ASIMULIA ALIVYOFUKUZWA UPOLISI KWA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA, KUFICHA SMG LINDO LA RAIS, ALIVYOIBA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 апр 2024

Комментарии • 93

  • @frankbujiku9496
    @frankbujiku9496 Месяц назад +11

    Huyo jaamaa unaye muhifadhi anaitwa maree 😂😂😂 wangap mumeisikia hiyo

  • @felixhaule7071
    @felixhaule7071 Месяц назад +7

    Ulinzi Moja Alfred Gewe,RCO alikuwa Said Mwema,OC CID alikuwa Lekey,kitambo sana

  • @suleimanmrita1992
    @suleimanmrita1992 Месяц назад +5

    dah pole sana maisha haya ni noma sana ila km bado tupo hai ni kumshkuru mungu tu ila pole sana kwa matatizo yaliokukuta tuzid kumuomba mungu kwakila kitu yote ni mapito tuu

  • @pmp-255
    @pmp-255 Месяц назад +6

    great....jamaa anakumbukumbu sijawahi ona hapindishi hata kidogo, watu wa hivi wamebakia wachache sana..

  • @JoyceFrank-be3rj
    @JoyceFrank-be3rj Месяц назад +4

    Tutengeneze movie asee tutapiga hela

  • @aboually2472
    @aboually2472 Месяц назад +1

    Sema mkuu unajua kuhadisia saf sana itabid tukukutanishe na @DAVISTA MATA

  • @nassontunyande1109
    @nassontunyande1109 Месяц назад +4

    Daah Ayo umetisha kwa story hii! Usitunyime muendelezo wa story cheki hii!

  • @robertnyakunga1950
    @robertnyakunga1950 Месяц назад +5

    mwendelezo mkuu interested story

  • @abdulmahighway4172
    @abdulmahighway4172 Месяц назад +5

    Marekani hi ishakua movie

  • @aediayumgo8546
    @aediayumgo8546 Месяц назад +9

    DUNIANI huwezi kufanya uhalifu bila kushikikiana polisi ndiyo Hali halisi😲😲

  • @Remigani-vi9ks
    @Remigani-vi9ks Месяц назад +3

    Kumbe wimbo wa afande msela aliimbwa huyu na p mawenge

  • @LeylatVlogs
    @LeylatVlogs Месяц назад +5

    Kaka utahitajika kwa ajili ya maelezo ya huyo usiyetaka kumtaja jina inaonekana bado ni hatari na anaendelea na uovu kwa mtazamo wangu

  • @kambiyusufu2776
    @kambiyusufu2776 Месяц назад

    Dah noma sana yani

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 28 дней назад

    Daah goma tamu sana hili tupo muendelezo 😢

  • @eggysulle7988
    @eggysulle7988 9 дней назад

    Duh

  • @netlity5532
    @netlity5532 Месяц назад +2

    Kama vile muvi ya banshee hii stori

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 Месяц назад +1

    Bonge la stori 🙏🏽🙏🏽🙏🏽 Tunaomba muendelezo wake

  • @antonydangote5879
    @antonydangote5879 Месяц назад +2

    Dk Izaak Marlow hii story tunaitaka kwenye njia panda Juma pili wewe unajuwa kuhoji vzr Yan hii ni zaidi ya single move ya DJ MACK😅

  • @HoseaLeonard
    @HoseaLeonard Месяц назад +2

    Hawa sasa ndio Polisi nawajua mimi😂😂

    • @mabrouckmtandika9908
      @mabrouckmtandika9908 Месяц назад +1

      Elewa story alifukuzwa

    • @HoseaLeonard
      @HoseaLeonard Месяц назад

      @@mabrouckmtandika9908 unahisi wewe una uelewa mkubwa sana kuliko wengine? Tuliza akili kaka .

