailmajala2802
      @ismailmajala2802 4 года назад +1

      😆😆😆🤝

    • @josephk90
      @josephk90 4 года назад +12

      Anayehoji mtaalamu.. anayehojiwa akili kubwa.
      Well done u all.

    • @rizdenpopitin2537
      @rizdenpopitin2537 4 года назад +9

      Kabisa yaan huyu millard Ayo ukiachana na kua utangazaj ni taaluma yake lakin pia anakipaj cha kumfanyia mtu interview safi kabisa mpaka mtazamaj una enjoy

  • @kelvinmasika
    @kelvinmasika 4 года назад +67

    Millard umeihandle hii interview vizuri sana, a true professional. Keep it up man. Umemaliza vizuri sana kwa kuingiza social life.. perfect interview from you in a while. Kweli Ng'ombe hazeeki maini..

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 4 года назад

      Perfect ☑️☑️☑️☑️

  • @leaherasto929
    @leaherasto929 4 года назад +2

    Iko Mali ya kutosha kwa kila mtu kuishi vizuri sio sababu yakugombania Mali ambazo aliyezitengeneza hayupo.....i like this Mungu akutie nguvu Jackline.

  • @vero57
    @vero57 4 года назад +78

    Hongera sana kwa kujibu maswali JACK welldone girl

  • @exalttarimo5083
    @exalttarimo5083 4 года назад +97

    Milady ur the best sanaa ,upo vzr kuchimbua na kuuliza mana nadhan twafurahia kusililza upande wako zaid ya mlengwa

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 4 года назад +2

    Ukweli kinababa mnakosea sana,,Mnaacha vita, mnaacha matatizo nyuma,,,Leo Mzee unge jenga upendo kwenye familia yako,,,haya yasingetokea,,,Mungu angalia moyo ya wababa Ili kuepsha maumivu ya watoto

  • @anawa4326
    @anawa4326 4 года назад +31

    No 1 mwanahabari respect millard 👏🏼🇹🇿

  • @eusebiamasoi6069
    @eusebiamasoi6069 4 года назад +43

    Kwa kweli huyu mwanamke ana busara mno. Endeleza hilo Jaq. Mungu akubariki

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 4 года назад +188

    Kwako diamond platnumz hope you learning something from this case. Endelea kuzalisha wanawake tu hivi hivi

  • @genovevatarimo7023
    @genovevatarimo7023 4 года назад +2

    Nimegundua hata kuongea mlisha fanana sanaa. Alafu una hekma Mungu ni mwema mpenzi kuwa mkakamavu siku zote ndugu ndo wanao haribu familia ya marehemu.nakupenda bure perfect I love mamy.Hekima na maarifa usiviache pambanaaaaaaaaaaaaa.

  • @tinadavid9715
    @tinadavid9715 4 года назад +2

    Mrs meng yuko vizur sana pole dada ndio maisha yanavyokua pale tu mtu muhim anapoondoka. Mung akusimamie katika mapito unayopitia

  • @karigothabiti7508
    @karigothabiti7508 4 года назад +155

    UKIANGALIA KWA MAKINI MILLARD ANAJIANDAA YEYE NA ANAIANDAA NA INTERVIEW KUTOKANA NA UZITO WAKE ONA MAZINGIRA YA UTULIVU SOUND NA LOCATION HII INAFANYA KUWA BEST

    • @mcrootsav7712
      @mcrootsav7712 4 года назад +3

      Sure yuko vizuri sana hadi raha...anaipenda kazi yake na anaitendea haki pia...hongeera @Millard ayo

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 года назад

      ruclips.net/video/3xZH3bIjFLw/видео.html

    • @babyhamisi5331
      @babyhamisi5331 4 года назад +1

      Uko sahihi kabisa

    • @saidjuma9782
      @saidjuma9782 4 года назад

      Perfect ☑️☑️☑️☑️

    • @justinemlowezi9143
      @justinemlowezi9143 4 года назад

      htr nanux

  • @bahatilaizer8090
    @bahatilaizer8090 4 года назад +91

    Jackline you are so intelligent,respectful and wise

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 4 года назад +57

    Yan interview yote Mume wangu yan alikuwa na really love ❤️

  • @edwinshaltielmagwano468
    @edwinshaltielmagwano468 4 года назад +43

    Jack is telling the truth when a family member takes you to the court is no longer a relative.

