Tunatamani na sie japo sio mikopo ya nyumba hiyo mnayotowa ya pesa lakini sie wanyonge ndio tunashindwa na hatuna msaada kwa vile hatuna wakubwa serikalini Rais tuone nasi tulio chini plc
Mimi ningekushauri mheshimiwa kama unania na unatamani hivyo ungelenga kwanza vijijini au shamba kila kijiji ujenge mtaa wa kijiji unaanza na nyumba ata kumi kumi kisha unawgaia wanyonge itakua umefanya jambo la masna
Hamlengi kwetu sie wanyonge mnapeana wenyewe kwa wenyewe
Tunatamani na sie japo sio mikopo ya nyumba hiyo mnayotowa ya pesa lakini sie wanyonge ndio tunashindwa na hatuna msaada kwa vile hatuna wakubwa serikalini Rais tuone nasi tulio chini plc
Fundi umeme kutoka Europe nipo
apo umesema boss
Kwann serekali isikate viwanja ikauza wallah itakuwa raha
yes iuze si kwa wafanya kazi serikali
Serekali inakiwanja wapi au unataka watu wachukuliwe mashamba yao
Incase u dont know viwanja vinakatwa ila wananunua wao wao kwa bei cheee afu wanauza bei ghali😂😂😂😂😂
Riba ni kharam tusijisahau riba ni riba tu hakuna riba nafuu mbele ya Allah
Muheshimiwa raiss sisi hatuzipati nyumba hizoo wanapeyana viongozii tuuu
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 wadanganye wasio na akili😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
We ndo huna akili kwani kunaajabu serikali kutoa nyumba za mikopo au ndio hasira na chuki
Mimi ningekushauri mheshimiwa kama unania na unatamani hivyo ungelenga kwanza vijijini au shamba kila kijiji ujenge mtaa wa kijiji unaanza na nyumba ata kumi kumi kisha unawgaia wanyonge itakua umefanya jambo la masna
Waongo wakubwa
Usemayo yanaandikwa
Hakuna lolote uongo mtupu , labda hizo Nyumba mukae nyie kwa nyie