MABISHANO YA LUHAGA MPINA NA BASHE BUNGENI / JIBUNI MASWALI SIO MNALAUMU WATU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 май 2023

Комментарии • 78

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope 25 дней назад +1

    sipk

  • @JamesChrizestome
    @JamesChrizestome 3 месяца назад +3

    Ndiyo maana Mwenezi amesema wanaomwangusha Rais ni watendaji wa Serikali mpaka inafikia wananchi wanaichukia Serikali yao

  • @ElibarikiEliud
    @ElibarikiEliud 10 дней назад +1

    Mh Spika Mpina ana hoja.mamlaka Yako unayatumia vibaya Kwa kuegemea upande wa waliofika hapo bungeni kupongeza tuuu. huyo Mpina ndio anaotusemea sisi wanainchi.

  • @MeshackSimkonda-pm2wy
    @MeshackSimkonda-pm2wy Год назад +4

    Hapo muda fulani ndipo wanaume huwa hatuamini usimamizi wa mwanamke.Nahisi Tulia ana lake jambo kwa Mpina.

  • @user-lv7zy7mx9i
    @user-lv7zy7mx9i 10 дней назад +1

    Mwacheni mama nyinyiiiiii

  • @patkrinsliy7389
    @patkrinsliy7389 Год назад +7

    Mpina anabaniwa kila kona kuwasalisha maoni yake. Ni mawazo Muhimu ila wale wa nakupongeza waziri,nakupongeza Muheshimiwa raisi, naipongeza zerikali kwa ufisadi wanapewa air time mpaka wanachoka😀

  • @AnoliasiKope
    @AnoliasiKope 25 дней назад +1

    Mpina nimwerewa

  • @timboxlee919
    @timboxlee919 Год назад +6

    Mpina ndiyo mbunge mzarendo, wengine wanakinga mafisadi,Rip JPM

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Год назад +1

      Yana uyu mwanamke anakero yani mweshimiwa anapouliza swali anatoa wapi sauti ya kumkukosoa yani ili bunge sasa hivi alina mfuto kabisa yani sijuhi tunakoelekea ni wapi bibilia kwanza ilishatoa on kua mwanamke atakiwi kuoji anacho uliza mwanaume

  • @raymondnlelwa427
    @raymondnlelwa427 3 месяца назад +2

    Wewe mama acha kuendesha bunge kidicteta. Ndugai alikuwa hivo hivo tu, Leo Yuko wapi?

  • @maase2023
    @maase2023 Год назад +3

    Wizara ya kilimo ina magari madogo ya kutembelea zaidi ya 30 na mabwana Shamba wa kutosha lkn wizara hii haimiliki hata Shamba moja wala trecta hata moja

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 Год назад +2

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi UZIMA WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @pastadandan3569
    @pastadandan3569 Год назад +7

    Lakini spika hapo Kuna namna anaonyesha kwamba hayupo interest na mtoa hoja ...anajaribu kumkandamiza mtoa hoja na kulazimisha kuifunga hiyo hoja ...mpina alikuwa na maana nzuri TU

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 Год назад +3

    Inaonekana Wanunge wengi na Mawaziri hawsjui taratibu na kanuni za Bunge

  • @user-do5by8jl6g
    @user-do5by8jl6g Месяц назад +1

    Gpasua jipu

  • @nurunswebe4203
    @nurunswebe4203 Год назад +4

    Tulia bunge limemushinda kiufupi hatoshi

  • @gagalinodenatrick1652
    @gagalinodenatrick1652 2 месяца назад +1

    Mwanamke leo kapuyanga

  • @nkwabimasanja7496
    @nkwabimasanja7496 Год назад +3

    Mwacheni mpna wetuuu

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 Год назад +2

    Izi ndizo serikali zetu za Afrika jamani Mungu anapotuangalia anatuonea huruma
    Mambo yanayihusu nchi unafanyika mzaha.
    Ukoloni hata ukirudi kitakuwa na hasara gani Sasa.
    Ni huruma kwa sisi wenye timamu tunavyoona mabeberu wanakula vema Mali zetu sisi hatuna hata chupi wakulima.
    Naomba Mungu aanze kuondoa watu wabovu wanaoharibu ii nchi.

  • @user-hd6il8ni2f
    @user-hd6il8ni2f 10 дней назад

    Bunge la mchongo lanajidhihilisha.