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 4 года назад +41

    Mashallah, Umeongea vizuri na umejibu vizur, nimekupenda bure my dear, pole sana kwa mitihani uliyopitia, pole sana kipenzi 😘😍
    *Millard* we kiboko uwo ufafanuzi wa kuibiwa nilikuwa nausubir kwa ham, hongera sana kwa kazi nzuri #MillardAyo

    • @banyangajumah8985
      @banyangajumah8985 4 года назад +1

      Nakupenda bure mama unabusara katika comments naomba uwe rafiki angu

  • @ombeninassary7428
    @ombeninassary7428 4 года назад +15

    Brother wewe ni kichwa. Sidhani kama kuna mtu anaweza kufanya mahojiano kama wewe nchi hii. Big up brother. Am proud of you.

    • @psalm2346
      @psalm2346 4 года назад

      Afrca masharik akuna km yy

  • @worldlyricssongs6141
    @worldlyricssongs6141 4 года назад +39

    Omg ..she's beautiful, smart, intelligent n I love her...

  • @sir-david6244
    @sir-david6244 4 года назад +27

    no body knows the real truth except Mr Mengi.lets all learn from this

  • @aniveaderickson4174
    @aniveaderickson4174 4 года назад +77

    This is very logical and maturity, its a very outstanding one from you ayo, thank you.

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 4 года назад +35

    Mashaallah Leo nimefahamu vizuri sana..kumbe watu WA likuwa wanaongea tu hawayajui. Inshaallah mwenyezi mungu Atakusaidia Dada ulee watoto wako

  • @josephmahay1438
    @josephmahay1438 4 года назад +21

    I appreciate this woman so much..Jacqueline Mengi she is very intelligent with smart mind

  • @wairimu9113
    @wairimu9113 4 года назад +9

    What a beautiful,smart and intelligent woman.peace be with you.

  • @beatricejoseph3537
    @beatricejoseph3537 4 года назад +40

    Naaamin anachoongea jack kwan mwanaume akioa mke msichana mapenz yanaweza kufanya ampe Mali zote japo sheria ina pinga nimekuelewa jack

  • @lydiathadeous6644
    @lydiathadeous6644 4 года назад +56

    Better play your part Yani kama una sehemu yako ya mali relax Lea watoto zako Acha ligi na wamachame trust me Acha ligi na wamachame take my words

  • @catherinesafari2324
    @catherinesafari2324 2 года назад +2

    Millard you are so amazing dah!,,Jackie😚 nakuombea sana nimekupenda bure

  • @robertwamaya2984
    @robertwamaya2984 3 года назад +1

    Mrs Jacqueline Mengi... Im very impressed by your principle message.. Honouring the name of your husband ... Mengi's name should not be dishonoured due to inheritance. You truly loved this man and Benjamin should respect that for the sake of future generations.

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 года назад +32

    Ndio maana Allah amesema kila kitu ni mtihani uku duniani, Ukiwa nacho mtihani na ukikosa mtihani
    Jacky unaongea yote hayo point kubwa ni MALI period 🙌🏽

    • @LeeUfudu
      @LeeUfudu 4 года назад

      Dada upo poa kabisa huyo benjamin atafungua tu gate siku zake znahesabika tu wee ndio mpango mzima umeelewa

  • @ladyhappinessenock6902
    @ladyhappinessenock6902 4 года назад +115

    She is so innocent and intelligent,may God heal her heart

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 года назад +9

    Kama umesikiliza hii interview kwa makini utagundua huyu mdada yuko na Mind + sana na anaakili ya ziada haswa. Mwenyez mungu akupe moyo wa subira . But its so pain😭💔.

  • @patricknamangoa6468
    @patricknamangoa6468 3 года назад +4

    The interview is full of the wise, decent and intelligent utterances. Congratulations Ayo on this amazing interviewing practice. Very sorry Mrs. Mengi for all the difficulties you go through. I truly believe in God that everything hard to you shall pass immediately!

  • @janetluseno5855
    @janetluseno5855 4 года назад +111

    This is what widows in Africa go through. May God guide the kids.

