BASHE BILA KUPEPESA MACHO AMJIBU MPINA BUNGENI "NI HATARI SANA, MTU AMESHAKUWA WAZIRI"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 17 май 2022

Комментарии • 172

  • @fabianmwinyimbegu2954
    @fabianmwinyimbegu2954 2 года назад +5

    Mh Bashe ni Waziri Mwavuli wa Serikali. Anafanya vzr sana pia ni mkweli. Hongera kwake

  • @ApostleGodwin
    @ApostleGodwin Год назад +1

    Conguraduration Mheshimiwa You're Very funtastic and wonderful Man You differ from others..

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 2 года назад +5

    Mungu akubariki Waziri Bashe

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 2 года назад

    Excellent hon. Bashe🔥🔥🔥👏👏👏

  • @farajmanuar3589
    @farajmanuar3589 2 года назад

    Mungu akubariki sana hon.bashe ver intelligent man..

  • @yahayamjenga1996
    @yahayamjenga1996 2 года назад +1

    Hussein-very direct man

  • @lazaromaria5334
    @lazaromaria5334 2 года назад +5

    Kijana mdogo Akili elfu kumi, hofu ya Mungu iko juu, speech safi, unatembea na evidences yaani safi kabisa kwa hiyo hapo tunakuombea tuu ulinzi wa mwili na akili toka kwa Mungu na Mungu akujalie utekelezaji mwema kaka.

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 года назад

      Huyu mwakani wanamweka pembeni kwasababu mama anataka wahuni tu

    • @richardbegga6679
      @richardbegga6679 2 года назад +1

      Huwezi kuza Kilimo kwa kudanganya Bunge hapo wakati sisi kama Taifa hata Mbegu ya Mahindi tu hatuzarishi

    • @lucasbartazari7797
      @lucasbartazari7797 Год назад

      Mafanikio ya watu hutokana na ujinga wa wengine. Huyu hajui chochote juu ya kilimo. Wengi wasio na ufahamu wanampa sifa kama unavyofanya, kumbe yeye kisha piga 10% ya pikipiki za maafisa ugani, anavizia nyingine za mbolea.

  • @mkude
    @mkude Год назад +1

    Mwenyeezi Mungu akulinde,Bashe bro wewe ni akili kubwa sanaa na unauzalendo wa hali ya juu,wengine wanataka kuleta siasa tu ili wapate kiki kwa wananchi.

  • @edwardasumwisye3010
    @edwardasumwisye3010 Год назад

    Majibu yamejaa utaalamu mwingi,Hongera Mh. Bashe

  • @abdulhamis9825
    @abdulhamis9825 2 года назад +1

    Kichwa Makin Iki Sio Wazir Wa Mchongo Hussein Bashe🙏

  • @allyathumani1195
    @allyathumani1195 2 года назад

    Nakuelewa sana huseni ,kiongozi mwenye hofu na mungu wapo wachache sana,kwenye mjengo huo.

  • @kelvinbaha2005
    @kelvinbaha2005 2 года назад +1

    Very intelligent minister

  • @fayeezabdallah2217
    @fayeezabdallah2217 2 года назад +1

    Nakupend bro bash nakukbl mno MashaAllah

  • @hildakimaro5529
    @hildakimaro5529 2 года назад

    Namkubali waziri wangu badge big up

  • @efraimrichard6440
    @efraimrichard6440 2 года назад +4

    Uyu jamaa very integet bug IQ safi sana Bashe

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 года назад

      si uandike kiswahili tu mjomba??

    • @shafiijafari3680
      @shafiijafari3680 2 года назад

      Fundisha bashe we nimwalim mzr ila ujue wengine hawaelewi na ukweli hawautaki nakumbuka maneno y tundulisu kunawatu wameokotwa majalalani ndy matatizo hayo wanajifanya hawaelewi na pia hakusitahili kuepo apo

  • @husseinntarugera3930
    @husseinntarugera3930 2 года назад +1

    Allah pekee amuhifadhi

  • @elisantej5512
    @elisantej5512 2 года назад

    Idea yako ya One Stop Centre Mh Bashe imezaa matunda sana. Maneno yako yanatoka moyoni. Nakupenda bure!!

