Afu sjui kwann namkubali dot to margarita bro nakukubali tu yan you’re so really japo funny maker but ivo ulivo tu bro upo makin sana Mwenyezi Mungu akulinde
Mara ya kwanza kusikiya mwananchi wa Tanzania kusupport Rais wake 🇹🇿 . Ama kweli hutochukiwa na wote na hutopendwa na wote. Mr. Doto Mungu atakubarik kwa imani yako.
Kwani Diamond Platnumz kamnyanyapaa au kamsimanga au kajisifia kuwa yeye kawatoa wasanii kadhaa kwa kujionesha ukubwa wake na proud kwa alio watoa jamani
Usinde doto wao wanasoma wapate Kaz nzuli na mishahara mkubwa Sasa tayari mafungu unayo wachie degree zao waacha waamke alufajiri we subiri sim iiite uingize nyingi million
Firauni mjaaalaanaa mange afe tu🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥mpe dozi🔥🔥🔥🔥mchukue manyaunyau atimbe marekani atume kimbunga ajichinje bila kuchinjwa mamaeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥
Hata unapomsaidia mtu utakiwi kujisifia kwa imani ya nasibu na rajabu 🙏🏻🙏🏻🤝🤝
Afu sjui kwann namkubali dot to margarita bro nakukubali tu yan you’re so really japo funny maker but ivo ulivo tu bro upo makin sana Mwenyezi Mungu akulinde
Hapa Bongo bila Mondi hakuna kitu kinaenda 😮
Doto. Unanichekesha sana.nimefurah. big up sana
Aweeeee mtoto wa mama kizimu kazi a.k dotto magari nakukubali mbk bc yani ❤
Kweli kakosea sana kwani anakosagani mama samia mimi nampeda raisi wangu❤❤❤ i
Kaka nimekubali ww hatar Sana mungu akujarie maisha mema good san
Mara ya kwanza kusikiya mwananchi wa Tanzania kusupport Rais wake 🇹🇿 . Ama kweli hutochukiwa na wote na hutopendwa na wote. Mr. Doto Mungu atakubarik kwa imani yako.
Mamaaaaaaeeeeeeeee Doto love you bro❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🤣🤣🤣🤣
Dogo 24 nakubali kueneza k 100
Masomo mengi kuliko ajira dah
Kapendeza sana tatz nywele tu ndo zinamfanya awe ovyo🤣🤣
Nakutumia maji ya kunywa🥤maana koo limekauka😂😂. Well done D. Magari👏👏💪
Kwani Diamond Platnumz kamnyanyapaa au kamsimanga au kajisifia kuwa yeye kawatoa wasanii kadhaa kwa kujionesha ukubwa wake na proud kwa alio watoa jamani
Mbn davido hajproud hvyo au kusema kwny interviews zke kwamba alimtoa diamond kimataifa
Chawa mwny akili nyingi big up Bro una point Sana....
Big up brother Dotto 💪💪💪
Saluti kwako big up
Nakukubali sana kaka angu❤
upo sahihi broo
Apooo chachaaaa dotooo nakukubariii uyuuu mangee kaikanyagaaa
Big brother
Hahaha nimecheka bila kupenda wallah 🤣🤣🤣🤣
Kk 🎉🎉🎉🎉🎉uko point sana
😂😂😂😂kweli huyu ndo kiboko ya mange ,tupo pamoja
Nakubali doto
Fidodidoooo😂😂😂
Asante
Big up xan brother😂😂😂
Dotto upo sawa kabisa.huyu mange kavuka mpaka
😂😂😂😂 ila dotto noma sanaa nakubali sanaa🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Wazee wa kitaaa lazima tumuelewe really gangster
Jump jump who are you some people they 🙌
Unanifurahishaga sana kaka Doto wacyokpnda ww haziwatoshi aisee
Doto kakazania kuoneshwa maumbile yake😂😂😂
Nimecheka jmn anavyochambwa mangi😂😂😂😂😂😂
Upo sahihi Doto,,Fidodido kazidi
😂😂😂😂😂ajifiche voo❤
sema doto mkweli sana
Unabaya dotto
Ahhhhh doto jetii
Kweli amezinguwa bana ninmshenzi sana yule mtt
Ukweli
Doto wambiye ukweli siyokilasiku unamzungumziya mtu uliyemsaidiya atamungu apendi. Daimond aache tabiya iyo ata naweye ulisaidiwa mbona hujasemwa ukilala ukiamka unamuongeleya mwenzako
Shukrani sana kwakusema ukweli.. pia DOTTO anasema kweli na anaishi real sio fake life..namkubali sana Doto❤❤
hueleweki unachoongeaa ......SIMBA
Lini umemchoka mama yako kila siku anawaambia watu kakuzaa yeye??