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад

      Very true

    • @nellymatalanga5033
      @nellymatalanga5033 4 года назад +4

      Sad that after ur hubby dies familia yake inanza kukuonesha dharau, fighting for wealth making u look like a nobody .when I think of this it mks me sick aki 🙄🙄

    • @teoadam4465
      @teoadam4465 4 года назад +1

      huh

    • @emanuelelias3190
      @emanuelelias3190 4 года назад +1

      Mambo

  • @naamohamed9964
    @naamohamed9964 4 года назад +31

    Nampenda huyu dd akiongea

  • @lauryjerry1566
    @lauryjerry1566 4 года назад +1

    Ni kweli kupata haki yako unabidi uzungumze..ungekaa kimya wangekudhulumu na kuharibu reputation !! Mungu akusaidie Jackie!! Justice must prevail!!!

  • @zakiahussein5850
    @zakiahussein5850 4 года назад +2

    Safari ya maisha ina mabonde... Milima...dhiki..aibu..na mengine mengi...Nahodha wa maisha yako ni ww dear...Endelea kusimama Imara na Mungu yupo pamoja na wenye haki...

  • @annshiro769
    @annshiro769 4 года назад +36

    This woman is so humble ...smart na ako na respect....jackie may God fight your battles ....hasahau kusema (mume wangu)

  • @ashurabakiri8427
    @ashurabakiri8427 4 года назад +51

    Hii interview nimeisikiliza kwa umakini mno,huyu dada anaakiri sana, Mungu 🙏 amsimamie tu kwakweli

  • @vanessajames1567
    @vanessajames1567 4 года назад +3

    Ila twende mbele turudi nyuma kulingana na maelezo inamana watoto wakubwa wamepewa mali za mama yao na sio za baba yao sasa unazan timbwili litaisha kweli? Alaf hapo hapo aje atajwe dadaako yani shemeji wa marehem huu ugomvi ndomana umekua mkubwa

  • @ummywashir364
    @ummywashir364 4 года назад +138

    Watafute na upande wapili uwahoji ili ubalance story

    • @happyholm1761
      @happyholm1761 4 года назад

      Ni kweli kabisa.. maana ajitetee kwanza huonekana kuwa na haki

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 года назад

      ruclips.net/video/3xZH3bIjFLw/видео.html

    • @frankngajilo7137
      @frankngajilo7137 4 года назад +2

      Ile sio level za mitandao huyu anamaisha yasiyo ya ile familia

    • @alexandrinadomaino9868
      @alexandrinadomaino9868 4 года назад +1

      Umeongea point kabisaa dear

    • @ashurabairu25
      @ashurabairu25 4 года назад +3

      @@frankngajilo7137 Bali ni level za mahakamani😏

  • @onlytecna9498
    @onlytecna9498 4 года назад +27

    I love her no matter what mti wenye matunda ndyo unaopigwa mawee Stay strong dear Jaqline hakuna mwanzo uliokosa mwisho,,,,watu wataongea mengi lkn at the end ww ndo unaojua ukweli wa haya yote I wont judge u in any way,,,,all I can say just be 💪 strong and keep on focusing everything will be fine💕💕

    • @lonicamagupa3416
      @lonicamagupa3416 4 года назад +2

      Pole sana jacrine mungu ni mwema atakupigania

    • @kabulakamotta3740
      @kabulakamotta3740 4 года назад +2

      Pole sana Jack tuK nyuma yako mama tunakuombea Mwenyezi Mungu akupe nguvu kipenzi

  • @einsteinmboje4730
    @einsteinmboje4730 4 года назад +14

    Aiseeeee Kweli Usisikilize Ya Watu Zaidi Kuliko Muhusika ... Ameongea Confidently Sana !! Hongera Millard Kwa Maswali Positively Na Yenyewe Kuleta Tija kwa Jamii

  • @dastankhalifa5672
    @dastankhalifa5672 4 года назад +1

    Kile nijuacho!!!
    Watu wengi hupenda kujificha kwenye vivuli vya upendo, watoto ili waweze kufanikisha mambo yao kirahisi na jamii ikawaelewa pia!!
    MUNGU NDO ANAJUAGA UKWELI WA NDANI KABISAA!!!

