DOTTO MAGARI AIBUA TIMBWILI, AGOMA KWENDA POLISI, UCHEBE AINGILIA | HIVI NI KWELI
HTML-код
- Опубликовано: 5 июн 2023
- DOTTO MAGARI AIBUA TIMBWILI KATIKATI YA INTERVIEW, UCHEBE AINGILIA | HIVI NI KWELI
www.youtube.com/@Wasafi_Media...
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Nimecheka sana kwa kweli, dotto alichanganyikiwa
Idea nzuri sana.kuna msanii u.s.a aliwahi kutoa bomba kwenye interview.
Big up D Tisha sana mzee baba mpe hi mama kizimkazi
Safi sana i love it
Hii kali sanaaaa, kinyamwezi kabisaaaa, kama MTV pranks 😂😂😂😂
Dotto magari umetisha❤❤
Much creativity...good show hapo sawa MoTown sanya big up from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Madalali wanapiga sana dili na polisi wa osterbay yan ukipata kest na dalalo usikubali kwenda nae osterbay mwambie twende sehem ingine hata police ya posta
Mdogo wangu dotto 😂😂😂😂walikuchanganya ila we sikuizi msafi kama tishu ivyo umenyooka kama rula hukutaka mambo mengi wasije wakakuteka bure ukakimbilia obeyyy😅😅😅 safi sana kwa kuudhiirishia umaaa kwa confidence ya kuwa ditto ni mmoja tu na hana mambo ya kizamani safi sana nakweli ulisha tokaga uko nimeipenda hii
Ndoto anajua tena 👌👌👌anajua tena
Kesi za watu kubambikiziwa zipo nyingi sana. Watu wanapelekwa mahabusu wengine eanafungwa kesi sio zao. Inapokuja inshu kama hii hata kama dio ukweli unachanganyikisa. Hiki kipindi hakifai hata kidogo. Ikiwa ni wewe mtazamaji au mimi mwenyewe kama unaijua vizuri lokap lazima uogope😢
❤xxxvideo dog
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣daaaah creativity ya maana
Very good job, one of the best shows this year 👏👏👏👏
Noma Sana brother dotto magar
Nimeipenda hii achaaa❤😂😂
Wee mtoto unaweza kuwa kwa kweli mana Mr. Doto Akili imemeuka kaona Wasiojulikana haoooo wanaokuja kunibeba Aisee ila nimekupenda Doto ulipokiwa Strong Men hutaki kubabaishwa unaongoza mwenyewe police huu ni mfano watu msikubali kubwa tu
😂😂😂😂anachagua sero yeye mwenyewe
@@athumanfuko199 😂😂😂😂😂
Doto mpka huruma jaman, huyo sio mwizi wala tapeli..ndio maana Kawa mkali sana., Doto maneno mengi tu ...pole Kaka hahahahahah 😂🤣😅😅😅🤣
Dotto umetisha 🔥🔥
Chawa wake cjui mwanae dotto huyo tamimu anamoto, wangeendelea kutokumpanga angempasua dereva wa watu sema mwishoni inaonekana walmtonya😂😂😂😂😂😂
Ujitahd sana mwamba
Sanya ,,SIKU NYINGINE HUYO ANATAKIWA AWE NA KITOII CHA BUNDUKI ,, ANGEKIMBIAA DOTTO😅😅😅
Noma
creativity 💯💯
Big up dotomagarii
Daaah sema dotto ulishaingia king
Hatari
Tatizo uchebe alikuwa nacheka sana😂😂😂😊
😂😂😂😂😂😂 Doto magar
😂😂😂😂😂 Doto kweli una magumashi
Duh.aisee nilikua nastles zangu nimejikuta nacheka2. oya doto unajua
Ditto upo vizuri sana
Dotto umebadilika sana, hao wote hapo hakuna hata mmoja aliyekuwepo wakati ule ulivyokua Ngoma ngumu....enzi za PELASOPELASO manyanya hakukaliki hiyo, NGOMA NGUMU tupu..!
Wote hao hawamjui,watu tunamjua tokea akiwa mpiga debe s3ma nampa big up kabadilika sana
Sas inahusiana nin?watu kumjua au kumtomjua kipindi hicho inahusiana nini? Maneno ya vijiwenu bana dah
@@IdarousPossy yani ilimradi tuu sasa kumjua mtu enxi za mwalim ndo kusema eti alikua mpiga debe sasa vinahusiana nn watu bhana🤣🤣🤣mwenzenu kajitafutaa na tayar Mungu kamuona na kajipata
@@IdarousPossy ....Ni vyema kumjua alikuwaje, Ili na wengine wasikate TAMAA wakiwa kwenye URAHIBU...!
