MBUNGE MUSUKUMA ALIVYO MTOLEA UVIVU WAZIRI MPINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2018
  • Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amemshukia Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina alipokuwa akichangia taarifa ya kamati ya bunge ya kilimo, mifugo na maji iliyowasilishwa bungeni, mjini Dodoma leo.

Комментарии • 86

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni35 6 лет назад +13

    Msukuma na kukubali sana ntu wangu. Ki ukweli wewe sio darasa la 7, wewe una digirii 7. Big up sana. Ujielewa wewe ni nani, nini maana ya kuwa mbunge - yaanu muwakilishi wa watu. Uko vzr. Piga kazi na 2020 tunakupa kura zetu japo mimi sikai geita lakin habar ndy hiyo.

  • @elizabethmwakalinga3287
    @elizabethmwakalinga3287 6 лет назад +3

    Msukuma wewe ni kiongozi mwenye PHD. Nakukubali sana. Mungu akuzidishie moyo wa kuwatumikia wananchi.

  • @erickfordguevvara2119
    @erickfordguevvara2119 5 лет назад +4

    NaTAMANI MSUKUMA ANGEKUWA MBUNGE WETU KIGOMA(M) NAKUKUBAL SANAAA

  • @jumannebundala6779
    @jumannebundala6779 6 лет назад +6

    ukwel mzuri my bro msukusu

  • @pauletamakinga5040
    @pauletamakinga5040 6 лет назад +3

    Big up msukuma,hilo ndio jembe analolitaka JPM......muunge mkono JPM baba tunakuombea...

  • @ngassaphilipo445
    @ngassaphilipo445 6 лет назад +3

    hongera sana musukumaaaaaaaaaa

  • @donaldsamwel683
    @donaldsamwel683 6 лет назад +2

    Mh.msukuma unachokisema ni kweli tupu hongera sana.

  • @ZAKAYOMASOTA
    @ZAKAYOMASOTA Месяц назад

    Hongera jembe

  • @emanuelligijr261
    @emanuelligijr261 3 года назад

    Natamani sana msukum ungekua mbunge wa geita mjini

  • @ayoubissa977
    @ayoubissa977 3 года назад

    Kwakweli msukuma yuko vizuri san good job

  • @abuassadalamri.1675
    @abuassadalamri.1675 4 года назад

    Well done Msukuma,,wape ukweli 👍

  • @user-rl5gf6tj4n
    @user-rl5gf6tj4n Год назад

    God bless you brother 🙏

  • @sayraleigh0095
    @sayraleigh0095 5 лет назад

    Msukuma piga kazi uko vizuri

  • @joshuasamson4174
    @joshuasamson4174 6 лет назад +2

    msukuma halijasoma sana la saba anajua kujitetea hongera msukuma unajua kuwakilisha mwanachi

  • @tellassekemneke5988
    @tellassekemneke5988 6 лет назад +3

    pmj sana msukuma nakuelewa sana
    Teras wa tbr.

  • @madamcolethaa641
    @madamcolethaa641 5 лет назад +4

    Jamani msukuma mpaka raha

  • @joycecharles2934
    @joycecharles2934 6 лет назад

    nakukubari sana Msukuma

  • @mariamshija1800
    @mariamshija1800 6 лет назад

    Safi sana musukuma

  • @paulinarobert1181
    @paulinarobert1181 6 лет назад +1

    kwa kweli kama ni ivo kumbe ukoloni upo ndo tunarudi kwenye mashairi ya form six shairi linaitwa "eat more " duh mungu saidia Tanzania

  • @raphaeljuma6843
    @raphaeljuma6843 5 лет назад +2

    Huwa msukuma nakupendaga Sana ,,😁😁😁katika kumbukumbu zangu sizani Kama ushawahi kuulizwa swali ukashindwa ((kujibu)).

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus6237 5 лет назад

    Asante msukuma

  • @stephenmassawe218
    @stephenmassawe218 6 лет назад

    Musukuma weeeee nakukubali kwa namna unavyojielekeza kwenye hoja.

