NILIMSOMESHA MKE WANGU AKANIACHA NA KWENDA KUOLEWA NA MZUNGU, WAZIRI NISAIDIE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 фев 2024
  • NILIMSOMESHA MKE WANGU AKANIACHA NA KWENDA KUOLEWA NA MZUNGU, WAZIRI NISAIDIE
    www.youtube.com/@Wasafi_Media...
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 409

  • @homeofvideos8893
    @homeofvideos8893 2 месяца назад +5

    As a man I can feel the pain and the heat inside his chest. Kwa kumwsikiliza tu nayasikia maumivu yake kupitia sauti yake, Mungu atamlipa alichokifanya bro. Wanaume hatuna haki duniani

  • @halimaoman8726
    @halimaoman8726 3 месяца назад +16

    Huyo baba ameingia sana achofanyiwa na mzazi mwenzie badae atakuja kujuta wanawake wanalia wanakosa msaada kwa wenziwao ww dada mungu wanakuona sana mlichomfanyia huyo baba kakupa elimu leo unamuona nakudai baa yngu pole kwa mitiani ww kuwa na imani na mungu kwa hayo unayopitia mungu yupo nawe ipo siku yatakwisha tu imani na subra kila kitu

    • @halimaoman8726
      @halimaoman8726 3 месяца назад

      Sisi wanawake ni mtiani sana mungu taupe imani atukumbuki ulikotoka wapi au mtu wamekutowa wapi kuamisha bali sisi tunaangalia tunakokwena mungu taupe mawazo na ufahamu wapi tuliokuwa waalha

  • @johnsonkisaka9161
    @johnsonkisaka9161 3 месяца назад +28

    Dah..😢 aisee aisee aisee...sikia kwa wengine na furahia kufanya lakini isikutokee.....brother pole sana, Mungu alikujua kabla hujazaliwa and he knows what path you should go through but all in all He IS WiTH You (God)..still trust him. Nimekuombea have faith.

  • @noellahgervas90
    @noellahgervas90 3 месяца назад +13

    Anaitwa nan huyu jaman nimpate maana watu tuna mtoto na baba hatak hata kumuona huyu ni baba wa wap jaman mashaAllah❤

    • @upendogreutert199
      @upendogreutert199 3 месяца назад

      Jamani Duniani Malaika wapo sio kila mtu mkatili

    • @AyshaHamis-qw3gi
      @AyshaHamis-qw3gi 3 месяца назад +1

      Hii comment 😢 ..Mashallah ni wachach sana

    • @cyprian497
      @cyprian497 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂😂

  • @salha6596
    @salha6596 3 месяца назад +14

    😢😢😢Inshaalla alivyo kuzalilisha ipo siku atazalilika yeye

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 3 месяца назад +5

    Subhanallah pole sana ALLAH atamlipa

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 месяца назад +18

    Yaaan sisi wanawake tunamoto wetu wa VIFUU WALLAH 😢😢😢 ee m/mungu naomba subra na huyu mume wangu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 месяца назад

      ALLAH AKURAHISISHIENI

    • @user-ei2ud7gh5h
      @user-ei2ud7gh5h 2 месяца назад

      Inshaallah ❤❤❤❤❤❤kerry ❤❤❤amin YARABBY

  • @kubojajoseph3226
    @kubojajoseph3226 3 месяца назад +37

    Nimelia Kwa uchungu sana dah! Ifike mahala Ustawi wa Jamii waangalie haki za Wanaume pia

    • @margarethmwampondele7858
      @margarethmwampondele7858 3 месяца назад +3

      Zipo

    • @kubojajoseph3226
      @kubojajoseph3226 3 месяца назад

      @@margarethmwampondele7858 lakini hazifanyiwi haki kama za Wanaume

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 3 месяца назад +1

      ​@@margarethmwampondele7858Sawa je zinafanyiwa kazi?haki zinatendeka?maana wameegemea kwa wanawake tu

    • @BAGAMOYOMATUKIOLIVE
      @BAGAMOYOMATUKIOLIVE 3 месяца назад +3

      Mi naloga wote wafe niki uwa kwa kujeluwi utashtakiwa nauwa kwa kuloga

    • @user-ei2ud7gh5h
      @user-ei2ud7gh5h 2 месяца назад

      Warah hii nimependa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @rogerioathumani9084
    @rogerioathumani9084 3 месяца назад +15

    Daah huyu jamaa mwanaume sana pole sana bro

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 3 месяца назад +6

    Mambo ya Beijing hayo. Empower, empower mwisho wa siku pwaaa. Mungu atusaidie sana.. roho za jezzebel zimemwagwa kila kona.