  • @hanspmajany9982
    @hanspmajany9982 2 года назад +1

    Bashee🙌🙌

  • @fatumaibrahim8973
    @fatumaibrahim8973 Год назад +1

    Safi Sana waziri wa kilimo Husen bashe upo makin sana na wakulima

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 года назад +2

    Very danger indeed😛word on the ground wakulima wanalia sana. Tusiwe wapaza sauti bungeni with no fast implementation. Muda unazidi kwenda kila mwaka wakulima vilio ni pembejeo and their usual cries..pigeni hatua basi. You will not sit on those seats forever. Mnanimalizia bando

  • @MarickMatola
    @MarickMatola Месяц назад

    Bashe wewe ni kiongozi mkweli,mchapakazi na mwadilifu sanaaaa

  • @bensonsebasitian9458
    @bensonsebasitian9458 2 года назад

    Good

  • @calabash4221
    @calabash4221 2 года назад +1

    Iss very denja....

  • @malopemaliyamungu5243
    @malopemaliyamungu5243 2 года назад +2

    Standard.. Speed and Accuracy (Msimamo ni asili yetu), Kumbuka wakulima wakivuka ni 60-70 percent ya watz wamevuka. MUNGU akupe Moyo thabiti, ulinzi na Akili zaidi.

  • @kalfanabasi4703
    @kalfanabasi4703 2 года назад

    Nakukubali sana bashe

  • @BedroomTvKe
    @BedroomTvKe 2 года назад +3

    Huyu Bashe ni balaa sana

  • @farajisureman9925
    @farajisureman9925 2 года назад +2

    Kwa binafsi yangu nimeelewa. Kwwnza unamuitaje mtu mwizi nanhaijathibitika hivo

  • @sephania8085
    @sephania8085 2 года назад +1

    Bashee dah nakukubal Sana akil nying Sana boss

  • @daudpaulo2867
    @daudpaulo2867 2 года назад +2

    Wambie wananchi kwa kinyakiusa bro atujui kisukwambe

  • @abdulrahmanally1412
    @abdulrahmanally1412 Месяц назад

    Bashe, Mimi ni mfuasi wako mkubwa na ninakukubali kupindukia hasa unapompa Mpina ukweli kwa ushahidi wa data, Mpina ameaibika

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 года назад +3

    SIKU ZOTE BASHE MKWELI MNO!!
    HALAFU SI HASIDI!!
    WANGEFURAHI
    WAFANYA BIASHARA WAKUSSNYWE WOTE,HALAFU WACHOMWE KWENYE MOTO KWENYE TANURI!!
    UHASIDI TU!!

  • @lazarochiyega2131
    @lazarochiyega2131 2 года назад +1

    Bashe bashe,unapotupeleka bashe,ngoja tuone,hiyo ruzuku mbonahausemi itapunguza bei ya mbolea kwa sh.ngapi.

  • @frankurio469
    @frankurio469 Год назад

    Wabunge jitafakarini sana acheni ushabiki tafuteni njia za kumssidia au kuwasaidia wananchi

  • @keffajacob8952
    @keffajacob8952 2 года назад

    Wewe msomali sasa unaanzakuacha njia...muda utaongea.. hodari sana wakuongea ww ila kuna kitu nyuma ya pazia

  • @frankurio469
    @frankurio469 Год назад

    Wananchi wote walindwe, mamlaka za uteuzi kuweni makini na kuteua mtu ilimradi tu anajuwa kulipuka bungeni

  • @anthonymwainyekule9271
    @anthonymwainyekule9271 2 года назад

    Sijamsikilza Mh Mpina , lakini naona Mh Bashe amejibu vzr, tangu akiwa kama mbunge mimi binafsi alikuwa ananifurahisha Sana kw hoja zake za akili

  • @mwanaidiabbas1062
    @mwanaidiabbas1062 2 года назад +2

    Bashee Basheèe nakwita mara 2 Allah mpe hifadh yako kabisaa daaa mawaziri mko wapi hebu oneni huyu baba hii yote ni imani ya dhati ya wananchi wa nchi hiii Allah ampe kheir

    • @mkude
      @mkude Год назад

      @@jonasmasingija6530 wewe itakuwa sio mkulima na hujui chochote wewe unataka kujifanya unapita kwa wakulima ,Bashe ni mtoto was huko huko kwa wakulima,anazijua changamoto zote kuliko unavyofikiria wewe,wengine wapo kwa ajili ya siasa wapate kiki Bashe ni Waziri makini sanaa kwenye sekta ya kilimo kuwahi kutokea.