  • @imanuelmahenge5461
    @imanuelmahenge5461 6 лет назад

    Safi sana msukuma

  • @amanihamidu2095
    @amanihamidu2095 5 лет назад

    🔥🔥🔥 king

  • @eversmilek
    @eversmilek 6 лет назад +6

    huyo Mpina hana lolote, arudishe mashamba yetu aliyo pora kijiji cha Kilengezi Mvuha. haya ni maisha tu, leo yeye Waziri kesho hicho hicho kiti atakalia mwingine

  • @danieljohn6070
    @danieljohn6070 6 лет назад

    Nice

  • @SalumuHerman
    @SalumuHerman 5 дней назад

    Mimi nashauli msukuma uje uwe mbunge wa chalinze na makonda awe mkuu wa mkoa wa pwani mwaka elfumbili na ishirini natano

  • @ayadjuma2457
    @ayadjuma2457 5 лет назад

    Nakukubali sana kaka msukuma💪

  • @margarethsolomon693
    @margarethsolomon693 6 лет назад

    Izumacheli hahahaaaaaa jamaa yangu wewe huwaachagi salama hawa mawaziri wasiofuatilia kazi zao vizuri, hawajitambui sijui wana shida gani.

  • @mankomwita8692
    @mankomwita8692 6 лет назад +7

    msukuma oyeeee mpina anatafuta kiki kwa mkuu ila anatuuwa sisi tunao tegemea dagaa na samaki kama biashara

  • @josephatalphonce4474
    @josephatalphonce4474 5 лет назад

    Hahaha umetisha kama umesikia neno kiki twende sawa

  • @brownyjayden3312
    @brownyjayden3312 Год назад

    Sawah

  • @alhajichambo2188
    @alhajichambo2188 5 лет назад

    msukuma nakubali maoni yko aisee

  • @fridambezi6067
    @fridambezi6067 3 года назад

    Msukuma uko sahii kabisa mpina mungu anamwona watu wamefirika

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t Месяц назад

    Mpina ni mzigo hafai kabsaaa

  • @vituszacharia6355
    @vituszacharia6355 Год назад

    umeiva sana

  • @allymfangavoo6065
    @allymfangavoo6065 5 лет назад

    #Musukuma unatishaa sana....

  • @brownyjayden3312
    @brownyjayden3312 Год назад

    👌👌👌

  • @erickkihuru4529
    @erickkihuru4529 6 лет назад

    Big up Msukuma

  • @thegrandpentahotel3856
    @thegrandpentahotel3856 4 года назад

    safi sanaaa

  • @muhsinsalum2305
    @muhsinsalum2305 5 лет назад

    Wallahi mimi ninachokiona katika Serikali yetu hizo sheria wamezoziweka sio kwamba nikututaka Raiya tubadilike bali nimfumo Rasmi wa kutafta hela za Serikali na mishahara ya viongozi kupitia migongo ya walala hoi.
    Maana maskini wa Mungu wengi wetu hatusomi sheria za NCHI nahata tukisoma ukitaka kujitetea tu unaonekana nimkorofi muhalifu unataka kupingana na Serikali mwisho wa yote unapelekwa kituoni mpaka mahakamani unapelekwa hivi mara vile.
    Mwisho wa yote unahukumiwa miaka 2 Gerezani uende ukapasue mawe. Ukitoka huko ushakua muoga siku nyingine ukikutwa unatetemeka.
    Napenda kusema tu kua: "maadam alietuumba yupo hii hukumu ya duniani nikitu cha muda, ila malipo yapo mbele za mwenyezimungu.
    Unadhulumu watu miaka hata ikizidi saana ni 50, ila unaenda kuchomwa moto na Mungu milele.
    Fikiriaa!!!!

  • @jacksonjohn7378
    @jacksonjohn7378 6 лет назад +1

    Asnte msukuma

  • @estheryangayanga6637
    @estheryangayanga6637 5 лет назад

    safisana

  • @mteswalutema6202
    @mteswalutema6202 2 года назад

    Msukuma noma namuoba awe lais

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 Месяц назад

    Msukuma nakukubali, ww ni mkweli, muwazi mpe za uso huyo mtaka kiki kwa gharama ya wananchi

  • @kulwakashindye5546
    @kulwakashindye5546 5 лет назад

    Hivimtoatalifa naembungee maaana kongeavpumba

  • @masanjaalubert7346
    @masanjaalubert7346 2 года назад

    Uko vizur mkuu

  • @shekydrake3484
    @shekydrake3484 4 года назад

    Kwel kabix mxukuma

  • @revocatusrwakagera3742
    @revocatusrwakagera3742 6 лет назад

    safi sana msukuma

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 лет назад

    Asee Msukuma We mashine, nikweli ziwani hakuna Beria...Yote unayoongea ni ukweli hongera sana, Lakini Usimlaum sana Mpina ni jambo la kumueleza ajirekebishe2 Binadamu hatujakamilika.