    • @betetv7441
      @betetv7441 2 месяца назад

      😂😂😂😂,

  • @geofreybarama4000
    @geofreybarama4000 3 месяца назад +6

    Kuna aja ya kufungua foundation ya kuwawezesha wanaume kuwatetea nakuwapa elimu ya uwazi coz wanaume wengi wanapitia wakati mgumu na wanakosa msada..

  • @user-xw7ix6my6j
    @user-xw7ix6my6j 3 месяца назад +3

    Dah,mungu atakujaa mwengine mwenye mapenzi ya kweli.sisi hatujawapata wanaume wenye mapenzi ya dhati.duh mtihani

  • @Neema-qm9kk
    @Neema-qm9kk 3 месяца назад +3

    Huyu baba endapo kama anachosema ni kweli aisee Huyu mwanamke amemfanyia jambo baya sana. Pole sana

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 3 месяца назад +8

    Mwanamke mmoja anaweza akaharibu heshima za wanawake wote,huyu dd alimkubali.huyu kk kima silahi tu

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 3 месяца назад +10

    Duh wanawake tuna moto wetu haki 😢😢😢 dada hii bahati uliyo ipoteza kwa tamaa zako Mungu yupo utakuja kujuta 😢 pole sana kaka Mungu atakupa aliye sahihi insha'Allah 🙏🏻

  • @jacqueli18
    @jacqueli18 3 месяца назад +21

    Wanawake tamaa zinawaponza, mitandao inawadanganya

  • @jeaninekabano9190
    @jeaninekabano9190 3 месяца назад +6

    Pole sana kaka lakini kuna wanawake wengi wamefanyiwa vitu vibaya saana na wanaume. Hawajatangaza wewe hapo shukuru Mungu hakukudhuru maana dunia hii umejaa ubaya Kama unamwamini Mungu omba atakupatia wa kufanana nae ❤

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 3 месяца назад +10

    Wazr gwaijima Lako hilo kamata mzngu weka ndan..then mtume mama amfuate mtoto harak sana..akaishi na babak

  • @florachogo243
    @florachogo243 3 месяца назад +41

    Huyo dada alipata mume sahihi , alichokifanya malipo duniani hapa hapa, na atakukumbuka sana, bahati hairudi ,mungu akusaidie unaupendo wa agape😢

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 месяца назад

      Mungu/MUNGU sio mungu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 месяца назад

      DUNIA
      NDIVYOO ILIVYOOO

    • @kyaro5945
      @kyaro5945 3 месяца назад

      huyu demu amempata mzungu online. demu kamcheat mlami. demu ataenda achika pia .

  • @ChikoMathias
    @ChikoMathias 3 месяца назад +3

    Pole sana

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 месяца назад +2

    Kaka Pole sana , kuwa na subira na hujamtenda mkeo ubaya, lakini Mungu atakulipia Hayo mkeo amefanya atajutaa

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k 3 месяца назад +1

    Kaa na Mungu atakusaidia . Mbona tunanatajilisha kisha munaduharibiya maisha hatuwatiye mtandaoni

  • @catherinecostantino2034
    @catherinecostantino2034 2 месяца назад

    Pole Sana Kaka mungu atakulipa mwenye upendo wa kweli , huyo ungeweza kufanikiwa akakuwekea sumu , shukuru mungu ameondoka maishan mwako , alikuja kukupa somo

  • @marthakimia4075
    @marthakimia4075 3 месяца назад +1

    Pole sana ndugu yangu Mungu atakula mke mwema atakayekupenda kwa dhati

  • @christmaskasomo1231
    @christmaskasomo1231 3 месяца назад +35

    Daah! Hii imenikumbusha mnigeria mmoja aliekuwa anaishi uingereza, akarudi africa akamchukua mke na mtoto waliokuwa wamebaki africa akawapeleka London pia kuishi nao, ila kilichotokea mwanamke akaaanza kubadilika baada ya kupata mwanaume mwngine kule, na akamsingizia mumewe kesi ya kumteka mtoto wake, mumewe akafungwa miaka 3 jela na mwanamke akasafisha pesa zote za jamaa bank na baadae jamaaa akawa deported back to africa baada ya kutoka jela, Jamaa akiwa zake nigeria anaishi kwa rafki yake baada kusafishwa pesa, Mwnaamke nae akatapeliwa ela zote huko uingereza na mwanaume wake mpya na akamtoroka kukimbilia spain, mwanamke akaamua kurudi africa kumuomba mumewe msamaha, yan mumewe alikuwa na hasira nae mpaka huruma. Duuh wanawake hawa.