  • @mansoursaid8
    @mansoursaid8 Месяц назад +1

    Duhh aisee nice story, next please

  • @honolatusrwelamila1654
    @honolatusrwelamila1654 Месяц назад

    Season 2 please

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Месяц назад +1

    HV watanga wananini lakin kwenye Mambo haya😅😅😅

  • @fatumaabdul6795
    @fatumaabdul6795 29 дней назад

    Imeishaje

  • @musadaudi4348
    @musadaudi4348 Месяц назад

    ASE MAISHA YANA MAMBO MENGI SANA TUNAOMBA MWENDELEZO ALIPOONESHWA CHUMA NA MAGAZINE INATISHAAAA NDUGU ZANGU FANYA SHUGHULI ZAKO SIKU ZAKO ZIKIENDELEA KUPUNGUA UKIJICHANGANYA SHAURI YAKO

  • @imanuelmtandiji3933
    @imanuelmtandiji3933 Месяц назад +1

    Story inaendelea mbengo tv

  • @marcojonline7847
    @marcojonline7847 Месяц назад +1

    Police ni noma utasema tu😂

  • @selectorzedon255
    @selectorzedon255 Месяц назад

    Hivi ndivyo watu wanatendewa mpaka sasa

  • @rashidomar1558
    @rashidomar1558 Месяц назад +1

    Tunaomba muendelezo plz

  • @temuemanuel4671
    @temuemanuel4671 Месяц назад

    Mwendelezo pls

  • @gilliardgodfriend5745
    @gilliardgodfriend5745 Месяц назад

    😊😅😅😅😅😅 hapo kwa police 😂😂😂 lazima useme mtu mlevi anakuoa kichapo😅

  • @praygodmtui1407
    @praygodmtui1407 Месяц назад +1

    Ushamba wako ndio ulikoponza Kaka

  • @phantyrhymes9536
    @phantyrhymes9536 Месяц назад +1

    Duu Mungu mtetee huyu afande...kajifunza.

  • @iddymohd294
    @iddymohd294 Месяц назад

    Kk nambambili ipo wapi

  • @soniamarkmark3639
    @soniamarkmark3639 29 дней назад

    Nani kasikia Marley

  • @masukesauni516
    @masukesauni516 Месяц назад +1

    Sikukuu na narun'gombe hiyo.

  • @kakagift8356
    @kakagift8356 Месяц назад +2

    Malley

  • @mwasa_tv
    @mwasa_tv Месяц назад

    elewa maumivu ni hatariiiii

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 Месяц назад +1

    Miendelezo muenselezo tafadhali

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 Месяц назад

    Atr kwel

  • @AndrewPaulSR
    @AndrewPaulSR Месяц назад

    Duh hatari sanaa

  • @masukesauni516
    @masukesauni516 Месяц назад

    Unamuhifadhi wakati ushamtaja.

  • @mohdmohd8428
    @mohdmohd8428 Месяц назад +1

    Hv wenyewe wakiskia hawatafungua mashtaka?!

  • @husseinrashidi5828
    @husseinrashidi5828 Месяц назад

    Millard muendelezo

  • @MwanaishaShattry
    @MwanaishaShattry Месяц назад

    Ambar sio Ambali

  • @gb-one6435
    @gb-one6435 Месяц назад

    Story inafunza hii

  • @janeschurmanns7364
    @janeschurmanns7364 Месяц назад

    Jamani tunasuburi party two hii story Inatoa funzo sana

  • @qonquererqanquerer1781
    @qonquererqanquerer1781 Месяц назад

    Dooh! Simchezo

  • @rewardnjau7220
    @rewardnjau7220 Месяц назад +3

    😂😂😂 Male🤭🤫

  • @mohamedimbaga6583
    @mohamedimbaga6583 Месяц назад

    Hakuna mwisho mwema katika shughuli za uhalifu

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi4122 Месяц назад

    Next session inaelimisha hii

  • @masukesauni516
    @masukesauni516 Месяц назад +2

    K. Koo baazar ni swahili na narun'gombe

  • @azizakambenga9292
    @azizakambenga9292 Месяц назад

    Part2 plz

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 Месяц назад

    Muendelezo tafadhali, yaani Hadi mwili unasisimka.