Dotto kanyooooka na alikuwa sahihi kusema aende police anapo paamini yeye
Et we mwenyewe adui to sa we unanini unapost fundi gereji kumbe unauza sambusa to nmeipenda hii kwa dotto
daaaaaa sanya ww nibaraaa
Huyo jamaa alitaka dotto afe kwa presha jaman sanyaaaaaaaa
Mme Tisha sana aisee doto jicho lime mtoka
noma sana
Bonge la sinema nimemkubali doto magari jamaa anafaa kuwa muigizaji
Dah nimecheka kama mpumbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Doto aujajinyea kwel
Umepatikana leo
Ndo tupate somo hapa msi8ziane gari kama big G
Nime cheka mpka jikojelea jamani daaaaa mamaeeee mpka melia daaaa
Sema jamaa Dotto mstaarabu sana hakutaka kupigana
Uchebe na ww mnafiki sana yaan unajifanya hujui kitu😂😂😂
Sanya unajua unajua unajua tena!!!
❤
Dotto kawa mpoulee maneno yote kwisha kawa kama nyamwiga hapo akifa anaoza aiseee😂😂😂
Jama Dotto sio muongo au mwizi alafu ana busara
Angekuwa miongo hangeomba kuwahi polisi
Dotto angeanguka presha dahh😂😂😂😂
Next time jipangeni vzr
Dotto kapatikana,pressure kama zote bado haamini kama mnarekodi
Show ya magenius
Umeuwa doto 😂😂😂😂
mnaacha kuibua vipaji mtaan mnaenda kuhoji majitu ambao wameshapata maisha na wanatamba nazo mitandaoni Wasafi media tafakarin vzur ibueni vipaj ambavyo vitakua ni nguvu kaz badae kwa Tanzania
Duh leo wamemuweza.
Pindi la kijanja nimeona clip tu nimeifata full nakubar maujanja👊👊👊
Scripted?
nice one ila too many effects
hahaha yan sanya kuna siku utapigwa wew yan
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂doto jamani uwiiii
Kapata moto
😂😂😂😂 content ya maana sana
Ingelikuwa mm hapo nishampiga mtu kibanoooo sio kwakunileteya ujinga huo hao mambululaaaaa
Unatakiwa kujizuia mihemuko na kusolve issue in good way😅😅😅
Mi nasoma comments tu😂😂😂😅😅
Eti mfate dada hhhhhh kavunjiwa kibanda chake kabebe mbao
Ahahahahahaha nmecheka sana
😭
Dotto we unajua
Show kali
next time jamaa asigonge mic kifuani ila nimeipenda show 😀😂🤣
Polisi hawa waungo dah nimecheka sana🤣🤣😅
Utaenda na Gali yanguu
akili kubwa
Watu wanatengeneza content
🔥🔥🔥
Hom boy wagwani✌️
Dotto uliingia upepo. Ila nadhani kama wasingesanua mapema mkono ungetembea
Doto anajikaza bhna, alishachanganyikiwa bhna......
Hii kali
🤣🤣🤣🤣dotto my friend naona jinsi ulivyopanic nimecheka sanaaa,waiingize mjini haooo
Dotto magari vp naona kimya hujasema kama nahapa ipo kimyaaaa tondo kwanza unatafuta boda boda ukimbilie police 🚔
Simjui mimi uchebe baba angu alokufa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yan nmecheka
Nyinyi mnaweza kuua mtu kwa pressure😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣 nimecheka
Uyo doto mpk majasho ya kwapa yamemtoka kumbe muogaa tu
Leo Doto kapatikana
aiseee dotto magari weye nimwigizaji mkubwa sana
Mwezi jana😂😂
Ila sanya kipindi chako unaweza kuua watu
Doto kaloa 😂😂😂😂
Nimecheka mpaka nimejamba duh Doto kapatikana maneno yooote yalimruka😂😂😂😂😂😂😂😂😂
You have issues with valve seal aisee..😂😂 hupaswi kujamba ukicheka
Njoo unizambie mimi
Huhuhuhuhuh
Wasenge kweli nyinyi mnamsumbua doto akili nyingi
Sema maisha kinafiki sana uchebe mwanzo kamcheka doto baaada kuambiwa anauza sambusa kaamua amsifie tu😅😅
Sema jamaaa akuwa seriously 😅😅😅😅😅😅😅 sana
kuna mtu karibu ajinyeer😅😅😅
Alieuziwa gari hajiamini
Uyu jamaaa atar nimecheka ad so pw🤣🤣🤣
Dotoo leo anakumbilia police😂😂😂😂😂😂
jamaa anajikubali sana apunguze
13:52
Dotto magari umechemka naona kimyaaa hujasema kama na hapa ipo