  • @frankurio469
    @frankurio469 Год назад

    Jambo lingine ambalo huyi bashe hajui ni kwamba wakulima na wasio wakulima wanategemeana, kuna wafanyakazi viwandani, wsttoto mashuleni, wafanyakazi kwenye taasisi mbalimbali, madaktarì ,walimu, wauguzi n.k , lazima walindwe dhidi ya mfumuko wa bei za vyakula manake hata wakulima wanaenda kupata huduma toka kwao hivvo wanategemeana

  • @gilbertrutayuga4676
    @gilbertrutayuga4676 4 месяца назад

    Hv haiwezekani kwenye bunge letu tukatumia lugha yetu ya taifa ya kiswahili tu

  • @eddyjosephmagenge9446
    @eddyjosephmagenge9446 2 года назад +2

    Waziri mwenye akili sana

  • @hasinauuwimana8405
    @hasinauuwimana8405 2 года назад

    Faida Waziri Bashe wakulima ndio wanaitambua, ila sisi hapa ni mijadala tu ila fika kweny uwanja uskie wakulima wanamzungumzia kivipi

  • @zephaniazacharia519
    @zephaniazacharia519 2 года назад +1

    Uyu jamaaa namkubali sana

  • @bokabecca5473
    @bokabecca5473 2 года назад

    #amenyooka

  • @husseintwaha1737
    @husseintwaha1737 Год назад

    Mnacheza na akili zetu tu hakuna cha ruzuku ni kiini macho tu,mpina yuko sawa mnajua

  • @hefintus
    @hefintus Год назад

    Kingereza kingi sana majibu hayaendani na maswali anayoulizwa,Jakaya alisema hoja haipigwi nyundo inajibiwa kwa hoja ,badala mtu atoe majibu ya maswali anayoulizwa anajibu kwa hisia zake binafsi,ila kwa watu wenye uelewa mdogo wa fikra hawawezi kumuelewa Mpina ila ukisikiliza vizuri jamaa kauliza very technical issues ila jamaa anaweka politics

  • @froma3732
    @froma3732 2 года назад

    Wapee ukweli Serekali yote wizi

  • @frankurio469
    @frankurio469 Год назад

    Bunge la tz nalo la hovyo tu manake mnamshsngilia waziri ambae badala ya kujibu hoja za msingi anabaki kubwatuka tu

  • @DoyasKissagas-yl7dd
    @DoyasKissagas-yl7dd Год назад

    Badge tuambie mbolea inayozalishwa Tanzania ndo bro unayoiongelea au inaongezeka zinazotoka nje

  • @ip_header
    @ip_header 2 года назад +1

    Mpina kipindi chake alikua anapima samaki na Mikono, asitafute cheap popularity, aache blabla apeleke bei nzuri ya mbolea apewe tender yeye

  • @tusumekashililika9448
    @tusumekashililika9448 2 года назад

    Ungea kiswahili

  • @collethamponji2611
    @collethamponji2611 2 года назад

    Tunakutengemea asate baba tusaindie.tuna teseka sana wakulima

  • @mlembamo
    @mlembamo 2 года назад +1

    Bashe anajua kupanga na kupangua

  • @cordunhylowassa5343
    @cordunhylowassa5343 2 года назад

    Huyu mpina atulie tu, zama zake zimeshapita akae kwa kutulia kwani yeye atakumbukwa kwa lipi kwa uwaziri wake,

  • @barakaothumani6421
    @barakaothumani6421 Год назад

    ongea kiswahili bhana kingereza chako peleka huko

  • @zubairzubair4375
    @zubairzubair4375 2 года назад

    tupe beya vanira bashe

  • @anangisyejoseph925
    @anangisyejoseph925 2 года назад

    Wajumbe wanapiga tu makofi hawana noma

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 2 года назад +1

    BASHE
    HUYU MPINA WANA LAO JAMBO
    LAKINI HAWATAFANIKIWA
    WANAFAHAMIKA WOTE!!
    KINA WACHOMA CHOMA,WAPEWE ENO!!

