Mashallah Mwinyi Anastahili sifa maua yake apewe ni Rais Mzuri Mzalendo hana majungu na mtu wala hana chuki ni mtaratibu Mungwana Mcha Mungu na Anachapa kazi
Raisi ni raisi mzuri mashallah. Angepigania mamlaka kamili ya zanzibar kura zote tungempa yeye, lakini hajawa kuzungumzia suala hilo hata siku moja, hili litamkoseha kuchaguliwa 2025.
Huna lolote toka mwaka wa kwanza bandari ya mwanga pwani wamekuja omani kutia saini hakuna kitu wamekuja wengine pia hakuna kitu leo mwaka 4 acha kudanganya watu
Ahsante baba mungu akupe maisha marefu in shaa Allah
Mr President. Tra iondoee Zanzibar
Mr maendeleo nakuelewa sana
Mashallah Mwinyi Anastahili sifa maua yake apewe ni Rais Mzuri Mzalendo hana majungu na mtu wala hana chuki ni mtaratibu Mungwana Mcha Mungu na Anachapa kazi
Raisi ni raisi mzuri mashallah. Angepigania mamlaka kamili ya zanzibar kura zote tungempa yeye, lakini hajawa kuzungumzia suala hilo hata siku moja, hili litamkoseha kuchaguliwa 2025.
Mashaa Allah
Znz ipo ZRA sasa hii TRA ya nin
Inashangaza na kuhuzunisha
Mtoto anakua na upande wa baba ambao ndio upande wenye mguvu na upande wa mama ambao hauna nguvu kwaiyo huku Zanzibar ni umamani bara ndo ubabani
Safi sanavip kuhusu barabara na foleni c zitazid? Pale au?
Kwa mungu c mbali
ufisadi bado upo sana bandarini
Ya lini hii
Jana October 18, 2024.
Bandar au sehemu yakuhifadhi makonena et
Bandari Kavu.
Atajenga kule sio pemba pemba hua wakishaongea ndio tayari
Hahaahh
Huna lolote toka mwaka wa kwanza bandari ya mwanga pwani wamekuja omani kutia saini hakuna kitu wamekuja wengine pia hakuna kitu leo mwaka 4 acha kudanganya watu
Wizi mtupu
Message for you president mwinyi you should no my people P.b.a where are port 😢on nation zanzibar people speaking up
Bora ungeandika kiswahili
@@ismu3881ili apate kudumisha lugha ya taifa.
@@ismu3881 tuliosoma quba ndio tumemuelewa
Mmmh
@@BimkubwaOthman vp chungu?
Bandari mpya sio
Bandari Kavu, (mpya)