  • @charlesmwita8193
    @charlesmwita8193 6 лет назад +2

    Kuanzi Leo umetimiza wajibu kama chombo cha kuisimamia serikali,
    Mpina ni mshamba na ajitambui,

  • @josephmagori6172
    @josephmagori6172 6 лет назад

    msukuma

  • @erodycostantin6866
    @erodycostantin6866 5 лет назад +1

    mutoa tarifa huna. Akili

  • @zabronkazimoto5545
    @zabronkazimoto5545 6 лет назад

    wambie

  • @wankyosogorya8115
    @wankyosogorya8115 3 года назад

    Nyavu 1 m27 fain

  • @stevekennedy4678
    @stevekennedy4678 2 года назад

    Ukweli usemwe tu

  • @issackdauda5266
    @issackdauda5266 6 лет назад

    Msukuma wewe noma

  • @josesizy1315
    @josesizy1315 6 лет назад +1

    Kwa kweli hii operation ni kurudisha nyuma maendeleo ya wavuvi haikubaliki.

    • @denarddavid9202
      @denarddavid9202 6 лет назад

      Jose Sizy Hao WAVUVI wanachangia kiasi gani KWENYE uchumi WA nchi? ACHENI ubabaishaji na kusifia ujinga.

    • @hatimalnaamani876
      @hatimalnaamani876 6 лет назад

      Denard David . Km hujui chochote bora yamaza tu ujui uvuvi unamchango gani. Pole

  • @hassanmwalle5628
    @hassanmwalle5628 9 дней назад

    Mpina hajielewagi kabisa

  • @maluhismadila9593
    @maluhismadila9593 Год назад

    Huyu mpina hafai kabisa

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 4 года назад

    Bahati yako ipo 2 hata kama inacheweshwa uko vzr sn mh msukuma na elimu yako ya darasa la 7

  • @zamdasaleh6917
    @zamdasaleh6917 Год назад

    Mskuma aba degree ya heshima na akili sanaa huyu jmaa ni htriiii sana

  • @khamisrashidy1348
    @khamisrashidy1348 5 лет назад

    Msukuma wabheja nkwingwa

  • @mbogomagembe6318
    @mbogomagembe6318 6 лет назад +1

    watanzania hamueleweki mnatetewa na msukuma ,wengine wanamkashifu

  • @msetimagesa6285
    @msetimagesa6285 6 лет назад

    Haise lasaba tunajielewa sana

  • @neliommy3673
    @neliommy3673 6 лет назад +1

    mskuma we jembe ndomaan nakkbal San na ninajua ungekuw na elim ya ktosha ungekuwa wazir mkuuuu

  • @dianamlindo5627
    @dianamlindo5627 Год назад

    Magufuli kaacha mtot

  • @denarddavid9202
    @denarddavid9202 6 лет назад

    Kama na gari lako limekamatwa na samaki haramu, huna maana hata kama dereva ndo alihusika bila IDHINI YAKO, ungepaswa kukemea , hata msipprudi watarudi wengine.

    • @hatimalnaamani876
      @hatimalnaamani876 6 лет назад

      Denard David. Ivi ata km si kiwango wanacho kiitaji samaki 3 tena mtu uenda kanunua kwa matumizi ya yumba ndio atue Miliono therathini. Ww si kanda ya ziwa laiti ungekuwa kanda ya ziwa ungejua watu ambavyo hawana amani na delightful

  • @speciozaalloyce8814
    @speciozaalloyce8814 6 лет назад +1

    Msukuma kweli .kwao wanakula panki

    • @magrethmeela2519
      @magrethmeela2519 4 года назад

      Watu wengi wenye biashara hii ya samaki wamekufa wengine wamefilisika kwa kushindwa kulipa mikopo yao ktk mabenk walikokopa. Inauma sana.

  • @msilimnyeme8604
    @msilimnyeme8604 Год назад

    𝒖𝒌𝒐 𝒗𝒊𝒛𝒖𝒓 𝒎𝒔𝒖𝒌𝒖𝒎𝒂 𝒎𝒘𝒆𝒛𝒂𝒏𝒈𝒖

  • @masungaezekieli3490
    @masungaezekieli3490 6 лет назад

    hongera sana musukuma

  • @mosesnsagali3912
    @mosesnsagali3912 6 лет назад

    Hahaha msukuma noma kwamba kule ziwan hakuna beria!