  • @lodvee1717
    @lodvee1717 3 месяца назад +3

    POLE SANA BROTHER ,KEEP ON TALKING TO GOD ATAKUPA MWANAMKE SAHIHI hawa kima Yezebel na Delila sio kabisa

  • @user-xm7ce5jh2k
    @user-xm7ce5jh2k 3 месяца назад +3

    Ni dunia.
    Nilimsomesha mume wangu nikampa urizi wote nikamlipia kufika bulaya ila alinihalibu niko kilema na kunipiga kila mala na kuniacha bila hata chochote. Sacrifice unafanya ila juwa kwamba shatani inavuluga. Nilizania ni mime wa maisha sikumulomba chochote heshima tuu nikakosa. Basi amenitendea mabaya na kuniacha . Munapenda mitandandao ila historia ni nyingi sema sisi wa mama hatusemi .

    • @LenatusPosiano-hi7tk
      @LenatusPosiano-hi7tk 3 месяца назад

      Pole sana dada pande zote Kuna makosa ukikuta mwanaume ni mtulivu ujue mwanamke atakuwa mtu hivyo....na ukikuta mwanamke ni mpole mwanaume anakuwa mtu wa kumuumiza ...ko maisha bwana ni vita ndani ya dunia

  • @user-nd8gg4ig7m
    @user-nd8gg4ig7m 3 месяца назад +3

    Pole sana kaka

  • @saidmsafiri5237
    @saidmsafiri5237 3 месяца назад +8

    Dah pole sana ndugu yangu mungu hamtupi mjawake

  • @charlesb.mwaipeta8415
    @charlesb.mwaipeta8415 3 месяца назад +6

    kuoa mwanamke wa kibongo ni sawa na kujivika timed bomb! Ndoa nyingi za kibongo zipo hoi ni vile tu watu hawasemi, wamefanya siri na wameamua kufa kiume. Wanawake wanatamaa sana

  • @fredytarimo9107
    @fredytarimo9107 3 месяца назад +5

    Pole sana bushoke. Ulikua umepigwa dawa wewe na hayo mzungu na yeye kapigwa dawa. Wanawake wa kisukuma siyo kabisa.

    • @Mina.15
      @Mina.15 2 месяца назад +1

      Cousin yangu kapiqwa uku usa 🇺🇸 yeye ndio mama na mke ndie baba 😂😂😂 anaosha viombo pika chakula 😂😂😂😂 na ako na kansa

    • @ancelimiangelus2664
      @ancelimiangelus2664 2 месяца назад +1

      Wanawake wa kisukuma wanann Kwan mbona tamaa zinawapeleka pabaya siku hizi

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 3 месяца назад +3

    Eee Mungu ungenipa mume mstarabu km huyu ningekushukuru mno.Hilo dada halina bahati.Ningemtiii sana huyu mume.

  • @hajihassan5433
    @hajihassan5433 3 месяца назад +1

    Pole sana, napitia hayo hayo ni magumu. Kiukweli sijawahi kuchukia kusikia mwanamme kamfanyia ukatili mwanamke.

  • @alfredjohn5693
    @alfredjohn5693 3 месяца назад +3

    Mungu atamlipa kwa fadhila zake zote alizomfanyia huyo mwanamke ,,nae ata grow zaid na zaid!

  • @farry391
    @farry391 3 месяца назад +12

    Am here again crying with a stranger 😢😢😢😢

    • @jade75798
      @jade75798 3 месяца назад

      Wee mpare dont cry things gonna be alright

    • @user-ls5sk6ni6l
      @user-ls5sk6ni6l 2 месяца назад

      Yooooo 😂😂😂😂

  • @ayshazambia6509
    @ayshazambia6509 3 месяца назад +6

    Pole sana njoo uniowe mm nitakuendo maana sote wahanga pole sana

  • @eddyeddy2907
    @eddyeddy2907 3 месяца назад +2

    I feel your pain brother. Mimi ni muhanga wa hiyo pia, mwanamke tulyekuwa na mipango ya kufunga ndoa tulshapelekana na kutambulishana pande zote familia zikatutambua I paid everything for his university studying but still baada ya yenye kumaliza tu masomo amenkimbia. Mimi namshtakia Mwenyezi Mungu 🧎😭