  • @joelmwita1202
    @joelmwita1202 4 года назад +11

    Inasikitisha jaman jack pole ila usiwachekee ndg kuwa na msimamo watetee watoto

  • @hemedselemani1439
    @hemedselemani1439 4 года назад +53

    Ukisikiliza hii video kwa makini utajifunza kitu kikubwa sana,,, ina maana mzee Mali zake karithisha watoto wadogo na wakubwa hawana urithi kwake kwa sababu wameshapata za mama yao ,,, then umesema mwanzoni mzee alishawahi kukugusia masuala ya mirathi then mwiisho unasema hamjawahi zungumzia hicho kitu kabisa,,,,vijana tutafute hela tu mengine tumuachie huyu dada hapa

    • @odiliasafari1461
      @odiliasafari1461 4 года назад +2

      Tafuta halafu weka urithi vizuri kwa familia .ukiongeza mke muanze huko mrithishane ya huko mliko sio kuhamisha hadi kitanda mwishobwa siku kinadaiwa kuwa kilirithishwa bi mdogo.

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 года назад +1

      😁

    • @veronicadaniel1122
      @veronicadaniel1122 4 года назад +1

      hemed Selemani Yaani pesa hii

    • @bridgetmagabe95
      @bridgetmagabe95 4 года назад +5

      Yaan huyu dada angefanyiwa lier ditector angeonekana muongo. Yaan anasema dubai mzee hajawahi tibiwa hivyo hatukua tunajua hospital yeyote nzuri tunauliza hotel. Hivi kweli yupo seriuos. Ukiwa nchi yeyote dunian ukitaka ujue hospital nzuri ya hadhi ya kutibiwa mume kama anavyosema na heshima yake angesubiri uliza hotel. Seriously

    • @gratisiamosha326
      @gratisiamosha326 4 года назад +3

      Mwenye kusikiliza vizuri na kuchanganua ataelewa hapo ndio kiini cha mzozo, watoto wakubwa wana haki kama walivyo wadogo kwani baba aliachana na mke na si watoto, kwa maneno mengine ni kwamba hata yeye jackie akiamua kuritisha watoto wake mali zake siku akitangulia, wao watabaki kuwa na haki juu ya mali ya baba yao, ni sawa na kusema kwa vile mtoto amekuwa mkubwa akajitafutia mali basi hana haki ya urithi kwa baba yake (hata kama ni mdogo kuliko ambacho amechuma yeye binafsi) kijamii watu wanarithi hata nguo tu, hata kama wanazo ni haki yao, sio suala la kusema mama yao alishawanunulia zinatosha

  • @kiazikitamu3985
    @kiazikitamu3985 4 года назад +140

    Watoto wana haki ya kutembelea kaburi la baba yao, huyo ni baba yao they cannot change the truth.

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 года назад +2

      kiazi kitamu na hio percent wapewe ni haki yao

    • @mpalleymwaipola7435
      @mpalleymwaipola7435 4 года назад +1

      Kama umeona mahakamani kumevunja uhusiano.sasa unalalamije KUTOKUFUNGA getting?

    • @bushbabytz
      @bushbabytz 4 года назад

      and you can not change the truth that they cant

    • @marysylvery5826
      @marysylvery5826 4 года назад

      Facts

    • @jonesmedia4120
      @jonesmedia4120 4 года назад

      What is good with dady's grave?

  • @angiecuthph4969
    @angiecuthph4969 4 года назад +3

    Ukiishi na mtu unayempenda the last thing kukiwaza n mtu huyo kufa 26:51 ... The love is real...be strong babe

    • @marthaigogo18
      @marthaigogo18 4 года назад +1

      Me hata mwanaume ambaye nilipendana nae lakn tukashindwana, Bado siwezi kumuwazia kufa! Aisee hii kauli imenigusa n Inaonesha kiasi gani Jacq alikuwa anampenda sana mume wake.

  • @Nickojunior
    @Nickojunior 4 года назад +5

    Millard kanifundisha kwamba hata kama uwe bossi usikae kama boss endelea kusaka pesa kupitia njia zote 🤗🙏

  • @iddimoshi8459
    @iddimoshi8459 4 года назад +48

    Keep on being strong Jacqueline.
    God is with you, Nothing will harm you.

  • @antybabybintrashid2333
    @antybabybintrashid2333 4 года назад +123

    High brain capacity plus true love amefarki but still respect is there (mume wangu)

    • @benji8949
      @benji8949 4 года назад +3

      Nguvu ya pesa hiyo

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 4 года назад +2

      @@benji8949
      😁kabisaa,mwenye mume halali kashafariki pia!

    • @dainagano3656
      @dainagano3656 4 года назад +3

      @@benji8949 smtyms tc nat Ol bouh money jmn ...mbona kuna watu maskini wanafiwa na still wanaita wapenzi wao waliokufa as mume au mke wao.