  • @Worldunite
    @Worldunite 3 месяца назад +1

    Ndg Tulia Akson, unamnyima haki mtoa hoja

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 Год назад +2

    Hoja za maana zinazimishwa. Bunge hili
    Ni kwa faida ya nani kama sio ya. Binge hili limejaa upuuzi mtupu. Mpina ameongea kutetea wananchi speaker amechukulia kama mchezo wa kuigiza. Mungu saidia taifa letu. Halina uongozi

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 Год назад +1

    Kweli najua mpina nacho sema sahihi kabsa kini nacho fanya si sawa kabisa yn yn spika

  • @NorbethJosphath-hm1zb
    @NorbethJosphath-hm1zb 3 месяца назад +1

    Mpina ndiye Rais wangu

  • @imerydamtweve3329
    @imerydamtweve3329 3 месяца назад +1

    ila bunge la sahivi spika ndo kila kitu nakijua yeye yaani mtu hapati uhuru wa kutoa hoja zake kikamilifu

  • @florencemeza6540
    @florencemeza6540 Год назад +3

    Mpina umeongea vzr kabisa jeshi la wahuni liko kula tu

    • @awadhally1052
      @awadhally1052 3 месяца назад

      Kwel kabisaa hao niwez wakubwa hawa mpina yuko vizur sanaa

  • @peterdaud5669
    @peterdaud5669 Месяц назад +1

    Mbona unambana mpina kuuliza maswali vzuri

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 2 месяца назад +1

    Mpina mwache aereze spika usimvuruge

  • @bugybuster5788
    @bugybuster5788 3 месяца назад +1

    Wabunge viraza kazi kupiga mabench tuuu awjui km mpina anakubalika na wana nch wanaojielewa na si manyumbu

  • @frankurio469
    @frankurio469 Год назад +2

    Mwanamke hajawahi kuacha watu salama tangu kuumbwa dunia hii, fuatilia sana historia ya wanawake tangu Adam na Hawa ni mwanamke alianza kuzingua, iko huvyo hadi leo, Mungu aliwaumba wanawake wawe wasaidizi wa wanaume na siyo watawale juu ya wanaume, Mungu atunusuru, ni janga la dunia

  • @salilamaigah1401
    @salilamaigah1401 Год назад +1

    Anachokiongea luhaga mpina ni sahihi kabisa lakini Kwa nini hamuelewa??? Jamani tujitafakari.

  • @YusufuNyambega-bc5xs
    @YusufuNyambega-bc5xs 8 месяцев назад +1

    Uyu tuliakawekwananan apobungen

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 Год назад +1

    Sisi wakulima tunakuunga mwacheni huyo mpina anaeleza mambo yamaana sisi wakulima tunadhulumiwa

  • @obadiamshana2518
    @obadiamshana2518 Год назад +1

    Haiko sawa

  • @hamadiayossy190
    @hamadiayossy190 Год назад +1

    Naona spika yupo upande wa serikali, yaani inauma sana kumnyima mbunge nafasi ya kuelezea kero yake,yaani kifupi spika amembania mh mpina

  • @stephenmkiza7840
    @stephenmkiza7840 Год назад +2

    Huyu spika mkorofi.. hafai

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 10 месяцев назад +1

    Huyu jamaa ni arrogant akiwa Waziri amefanya Madudu mengi mojawapo ni issue yangu mwenyewe

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 Год назад +1

    Huyu spika haelewi adha tuliyoipata/tunayopata wakulima kipindi Cha ugawaji wa mbolea.

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 3 месяца назад +1

    Kweri wambie tumepata tabu sana

  • @tukyaclassic-xm1qd
    @tukyaclassic-xm1qd Год назад +4

    Hii nchi ishakuwa yakipuuzi! Hawa hawawrzi kuwa seriuz Hadi sisi wananchi tuchukue hatua,

    • @josephbundala8238
      @josephbundala8238 Год назад +1

      Mbn we Mh Spika unachukua madaraka yote na unaonekana kubase kwa serikali kuwa makini Spika

  • @amosmerama3680
    @amosmerama3680 10 дней назад +1

    Bunge kama familia yako!!!
    Boring parliament ever

  • @martinnkuba6683
    @martinnkuba6683 Год назад +2

    Mhhhhhh hii nchi bwana

  • @reonandmpangalushu3434
    @reonandmpangalushu3434 Год назад +1

    Spika spika sio kwamba hatuon tunawaona , ni wazi kuwa kuna walakini

  • @majaliwabwitonde6900
    @majaliwabwitonde6900 Год назад +1

    Kumbe wabunge wanauliza maswali kwa maelekezo

  • @bundalaizina652
    @bundalaizina652 3 месяца назад +1

    Sukari hatuna waziri achia ngazi

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 Год назад +1

    Bunge hili linanishangaza mno utashangaa mbaka mashoga watajaa TZ kwa kutokuunga hoja

    • @thomastarimo
      @thomastarimo Год назад

      Yani mweshimiwa mpina sithani kama kuna mbunge mwenye weledi kama ulionao we we hapo Dodoma za sana kuna ndiyoo wewe mwenyewe unajua hapo amna binge sasa hivi Kuna ubabashaji tu hapo

  • @letsgathertv2024
    @letsgathertv2024 Год назад +1

    Hata kabla ya waziri kuelezea content ya alichoshika mkononi, speaker alishatambua ni barua na anaomba aletewe, kupitia barua husika anatoa majibu ya hoja ya Mpina. Hii sio movie kweli?