  • @magrethmollel1078
    @magrethmollel1078 2 года назад +2

    Huyu Bashe ni waziri wa pekee na ana hofu ya Mungu

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 2 года назад +2

    Huyu ndie Waziri pekee ninayemwelewa

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 года назад

      Maa shaa Allah

    • @elizabethmassi7327
      @elizabethmassi7327 2 года назад

      amejitetea tu akaweka ukali ili amnyamazishe Mpina alichotakiwa ni amjibu Mpina na sio kumshambulia,tusiwe wanafiki Mpina anatetea wananchi sio kujikomba

  • @eliyanorobeth8567
    @eliyanorobeth8567 2 года назад

    Kingeleza sasaaa hicho atuelew

  • @jameskanyamakanyama1980
    @jameskanyamakanyama1980 2 года назад

    Kiwanda cha Choma cha Nkola (Manonga Ginnery) utakifufua lini mbona hujakitaja na kipo katika mkoa wako wa Tabora na jirani zako Wilaya ya Igunga.Goramali mbunge wa Manonga vipi mbona kimya

  • @mosesjackson_tz
    @mosesjackson_tz 2 года назад

    kichwa hiki.

  • @mtanzaniamzalendo8288
    @mtanzaniamzalendo8288 2 года назад

    Uyu wazili yupo vzr toka kipindi na mzee

    • @ferozmohamed4117
      @ferozmohamed4117 Год назад

      Mzee alikuwaga hachagui boko, akimlenga mtu ujue ni kifaa

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 года назад

    Huyu mwakani wanamweka pembeni huyu bungeni kwa ajilu ya wahuni tu na wezi na mafisadi ndiyo mama anawataka kama bashe wanawekwa pembeni ... Mungu akusimamie

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 2 года назад

    Sikiliza Bashe jibu hoja ya Mpina kwanza Mimi sijakuelewa unajuwa wewe msomali

    • @thefoundationpianoclass5404
      @thefoundationpianoclass5404 2 года назад

      ??? Ni mtanzania

    • @hasinauuwimana8405
      @hasinauuwimana8405 2 года назад +1

      Na ndo maana huwezi kumwelewa, alishajibu maswali yote labda wewe ukabila ndo unakuhangaisha tu, MPINA aje na ushahidi na yeye ili kueleweka, ima kufungua ushirika lazima serekali ihusike na Hili liko wazi

    • @ghost8641
      @ghost8641 2 года назад

      Wasukuma ndio zenu wabaguzi halafu wajinga wajinga. Na bado mama ataweka mpaka wazungu lazima muwe mataahira

    • @mkude
      @mkude Год назад

      Ritha wewe sio mtanzania kabisaaa na hujui chochote wewe umekalia uhasidi na ukanda na ukabila tu lakini watanzania walio wengi hawapo hivyo.

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 2 года назад

    Apewe ulinzi tafadhali

  • @barakaothumani6421
    @barakaothumani6421 Год назад

    mbonaunatumia nguvu nyingi sana kuongea

  • @sponsor7882
    @sponsor7882 2 года назад +1

    Mpina ndio kiongozi wa sukuma gang

    • @raphaelkaswahili323
      @raphaelkaswahili323 2 года назад

      Mpina ndio kiongoz mjinga kwa wasukuma hana tofauti mpina

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 года назад

      😁😁😁😁😁

    • @muddymuzungu4357
      @muddymuzungu4357 2 года назад

      @@raphaelkaswahili323 😀😀😀😀😀😀😀daaaaah

    • @ghost8641
      @ghost8641 2 года назад

      Na humu ndani kumejaa vimada na vichoko vya sukuma gang vibishi halafu vina chuki binafsi na serikali

    • @Worldunite
      @Worldunite 4 месяца назад

      ​Kwahiyo unatuambia sie wasukuma ni machoko😢 7:44 ?​@@ghost8641

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally4430 2 года назад +1

    Huyu jamaa atakuja kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania one day