  • @honolatusrwelamila1654
    @honolatusrwelamila1654 Месяц назад

    He's brilliant anajua kujieleza 🎉

  • @husseinrashidi5828
    @husseinrashidi5828 Месяц назад

    😂😂mnaingia kugawa pesa uchi bila chupi

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Месяц назад

    Csasa itakuwaje jamani hi sitori mbona bado hwijaishw

  • @lisawilliam2491
    @lisawilliam2491 Месяц назад

    Nice story

    • @jamespetro3014
      @jamespetro3014 Месяц назад

      Huyu afande kwel na anajuwa kusimulia hadi raha yaani unatamani aendelee kuwa jambazi tu😅😅😅

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 Месяц назад

    Mwaka 90+ ulikuwa unatumia simu gani? 😜😜😜😜

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 Месяц назад

    Mwendelezo lin

  • @angolina1768
    @angolina1768 Месяц назад

    Duuh hatar sana

  • @MatildeBjelland
    @MatildeBjelland Месяц назад +1

    Polisi hayuko chini ya mwanajeshi hapo umedanganya

    • @Peterchila-un2lx
      @Peterchila-un2lx Месяц назад +1

      Acha ushamba wewe polisi yupo chini ya mwanajeshi

    • @swahili24live56
      @swahili24live56 Месяц назад

      umeambiwa rank

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад

      @@Peterchila-un2lx POLISI HAYUKO CHINI YA ASKARI WA JWTZ KAMA HUJUI MAMBO TULIA

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад +1

      @@Peterchila-un2lx NA PIA INAWEZEKANA HUJUI, KUANZIA LEO UTAMBUE KUWA MWANAJESHI NI ASKARI POLISI,JWTZ NA MAGEREZA HAO NDIO WANAJESHI. SOMA KATIBA YA NCHI

    • @daudinyello4033
      @daudinyello4033 Месяц назад +2

      MWANAJESHI NI ASKARI POLISI,JWTZ NA MAGEREZA HAO NDIO WANAJESHI. SOMA KATIBA YA NCHI

  • @gaspermwasalemba3537
    @gaspermwasalemba3537 Месяц назад

    Polisi wako makini kishenzi yaani

  • @daressalaampost5785
    @daressalaampost5785 Месяц назад

    Tunaomba muendelezo

  • @Jicholahabari
    @Jicholahabari Месяц назад

    Muendelezo tafadhali

  • @jacksongidione-yo8vg
    @jacksongidione-yo8vg Месяц назад

    😢

  • @saudalilingani9264
    @saudalilingani9264 Месяц назад

    Imeishia kati

  • @Luckxon
    @Luckxon Месяц назад

    Ndio ukubwa huo

  • @user-ei2ud7gh5h
    @user-ei2ud7gh5h Месяц назад

    Halafu alikuwa hb dah ,,, inshaallah khery

  • @brahood4801
    @brahood4801 Месяц назад

    Story ya kujifunza mengi sana Ila hamjaimalizia why?

  • @abeidbhuzo520
    @abeidbhuzo520 Месяц назад

    Male .. ametajwa 😂

  • @msowamhokole7714
    @msowamhokole7714 Месяц назад

    Unatoa Siri ya kambi watakuita jamaa zako

  • @salimomari150
    @salimomari150 Месяц назад

    We call police Mission movie...

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 Месяц назад +2

    Tunataka muendelezo

  • @eddymaphy
    @eddymaphy Месяц назад

    Ingelikuwa ni mimi nisingekubali huu upuzi wa kuhojiwa mambo ya fedheha,wakati mambo yameshatokea,,na hakuna msaada wowote mutanipa zaidi ya comment,kushea na likes tu

    • @georgematovu1317
      @georgematovu1317 Месяц назад +1

      Kama hujui watu wanauza interview hizi. Hapo ameshalipwa

  • @fatmamachelenga4621
    @fatmamachelenga4621 Месяц назад

    Duh

  • @selectorzedon255
    @selectorzedon255 Месяц назад

    Bongo movie waish nayo story