DK.MWINYI AZINDUA MAEGESHO YA GARI YA GHOROFA MALINDI HADI BUBUBU, UJENZI WA BARABRA NNE ZA JUU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 янв 2025

Комментарии • 17

  • @Mushroomsaid-z3y
    @Mushroomsaid-z3y 15 дней назад

    Kaz anaifanya baba❤

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go Месяц назад +3

    Maendeleo tukiwa tunajidai kwenye taifa letu Wazanzibari ni raha sana naamini haya na zaidi tutayapata hata kwa Upinzani ila mimi natamani kuona Zanzibar ikiwa ni miongoni mwa mataifa duniani ❤❤❤
    Mamlaka Kamili ya Zanzibar sio ombi ni Lazima

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +1

      Hayo ndio ya muhimu ila kunawatu hawazi hayo wao wakokwenye ushabiki wa chama tu😂😂😂

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +1

      Mimi nakuambia wasipoungana watu wote wakadai zanzibar huru bas itachukua mda mkubwa Mana kunawatu wanataka zanzibar ikaliwe ili wajaze matumbo yao

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад +1

      Mamlaka kamili ndio umuhim mkubwa zanzibar

    • @OmerSuley-gl7go
      @OmerSuley-gl7go 28 дней назад

      @@KhalidiBakar Kaka tujitokeze kupiga kura 2025 inshaallah

  • @MuhammedAliOmar-c9u
    @MuhammedAliOmar-c9u Месяц назад +6

    Mkimaliza hayo tupatieni na Mamlaka kamili ya nchi yetu pendwa ya Zanzibar nasi tujiproud. Na tuenjoy bila ya bughdha na kusukumwa na kukejeliwa kuwa tunawatawara ,mateka n.k

  • @nassorseif7907
    @nassorseif7907 Месяц назад +3

    Yajayo ni njaaa zaidi miaka mitano kila mtu taabani mitano ijayo ni kifo tu

  • @asiakhamisi469
    @asiakhamisi469 Месяц назад +1

    Kazi nzuri ❤ tukamilishe na mamlaka kamili ya znz

    • @KhalidiBakar
      @KhalidiBakar Месяц назад

      Ndugu yangu yataka moyo hayo mana ukidai mamlaka kamili wewe unahatarisha muungano yani hawataki atakuyaskia

  • @muhammadmuhammad5043
    @muhammadmuhammad5043 Месяц назад +1

    Hayo Yote Yatasaidia Nini Nawatu Hawana Matibabu Na Ajira Hawana Na Wale Wenye Ajira Wanachopata Hakiwatoshi kunafaidagani Watu Hawana Huduma Nyungi Za Muhimu..Afya Eliemu N.K Kama Huna Uwezo Nishida...
    Unatwambia Kuhusu Mji Mkungwe Wawe Niwamwanzo Unapenda Kwani..Wewe Nimzanzibari..

  • @adamsoud4862
    @adamsoud4862 28 дней назад

    Allo majengo tu matatizo makubwa ni umeme na maji na afya sio majengo umeme kama wa kibiriti tatizo hilo

  • @ContentSmartphone-rq6po
    @ContentSmartphone-rq6po Месяц назад +1

    Kwani sasahivi unabughudhiwa?😊

  • @NassirSaid-e4i
    @NassirSaid-e4i Месяц назад +2

    Billi0ni sitaa kiddeee icho🤣🤣🤣🤣 heee

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Месяц назад

    Miradi yako ni mikubwa inahitaji mda mrefu utaimaliza hiyo kwa mda miaka 10 kweli

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi Месяц назад +2

    ad mda huu mm nasema tumpe tena mitano anafanya kaz vzur uyu jamaa yupo vzur mwiny huna baya .vijana tumpe tena acheni majungu .tumpe na samia tena mitano hawa wanatufaa kuijenga zanzibar na tanzania kwa ujumla