    • @sponsor7882
      @sponsor7882 2 года назад

      Msomali huyu tatizo

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 года назад

      @@sponsor7882 kkkkkkkkkk

    • @rithadonatus8110
      @rithadonatus8110 2 года назад

      Weeeeee😁😁😁😁 hapana watamuuua huyu ni wahuni tuuu😁😁😁

    • @shabansalee4924
      @shabansalee4924 2 года назад +1

      Kuna gwajima nae wamoto kinoma

    • @williammbuzimai5744
      @williammbuzimai5744 2 года назад

      Punguza kuongea kichina,
      Pia unaposhauriwa usiwakingie kifua wezi,,
      Serikali inapotoa ruzuku kwa wakulima mnashindwa usimamizi; mwisho wa siku wafanya biashara wakubwa ndio wanafaidika.

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 2 года назад

    Shambulio binafsi hatutaki hawa wanachuki zao sisis watanzania tunataka suruhisho

    • @ghost8641
      @ghost8641 2 года назад

      Suruhisho ndio nini Sasa 😆 hebu rudi shule ujifunze kuandika kwanza. Wasukuma mnateseka sana na bado mama yuko kazini

  • @magaumasiaga3120
    @magaumasiaga3120 2 года назад

    Maneno ya kiswahili kutamkwa kizungu hata kama ni ya kijinga inaonekana yanamaana
    Sana, matajiri wanashilikiana kumkabili masikini kwa nn masikin tusishilikiane kumkabili tajiri! Hakuna kura mbegu, mjinga tu ndo anakura mbegu

  • @mtanzaniamzalendo8288
    @mtanzaniamzalendo8288 2 года назад

    Hapewe ulinzi uyu jamaa

  • @24seven78
    @24seven78 2 года назад

    Hakuna kitu kinakera kama mawaziri kuchanganya lugha mbili

    • @yahayamjenga1996
      @yahayamjenga1996 2 года назад

      Luhaga si Waziri now

    • @24seven78
      @24seven78 2 года назад

      @@yahayamjenga1996 Yah sio waziri but ndani nasema kuchanganya kingereza na kiswahili

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 года назад +1

      Jielimishe kujua lugha zaidi ya moja ya Kiswahili..
      Mfano: kingereza, kiarabu, kichina, kifaransa.
      Hao tunaosema Wachina na lugha yao Sasa wanajifunza lugha Nyingi ikiwemo za Afrika..Kiswahili, kilingala na kiyoruba.
      Za kimataifa: Kingereza, Kifaransa, Spanish na lugha maarufu Kama Kijerumani, kireno.

    • @24seven78
      @24seven78 2 года назад

      @@malopemaliyamungu5243 Sina tatzo na kujua lugha Zaid ya Moja my concern ni kuchanganya kiswahili na kingereza ndani ya bunge and Kuna watanzania hawajui kingereza

    • @malopemaliyamungu5243
      @malopemaliyamungu5243 2 года назад +1

      @@24seven78 Kama vile wewe ulivyonichanganyia hapo "my concern" 😅😅.
      Ila kwa Sheria zetu lugha ya Bungeni au Mahakamani ni Kiswahili au Kingereza.. au zote mbili kwa pamoja. Mahakamani ndio kabisaa.. hukumu inaandikwa kwa Kingereza.
      Tunasema Kiswahili Kiswahili lkn ukweli uko hv, pambania ubawa wako. Huyu mwananchi unaemsemea anaetaka kutafuniwa mpaka lugha atakuwa 3rd class citizen. Tupambane tubaki 2nd kwenda 1st class citizen. Hata mgao wa keki unaanziaga meza za mbele. Ukipata ndio iende nyuma.. tafakari

  • @sampatrick308
    @sampatrick308 2 года назад

    Acha kingereza chako wewe

  • @thomasisdory1531
    @thomasisdory1531 2 года назад

    Nimegundua wewe wazili ni mbabaishaji uko kisiasa zaidi

    • @mwikamwika4851
      @mwikamwika4851 2 года назад +2

      Jifunze kwanza kuandika bwana Thomas Isdory. Unataka kuleta ujinga kwenye mambo muhimu? Acha waziri amwage nondo