  • @stevenibrahimu326
    @stevenibrahimu326 Год назад +1

    spika gani huyu simwelewagi

  • @uwezomayonko5101
    @uwezomayonko5101 6 месяцев назад +1

    Ktk chama Cha mapinduzi ccm na serikali yake hakuna MTU ambae simpendi kutoka moyon mwangu Kama huyu mwanamke anae jiita sipika wa bunge! namchukia mnooo.

    • @emilianchibinda82
      @emilianchibinda82 3 месяца назад

      Acha kuandika mambo yako ya ajabu. Unayemchukia binadamu mwenzako we we ni nani?

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 Год назад +1

    Huyu tulia hamna kitu

  • @barakaothumani6421
    @barakaothumani6421 11 месяцев назад +1

    wewe tulia Mpina humuwezi Mpina nimzalendo

  • @ANJELACHALE-od3ki
    @ANJELACHALE-od3ki Год назад +1

    Takataka

  • @frankwilliam144
    @frankwilliam144 Год назад +9

    Huyu mama ni kama vile katumwa sijui. Kwanini anawacrush wabunge pindi wanapouliza maswali? Mbona Mpina ana hoja nzuri tu Kwanini asimuache japo aelezee kidogo juu ya swali lake analotaka kuuliza?

    • @hashimabdallah673
      @hashimabdallah673 10 месяцев назад +1

      Mpina hana hoja hapa

    • @usembiphonedar5632
      @usembiphonedar5632 6 месяцев назад

      Hao wengine wote ni vibaraka wa ccm hivyo lazima wapinge kika kitu,Mpina Ana hoja za msingi lakini anapingwa kwa nguvu nyingi na spika!

  • @kanaelikanuya7919
    @kanaelikanuya7919 Год назад +1

    Huu mfumo uboreshwe tu unasadia wakulima

  • @davidmajura6706
    @davidmajura6706 Год назад +2

    Spika mbona kama anakandamiza hoja

  • @nsubiraphael8514
    @nsubiraphael8514 Год назад +1

    Mnasajiri mpk wasomali hataacha kuiba kupeleka kwao kuna vita na njaa yeah lkn ni kusudi na mapenzi ya rais haleluya

  • @richardcastromzena5136
    @richardcastromzena5136 Год назад +1

    Kilimo kilivyo sensitive matter !

  • @barakaothumani6421
    @barakaothumani6421 11 месяцев назад

    Speaka ushalambishwa Asali nn

  • @prosperitychanga
    @prosperitychanga Год назад +2

    Ahhhh bunge la kiwaki huyu mwanamke anawa crush watu wenye hoja🚮🚮

  • @gracemairusya2950
    @gracemairusya2950 Год назад

    Mheshimiwa spiral yaani usiwachanganye wabunge wamalize hoja zao.ndo maana wanaconfuse kukaa bila kutegemea

    • @saidsuleiman1753
      @saidsuleiman1753 Год назад

      Ni aibu Mpina alishakuwa mpaka Waziri inakuwaje hajui kanuni na taratibu za Bunge

  • @karimmunis8302
    @karimmunis8302 Год назад +1

    Spika amekuwa kituko kweli kweli

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 Год назад +1

    Unauchungu wa nini😂😂😂

    • @georgeoballah1764
      @georgeoballah1764 Год назад +1

      Hafai huyu,alitushindisha njaa wakati alifunga ziwa samaki wasivuliwe akiwa waziri

    • @modestwenceslaus9
      @modestwenceslaus9 Год назад +1

      @@georgeoballah1764 Kasahau yote hayo,Kuna baadhi ya Wavuvi aliwabambikia kesi na kuwaflisi Mali zao mpaka leo wamezama kwenye lindi la umasikini,hata hivyo ukitaka kumjua Mtu tabia yake mpe madaraka.

  • @lucaslutogisha3182
    @lucaslutogisha3182 Год назад +1

    Uchungu gani?