    • @nuryatmussa9966
      @nuryatmussa9966 3 месяца назад

      Pole 😢InshaAllah Mwenyez Mungu atakulipia pia likuepukalo linakheri naww

  • @catherinefrance3642
    @catherinefrance3642 3 месяца назад +1

    Poleee mnoo, tunashukuru kwa story upande wa kwanza tunasubir upande wa pili

  • @josephlorri431
    @josephlorri431 3 месяца назад +6

    Wanaume tunapitia magumu, mengine hatuongea ili kulinda hadhi.. ila wanawake wakipata udhaifu wako watashikia bango.. sheria nyingi zinapendelea mwanamke..ujinga mtupu

  • @user-nz4sn9ee8d
    @user-nz4sn9ee8d 3 месяца назад +1

    Pole sana😮

  • @ivonasangawe7185
    @ivonasangawe7185 3 месяца назад +1

    Pole sana brother

  • @salminabuhudhaifa4273
    @salminabuhudhaifa4273 3 месяца назад +4

    dah!😪 kiukweli umenitoa machozi nimekumbuka mapito niliyopita kiukweli inaumiza lakini inamwisho😭

  • @gjonathankamenge9528
    @gjonathankamenge9528 3 месяца назад +7

    It is understandable also taking into account your own age, and the time it may take to heal your hear and love again and make another child, but here is experience; concentrate on healing your heart, count it a loss and move on, you entered a wrong family, you are lucky to be alive, be grateful for that.

  • @user-cr7vi4qp9c
    @user-cr7vi4qp9c 3 месяца назад +1

    Pole sana bro

  • @akwilaisseri5312
    @akwilaisseri5312 3 месяца назад +17

    Tunapitia mazito sana wanaume nivile tu tumeumbwa na mwiyoo miguu tu Mungu atamfanyia wepesi 👏🏿👏🏿

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 месяца назад +1

      Ujuwe ni nin broo hata wanawake pia tuliyapitia ila sai tupo uarabun tunatafuta pesa ili yasije yakatukuta yalio pita

    • @neemamdami7466
      @neemamdami7466 3 месяца назад

      😂😂😂😂😂nyie mnapitia matatizo 😅😅😅😅labda sio wanaume hawa ninaowafahamu mimi

    • @bakaribakari6444
      @bakaribakari6444 21 день назад

      Utafutaji wa mwanaume na mwanamke haufanani hata kidogo ​@@omanoman2044

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 3 месяца назад +6

    Mimi mke wangu nilimtimua baada ya kuanza kunionyesha ujeuri,bahati nzuri ilikua hatuna mtoto,alibeba vitu vyangu vya nyumba zote,hawa viumbe bana

    • @RamulaKabugho-bk8vk
      @RamulaKabugho-bk8vk 3 месяца назад +2

      Subhanallah wanawake walionekana wengi motoni ni wazito me ni mwanamke lakini nawaogopa sana me uka peke yangu kama jini 😂😂😂

    • @reynaaalrawahi4137
      @reynaaalrawahi4137 3 месяца назад +1

      😂😂😂😂

    • @stanastana3199
      @stanastana3199 3 месяца назад

      @@reynaaalrawahi4137 sio mchezo,hawa viumbe hapana

  • @leonardgervas7515
    @leonardgervas7515 3 месяца назад +1

    Duhh polee!! Sana

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 3 месяца назад +1

    Pole sana kaka yangu

  • @mwanaishaabubakar5013
    @mwanaishaabubakar5013 3 месяца назад +7

    Wanawake pia wanapitia maisha magumu kwa wanaume both side are the same because we are all humans we have the same habits to the both sides.

    • @dayana5513story
      @dayana5513story 3 месяца назад +1

      Kweli kabisaaa

    • @alecbayrine7161
      @alecbayrine7161 3 месяца назад

      Today its not about u, today its about the guy...and from what i see he is a man. Acha kujivictimise hao ndo wale wale!!!?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 3 месяца назад +2

      ​@@dayana5513story Sio kweli kwa sababu wanaume 98% wameowa wanawake wanaowapenda LAKINI 70% ya wanawake hawakuolewa na wanaume wanaowapenda (chaguo lao).