    • @thomasisdory1531
      @thomasisdory1531 2 года назад

      @@mwikamwika4851 nondo gani ameleta zaidi ya majungu msikilize mpina Kisha uchanganue siyo unakurupu tu

    • @hasinauuwimana8405
      @hasinauuwimana8405 2 года назад

      Majibu yote ya mpina kajibiwa lakini nazani

    • @thomasisdory1531
      @thomasisdory1531 2 года назад

      Kikubwa hapa nikupigania wananchi mpina katoa hoja anatakiwa azipangue hoja siyo kumuattack binafsi

    • @thomasisdory1531
      @thomasisdory1531 2 года назад

      @@hasinauuwimana8405 hatakiwi kutoka kwenye reli apiganie wananchi km enzi za jomba nikijana tunamtegemea asiangalie tumbo lake

  • @alphoncesamwel6973
    @alphoncesamwel6973 2 года назад

    Kumbe kingerezaa kina sound kwenye Uongo

    • @sayimaduhu8555
      @sayimaduhu8555 2 года назад

      Huko kwao somalia wameshindwa sembuse tz awe raiz,broo unataka boko Haram u na aunt baraka waingie

    • @alphoncesamwel6973
      @alphoncesamwel6973 2 года назад

      😂😂 enewei mara zotee mtu akizngumza kingerezaa kingi inaonekana anatenda kazi bila wizi
      Lakn angeongea kwa kiswahili hizo mambo alikuwa anasstiza angeonekana niwakawaida sana

    • @mkude
      @mkude Год назад

      @@sayimaduhu8555 uhasidi na roho mbaya na utakufa ukiwa na roho mbaya na uhasidi uliokuwa nao,unachuki kwenye moyo wako inaonesha unaroho chafu ilyojaa kutu,kakini haitokusaidia kitu wala kukuondolea umasikini ulio nao na utakufa na umasikini wako.

  • @user-hb8vi9fx6g
    @user-hb8vi9fx6g 2 года назад

    MAJIBU MAZURI SANA, LAKINI TATIZO MNAAMBIA WENYEWE TU, HICHO KINGEREZA NI KWA FAIDA YENU TU SIO WANANCHI MNAO WAAKILISHA!
    LAKINI MBONA MNAPO KUJA KUOMBA KURA HAMTIMII KINGEREZA, MNATUMIA KISWAHILI FASAHA,MKISHA CHAGULIWA MKAINGIA BUNGENI TAYARI KISWAHILI HAMKIJUWI, ACHENI UTUMWA NYINYI

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 года назад

      hicho ndo kinachoniboaga na Bashe,kingereza kiiiiingi,hajui wakulima wengi hawajui kithungu...mbali na hapo,namkubali yuko makini sana..

    • @hasinauuwimana8405
      @hasinauuwimana8405 2 года назад

      Mimi nazani ukiongea na wakulima wengi ndo utajua faida Mw. BASHE

  • @lucasbartazari7797
    @lucasbartazari7797 2 года назад +7

    Hakuna kitu huyu mtu. Kelele tu na upigaji mwingi. Tunamjua Bashe na Rostam Aziz wake.
    Bashe anapotosha kabisa! Ameulizwa mambo mawili muhimu: 1. Benki ya ushirika na 2. Bei ya mbolea. Anaeleza bei ya mbolea kwa uchungu utadhani kweli ana niya njema, na kukwepa la benki ya ushirika. Ukweli ni huu;
    1. Benki ya ushirika ni mipango yao wafanyabiashara ambao ndo sponsors wake ktk siasa. Hataki kueleza kwa nini anaachana na benki ya kilimo ambayo ipo, sasa anakimbilia ushirika. huu ni ujinga tu!
    2. Mbolea ilipanda kabla ya vita ya ukraine. Hizo bei za mbolea anazotaja duniani siyo bei halisi maana hajaeleza ni bei kwa uzito gani. Bei zimeharibika mikononi mwake kwa kudekeza wafanyabiashara wake.
    3. Historia ya miaka ya 90 anayosema kwamba yalikuwa maamuzi ya watanzania wote, huu ni ujinga pia! Ni serikali ndo hupeleka sera Bungeni na kulazimisha zipite. Sera nyingi hupita baada ya wafanyabiashara na wanufaika kuwahonga wanasiasa. Kwenye mafuta ilikuwa hivyo enzi za waziri Mkulo akaondoa kodi baada ya kuhongwa na wahindi wanaoagiza mafuta toka Malaysia!!
    RUBBISH!

