DOTTO MAGARI amlipua DIAMOND ALIKIBA KUZIDUA REDIO aache kuvimba KIBA havimbi
HTML-код
- Опубликовано: 8 мар 2024
- East African number one RUclips channel for Gossips,Sports as well as Politics News owned By BONGO PLUS
KANUNI NA MUONGOZO
Tunaripoti Matukio ya watu mashuhuri katika nyanja ya burudani, Michezo Filamu na mitindo ya maisha kwa kuzingatia misingi ya uandishi wa habari hapa nchini. Kufuata misingi kwa kuripoti habari zenye uwiano na usawa ndani yake,kutokuingilia faragha ya mtu,Kujiepusha na mambo yote yanayoweza kuleta sinto fahamu katika jamii yanayoweza kusababisha uchochezi.
NB:Tuna uhuru wa kufuta maoni yasiyokuwa na maadili au yenye matusi makali.
WeAreEverywhere
#entertainment #exclusive #trending #diamondplatnumz #wasafi #ayotv #update #updatenews #udaku #gossip #mwijaku #babalevo #tanzania #kenya #manara #hajimanara #bongo #habari #justinbieber #bieber #rap #hiphop #hiphopmusic #pop #rnb #rnbmusic #exclusivenews #tmz #tmztrends #arianagrande - Развлечения
King kiba fans hapa na wanao muunga mkono DOTTO MAGARI hapaaaa
Waandishi mia3 wanakosoa maswali ya kumuhoji Dotto hadi anawachamba😂😂😂😂😂😂😂 Dotto hoyyeeeeeee
Kama unamjua mtoto wa doto magari like hapa
Asante sana Dotto Magari , hao waandushi wa habari ni makanjanja hawana weredi wowote ktk kuuliza maswali , umewashushua vizuri ni wapuuzi sana
Tatizo ni pale kila kitu mnataka kuwafananisha Ally na Diamond. Hawa ni binadamu, Mungu kawaumba tofauti na hivyo hawatokuja kufanana hata siku moja
Izo ni mbwembwe za machawa mzee usichukulie serious
🙏🙏
Hawwamuoni mo na bakgresaaa!!?
Unaumia watu wanakula hela
King
Hatuna waandishi hapa. Mnashindwaje kumuuliza maswali muhimu
Hakuna swali mtakaloliuliza likaonekana la maana kwake, mmekubali kumhoji kubalini yote, kuna namna anawadhalilisha.
Mngekua mnamuoji kitaaluma angewajibu vizuri sema mmemuoji kisela na yeye anawajibu kisela hakuna mlicho hoji hapo wala mlicho jibiwa 😮😮😮
😂😂😂😂
Siomeona ilo swali la nn wazimgatie kajibu vzr
Bro hiyo ndio wandishi wa bongo wana maswali hata mtoto mdogo anajibu hawana point hata moja ya kuliza yaani bado kabisa wana maswali ya kijinga sana
Dotto anakuhudumia jinsi unavyokuja
Saf dotto magar
👑👑👑 king kiba respect kwake ##Dotto magari na hapa ipo😂😂😂
Na hapa ipoo
Safi sana doti ma gari
TeamKiba for life 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👊💯
BANGEEEE
Dotto kaongea ukweli kbs
😂😂😂😂😂😂 dotto magari hatari kwa kuogea ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na kweli kabisa king Kiba ni mstaarabu Sana
😂😂😂 Leo wandishi mume patikana yani nyote mwashindwa na doto mumoja tu 😅😅😅
Yan huyu doto kama vile yeye ndo mwandishi🤣🤣
Ukimuuliza na wew unayo😂😂😂😂
Leo waandishi mmepatikana mnao penda kuchonganisha Adabu yenu Leo mnapenda Sana kufananisha na kuchonganisha 😅
Umeona eee
nyinyi washamba hiyo ndiyo habar tofaut
na wengin na nishavu kwa wandish...
Komesha wandishi😂
Spendi Kufananisha Baina ya Ally Kiba na Diamond Plz
Kila Mtu Anawapewa na Mungu na Kwawakati Wake
Poleni sana anawadhalilisha ila ndio kazi kuwahoji watu kama hao kunahitaji busara
SEMA DOTTO NAWE UNABOA SANA
Hata mimi nimesafiri kuanzia mwaka 2011 brother it’s nothing kupanda ………?