    • @abuarafatmkweli748
      @abuarafatmkweli748 3 месяца назад

      Wanawake wengi sana, mume akitetereka kifedha au hata akishuka cheo kazini, mwanamke anakimbia na anatafuta mwanaume mwingine... Hii ni dhulma Kubwa sana... HAKIKA Kuna Mahakama ya Allah SW inakuja

    • @Sheba4651
      @Sheba4651 3 месяца назад

      ​@@hajihassan5433 Kiufupi sema tunafuga malaya tu, hata mke wangu akiona hii comment basi, atajijua mwenyewe.

  • @neatnessmwanga8653
    @neatnessmwanga8653 3 месяца назад

    Pole sana! Tuombeane!

  • @PaulinaLwena
    @PaulinaLwena 2 месяца назад

    Huyo alikuwa cyo mke sahihi Mungu alikuonyesha mapema,wako yupo Mungu anakuandalia🎉🎉

  • @janetchinga695
    @janetchinga695 3 месяца назад +1

    Usilie 😢😢 kaka angu mungu atakupa mke mwema uyo atakukumbuka muda sio mlefu , charmusingi muombe mungu mtoto atarudi kwako uyo achananae kabisa

  • @estarsaidi9110
    @estarsaidi9110 2 месяца назад +2

    Nimeria kwa uchungu mkubwa sana😢😢😢 ila malipo niduniani

  • @dorislema2465
    @dorislema2465 3 месяца назад +2

    mbona kaka mwenyew mzur tuu jmn wala hana tofaut na na wazungu alaf anao upendo wakweli,,uyo dada atamkumbuka sana uyu baba siku moja yaja

  • @user-dn5mq3fw5s
    @user-dn5mq3fw5s 3 месяца назад +1

    pole sana kaka mungu atakulipa inshaallh malipo ni duniani kaka 😢 naona huruma duu wana wake jamani

  • @silviaamos-pl5lk
    @silviaamos-pl5lk 2 месяца назад

    Pole Sana Kaka, wanawake siowote wasaliti ,ningekupata Kaka kama ww ningefurahi Sana amekosa bahati

  • @TheAfricanmusica
    @TheAfricanmusica 3 месяца назад +1

    Duuu pole sana

  • @mwinukafundibombanjombe
    @mwinukafundibombanjombe 3 месяца назад +4

    😢pole

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 3 месяца назад +3

    Jamani wanawake tujitambue,mungu atatulaani

  • @collincarlos7433
    @collincarlos7433 3 месяца назад +5

    Dah wanawake makatiri sana....inauma sana

  • @laylayl5166
    @laylayl5166 3 месяца назад

    Polesana kaka mungu atakulipia

  • @aminmohammed4249
    @aminmohammed4249 3 месяца назад +5

    Full story iko wapi😢

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 2 месяца назад

    Pole Sanaa

  • @omanmct135
    @omanmct135 3 месяца назад +1

    Polekaka aaalllah atakupamke bora

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 3 месяца назад +3

    Wanawake kama hawa dawa yao ni ndogo sana, Unampata shemeji mnyenyekevu kama huyu, unatuletea ushenzi, Pole sana kaka! Japo mie nimechagua kukuita shemeji yangu!
    Hivi hauna namba za ndugu zake? Au mtu yeyote anaye husiana na huyu mwanamke mshenzi, Ustawi wa jamii kesi hii hawawezi kuitatua, inatatuliwa ukweni kwako,

    • @faustinombilinyi9809
      @faustinombilinyi9809 3 месяца назад

      Sahihi ukweni wanatatua wanampa mtoto vizuri tuuu aiseee

  • @HadijaZabroni-pu1lt
    @HadijaZabroni-pu1lt 3 месяца назад +1

    Pole sana kaka mkubwa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 3 месяца назад +2

    Wanawake tumieni akili ili kuepusha majanga KWENU na kwawaume zenu pia Kwa sababu huyu mwamba kama angekuwa na jaziba angechukuwa maamuzi magumu na mabaya sana ,na chanzo ni MWANAMKE ,big up bro Kwa subra na uvumilivu wako Kwa ujumla

  • @manstiko5890
    @manstiko5890 3 месяца назад +5

    Sad story mwezimungu atakulipia brother 😢😢

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 месяца назад

      Mwenyezi Mungu/MUNGU sio mungu

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 3 месяца назад +2

    Pole kaka, ila hapo polisi ndio tatizo waliona tabia za mwanamke na mzungu dhidi yako walipaswa kuandika ripoti maalum kwenda ustawi wa jamii kuomba upatiwe HAKI za kuishi na mtoto then ustawi wangekupa mtoto maana Sheria ya mtoto Ina mpa mamlaka afisa ustawi kuamua nani akae na mtoto kw akuzingatia maslai Bora ya mtoto.

