Dah! Aisee! Hawa viongozi hasa Wakina MAMA tusiwachukulie powa Yaani wanatoka Mbaliii na wanapitia mapito magumu🤔 Ongera Rais SAMIA SULUHU kwa mapito uliopitia hadi kufikia hapo MUNGU akusaidie ufike mbaaali zaidi 😍Pia malezi yalikua mazuri Nampa hongera Mzee SULUHU kwamalezi yake kwako 😊😍💯✅
@@RomanMwinyi katika maisha yangu sijawaza kuajiriwa na serekali tuna pambana tu kama unavo pambana wewe ila tu watoto wa kiume tuna kaza sio kulia lia kilasiku na maisha
mbona Samia hueleweki ulishasema kuwa ulikataa kuwa makamu wa Rais ikabidi ulazimishwe leo unasema ulipoteuliwa hukuwa na wasiwasi wowote ?? which is which?
Mama anazungumza vizuri anachoulizwa unatakiwa usikilize kwa umakini na kumuelewa!! Isitoshe ni Rais lakini anaongea kwa nidhamu sana !! Mimi binafsi nimempenda sana jamani.🎉
hongera mhe Rais # historia kubwa sana ,Mdada wa kwanza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿, pana nchi kama Marekani wana Marais 40 na hawajawahi pata mdada kuwa Rais
Hata mtoto wng wa kike amenambia akimaliza masomo anataka kua air hostess namuomba mungu amcmamie ndoto yke itimie hongera mama samia umenitia nguvu nizidi kumkumbusha acmamie kikamlifu ndoto yke

Uchawa unawasumbua sana vijana wa kitanzania
Kumbe kaka ana mchango mkubwa sana katika maisha ya mheshimiwa Rais👏👏👏 tumpe maua yake kwa kutuandalia rais wa kipekee...🎉🎉🎉🎉
Acha uchawa nchi ina nyumba kuwa na vijana wa dizaini yako
Hakika rais wenye Nia njema na wasio na chuki nae wanajifunza kitu
Hongera Mama hakuna jambo rahisi ila umeweza wewe ni chachu ya wanawake kufika kwenye ndoto zetu❤
Ukweli lazima usemwe tu mama samia ana moyo mzuri na huruma ya dhati kutoka moyoni!!❤
Kwa kweli inatubadilisha wengi na kujiuliza hivi kwa Nini huyu aweze Tena Bado awe na hekima
Mwenyenz Mungu akulinde mama
Mhhh, ndio maana mama anapenda sana kupanda ndege. Kumbe alipenda kuwa air hostess😂
👏🏿👏🏿👏🏿Mama yuko vizuri sana ! Asante Rais wetu
Maisha marefu na afya njema Kwa mama❤
Mtangazaji Makini saana intaview nzuri saana na mama anaweza kujielezea mashaa allah ❤❤❤🎉
Mama umependeza Sana.
Nice Interview. Big up Rais wetu.
Mheshimiwa rais Asante sana tunakuombea sana
Mama ni msimulizi mzuri sana... na historia yake ina inspire kwa kweli
Hakuna asali Bila nyuki jamani maendereo hataki Kwa maneno tu jamani mama umetoka mbali
Kila mtu historia anayo kusema ukweli au tumuite tundu lisu asimulie mpaka leo alinusulika kufa kwasabab y siasa yaan maccm bana😂😂😂😮😮😮
Samia jmni..haya mama wacha nikuskizee mama yetu😄😄
nakupenda sana rais wangu❤
Kaka yake na mama anaakili sana,je kaka ake atakuwa wapi Kwa Sasa?
Mwanamke jasiri 🎉🎉🎉
Samia Umependez sana
Mmekosa kweli habari ,hii nchi ni ngumu sana hivyo chochote ukiona kitakuingizia hela unafanya na inaenda.
Mama yetu nimekuelewa sana unaongea vinzuri kwa utulivu kweli kabisa uko vinzuri
No comment
Safari ndefu lakini uhakika
Maisha magumu mitaani vitu vina panda bei dada zetuu kazii kuvuta bangeetuu daladala wanajipangia nauli wana mchii wana kufa njaaaa
Ongeza bidii ya kufanya kazi punguza na starehe
😂
@@MohamedAhmada-ie7ke njie sindio mlie pewa KAZI yakuchukua Kodi lazima usheleekee 2 ila sisi wauza nyanya lazima tulie
@@RomanMwinyi katika maisha yangu sijawaza kuajiriwa na serekali tuna pambana tu kama unavo pambana wewe ila tu watoto wa kiume tuna kaza sio kulia lia kilasiku na maisha
Ongeza BIDII ktk kazi, Lima,weka AKIBA,ipende familia , fanya kazi sana sana
mbona Samia hueleweki ulishasema kuwa ulikataa kuwa makamu wa Rais ikabidi ulazimishwe leo unasema ulipoteuliwa hukuwa na wasiwasi wowote ?? which is which?
Wewe inakuhusu nn hiyo
Huogopi
Mama anazungumza vizuri anachoulizwa unatakiwa usikilize kwa umakini na kumuelewa!! Isitoshe ni Rais lakini anaongea kwa nidhamu sana !! Mimi binafsi nimempenda sana jamani.🎉
Hiyo ndio inaitwa safari ya mwanasiasa.
Hongera sana mama samia
Mafuta yanapaaa tuu mama angefanya yakapanda mpaka elfu kumi tu tujue moja
😂😂😂😂😂😂😂
Simulizi za kijinga hizo udumia wananchi wako walio gizani wasiojua Cha kufanya😂😂😂
Intaview ya kibabe
Uchawa uo
Mi sikoment chochote isije ikaja defender bure
😂😂😂😂😂
Mama tunakupenda tunaomba tuu vyakula vishuke bei sisi watu wa hali ya chin tunashindwa kula milo mitatu unakula mlo mmoja tuu utufikirie mama
Kalime Kwa ajili ya biashara na chakula , hutoona njaa tena
Very smart but humble president. Mungu aendelee kukutunza
hongera mhe Rais # historia kubwa sana ,Mdada wa kwanza kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 🇹🇿, pana nchi kama Marekani wana Marais 40 na hawajawahi pata mdada kuwa Rais
Hata mtoto wng wa kike amenambia akimaliza masomo anataka kua air hostess namuomba mungu amcmamie ndoto yke itimie hongera mama samia umenitia nguvu nizidi kumkumbusha acmamie kikamlifu ndoto yke
Big up Mom. Kweli hapa ni Pwani, Baharini ndiko umetoka. Chapa kazi mama, historia tu nimeielewa sana unastahili kuwapo hapo. #respect
Mama ameupiga mwingi....