    • @agnesschami821
      @agnesschami821 4 года назад

      💪

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 4 года назад +32

    Msiba watajiri shida Sana kwa masikini saaaafi mnalipa madeni ya marehemu Kisha familia anakula viazi maisha yanakwenda

    • @gabrielnkya9783
      @gabrielnkya9783 4 года назад

      Ndugu zangu wachaga wenzangu na wamachame wenzangu au wazee wangu embu naombeni tuache kuangaika navibinti vyenye umri mdogo ,ambao wanafanana na mtoto wako hiyo inafanya leo kunakuwa na shida kama hizooo za mari wazee wangu mkiachana na wake zenu bora umzalishe mtu sio kuoa hii ndio inaleta shida,ukifata sheria huyo dada koz ni mke wa ndoa hatapata haki zote naombeni wazee wangu wakimachame shida ndio mnatuachia sisi tulio tangulia ktk dunia kabla ya hao watoto ,maana kiukweli watoto lazima wapate haki Zaooo hila wakuwalaumu wazee wetu wa kimachame muache mnapendaga sanaa ktk uzee wenu vibinti vidogo ,mm tunajijua nyinyi mamangi acheni mambo yenuuuuu ,mnatuzalilisha sanaaaa sisi vijana wenu acheni kituachia shida .

    • @gabrielnkya9783
      @gabrielnkya9783 4 года назад

      Ndugu zangu wachaga wenzangu na wamachame wenzangu au wazee wangu embu naombeni tuache kuangaika navibinti vyenye umri mdogo ,ambao wanafanana na mtoto wako hiyo inafanya leo kunakuwa na shida kama hizooo za mari wazee wangu mkiachana na wake zenu bora umzalishe mtu sio kuoa hii ndio inaleta shida,ukifata sheria huyo dada koz ni mke wa ndoa hatapata haki zote naombeni wazee wangu wakimachame shida ndio mnatuachia sisi tulio tangulia ktk dunia kabla ya hao watoto ,maana kiukweli watoto lazima wapate haki Zaooo hila wakuwalaumu wazee wetu wa kimachame muache mnapendaga sanaa ktk uzee wenu vibinti vidogo ,mm tunajijua nyinyi mamangi acheni mambo yenuuuuu ,mnatuzalilisha sanaaaa sisi vijana wenu acheni kituachia shida .

    • @khadijamalifedha4786
      @khadijamalifedha4786 4 года назад

      😀😀😀

    • @babuubarotti8418
      @babuubarotti8418 4 года назад

      Eeeeh mwaya

    • @dayanawatson1512
      @dayanawatson1512 4 года назад

      🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mwalamik
    @mwalamik 4 года назад +30

    sad story,, wengine wanaweza kujifunza kutokana na story hii...., the true story

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 4 года назад +33

    My SUPER PRESENTER of all time.. MillardAyo...💥💥💥💥

  • @mariej6962
    @mariej6962 11 месяцев назад

    Ulichokosea ni kuamini kuwa kwakuwa watoto wakubwa walishapata share ya mama yao, wasingepata share ya baba yao, wewe huna uhusiano na mama yao, why uone ni sawa wewe na watoto wako mchukue share zote (100%) za baba yao? Hebu jiulize angekufa bila wewe kuolewa share zilizobaki kwa baba yao zilikuwa za nani? Huyu dada anapenda pesa huyu mpaka anachanganyikiwa, they still have equal share kutoka kwa baba yao!!. Ulijichanganya sana, huwezi kupata hiyo share trust me.

  • @allykutenga2862
    @allykutenga2862 4 года назад +1

    Muuliza maswali ni kichwa half anaejibu ni genius..Fantastic interview sio ku2letea cjui Amber Rutty mara Wema na Tanasha vileeee na ndo mana Millard umeamua uingie mwenyw..WELLDONE...

  • @moringelangas7276
    @moringelangas7276 4 года назад +8

    You speak well,siku zote msema peke mshindi,kinachonisikitisha dada yangu Jaque hatambui kama ana watoto wakubwa wa marehemu Dr.Mengi,hata kuwataja majina hayo anaona kinyaa,kitendo cha yeye kutowatambua watoto hao ni dhambi kubwa sana na dhambi hiyo itamtafuna vibaya.