    • @archbordygodfrey2614
      @archbordygodfrey2614 2 года назад

      Kelele tu huyu hamna kitu nimemdharau sana.

    • @josephjilala430
      @josephjilala430 2 года назад

      Rostam na bashe ni maji na samaki

    • @ramamabinda5063
      @ramamabinda5063 2 года назад +1

      Ukitumia akili yako vizur utaelewa nn anafanya

    • @ghost8641
      @ghost8641 2 года назад +1

      Misukuma bwana punguzeni makasiriko au kama vipi mezeni nyembe. Mtateseka sana mama yupo kazini 😆

    • @jamalahmed7057
      @jamalahmed7057 2 года назад

      Kwa kweli naheshimu maoni yako kwa sababu moja tu kaka itakuwa umefanya tafiti ukimskiliza bashe hoja zake pekee unaweza sema hoja zinamashiko mm nafikiri iwepo njia za kuwasikiliza wananchi na wakulima maoni yao halafu ipigwe kura ya maoni nchi nzima

  • @frankurio469
    @frankurio469 Год назад

    Wewe bashe una muattack mpina bure, wewe bashe ndiye chanzo cha mfumuko wa bei za vyakula kwa kisingizio cha kumlinda mkulima, hakuna mkulima anaelindwa hapa ila wanaolindwa ni wafanyabiashara walangiuzi, mafisadi na madalali, wananchi wote tunateseka sababu wizara ya kilimo kuongozwa na mtu asie makini na asiejielewa, hao wakulima wanaosemwa wanalindwa ndio haohao wanateseka na mfumuko wa bei za vyakula walicholima wenyewe, sisi tuko nao huku, wako hoi mbaya kabisa, dhibitini uuzaji holela wa chakula nje ya mipaka manake serikali hii inatutesa mno wananchi, mwaka huu huku manyara chakula hamna lakini serikali ndio kwanza imeruhusu wafanyabiashara haswa wakenya kuingia hadi mashambani, hii ni disaster kubwa na hayati Magufuli alifanikiwa hili eneo, hakuruhusu mfanyabiashara kuingia mashambani,, waliruhusiwa tu kuingia sokoni na nchi ilitulia sana, RIP Magufuli

  • @mlyambisipaul8399
    @mlyambisipaul8399 2 года назад +16

    Nimelazimika kuitafuta hutuba ya Mhe Luhaga Mpina nimemsikiliza kwa makini na nimemsikiliza kwa makini Waziri Mh. Hussein Bashe nimegundua mambo mengi
    1: Mh. Bashe yeye ndio anapotosha makusudi suala la mbolea sijui kwa maslahi ya nani, Mh Mpina amehoji kuhusu uamuzi wa Serikali wa kufuta mfumo wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja mwezi Julai 2021 na kueleza maamuzi hayo kwa kiasi kikubwa yameitumbukiza sekta ya mbolea kufika hapa ilipo leo, nimejiuliza KWANINI SUALA HILI HAKULIJIBU MH BASHE? akaamua kumshambulia Mh Mpina aliyesema kuna tatizo mahali ili urekebishe.
    2: Mh Mpina amezungumza kuhusu bei ya mbolea kupanda na kuwaumiza wakulima, Mhe Bashe badala ya kueleza kwanini mbolea imepanda ameamua kum attack personal Mh Mpina mara sijui jimboni kwake wameua kitalu cha pamba kwa ajili ya siasa huku akijua hoja hiyo haikuwa sehemu ya mjadala.
    3: Data alizotumia Mh Mpina ni kutoka kwenye hotuba ya Waziri wa Kilimo aliyoisoma mwenyewe sasa kosa ni la nani la Wewe Mh Bashe uliotumbia mbolea imepanda Soko la dunia au Mpina aliyekwambia ufuatilie kwa kina ili kujua ukweli kuhusu bei halisi ya mbolea
    4: Mpina amezungunza kama Mbunge mwenye jukumu la kuisimamia Serikali kwa mujibu wa Katiba sasa hayo maneno yako kwamba sijui aliwahi kuwa Waziri kwenye Serikali ndio yatatatua matatizo ya kupanda kwa mbolea kulikochangiwa na kufutwa kwa mfumo wa ununuzi wa mbolea kwa pamoja, suala la kwamba alikuwa Waziri limetoka wapi mbona wewe ulipokuwa Mbunge uliihoji kikamilifu Serikali na mawaziri walikuwa wakikujibu kwa hekima na heshima kwa nini wewe umejibu kwa hasira kiasi hicho.
    Nikukumbushe Mh Bashe ulikuwa ni moja kati ya mawaziri bora sana wa Serikali hii wanaofanya kazi vizuri unaokubalika sana na wananchi ukishindana na Waziri wa Maji Mh Juma Aweso kwa kuwajibika kutatua changamoto za wizara ila kwa hili suala la mbolea limekushusha sana kisiasa na kuacha maswali mengi bila majibu.
    Hukupaswa kumshambulia Mpina personal ulitakiwa uzi attack hoja zake zote kwa kuzijibu kuhusu kupanda kwa bei ya mbolea, faida na hasara za kufutwa kwa mfumo ununuzi wa pamoja, sababu za kuanzisha Benki ya Ushirika wakati Benki ya Wakulima ipo.

