RAIS MWINYI: "KAULI YAKO MOJA TU INAWEZA KUTUHARIBIA MAMBO MENGI / KUVURUGA AMANI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 янв 2025

Комментарии • 13

  • @Bmsecret
    @Bmsecret 22 дня назад +3

    Ww mwenyewe mwizi uo uraisi umeiba mwizi mkubwa ww

  • @delasdiego6537
    @delasdiego6537 23 дня назад +4

    Sio kauli bwamdogo sema na hata kura moja tu ya wizi huchafua amani na kupelekea mauaji acha kupiga kampeni katika nyumba ya Allah wakati ww ndio kiongozi wa wizi apa zanzibar kwako amani ndio sio haki tunataka haki sio aman wala mwera

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u 22 дня назад

    AMANI NA HAKI .

  • @reallyman9836
    @reallyman9836 23 дня назад

    Umesema kweli Mh. viongozi wanadhani ukiwa mpinzani ni kuponda tu kila kitu,

  • @salyali7807
    @salyali7807 23 дня назад +3

    Kazoea kutumia vibla vya msikiti kuleta utumbo wake .... tumechoka nae i can't wait for 2025 kumuona anafunga virago

    • @nailaomar4810
      @nailaomar4810 22 дня назад

      Aende wapi Wacha kelele 5 Tena inshallah binadamu hamuna kheri znz oyeeeeee ❤

  • @hassanbravo7412
    @hassanbravo7412 22 дня назад

    Jambo kubwa ni haki na sio amani, amani bila haki hamna kitu...tunatakiwa tuhubir haki kwanza

  • @amanmohd9435
    @amanmohd9435 23 дня назад

    Huna mpya weee

  • @nailaomar4810
    @nailaomar4810 22 дня назад

    Ur the best my president mungu akulinde inshaallah ❤

  • @saidsalim453
    @saidsalim453 22 дня назад

    Raia jukumu lake ni kuchukia na kuzungumza kwa uchache, wasomi jukumu lake ni kusema na kuelimisha na kiongozi ni kuchukuwa hatua kali kwa kitendo sio kulalamika

  • @totobest6913
    @totobest6913 23 дня назад

    Sasa aya mitandai yafungiwe

  • @totobest6913
    @totobest6913 18 дней назад

    Mwinyi haibi achuka mshara wakotu

  • @ramzsule7678
    @ramzsule7678 23 дня назад

    Nadri unemsikia kiongozi wa nchi au wewe sio raia wake?