    • @nyaluempire6529
      @nyaluempire6529 4 года назад

      Sio kweli hana kosa hajawazaa yeye.... Nayeue hakupaswa kuwatafta wakat mumewe yupo ndo angemtambulisha

    • @moringelangas7276
      @moringelangas7276 4 года назад

      @@nyaluempire6529 atateseka sana!Kama hakutambulishwa asilalamike.

    • @debby-lcas6219
      @debby-lcas6219 4 года назад +1

      Kawataja itakua ww ndo hujui majina yao

    • @angelfransisco7839
      @angelfransisco7839 4 года назад

      Kawataja msimtafutie! sababu dada wa watuu

  • @haysanhassan2685
    @haysanhassan2685 4 года назад +4

    Millard ndo mfalme wa interview Tz. Siyo wasanii tu, Millard anauwezo wa kufanya interview na mtu yeyote na interview ikapendeza isiboe, kiufupi huyu jamaa alitakiwa awe BBC au DW ila nadhani ofa kama hizi Millard labda alishawahi kuzikataa. Respect Millard

  • @salumsumbu3845
    @salumsumbu3845 4 года назад +38

    nipeni like za kutosha kwa muuliza maswali na mjibu maswali,,pole mama jaden

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 года назад

      ruclips.net/video/3xZH3bIjFLw/видео.html

  • @tomhenry5085
    @tomhenry5085 4 года назад +16

    Milad thanks for that interview, the woman is sincere. It seems Benjamin will never give her peace. Jackline fight for your kids.

    • @gabrielnkya9783
      @gabrielnkya9783 4 года назад +1

      Nyinyi wazee wangu wakichaga tunawajuwa sanaaa mnapenda sana vibinti vidogo mnazeekaga vibaya nawajuwa ,mkiachana na wake zenu mnatafuta mabinti wadogo mwisho mnatusumbua sisi watoto wakubwa tulio bakia sio mzee mengi wapo wengi ambao sio maarufu yametokea haya yaliyopo kwasababu huyu mzee ni maarufu.

  • @gracesanga3173
    @gracesanga3173 4 года назад +95

    I feel her pain 😩😭. Tupendane jmn hpa duniani tunapita tu

  • @suleimanislam7777
    @suleimanislam7777 4 года назад +61

    Ningependa intervi zote zifanyiwe na malad mwenyewe na wengine waige kwake nimekukubaki kwa kzi yko milad

    • @moniccerhassan1869
      @moniccerhassan1869 4 года назад +2

      Interview za watu makini Kama Hawa ndo zinamtaka Millard sio kina Amber Ruth davil Gigi hapana

    • @allykutenga2862
      @allykutenga2862 4 года назад +2

      moniccer hassan;AHSANTE SANA..cna la kukulipa ila ni dua tu ALLAH akujaalie kila la kheri na akuepushe na kila la shariii,,Coz umeandika neno dogo ila daaahh...

    • @maryrichard4867
      @maryrichard4867 4 года назад +1

      Millard interview zake always huwa zimetulia tofauti na wafanyakazi wake

  • @sabrinaben3568
    @sabrinaben3568 4 года назад +2

    Hakika mali so kitu Bali utu ndy kitu cha msingi never give up my ccter god bless you @@@@@nakukubali sanaaa

  • @dogonurdini8174
    @dogonurdini8174 4 года назад +4

    Wemukaka nimekupenda bule wallah mungu akulinde na mabaya akupe itaji la moyo wako akivile

  • @fridavalentine2758
    @fridavalentine2758 4 года назад +8

    Umeongea kiutu uzima sana,Wake Wamama Tunaelewa sana Unachopitia kipindi hiki,Na yote haya yanakupata kwa sababu ya mali,Mzee angekuwa hana chochote usingekutana na haya,Mungu akupiganie Sana Mamy

  • @godfreynyansira4273
    @godfreynyansira4273 4 года назад +21

    Ñakuelewa sana millard, ,ki ukweli nazikubali sana interview zako, ,j.n.mengi nimekuelewa Mumy, ,

  • @jeniffermarwa2869
    @jeniffermarwa2869 4 года назад +1

    Unaweza sema wewe unà mapito kumbe kuna watu wanapitia nami nimejifunza kitu nimeolowa na mume kanizidi na nimekuta watoto hivyo no darasa kubwaa saana kwangu. Ubarikiwe Dada

  • @veronicamandepo245
    @veronicamandepo245 4 года назад

    Pole sana Jack. Hakika nimekuelewa sanaa. Na pia unayopitia dada yangu kayapitia mume wake kufa na watoto wa marehemu mke mwenzie. Hakika watoto wa mama mwingine ni shida sana kifo kinavyotokea cha baba kuacha mali. Wengi walikulaumu kumbe huna kosa. Mungu akutete sana.