    • @philjonez3324
      @philjonez3324 2 года назад

      kingereza kingi lakin hajajibu hoja yoyote ya MPINA..Hata hivyo nilikuwa na uhakika hatojibu hoja zaid tu atamuatack MPINA na kweli imekuwa vile vile nilikuwa nasubiri kwa hamu sababu nilijua yale maswali yalikuwa magumu..hajajibu swala la kuanzisha bank ya ushirika wakati bank zingine zipo na bado tuna struggle na hizo bank tulizozianzisha la pili ni la mbolea ambalo nalo ameshindwa kulijibu but all in all namkubali bashe sema hapa kwa mpina amegonga mwamba na mpina anauwezo mkubwa wa kupambanua mambo kuliko bashe

    • @mbwanarajab4756
      @mbwanarajab4756 2 года назад +3

      Sasa mpina si yupo?
      Si ajibu?
      Mimi sioni haja ya wewe kutumia akili yako na muda wako mwingi kuchambua , kwani muhusika yupo na kama kuna upotoshaji UPO si ajibu?
      Bashe kamshinda kwa hoja na yeye angepaswa kujibu

    • @lucasbartazari7797
      @lucasbartazari7797 2 года назад

      @@philjonez3324 Kingereza chenyewe kibovu kuliko darasa langu la tano.

    • @elibarikimwasha5947
      @elibarikimwasha5947 2 года назад +5

      Nimewasikiliza wote pia, nilichogundua ni kwamba mpina yuko so bitter na kutoteuliwa uwaziri, Bashe kamjibu vizuri sana tu.

    • @mlangiralameck9158
      @mlangiralameck9158 2 года назад

      Hakika , huko nikuji defend bila hoja ya msingi. Kuwa mtu aliyewahi kuwa waziri Hana mamlaka ya kutoa hoja zake. Ametumia nguvu kubwa Sana isiyo na tija hata kama hawana maelewano mazuri hakutakiwa kuwa personal kwenye public agenda kama hiyo.

  • @v.i.pmusicmanase8860
    @v.i.pmusicmanase8860 2 года назад

    mshaurini Bashe kizungu kinatukwaza😅😂😂😂😂

  • @mbwanarajab4756
    @mbwanarajab4756 2 года назад

    Wale mamluki 19 waliowekwa hapo kisha wakatolewa kwenye baraza lao la CHADEMA mbona hatuwasikii?
    Nashauri km uchu wao ni posho, basi wapewe posho alf maamuzi ya viongoz wao yafuatwe.
    Pia mngetafuta spika mwenye hofu ya Mungu
    Samwel Sitta kaacha pengo kubwa lisilo zibika la uspika wa bunge Tanzania