Unyama doto
Yani hiloo bichwa bhana etih mama mitano tenaa 🤣🤣 si tutakufa sasaa kwa mda huu tu tumeshanyooka 🤣🤣
Jamaa yuawatambia wanahabari kama watoto wake
Sanaaa ditto magari nmekubalii sanaaa interview
Nomaaa sana😂
😂😂😂😂😂😂nimecheka cz wamekipata leoo hawata mhoji tena,bt ameongea point sana.yaan hataki uchonganishi
Wandishi wanaogopa ata kuhoji wasichezee vimondo😅
😂😂😂😂😂🎉 anawakomesha
Yani Kila interview waonyesha hela😂
Jamaa anavimba sana amenikera
Huyuu jamaa ni comedian bwanaa watu wasimchukulie serious anapenda kuongea sio kwamba anawadhalilisha😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Tatizo doto ujasoma ata ukimtaja mama Kizimkazi mara 200 uwezi kupata kazi labda ubalozi nyumba kumi
😂😂😂😂😂doto magariii
Kama umefika mwisho alafu unagundua mtu muandishi anatafuna ulimi like apa 😂
Wanaliya sana tu wamwache
Ila Doto🤣🤣🤣🙌🏻🙌🏻🙌🏻
😂😂😂leo wamekutana na kiboko🤣🤣🤣🤣 yani Huyu 🤣🤣🤣🤣
Kilasiku Niko nawambiya mkubwa nimkuba tu mashabiki acheni bifu Niko congo tunamkubali wala ajachelewa ok ajachelewa alikiba kazijema
Fikiria kama wote hatungesoma nani angefundisha mwanao na nani angekuwa daktari akutibu? Pesa si kila kitu, ukiweza ujanja ni kuwa navyo elimu na pesa na bado lazima utategemea
From kenya napenda jinsi unazvyo wajibu mablogas hao,,they squeeze too much
Dotto Magari anawafundisha waandishi kazi 😆😆😆😆😆 safiiii
Sema waandishi hawana hasira duu amewachamba
Sio Kila mtu wa kumuhoji.... Mnaharibu tasnia kwa kudhalilishwa. Hamjitambui nyi waandishi
Sasa wajitambue kwa lipi wakati hizi ni tv mbao na redio za udaku umeona hapo kama kuna ITV, BBC, CHANEL TEN, hata cloudas haipo hapo, maswali yenyewe wanauliza ya umbea na yasiyo na weledi wa kazi yao.
Doto nawew kuw mxtarab ukiw kwa mtu ucmponde m2 mwngne ucwe chawa
😂😂😂huyo ndio mswahili sasa
Waandishi wa habari hawajui kuuliza maswali ukweli 😂😂😂😂😂😂..
😂😂 Eti kwann nmenihoji
swali ni mbona wasizungumze bila kumtaja Diamond ? ...Simba reigns banae
DAH! WAANDISHI MNAJIZALILISHA HAKYAMUNGU!!
Huyu anawezaje kudharau waandishi na ndiyo wamemtangaza boya hili
Hapo sasaaa
kuna mwandishi anatafuna ulimi hadi raha
Watangazaji awana fact awa ndio mana kila siku Clouds Fm inakua juu watangazaji wao ni wabunifu
Saf Dotto
Hawa wapumbavu mnaenda kuwahoji ni changamoto tupu
Sasa doto unajibu maswali au unatoa maelekezo
Mu shamba ajuwi kuongeaya na wandishi wa Habari 😂😂
Kipanki ka mcheza x wa uturuki 😀😀😀
R.m.s fashion
Ona km mazuzu masenge hayo aisee
Waandishi wa habari sikuizi wanazalaurika sana dah
Ataka kama ni sifa basi isipiuilize
Sasa mbona unshakable watu juuu hutaki wazungumze
Doto bangi kweli
Ila ndoto
Dotto amekuwa mjeuri sana
😂😂😂
UMESOMA MASOMO YAJION😅
Waliwaambia wanashindana? Au midomo yawawasha
Umezaliwa kwa makusudi unaishi kwa bahati mbaya 😂😂😂😂😂
Dotto kanikomeshea wandishi
Alikiba no moja kwelli nilisema ilo
🤣🤣ila doto mbona kam wewe ndo mwandishi🥰🥰🥰
😂😅😊
Acha ujinga wewe doto tajiri atakuwa wewe na minywele yako micchafu
Alie sema atatembea uchi xai ako wapi....ajipange kutombwa xaxa...hii dunia kila kitu cha wezekana😅😅
Dotto haelewi chochote 😂😂 ,yeye ni Hela na hapa ipo ,mitano tena 😂😂😂😂
Ally kiba sio kama ni mstarabu huyu jamaa anadharau sana na anakibri
Mcheza x wa uturuki😅😅😅😅😅
Huwezi kumuuliza dotto swali muhimu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 hajui kuchanganua
Nilikuwa siamini kama dotto hajui kusoma ila leo ndio nimejua 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hao waandishi na huyo doto akili zao sawa sawa maswali ya hovyo majini ya hivyooo 😁😁😁
We umetokea mkoa gani kichogo ka mti denge 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mzaramo ana baya
Mim sio mtanzania alakin naona nyiny watanzania muko naunjinga San
Diamond 💎 siku zote anakuwaka mbali sana na kila siku huwa yuko mbele ya kila msanii tanzania
To describe a horse you explain it's features..... that's Ali Kiba for you .....ukitaka kumjua mtu tazama watu waliomzunguka ...big politicians from Kenya & Tanzania those are called connections ...watch his space "Mfalme Kiba"
Mondi ni mondi tu.... Nandy mond, harmonize mond, alkiba mond
Mbea kifani sijapata ku ona. Weeeh. Shilling yatafutwa.
😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉
Doto maninaa😂😂😂akili zakooo
Mi ningekua reporter nisingemuhoj huyo sijui doto kwanza hajielew anatukana waandishi kama hivyo alivyokua chizi analeta siasa anajua sijui anajua yupo ktk campeni Yan jamaa ni hovyo sana
Kazi hiyoo 😂😂😂😂
Mcheza x wa uturuki😂😂
Huyuu ni kingwenduu mtupuu hata msipo nipa likes