  • @naomiselele2842
    @naomiselele2842 4 года назад +38

    Pole Sana Jack mungu mwema atakusaidia tu

    • @ashreymapinda5321
      @ashreymapinda5321 4 года назад

      Unampa mtu pole wakati wewe hapo ulipo hata mkokoteni huna na unamuonea huruma wakati anamiliki nyumba na majumba wewe hata slop ya simba dumu huna watanzania tukue kiakili wewe msikie na kila kitu sio yeye sasa jiulize ni nani

    • @abubakaryalmas7673
      @abubakaryalmas7673 4 года назад

      @@ashreymapinda5321 Kwaiyo kumpa pole amekosea ama? Ni bora uyo unayemsema hana ata mkokoteni lakini ana amani moyoni mwake kuliko uyo Dada unamuona anamali lakini apo analalamika amani hana wala furaha. Kikubwa kuwa na amani na furaha tu ya maisha Mali zinatafutwa

    • @dmginfo2470
      @dmginfo2470 4 года назад

      ruclips.net/video/3xZH3bIjFLw/видео.html

  • @abastansanga7256
    @abastansanga7256 4 года назад +15

    Uyu mwanamke anaakiliii sanaaa sanaaaa😍

  • @vailethalabama8255
    @vailethalabama8255 4 года назад +3

    Jackline yo strong woman mungu akusaidie akutie nguvu👏
    Millard keep it up⚡

  • @maria_mutondioriginal5
    @maria_mutondioriginal5 4 года назад +3

    Huna hatia una akili unajua nini unaongea ndiyo maana Mengi alikuchagua uwe mke wake. You will overcome this.

  • @biashaallyally3701
    @biashaallyally3701 4 года назад +23

    Millard ayo umependaz sana nimekupenda bure

    • @abelbest4984
      @abelbest4984 4 года назад +1

      Acha nyege utafirwa

    • @MWAMALUMBILI
      @MWAMALUMBILI 4 года назад +3

      Abel Best, lugha kali si lazima ziwe chafu, polepole huenda atakuelewa pia!

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 4 года назад +5

    Yaan jackline amejieleza vzr bila kupepesa maneno I know unayopitia jack stay strong mum Yaan wewe ni future yangu

  • @burundishallsmile1day109
    @burundishallsmile1day109 3 года назад +2

    Maskini pole sana!
    Very Smart lady👍🏾

  • @gabrielrobert8677
    @gabrielrobert8677 4 года назад +6

    Jacqueline yuko smart saana.....mungu atakusimamia

  • @WasafiSports
    @WasafiSports 4 года назад +104

    Bora umemuhoji mwenyewe!. Nice Interview.

  • @FlorenceDDR
    @FlorenceDDR 4 года назад +77

    God is with you. Intelligent, respectful, wise woman 🙏🏾🙏🏾

    • @sanekwilabya4453
      @sanekwilabya4453 4 года назад +2

      true Florence

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 года назад +1

      Interview za kisomi Raha kusikiliza unajigunza kitu...

    • @clausemsemwa297
      @clausemsemwa297 4 года назад +1

      The truth does not belong to us

    • @bushbabytz
      @bushbabytz 4 года назад

      intelligence on camera!? even a dog can be that much!

    • @FlorenceDDR
      @FlorenceDDR 4 года назад

      lovsply you have your opinion and l have mine. Kule mtu anauhuru wakuamini anachotaka kuamini. If l felt she was wrong l would say so. I understood everything she said. Marehemu Mzee Mengi hakuwa mjinga, he was a very educated and smart human being na pia alimpenda Mungu. I believe he was fair with his decision according ya mirathi! Sorry nachanga kiswahili na English

  • @evagervas7900
    @evagervas7900 4 года назад +56

    Jack unaheshima sanaaaa kitendo cha kuita watoto wetu wakubwa Nakupenda sanaaaa jack