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 3 месяца назад +1

      POLISI walifanya vizuri kunyamazia kwasababu hiyo KESI IMEENDA KWENYE MAHAKAMA YA MUNGU NDIYEATAKAYEMHUKUMU MKOSAJI

  • @frankfitiaelmbise9682
    @frankfitiaelmbise9682 3 месяца назад +1

    It's so sad story I feel his pain .
    Happened to me like this😢😢😢

  • @mbogomgoma4886
    @mbogomgoma4886 3 месяца назад +1

    Ooh pole sana kumbe ni wanyantuzu ndo tabia zao hizo ndugu yangu ila pole sana kaka

  • @sophialucasmilambo2783
    @sophialucasmilambo2783 3 месяца назад

    Mambo yako tofauti sana duh,, umenikumbusha yalinikuta haya unakuwa sacrifice kwa mtu ambae ana malengo mengine ni huzuni sanaaa ,,,, hakika mungu akuteteeee nakuombea najua maumivu yako nilipitia haya mungu akuvushe wacha dhambi zake zitaongea nae badaeee

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 3 месяца назад +3

    Daaaa m/mungu azid kunipa subra na Mume wangu tuvumiliane hapa na pale Pindi akikosa

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 месяца назад

      Hakika ila nikukosa ufaham tuy wakujuw anae toa ridhiki ni mungu

    • @ukhutfatumah1154
      @ukhutfatumah1154 3 месяца назад

      @@omanoman2044 wallah nimechukua viatu vyake huyu baba avinitoshi hata kidogo yaaaan wanawake Siku izi tumekuwa mabiris kupita maelezo

    • @omanoman2044
      @omanoman2044 3 месяца назад

      @@ukhutfatumah1154 siyo kidog japo siyo wote %90ndo wamegeuka kuw wakatili hata kwa watt wao inshaallah mungu atampa wakufanana nae hata sis tulipitia haya sai tupo uarabun tunakusanya maokoto

    • @Zaburi-
      @Zaburi- 3 месяца назад

      Mwenyezi Mungu/MUNGU sio mungu

  • @user-cs4uw4zx9v
    @user-cs4uw4zx9v 3 месяца назад

    Mmmh aisee polee sanaa but munguu yup kaka pole sanaa

  • @JamilaSaid-we7rk
    @JamilaSaid-we7rk 3 месяца назад +3

    Aje kwangu sijasoma ila nitaish nae vzr mno hatoajutiaaa

  • @peacemwesiga
    @peacemwesiga 2 месяца назад +2

    Da kwenye miti hakuna wajenzi mimi sasa nina 45yrs nakata tamaa cna Mume da!! Pole kaka ila sio wanawake wote

  • @omaryhamad2357
    @omaryhamad2357 3 месяца назад +1

    Pole xn brother Yan tukuta xn haya mm ni mwakaa wa tatu nilisameeee mpka mtoto niliumiya xn

  • @gidiboy9081
    @gidiboy9081 3 месяца назад +1

    Mimi naomba huyu bwana aseme ni kijiji gani cha Bariadi kamtoa huyo mwanamke?
    Ili ampeke kwao kwa mwanamke hii kesi ni ndogo sana, akawaeleze wazazi wa mwanamke, wala asihangaike, na inawezekana nami nihusishwe wakt amemfikisha kwao!
    Aisee! Pole sana bwana shemeji

  • @matridamwalyoyo1735
    @matridamwalyoyo1735 3 месяца назад +7

    Huyo dada ajue karma never miss address

    • @gloriamichael7935
      @gloriamichael7935 3 месяца назад

      Asubiri mzungu mwanaume na mweusi na kama rangi yako ndivyo wote walivyo asubiri matokeo yake tu