@@MrTop-wj7no mama ni mama sio msanii huyo ni mama..hapa tunaongelea kumsaidia mtu nakumsema Kila wakati kuwa ulimsaidia
Kitumbo hicho kinakunyemelea. Fanya mazoezi utaumia.
Jamaa kachemka ghafla tu😂😂 dah,ilah doto bana😅
AKAUNTI YA MANGE IKIRUDI AKAENDELEA NA UO UNGESE,,NDO NTAAMINI HAMNA CHA KUMFANYA UYO NJITI
Jamani wa TZ Muna maneno muwe kama ss wa congo
Kongo mavita mutaongea wakati gani
Usinde doto wao wanasoma wapate Kaz nzuli na mishahara mkubwa Sasa tayari mafungu unayo wachie degree zao waacha waamke alufajiri we subiri sim iiite uingize nyingi million
Masomo mengi kushinda ajiraaa😂😂😂😂ila dotto
English college 😂😂😂😂😂
Ditto mweu sana
Ndoto magari aaaaaa unasubuwaaaaaaas
Who are you some people day😂😂😂
Kitambi chaa minyoo😂😂😂
Bravo Dotto Mange akome
😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉Mzaramo ashindwi wewe 😂😂apo kwenye kibichwa sasa 😂😂😂
Dotto magari 😂😂 wewe inafaa you join Bongo movie
Wazamo wanatabia yakujisifu kama wa congo 😂😂😂😂😂
Jamani musikuze Jambo hajamtaja hermonize peke yke
Hii bigwa hii ya kinoko hii
Kubali kasome, uongeze huu a yooo
Mungu azidi kujificha tufanikiwe😂😂😂😂
Magari ya bukoba tena😢 mi staki nimenuna
Hahaha jamani hapo kwny Tanesco 😂😂😂😂
Kaka doto njiti gani lakini😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂akii
Naona kaja kivengine
Doto mdogo wangu big up uko vzr huna unafki unaongea ukweli
Doto masifa tu
Soma uandish wa habar kaka umeshafahamika rahis kupata Kaz kwenye redio hapo town ukaendeleza michongo yako
Manno mengi nasifu
Doto mwsho 🤣🤣🤣🤣 nmechekaa 🤣🙌
Waandishi wa bongo bwana uchochozi mwingi,diamond hakusema kama jamaa lilivyosema
Nenda kasome baba angu
Derenyuzi
Punguza tumbo hilo suti zitakushinda
Dandi Dandi no position
who are you😂😂😂
Redio handred
Nimecheka apo mwisho na nyie waandishi kwendeni uko....yaani uyu...ndio Dotto ...magari . ..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂😂
Duu same people day heeee ongea lugha yakwenu tuu broo
Dotto magari ukifa uozi😂😂😂😂
Doto jau 😂
KASOME ELIMU HAINA MWISHO!!
Diamond haijantokea, uyo mwenhewe diamond ndio kaleta shobo
Haaa usiende dotto
Dele niuzi
Njiti kasikia😂😂😂
Dotto msenge malizia kichogo km zuchu😂😂😂😂
Nikweli
Kweli elimu Ina faida yake yaaani mshkaji anaongea pumba tu nimejaribu kumfatilia ila sijaona point ya maana
huyo jamaa a najuwa Mapezi kweli yake
Aki nikweli kabisa doto😂😂
Maisha yapo kama tanesco nimecheke sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Apo kwa raisi doto umenena point mange mjinga Sana marekani inamlea vibaya
Kweli Mange alivuka mipaka kweli
Sasa kama tunaishi Kwa maelekezo kunaubaya gang kusema nimekutoa kipi kibaya apo dogo konde boy naye ana vimba Sana.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤Taneskoooo 😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤
Wewe English course tuu doto
kasome lugha ya kiingereza
Nywele z doto ss km mchicha mwiba😅😅
We mgese unadharau wasomo ngoja uuguwe mmkee wanakusubiri mihimbili kwa utajuwa.hujui