    • @maryrichard4867
      @maryrichard4867 4 года назад +1

      Sanaaa, yaani ni wachache sana wenue moyo kama wake

    • @mahmoudukusso4488
      @mahmoudukusso4488 4 года назад +4

      Kuna pesa hapa ,hata miguu italambwa sembuse kusema mume wangu

    • @elizabethkimari6224
      @elizabethkimari6224 4 года назад

      @@mahmoudukusso4488 😀😀😀😀😀

    • @dedera105
      @dedera105 4 года назад

      watoto wake au wenzake, koz umri wao mmoja😂

    • @evagervas7900
      @evagervas7900 4 года назад +2

      @@dedera105 hata kama umri wangekuwa sawa kilichoonelewa hapa ni heshima sijui umeelewa hapo

  • @noelnyoni3724
    @noelnyoni3724 4 года назад +4

    Duh....This interview was tough, on both sides, some questions are extremely uncomfortable but they had to be asked and answers given. Pole dada Jacqueline..I hope you will find closure. Millard I admire your professionalism but you’re mindful of her feelings.🤝🤝....I am touched and learned a lot.

  • @chainbre275
    @chainbre275 4 года назад +31

    Yani watoto wadogo wamepata share two times yani Mali walio fanya n'a mke wakwanza iliyo baki ni ya watoto wadogo n'a Pia Mali aliyo fanya baada ya Kuachana n'a mke mukubwa hiyo share imegawanyiwa watoto n'a mamayao tu wakaubwa wala family hapo I think hiyo ndo shida kubwa

    • @swaumukareemu9247
      @swaumukareemu9247 4 года назад +3

      Lakini wale watot wakubwa walitakiwa kushirikiana na wadogo zao yani wachaga sijui wanakosea wapi. Walio zitafuta hawapo nyie kupewa2 mwangombana

    • @ilovejesus9303
      @ilovejesus9303 4 года назад +1

      Labda kwa vile watoto ni wadogo Sana wanakua

    • @ashreymapinda5321
      @ashreymapinda5321 4 года назад +3

      Dada mkavu huyuu angekuwa kapuku angemkubali huyooo mzee ndio alifata mali na hata machozi ya unafiki hana haya yatakuwa kama familia ya msuyaa

    • @edwardtabitha4426
      @edwardtabitha4426 4 года назад +1

      Haujamuelewa ludia tena interview utaelewa

    • @klystry1234
      @klystry1234 4 года назад +1

      Metrine Bilunji ila huezi jua ameangalia nn maana wadogo ndo wanamatumizi makubwa kuliko hao waliokua ila kwasababu ya njaa ndo mana wanaona atafaidi ila Mungu atatenda tu

  • @aisharamadhan5257
    @aisharamadhan5257 4 года назад +31

    Dahhh,,, mungu awasimamie hao watoto wakue salama , japo sifahamu kiundani zaidi ila wangezungumza kifamilia tu yakaisha

    • @gracefesto413
      @gracefesto413 4 года назад

      Wakuache kabisa mama Mengi. Hakikisha haki yako na watoto inapatikana .

  • @babuuhussein5263
    @babuuhussein5263 4 года назад +2

    Hii inaitwa Single story Yan tumeskia ya upande mmoja so tunasubiri Na upande mwingine ili tujue ukweli... Ila yote kwa yote watoto ni wadogo bado wanaweza kukua kwa jealous wakatengeneza Vita mbaya yakifamilia

  • @lovemallya1611
    @lovemallya1611 4 года назад +1

    Uko vizuri sana madame .hongera sana
    Uliambukizwa busara na mzee mengi

  • @davidpetro1637
    @davidpetro1637 4 года назад +38

    achana na hao ndgu wa mengi kama wanakuchkia kaa nao mbali waachie mali hizo kwani hawataishi milele ..tafta ata duka la soda uuze ukae kwa amani na watoto wako waachie kila kitu kisa mrudie mungu

    • @mwitajohaness8816
      @mwitajohaness8816 4 года назад

      Na shida ni Mali tu hakuna kingine hapo yaani hizi Mali mmmmmh tabu kweli

    • @nyonigrey3575
      @nyonigrey3575 4 года назад +4

      Uwezi kuacha mali za watoto sababu ya ndugu mimi nikifa mke wang apambane kulinda mali za watoto wang mpaka anakufa asiwape nafasi ndugu zangu,watapola mali zang watoto wang waje wateseke aiwezekani.