Kwani Tanzania watu wanauza Gari kama maembe pembeni mwa barabara. Hapa Kenya hamna Tajiri ambaye utamuona akisifiwa, na pia hawapendi kuonekana. Utapigwa risasi 🔫🔫🚔
@@josephguerino7416 make wake na yy mwenyewe nilikutana naye nikamwambia shemej unaniju naomba umwambie mkeo mbona nampingia simu yangu hapokei ndio nikabock kabisa
Acha makasiriko km hujui Issa na Doto ni watani Shinyanga, Mwanza,Tabora ni watani wa Wazalamo km hujui sasa ndy maana unaona utani upo sana hawakasirikiani ss ww mwenye kisirani chako peleka huko kwa watani zako 😂😂
ila doto we comedy sana blees my brother
unatunza sana kumbumbukumbu kaka issa mungu akulinde bloo
Bro Dotto Allah awape maisha marefu ww na boss wako mnaishi vizur see you when you see me bro
3:33 Simba Anavaa Kiflana Kimeandikwa Kondom😂😂😂😂🙌
Ukikutana na isa tambuu road huez dhania mi fogo coz ni mtu amani kinom yaan
Issa ni mtu mmoja humble Sana hana majivuna afu ana mawe ya kutosha aisee
Saizi tena
Dotto noma aseee😂😂
So hiyo ndiyo Habari kweli bongo nyoso
😅😅😅😅😅 ila doto......
Msukumaaa mtaniwakeee
Now doto
Uongo mno eti 2018 uongo tu
Wivuwann watz wanemtambua kwa kazizake
DOTTO ANACEKESHA SANA
Sasa mwaka 2017 mbona
Diamond Ella anayo
Ila dotto wewe kiboko uwiiii 😂😂😂 sio kwa kuongea hivyo ila raha sana kuwa kalibu na boss ivyo alafu wala anuni
😂😂😂 Doto Fala sana
😢😢😂😂😂😂
+254 chorodo
Ilaaa dotto😂😂😂
Ni 2008 huko sio 2018 hapana
2008 mondi alikua Bado hajatok maan ngoma yake yakwanza kumleta mjini ilitok 2010
Kwani Tanzania watu wanauza Gari kama maembe pembeni mwa barabara. Hapa Kenya hamna Tajiri ambaye utamuona akisifiwa, na pia hawapendi kuonekana. Utapigwa risasi 🔫🔫🚔
Ni huko kweny
@@mussaabdul3527washamba nyinyi magari yenyu ni bei ya baiskeli hapa Kenya
Hivi jamaa ni kweli hajui kusoma?
Anajua
Mnipe pesa yangu
Wamekutapeli dada?
@@josephguerino7416 ndio Nina mdai make waki pesa yangu hawanipi Mimi ninafanya biashara ya vitenge nilimpati make wake na sasa wamenibock kwanye simu
@@josephguerino7416 make wake na yy mwenyewe nilikutana naye nikamwambia shemej unaniju naomba umwambie mkeo mbona nampingia simu yangu hapokei ndio nikabock kabisa
ULIPATA CHANS NZURI YA WA TZ KUKUTAMBUA,,KOMAA NA MAGARI ACHA POROJO,,,MAGARI YENYEWE MNAPIGA WATU TABU TUPU AH😊
Kapige na wewe
@@kakaaignas3675 DAWA KAMA INAKUINGIA UNASOMA UNAUGULIA TU,,ACHA KUPANUA PANUA 😊
Eeweeeeeh_🤔
Acha chuki ww MGANGA MUNGU MITISHAMBA IMANI kwenda na kichogo chako na meno yako ya kunguwa njaa tuu 😂😂