  • @user-zb8mk6kt2b
    @user-zb8mk6kt2b Месяц назад

    Pole.hao wangekutana nawatu kutoka mara au Arusha wange chinjwa

  • @user-dz8rs5bj3q
    @user-dz8rs5bj3q 3 месяца назад

    Pole.kaka

  • @channelonetz
    @channelonetz 3 месяца назад

    Pole kaka

  • @Zubaiba
    @Zubaiba 3 месяца назад +2

    Duuu inauma hii story mbona sana,kaah maskini pole sana

  • @reynaaalrawahi4137
    @reynaaalrawahi4137 3 месяца назад

    Daah pole kaka mthani huu

  • @fidelitekarigirwamuyangwa973
    @fidelitekarigirwamuyangwa973 2 месяца назад

    Polesana

  • @Hajer-be2kh
    @Hajer-be2kh 3 месяца назад +1

    Jamaa nimemuona kwenye singo mama ya jb ni boss wa shabani😊

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 3 месяца назад +1

    Jamani pole kakangu😢😢

  • @ruthmuja7792
    @ruthmuja7792 3 месяца назад

    😢

  • @LeviAnthony-ci4vu
    @LeviAnthony-ci4vu 3 месяца назад +2

    Kosa kubwa alikutana Kimburu....!!KIMBURU always will be Kimburu.....

  • @Youngchimodzi823
    @Youngchimodzi823 3 месяца назад

    Behind almost every betrayal lies a women.
    Hongera Delilah kwa kumshughulikia Samson!
    Binadamu hawana wema Salum Abdallah aliimba.
    Siku nyingine tupate upande wa pili lkn hapana shaka Delila ni Delila tu

  • @frankmlinda1181
    @frankmlinda1181 3 месяца назад +3

    Pole sana wanawake wa sasa wamejawa na tamaa na mali

    • @Nanah18
      @Nanah18 3 месяца назад

      Kuna Wanaume wengi hawawezi kushtuka Mwanamke anayemfaa na asiyemfaa, Wanawake wa aina hizi wanajua sana kuigiza kwamba anakupenda sana, sometimes muwe hata mnaigiza kuwa mmepata matatizo uone reaction ya Mkeo/Mpenzi wako

  • @harounkiyungi7288
    @harounkiyungi7288 3 месяца назад

    Duu pole sana bro wanawake mungu anawaona 😢

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 3 месяца назад +3

    Sijui huwani kwa nini ukiwa na mwanaume anakupendaaaa jua mwanamke kimeo lakini mwanamke akimpendaaaa mwanaume unakuta nacho kimeo cijui kwa nini mara nyingi inakuwa vise versa

    • @paskaziasholla7471
      @paskaziasholla7471 3 месяца назад

      Huenda hatukuomba MUNGU atupe wakufanana tukakurupuka 😂😂😂nimaumivu makali

  • @davidkamando9630
    @davidkamando9630 3 месяца назад +1

    Duuh! Kuna wanawake wana roho mbaya sana.. Mungu yupo

  • @FaisalKimath
    @FaisalKimath 2 месяца назад

    Pole brother wanawake wanatumaliza maan roho zao shetani kazitawala ndo maan wanateseka

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 3 месяца назад +1

    Jamani wanaopendwa hawapendeki, wasiopendwa na wanataka kupendwa, jamani haa Kaka pole Sanaa

  • @Zuu673
    @Zuu673 3 месяца назад

    😢😢😢

  • @chingaboy1149
    @chingaboy1149 3 месяца назад +1

    Hapa mmi nipendelee wapi kwamuhindi or kwa mdogo wangu because Tz we are ndugu or nibaki upande wamuhindi uthikute huyu ndio mkosa just angalia tu anaongea kuhusu mtoto ila mmi nabaki kwa mtz mwenzangu i don't care about religion or traibo😅😂❤

  • @HappyBuffalo-yt7wf
    @HappyBuffalo-yt7wf 2 месяца назад +1

    Daah jamani wengine wamepata ila hawajui nini wafanye daah Mungu msaidie huyu baba

    • @JudithAdonis
      @JudithAdonis 2 месяца назад

      Wengine kilio mume wangu ananisumbua, wengine wanacheza na nafasi walizopata loooh !!

    • @HappyBuffalo-yt7wf
      @HappyBuffalo-yt7wf 2 месяца назад

      @@JudithAdonis yaani umeona EE MUNGU atusaidiee kwakwelii

  • @Bethamwangamba-sx3og
    @Bethamwangamba-sx3og 3 месяца назад +1

    Sorry bro,am watching from zambia